MAUAJI TENA ARUSHA: ASKARI WATUHUMIWA KUUA MTU KWA KIPIGO, BABA ASHINDWA KUVUMILIA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 210

  • @imamaliridhwa1884
    @imamaliridhwa1884 3 роки тому +7

    Kuna haja ya kuanzisha kampeni # SIRRO MUST GO !! GO SIRRO

  • @salmaabdulabdul1057
    @salmaabdulabdul1057 3 роки тому +21

    Jamani ndugu zangu tuswali Sana tumuombe mungu Sana tutubie zambi zetu Sana hizi ni dalili za mwisho tuombe mwisho mwema

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 роки тому +1

      Nikweri kabisa maana hi Tumachi Tz yetu watu rihozao zimebadilikahivi😭😭

  • @hasoze1669
    @hasoze1669 3 роки тому +1

    Jamani

  • @euverusjohn539
    @euverusjohn539 3 роки тому

    Mama tunaweza kumlaumu sana kwasababu baba alivyokuwepo matukio hatuku yaona kama ivi yani ukiamka asubhi unakutan na matukio ya vifo hi inamaana GANI Sasa tunakuwa n rais wa nini kam ndy ivi mama tunaomba ukae na watu wa usalam maisha yetu Yapo hatarini ukienda kazini ukiridi salama unamshukuru mungu.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 роки тому +3

    Kwa kweli haya mambo ya mauaji yamezidi, kila kukicha ni matukio ya mauaji. Poleni wafiwa Mungu awape subra kwa kipindi hiki kigumu kwenu, na Mungu akampe kauli thabit marehemu, iina Lilah Wainnailah Rajuun. 30.01.22.

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 3 роки тому +13

    Pepo la mauti Tanzania, Toka kwa Jina la Yesu.Eee mwenyenzi Mungu tusamehe mahali tulipokosea pasipo sisi kujua.turehemu ss ni waja wako.
    Halafu sijawahi kumpenda hii salamu tunayoanzaga nayo..Salamu kwa jamuhuri ya Tanzania!!
    Hatumuweki MUNGU mbele,
    Tusalimiane kwa Jina la mwenyenzi Mungu muumba wa mbingu na nchi,na vyote vilivyomo, tukiwepo sisi wanadamu.

  • @marygeorge6985
    @marygeorge6985 3 роки тому +15

    😭😭😭😭Ee Mungu wangu yalio tabiliwa yanatimia, Mungu tuhulumie

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +5

    Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu Allah awaadhibu wote walio mdhulumu nafsi yake.

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 роки тому +4

    Poleni jamani wafiwa poleni sana .mungu awape subra

  • @makondorshimora5017
    @makondorshimora5017 3 роки тому +4

    Mama Tanzania nchi yangu inatakiwa kukombolewa maana damu inayomwagika juu yake ni najisi kubwa 😭😭😭😭, Mungu tupe nguvu ya kuikomboa ardhi ya nchi hii ili ibaki nzuri na ya kupendeza!!!!

  • @annastevensteven9515
    @annastevensteven9515 3 роки тому +1

    Jaman mbona mawaji yamezidi hif

  • @nuruurubeya2694
    @nuruurubeya2694 3 роки тому +1

    Poleni sana wafiwa mungu awape subra wakati huu wa huzuni

  • @anitamollel8982
    @anitamollel8982 3 роки тому +2

    Du hatari kama maaskari ndiyo wanao shiriki kufanya uhalifu raia tuta ponaje serikali iangalie hili swala kwa Kweli huku chekereni matukio ni mengi sana tunaogapa sana r i.p broo mungu akupunguzie adhabu ya kabri😭😭😭

  • @yusramanganga2381
    @yusramanganga2381 3 роки тому

    Dah kwakweli hii Alli nimbaya sana mungu tunakuomba tusimamie

  • @ashamshika8130
    @ashamshika8130 3 роки тому +9

    Aiise nimejikuta napata hasira kwa haya yanayoendelee

  • @mariambeautysonghuseni9549
    @mariambeautysonghuseni9549 3 роки тому +1

    Mungu wangu jamani kwanini lakini

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому +8

    Maisha yamekuwaje mbona viongozi wapo kimya?

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 3 роки тому

      Acha tu inaumiza na akuna kiongozi anayezungumza .Tunaenda wapi?

  • @mentalawarenesstz8276
    @mentalawarenesstz8276 3 роки тому +6

    Utusamehe Mungu utuhurumie, uwafariji hawa waliopotelsewa na ndugu yao. Urejeshe amani ndani ya mioyo nayo. Natubu Mungu kwq ajili ya taifa langu

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 3 роки тому

    Pole sanaa sana mama

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +6

    Yn ningekuwa raisi, akiamungu ningeweka shelia kwa yeyote atayethubu kutoa huai wa mwenzie kwa kukusudia, Wallah wangenyongwa na kufa vibaya.. My be watu wangekuwa na hofu ya Mungu but why guys hatuna uluma😭😭😭😭😭😭😭😭😭....!!!!!!

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 роки тому

    Tz mauaji yamezidi aisee poleni sana familia

  • @jenimjelwa5717
    @jenimjelwa5717 3 роки тому +6

    Mungu sis wanao tunauwawa kama wanyama tuangalie baba twaja mbele zako

  • @Apasianacharles-x5c
    @Apasianacharles-x5c Місяць тому

    Hakika inaumiza sana mungu tuangalie watoto wako

  • @MrMalisa2011
    @MrMalisa2011 3 роки тому +1

    SUMA JKT kuna shida. Tanzania nzima wanalalamikiwa. NIT ni wao,

  • @Elias-gy8qu
    @Elias-gy8qu 9 місяців тому

    Poleni ndugu zangu mulie mupeteza Kija ppoleni sana ila jkt juma sio wazuri ata kidogo ni waaonefu muno na sio uko kwenu kila mahali walioko juma niwaonefu muno ila nao inafaa wachukuliwe atua kali sana na serikali la sivyo watawaumiza wasamaria wema

  • @christinasiikon4708
    @christinasiikon4708 3 роки тому +2

    Kinachosikitisha Zaidi ni campuni ya kiliflora inamilikiw na wazungu.Suma JKT NI WATANZANIA.kwanoni Suma mnawauwa ndugu zenu? Mwisho wa siku suma mnalipwa tu vijisenti na wazungu kwa Mwenyezi Mungu mtatoa hesabu ya hizo roho za watu mnazodhulumu.

  • @catesamy7593
    @catesamy7593 3 роки тому +3

    Jaman jaman inauma

  • @tatumussa651
    @tatumussa651 3 роки тому

    Poleni sana

  • @salustiashayo3486
    @salustiashayo3486 3 роки тому +1

    Uongozi wa Suma uko wapi

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 3 роки тому +18

    MWAKA HUU WATU WANAKUFA, NDUGU, JAMAA, RAFIKI NA WAPENDWA WETU WENGI WANAUAWA, KAMA HATUNA VIONGOZI WALA WATAWALA

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 3 роки тому

    Duh ee Mungu wangu

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому +8

    Sasa alifuata nn kwa office za watu? Nanyi askari mngempeleka police.Jamani majambazi wa bunduki mbona hampambani nao?mnapambana na hao watoto

  • @philemonmkumbo9695
    @philemonmkumbo9695 3 роки тому +6

    Askari wameua watu wengi mno hakika polise nizaidi ya magaidi na mungu na ss watanzanzania hatutawaacha salama hawa ma mbwa kila uonapo askari ona kama umekutana na simba mia jitetee hawa makumaaa tuu tunawaweza msiogope

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 роки тому +1

      Kabisa yani

    • @danymsengi4958
      @danymsengi4958 3 роки тому

      Wanazngua kisenge yan huku mbagala zakhem wiki iliyopita waliuwa jamaa wa mtaani kabsa

    • @danymsengi4958
      @danymsengi4958 3 роки тому

      Mwisho wasiku RAIA watachoka tutaanza kuwapiga mawe

    • @aminaomaryaliy3226
      @aminaomaryaliy3226 2 роки тому

      Mkiwa tayari mnipitie kama mwanamke uchungu naujua nimeumia sana Sina Imani naaskar yeyoteyule

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 3 роки тому +1

    Suma Vijana wabaya sana na wengi wao wanadhulma wanadhulumu watu kwa fojari mbalimbali mungu ni mwema watalipwa kwa yale wanayofanya hapa hapa duniani

  • @marygorethlaswai6787
    @marygorethlaswai6787 3 роки тому

    Umeona kila Siku mauaji mauaji mauaji

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 3 роки тому

    Asanteni Sana 😭😭

  • @victorialawrence7489
    @victorialawrence7489 3 роки тому +1

    Mauaji yamezidi sana jamani

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 роки тому +2

    Askari wavuta bangi Sana cku hizi
    Yaan baada ya kulinda wananchi wanauawa kama kuku.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Jamani wameua kwanini wameua ameiba nini hayo maua ndiyo uuwe mtu maua na roho ya mtu kipi cha maana hivi kwanini askari wanaua sana

  • @bamsnames149
    @bamsnames149 3 роки тому +1

    DAAAAA HIII HARI IMESHAKUWA NGUMU SANAAAAA🤔

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 роки тому

    Mungu tsaidie jmn duh!!!! Mama Samia ckia kilio chawatu mahaskar wamezidi ktumia nguvu jmn 😭😭😭😭😭

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +1

    Subhannallah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому +1

    innalilah wainailehm rajiun

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 3 роки тому +2

    Huyo baba kanitia uchungu jamni😭😭😭😭😭😭

  • @omarkhamis7368
    @omarkhamis7368 3 роки тому +2

    Dawayao nikuvamia nao wakauliwa tu haya matukio ya askari kuuwa watu ktk nchii yameka endelevu sasa dawayao nawaonikuuliwa tu kammbua naiwe mmbuai tu

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 3 роки тому +2

    Mungu atunusulu tunaelekea kubaya mno

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 3 роки тому +3

    Jmn jmn jmn jmn 😭 tunaenda wapiiiii kwani

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 3 роки тому

    Kwa hiyo sasa hv imekuwa tanzania ya vilio kila kona. Maana kila kukicha ni misiba inayotokana na mauaji.

  • @erastosanga3918
    @erastosanga3918 3 роки тому

    Poleni sana jamani 🙏🙏🙏

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 3 роки тому +4

    Ila ninyi wauwaji ninyi mngejua jinsi mnavyozichosha familia za watu mnavyofanya familia kuishi maisha magumu jamani poleni sana familia

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 роки тому +5

    HIVI NIULIZE TU KWANINI HUWA MNAHOJI WAFIWA WENYE UCHUNGU MPAKA WANASHINDWA KUONGEA😔😔

    • @josephurupia4653
      @josephurupia4653 3 роки тому +1

      Kwani wasinge wahoji ungekuja hapa ku comment

  • @finakimario7414
    @finakimario7414 3 роки тому +3

    Kazi ipo! Askari na raia

  • @veronicasulle1849
    @veronicasulle1849 3 роки тому +1

    Eee Mungu tusaidie na utusamehe matukio yamekuwa ni mengi mnoo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Jamani Tanzania mbona mauaji yamezidi kiasi hiki kuna pepo gani hili Tanzania

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 3 роки тому +1

    Mauaji mauaji mbona yanaongezeka ?

  • @aggylukumai4458
    @aggylukumai4458 7 місяців тому

    Maaskari wageuka wauwaji.

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 3 роки тому +1

    iGP Sirooooo KAAMBIWA NA mama Niniii

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому +1

    Aisee nchi hii ma askari wamekua sio wa kuaminika yani wanaweza kukuua na kesi hakuna

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 3 роки тому +1

    Hizo siasa wanataka vita ahooo mungu baliki Tanzania yetu 😭😭😭😭

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 3 роки тому

    Matendo yamauaji kinyama yanayoendelea kila uchao kote nchini ni matokeo ya uongozi mbovu wa vyombo vyetu vya usalama.
    Tumechoka na mauaji haya ya kinyama yasiyokoma, viongozi wa juu wawajibishwe ili kupisha wengine wenye uwezo kuongoza vyombo hivi vya usalama.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому +1

    RIP poleni sana wafiwa

  • @tatutza6465
    @tatutza6465 3 роки тому +4

    Polisi wanamaliza kaka zetu

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 3 роки тому +1

    Uyo mzee 2amesema ajui alafu anasema wizi ameitwa kwenda kuiba usiku.sasa amuoni kama Kuna kitu hapo.vijana vijana tamaa inatuponza sana.

  • @s0phialwassa574
    @s0phialwassa574 3 роки тому +1

    Mungu tusaidie hatuna pa kukimbilia ila ni kwako tu

  • @godfreymbuya2659
    @godfreymbuya2659 3 роки тому +3

    Bila katiba mpya tutalia sana,

    • @angelageofrey9756
      @angelageofrey9756 3 роки тому +1

      Tatizo Tanzania sheria hazifuatwi hakuna haki jamani kunatisha

  • @CalmWhiteNoise5
    @CalmWhiteNoise5 3 роки тому +2

    Rest in peace ✌️

  • @mohamedaden5881
    @mohamedaden5881 3 роки тому

    Sijui tucoment Nini tumechoka

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 роки тому +1

    Poleni sana Jamani rest in peace brother 🙌

  • @stefanomasolwa8979
    @stefanomasolwa8979 3 роки тому +1

    Jameni Maskari wakutulinda sisi tena njo inakuwa viikwazo kwa sisi RAIA KW3LI INATIYA UCHUNGU MWEINGI

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt 3 роки тому

    Mwaka umeanza kwa mauwaji jamani mama ana uchungu wa mwana aujuwaye mzazi😭😭😭😭

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 3 роки тому

    Walimbishia hamza na wakasema alikua gaidi , , sasa hiki nini ? Mungu anafichua mliokua mnayaficha miaka mingi, askari wanaua raia wengi saana

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 роки тому

    Kijana bado mdogo jamani inahaja gani yakuongozwa na serkali kama serkali ndio viongozi wa mauwaji

  • @fatumamgaya1213
    @fatumamgaya1213 3 роки тому

    Eeeh mungu wangu cjui tunapoelekea n wapi jamani

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 9 місяців тому

    Hii arusha nisawana ŵatusi nawaĥutu ķila uchaômaûwaĵo

  • @bellahamissi8799
    @bellahamissi8799 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @thomasnyarusanda2608
    @thomasnyarusanda2608 3 роки тому +2

    Kwa matukio haya jamani Tanzania tunaelekea wapi!

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 роки тому

    Askari daah

  • @fatmashaban3657
    @fatmashaban3657 3 роки тому

    Hiv kwani mkiwa maaskari ndo muuwe watu hovyo?

  • @joleal7941
    @joleal7941 3 роки тому

    Eee mungu wangu😭😭😭

  • @swaumadamu1163
    @swaumadamu1163 3 роки тому +1

    Inalilah waina ilah rajiun

  • @khalfanibobewe4278
    @khalfanibobewe4278 3 роки тому +1

    Angekuepo rais kauzu upumbavu wa hiv usingekuepo

  • @albertlukoo7386
    @albertlukoo7386 3 роки тому

    Duuuuuuuuuu!!!!! Mungu turehemu

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 11 місяців тому

    Kwani huko Arusha kuna matatizo gani?

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому

    Jaman hebu sasa tukae tulie na Mungu watu wanatekwa, wanachinjwa ,wanachomwa visu wanabakwa ,wanajinyonga,mara moto, mara mafuriko sijaskia serekali ikitoa tamko lolote sasa watu wanajichukulia maamuzi tu😭😭😭😭

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 роки тому

      Rais Mama Samia upo?! Ww si ndio Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi hii? Vyombo vya ulinzi na usalama, services za upelelezi na ujasusi sizipo chini yako ? Mbona hauchukui hatua yoyote? Wananchi tumkimbilie nani mwingine ? 😭😭😭

  • @charlesmpemba9387
    @charlesmpemba9387 3 роки тому +1

    Hawa Askari wameingiwa na pepo gani jamani.wawe wanawanyonga ili wajifunzee

  • @sadalamustafa3848
    @sadalamustafa3848 3 роки тому

    Watanzani tunahitaji mabadoliko jeshi letu ni la uuwaji chadema tukisema tunaonekana wabaya lakini Hali ni mbaya Sana police badala ya kulinda watu wanauwa watu

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 3 роки тому +1

    Kila siku lazima mtu auwawe sijui tatizo nn

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 3 роки тому +1

    R..i.p Richard!

  • @hallin9561
    @hallin9561 3 роки тому +1

    Askari police wamekuwa majambaz, wauaji, wdhurumu haki, wapiga dili. Ni hasira kwasabab ya mishahara yenu midogo au pepo tu

  • @daudilfrans996
    @daudilfrans996 3 роки тому +2

    Kwa Sasa vyombo vya habari vipo huru

    • @faiditv5535
      @faiditv5535 3 роки тому +2

      Ndio kitupekee nnacho mpendea mama huyu ktk uongozi wake

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому

    He kumekucha bado eh

  • @mohammedalishamis9405
    @mohammedalishamis9405 3 роки тому +1

    Inna Lilah wainna ilah rajiuun
    Poleni sana wafiwa kwa msiba mzito Mola awape subra kipindi hiki cha msiba

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 3 роки тому

    Lipizeni kisasi ,lemaasai msikae kizembe kamateni hao suma piga Hadi uwa

  • @angeluslijuja3408
    @angeluslijuja3408 3 роки тому

    MAMA SAMIA RAIS WANGU HAYA YANAYO ENDELEA TZ SIO MAZULI YATALETA MACHAFUKO WATU NI HATARI

  • @samiasaid3036
    @samiasaid3036 3 роки тому

    Rip magufuli💔

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 3 роки тому

    Oooooh!Condolences kwa watanzania wote

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 3 роки тому

    Narudia lipeni kisas ikibidi hata chomeni moto hao

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 11 місяців тому

    Innalillahi wainnalillah rajiun

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭jamani

  • @nusaibahassan5842
    @nusaibahassan5842 3 роки тому +1

    Inna lilahy Wainna ilahy rajioun 😭😭