UNYAMA ULIOPITILIZA: DADA WA KAZI ATOLEWA FIGO NA BOSS WAKE BILA KUJUA, SASA NI MLEMAVU KABISA..
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- UNYAMA ULIOPITILIZA: DADA WA KAZI ATOLEWA FIGO NA BOSS WAKE BILA KUJUA, SASA NI MLEMAVU KABISA..
Dunia si sehemu salama tena ya kuishi! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia mkasa wa kusikitisha wa mwanadada Judith Nakintu wa nchini Uganda, ambaye aliajiriwa kwenda kufanya kazi za ndani Saudi Arabia, Uarabuni, lakini mwisho akajikuta akitolewa figo yake bila ridhaa na mwisho akapooza na kurudishwa nyumbani kwao akiwa ni mtu mwingine tofauti kabisa!
Mbali na kutolewa figo, kingine kinachosikitisha ni kwamba Judith amerejeshwa kutoka Uarabuni akiwa amepooza upande mmoja, hawezi tena kutembea vizuri kama ilivyokuwa mwanzo, hawezi kuzungumza vizuri kama ilivyokuwa mwanzo na hata uwezo wake wa kuwatambua watu, umepungua tofauti na mwanzo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Allah yuko nayeye ndie Mkubwa atalipa In Sha Allah 😭😭😭😭🤲
Nachukia sana kitu kinaitwa umaskini daah😭😭😭😭😭😭 pole sana dada Mungu atakulipia
Jamani kapata ukilema wa maisha pole Sana da Judith na pia poleni sana Wana family
Mungu awasimamie mama zetu wanaohangaika kwaajili yetu
AMIIN
Amina daah 😭😭
Amina
Allah atawahukum hapa duniani nakesho akhera wote walochangia uyo ukatili😭😭😭😭😭😭😭
Kweli kabisa. Mungu yupo halali atawahukumu
Allahumma Ameen
Hawa watu wabaya warabu walaniwe wala mungu atamlipia 🙏
Si Kila mwarabu mkorofi km ilivo si Kila mtu mweusi mkorofi hayo waliomfanyia Mungu atamlipia ila takriban ukatili km huu aweza fanya mwarabu mswahili na tunaona ktk jamiil zetu mna ukatili mkubwa waarabu hufanya ukatili pia waswahili au watu weusi pia hufanya km nikuapiza tuwaapize waliohusika na tendo hili usijumuishe watu wote
subhanallah subhanallah
@@zahorsuleyman3429 Asilimia nikwamba Mwarabu Na weusi ndivyo ilivyo Roho zao nitofautu Utachekewa Tuu Machoni Ila Mioyo Yao tofautii Sisi weusi Sawa Unyama Pia Upoo but Ukoo hiyo ndio Uwarisia Waoooo Best Nikuwa Mkini Nao Tuu tunapo enda Tafuta Risk
@@gloryidelya9899 Naona bado zigo la lawama walishusha upande mmoja haya mambo yapo mote ktk waarabu na waswahili kitu muhim tusitukane watu kw ujumla wao Kila mtu ana mapungufu yake
@@zahorsuleyman3429 haya majitu ni mashenzi tu hayana maana
Pole sana Judy,,,, nimeumia sana
Mungu aliwashusha mitume ktk inch za kiarabu kwasababu aliwaona wakorofi roho mbaya yan kila sifa wanazo
Washenzy saana laanatullah
Mtume yupi Alie toka waarabun mwenye roho nzur wote malatili
😂😂
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mimi siongei k2 jmn, Mn bd nipo kwenye lmaya yao eheeeee Mola wngu tujalie sote tuliokuwa nchi za kiarabu, maskini judithi😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Amiina rabi
Amiin
Ndio mrudi makwenu mnaishi nawatu makatili Kias icho msha wajua bado manasuburi mpaka mfanyiwe unyama ndio muangalie njia ya nyumban
@@sikujuasikujua9036 ukatili ni wamtu binafsi na sio kabila mbona huko kwetu kila siku watu wanachinjana watoto wanaua wazazi wapenzi wanauana kwani ni waarabu? Ni kuomba Mungu tu.
@@batulimabewa6953 hayo ya ukukwetu nivisa kulipizana visasi mapenzi naugumu wamaisha ndiomaana mauaji yanazd lakini uko uarabuni mtu mweus wanakuona kama mdudu ambaye hanathamani kwabinaadam wakaona waondio wanaofaakuishi kwa uzima nakumtoa mwenzao Figo onaanavyoteseka mpaka tumbolimekata Allah amlinde Judith
Duuuuh inauma Sanaaa 😭 Dunia cyo mbaya ila binadamu ndyo wabaya Sanaaa 😭
Jamani sio wote mi nipo oman miaka 9 sasa naishi vizuri sana na kila baada ya miaka 2 nakuja home tz likizo wamenijengea na nyumba tz ambayo wanaishi watoto wangu na wazazi wangu pia kutokana na kazi hii nasomesha wanangu mmoja yupo chuo udom na mwengine form 5. Ukatili upo kote sikatai warabu makatili wapo na wazuri pia wapo hali kadhalika kwa mataifa mengine ni hivohivo
Kweli
Unajua kl kabila kuna watu wema na waovu. Ndio mana ALLAH aliumba pepo na moto. Aliwajua waja wake wengine sio wema.
Ni kweli ndugu yng. Umeongea point. Kl sehemu wapo wema na wabaya. Namuomba ALLAH ampe uzima na afya huyu mdada. 😭😭
Nitafutie namm bs ila niangalizie seem nzuri ambapo awatesi
Me ndomaan napnd Oman
Jamanii nimeumiaa adinimelia nilitaka kwenda mungu alininusurishaa
Saudi 🇸🇦hakufai ukitaka kwenda nenda nchi nyingine
Pole ulipambana kwa ajili ya wanao mungu akupe nguvu na jua tumeacha watoto wetu si kama tunapenda ila nyakati tunazopita ee mungu tusaidiee
😭😭😭😭I can't stop my tears knowing that am here in Saudi Arabia...what ahell that we are going through here🙆🙆 Soo many girls are out of there sense's being hidden inside those migration offices.. good job groble tv let's the world know the truth
😭😭😭😭Daa pole my sister mungu atawahukumu kwa dhurma wanazizifanya
Mungu atawalipia InshaAllah 😪
Pole.mdogo wangu, hakimu ni mungu peke yake
Mwenyezi mungu awape azabu kali Dunian na Akhera walio mfikisha katika iyo hali
Hawa watu wabaya wa kiarabu mlaniwe, Allah atawalipa kwa kile mnachokipanda. Dah! inauma sana😭.
Amiiin
Watu wabaya sana japo hawazidiani
Ulaniwe ww kwanza mbwa we sio warabu wote shenzi hapa mara ngapi wanauliwa kutwa visa vya mauwaji n warabu hao uwe n adabu shenzi
@@shekhazahran4608 akili yako ni fupi ndiyo maana unaongea ujinga.nani kakwambia waarabu wote, au huelewi maana ya waarabu ambao ni wabaya??.
@@shekhazahran4608 tena mlaaaniwe mbwa nyinyi..mlaaniwe mlaaniwe...paka weupe wabaridi nyinyi kwahili mlaaniwe tuuu...
Subhannallah, mtihani kwakweli 😭😭😭
May Lord Jesus heal you Amen
Jamani nimelia Mimi hawa watu hivi kesho watajibu nini kwa Mungu
waarabu wanajua wakifa moja kwa moja pepon
So kweli so warabu wote wako hivvyo
Kwan hawa wanowatetea warab ndo mabwana senu au warabu ucheke nao 2 lkn asilimia 💯 wabaya sana
Subhanallha pole sana daaah kuna warabu wengine mashetani allha atakulipia hapa hapa duniani hizo figo azito fanya kazidiwa lnshallha
poleni sana ila inaumiza sana mungu yupo
Pole sana my sister kwel mungu atusaindie jmn😭😭😭😭😭😭
Yaraby mwenyezimngu atuangalie sote tulo nje ya chi ze2 yaraby, kwani hatusafiri kwa raha ni dhiki tu jamn, 😭😭, subhanallah
Hii dunia ina viumbe wana roho mbaya ajabu,YaAllah tusamehe Yarabii! Kuna vitu vinaumiza unaweza hata ukakufuru ila ipo siku. Allah yupo macho
Subhannahllah pole sana mpedwa Allah awaadhibu wote walio kufanyia ukatili huo.
Inauma saana mungu ata kulipia dadaanngu
Nashkur mungu nimerud salama.. Nawaombea wote walioko uarabuni na nje ya uarabunni Allah awalinde mumalize mikataba yenu ilimurudi nyumban.. Allahuma ameen..
Amina🙏shukran
❤🤲🤲🤲🤲
Pole sana dada nimeumia saana
May God grant us🙏🙏
Dah inauma Sana dah mungu simamia hili
😭😭😭 namuomba Allah atulinde na kutusimamia ya'Rabby
Mungu akusaidie nakushauri nenda Kwa Mwamposa nabii TZ kawe upokee uponyaji kiraisi
Mbona watu hawana hutu aki mungu watia nguvu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole sana
Pole sana Judith Allah atakulipia kila kitu
hata huyo waliompa hiyo figo yako atadumu nayo kwa uwezo wa Mungu atakufa tu kwa uwezo wa Allah atateseka mpk kifo
Ni kweli
Kabisaaaa
Kubadili figo sio kuishi milele itafeli tu na kufa
Hoooo i know this hospital king Fahad Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦 Quick recovery my God be with you 🙏🙏
Pole sana dada mungu. Atakulipa kwa ukatili walokufanyia
Allah ndie atakae kuukumia malipo ni apa apa duniani😢😢😢
Subhanaallah 😭😭😭😭bc kutoa hata wafanye taratibu wa kaamua kumtia ulema wa maisha ehee mungu wangu 😭😭😭😭😭
rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
rrrrrr
Mungu atulinde
Pole dadangu mungu akutangulie utapona.
Sala 5 wanaficha mambo yao huku ni shida
Usinasibishe sala 5 na matendo ya mtu my uislam umekamilika ila waislaam hawajakamilika hao ni roho mbaya zao tu na hasad walizonazo
Subhanallah
Mwenyezi mungu akuponye dada 🙏
Ila waaabu mna roho mbaya, Mungu atawaraani, Mungu akuponye Judith
Subhanallah 😭 Mmhu hata nashindwa kucoment
Sio poa noma sana
Kama 😭😭😭😭😭
Pole sana ant m/mungu atakulipa warabu wanaroho mbaya sana kuliko weupe wote wamejifichia kwenye dini
Ee..Mwenyenzi Mungu angalia waja wako😭😭🙏
Amiin mgu atatufanyia wepesi lnshaallah 🙏🏻🙏🏻xana
Mtihani.wallaj
😭😭 Subhana Allah pole sana dada
😢😢😢😢
Banange 😭😭😭😭
this is total painful
Mungu akufanyie wepesi mungu yupo
😭😭😭😭😭pole sana judhith
MH 🤲🤲🙏
Dah 😔😭
Jamani inauma sana
Yani uku ni kuomba mungu tu hawa watu ni wabaya ni mungu tu atusaidiye lakini
Yaani we acha tu Mungu atusaidie
😭😭😭😭😭
Yaani. Ni. Nkweri. Awa. Watu. Wanaswali. Tu. Ndg. Lakni. Wee. Jamani. Wana. Loho
Mbaya. Vbaya. Sana. Machoni
Watu. Moyoni
Mwao. Wana. Looza. Kishetani. Sana. Yaani. Namshukuru. Mungu. Sanasana bado. Kama. Wiki 2 mungu akipenda. Kwenye. Uzima naludi. Tzn nawachukia. Sana ili. Daah kote. Ni ktafta. Maisha Tu. Wao.mbona wanaenda. Kwawenzao. Kfanya. Kazi
😭😭😭 subhallah yarabb.
Pole sana judi mungu atakulipa nawalahani sana walio leta ugojwa huu nanchi zote wanao kubali chanjo kwanini hawakuleta chanjo yakansa au ukimwi kwanza kisha ndo covdi kwaiyo covdi dougojwa unao uwa kuliko magojwa yote hapa ripiani ata chizi kwahaya anajua Kama kuna muchezo duniani wakibiashala bila kuficha ndivyo ilivyo
Jamani umaskini huu
Bora ukatili wa muzungu siyo mwarabu
Jamani Oh. My God guard us here in saudia
Daaaaa so sad,,,
May almighty God heal.
Oman mwaka jana mwezi wakumi na moja mdamda mmoja na yeye ametolewa maiti waripo mpereka hospital ili wafanye uchunzi warikuta warimchomowa roho 😭😭
So much sad 😭
Qr..and Blessings from Germany 🙏😥🤲
Eeeh mungu tunusuru yaarabi
Mungu wangu musaidiye mwezetu
So painful ,nko Saudi Arabia Riyadh mungu atusaidia tu
Mungu halali, atamlipizia tuu. Waarabu ni watu wabaya sana. Hata wakenya wengi wanapoteza maisha Yao siku Hadi siku.
Allah ataleta kher yake inshaallah kher na atamuoneshaa inshaallah huyo boss wake
haswa wakenya wengi hurudi maiti
Wa afrika tuzinduke turidhike na vipato vya nchi zetu.
But sio wote warabu watu wabaya
Nani kasema wewe usionge usilo lijia mbona Sisi tunawo warabu na hakuna kitu kama hicho Acha umbeaa
Mtihani bila pepa
Cjui twende wapi😭😭😭🙆🙆
Warabuu sio watu wanaroho mbaya sana pole dada
Jamani mwee
It's good imefwatiliwa and justice she got....may you be healed sister in jesus's name
God help us
Subuhanallah
Mungu tulinde
It's so sad jmn Mwenyez Mungu na akutunze tyu
Kwanza natoa pole saana kwa huyu dada na wazazi wake. Namuomba ALLAH ampe uzima na afya, ili aweze kulea wtt wake. Na kuhusu waarabu ni wabaya. Sio wote. Kl kabila wapo wabaya na wema. Ndio mana ALLAH alituandalia pepo na moto. Sbb aliwajua viumbe wake. Wapo wema na waovu, na makatili. Mungu awalani kl mwenye ubaya na binadamu mwenziwe. Ukatili na mauwaji upo kl sehemu. Tunamuomba ALLAH atulinde na watu km hawa.
Mungu amu ponye
Very sad
weeeeeh naijua hiyooo
Kuna watu ni wanyama jmn eeh mungu tusimamie 😭😭😭😭🙏
jamani nyie duu!!😢
Mbaya sana jamani
Mungu tenda haki.
Subuhanna llah 😭😭😭
Ooh my God 😭😭
Mtihani mkubwa mungu. Atunusuru ishaalah. Na mtihani huo
Subhanalaa yarrab tunakwenda wapi
Ni mbaya Sana