Kijiweni kwa Dereva Bodaboda aliyeuawa "Binti alikuwa anakuja na aliyemuua DUKANI....."

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @hoseamagawa9088
    @hoseamagawa9088 2 роки тому +4

    Aise kwa kwel Dominic namfaham tulsoma wote shule moja s/msing dodoma makulu alkuwa kanitangulia madarasa mawil na kwa tetes ninazo zpata muhusika nae nampata vzur tulsoma nae darasa moja na tulhtim nae mwaka mmoja mungu awapunguzie azabu ya kabur r.i.p Dominic au jongo

  • @chingawadunia3621
    @chingawadunia3621 Рік тому +1

    Kaka umetuacha na huzui leo hii juma umetuacha tena kaka ulikuwa unalia kwaajili ya dominick leo ni wew kweli duniani tunapita mungu ailaze Mahali pema peponi aminaa imeniumiza sana kifo chako kama ya domick kwli kizr hakidumu dah

  • @seyfullahonlinetv
    @seyfullahonlinetv Рік тому +1

    Dooh!! ndugu yetu anae hojiwa nae amefariki Leo kwa Ajali Dodoma makulu 21/02/2023

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 2 роки тому +5

    Kwa kweli hili ni janga la Kitaifa. Mauaji kila kona! Tujitafakari kama Taifa, kwa nini Shetani katushika pabaya hivi?

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 роки тому +7

    Muuaji inaonyexha alikuwa na mwenyeji humo ndani km hakuwa na mwenyeji humo ndani aliingiaje ndani alimfungulia nani mlango

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 2 роки тому +1

      Nyumba za uswahili huwa hazifungwi milango mkubwa. Maana kila mtu anaingia kwa muda wake. Ndani kuna vyumba sita na kila kimoja ni familia tofauti tofauti.

    • @zainabubalama8869
      @zainabubalama8869 2 роки тому +2

      @@Hamy1109 huo mtihani Sasa mm Huwa nafunga Hadi nasogeza viti mtu akigonga km hataji jina sifungui

    • @aminaally8475
      @aminaally8475 2 роки тому

      @@Hamy1109 sawa mlango wa chumbni aliingiaj bila wao kuckia

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 роки тому +5

    Inaonyesha umo ndani Kuna mtu alikuwa anawasiliana na muuaji.inamaana alipita wapi kuingia ndani walikuwa awakufunga mlango wa nje??

  • @mwanahamisbwanga1184
    @mwanahamisbwanga1184 2 роки тому +5

    Mnyamwez wetuuu jaman bad mdg wamekuua😭😭😭😭😭

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 роки тому +1

    Kuna umuhimu mkubwa kwa wanaohusika na ustawi wa jamii waanze kufundisha uadilifu na uaminifu zaidi ktk jamii kuliko kusubiri changamoto zitokee ndipo wazitatue.Enyi vijana acheni kuwa na moyo wa jeuri,mtafuteni na kuishi na Mungu daima atawapa mengi ya hekima na usahihi.

  • @zuhuramhando3600
    @zuhuramhando3600 2 роки тому +2

    Jamani hao wwpangaji wenzie vipi walishundwa hata kupiga cm kwa ofisi za serikali jamani nyumba kubwa kama hiyo au walimwagiwa dawa za usingizi

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 роки тому

    Duuu hatali sana m/mungu zilaze roho zamarehem mahali pema peponi pola kwa familiya

  • @jacklinejerr2447
    @jacklinejerr2447 2 роки тому

    masikitiko sana shetan anajiinua kwapamoja tumshinde shetan

  • @hoseamagawa9088
    @hoseamagawa9088 2 роки тому +2

    Ila wanawake! Unajua kabsa unamahusiano na mtu wako Tena unaanzsha mahusiano na mwngne dawa ya Moto mi Moto

    • @neemaruhembe6360
      @neemaruhembe6360 2 роки тому +2

      Wadada au tubadirike wanawake na ukimuacha mtu usimdhalau yule mwingne wanawake wanazingua japo na mimi mwanamke aisee

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 роки тому +1

    Mungu tusaidie 😭😭mauji yamekuwa mengi sana

  • @chingawadunia3621
    @chingawadunia3621 2 роки тому +1

    Dah poleni sana wanangu wa boda wote nimeumia sana dalal jobu kufanya hyo kitendo hata kama ni demu wake huwez kuwa katili kias hcho

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +3

    Kila siku mauwaji hayeshi wakati hatuna hofu yamungu

  • @ombenilembao7204
    @ombenilembao7204 2 роки тому +1

    Daaah

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 роки тому

    Kuna mafunzo hapa. Wasichana jitambueni

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 2 роки тому +1

    Itakua mwanaume wa huyu bint ndo kaua

  • @teddyhenry2579
    @teddyhenry2579 2 роки тому +2

    Wasichana muache umalaya tu haya ndio madhara yake

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому +1

    Mara nyingi watu wa namna hii ni wavuta bangi na wanywa pombe mtu wa akili ya kawaida sio rahisi kufanya kitendo kama hiko

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 роки тому +1

    R.I.P WOTE

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 2 роки тому +2

    Wanawake mjifunze kupitia hili tukio. Kuna masomo mengi sana hapo.

    • @teddyhenry2579
      @teddyhenry2579 2 роки тому +1

      Yawezekana kuna siri ndani ya pazia kuchukuliana wanawake au waume za watu mwisho wake ndio unakuwa mbaya

    • @raphaelmwamakimbula9642
      @raphaelmwamakimbula9642 2 роки тому

      Kabisa.

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 2 роки тому

    😭😭😭😭🙏🙏

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 роки тому

    😭

  • @ggfffhii4706
    @ggfffhii4706 2 роки тому

    wāgogo wāŋāpęŋdā ķųųā