UNYAMA: MKE APIGWA RISASI NA KUUAWA KINYAMA MBELE YA MUMEWE JIJINI DAR!
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- UNYAMA: MKE APIGWA RISASI NA KUUAWA KINYAMA MBELE YA MUMEWE JIJINI DAR
Tukio la kikatili limetokea katika Mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki, Kinyerezi jijini Dar es Salaam baada ya watu wenye silaha, kumvamia Roby Chacha au maarufu kama Joyce akiwa na mumewe na kumpiga risasi zilizoyakatisha maisha yake, tukio lililotokea Jumanne ya Septemba 14, 2021 majira ya saa moja jioni
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Ukimsikiliza mdogo wa marehemu ndio utaelewa.. Pumzika kwa Amani mama..
Poleni Sana kwa msiba mkubwa sana
Mmmmh inchi inazidi kunajisiwa kwa damu isiyo na hatia ! Mungu turehem
Poleni kwa msiba mungu awape nguvu Familia.jamii na marafiki.inauma sana ila mungu ndio muweza.ewe mungu baba mmumba mbingu na dunia.mfale wa wa famle twakuomba mpokee dadaetu na umuweke kwenye kitabu cha uzima wa milele.mbele yake nyuma yetu.Amin
😭😭😭inaumiza Sana....Mungu tazama Tanzania mauaji n mengi ingillia Kati,polen wafiwa wote polen familia
Imani na utu umeisha, yarrab mwenyeezi mungu tujalie mwisho mwema .
Pole Sana Kaka mungu akulinde na kipindi kigumu hiki
Pole kaka angu huyo huyo aliyejenga ndio mhusika
So sad jmn...Jirani yetu huyu mama, was so cool😭😭😭😭
Kumbe ni jirani, poleni mno
Pole sana kwa hicho kilichotokea, inasitikisha Sana leo hii Tz imekuwa kama bagidadi
Poleni sana nimeumia sana ndungu mwanafuzi mwezangu mungu alaze mahali pema peponi
Ahsante mdogo wa marehemu nimekuelewa vizuri sana
Damu ya Habili haijawahi kumuacha Kaini salama! Upo Mungu uhukumuye kwa haki😭😭😭🙏🙏
Poleni sana familia kwa kumpoteza huyo mama wa muhimu.
Huyo ambaye alikuwa na ugomvi na marehemu kuhususiana na mipaka ya ardhi ashikwe,apewe kibano mpaka ataje ni akina nani waliohusika na unyama huu !
Na mume wa marehemu inabidi asaidie kutoa utambuzi wa hao wauaji,polisi wafanye kazi yao kupata hao wahalifu na parade ya utambuzi ifanyike kwa kumuhusisha huyo mume mtu.
Hii ni challenge nyingine kwa Kamanda wa kanda maalum Dar matukio yanaongozana inabidi aonyeshe umaarufu wake.
Sasa ndio nineelewa ukweli baada ya kaka kuongea cha chini ya kapet.duuuu yani razi kweli anaua duu inauma.
Pole sana kk mwenyezi mungu
Akupe subira kwa kipindi hiking
Ulichonacho kigumu
Pole.sana..kaka.mungu.akupe.nguvu
Jamani dunia.. mali yako mwenyewe watu hata hawajui umehangaika vipi kuipata ulipitia changamoto zipi mpaka kuwa hapo lakini wanachukua uamuzi wa kukudhulumu nafsi... Jamaniii inaumiza sana na inatisha. Eee mungu tusimamie mimi naogopa. Poleni sana wafiwa 🙏🙏
Rais kazi yake kusafir na kuwanadi wasanii waovu, maovu ndo yanalindwa lakn si wananchi wenye imani ,haya mweny nchi anatarajia kwenda zake kwa mashoga USA ,poleni Sana wafiwa hakika Mungu yupo haki itatendeka tu
Sijuhi anaenda kufanya nini kweli yaani
Yuko busy kusafiri
Acha tu yaani
Halafu yupo anasema ifikapo mwaka 2025 eti atakuwa rais tena kwa hali hii aachie kiti tu kwa kweli
Anaenda kufanya nini nje Mama etu
Poleni sana ndugu yangu kwa kumupoteza mke wako.
Pole kwa wanafamilia wote.R.I.p Dada.
Alisema Prof. J, nanukuu "bunduki haiui watu bali watu ndio wanaoua watu" kuna mambo ya kujihoji kwa kina na mapana kabla ya kufanya maamuzi juu ya mambo fulani, moja ya hayo ni suala la kutoa uhai wa mtu. Huyu alikuwa ni Mama ndoto zake kwa mwanawe zimekatishwa. Huyu alikuwa mke ndoto zake na mumewe zimekatishwa. Huyu alikuwa Mwalimu bingwa wa somo la kiingereza, ndoto za wanafunzi wake zimekatishwa. Kwa kweli inaumiza moyo sana hakustahili adhabu ya kifo aliyopitia.
Poleni sana na Mungu awape faraja
poleni sanaa ndugu zetu
❓‼️😭 R.i.p Mungu amlaze mahalo pema. Pole kwa familia na kwa sito tulio guswa na msiba huu.
Kaka wa marehemu nimekuelewa sana .Poleni sana wazazi wa marehemu, mume ,watoto pamoja na ndg na jamaa wote Mungu wa mbinguni aendelee kuwa nanyi ktk kipindi hiki cha majonzi yenu na pia aendelee kuwatia nguvu . Daaa jamani ardhi itakayokuzika ww ndio inasababisha uchukue upanga umuue mwenzio kweli? Hakika wote waliomwaga damu ya Mwl huyu damu hiyo iwalaani ktk maisha yao yote wasipate amani kamwe.Tunaiomba serikali ichukue hatua dhidi ya wahusika wote .
Pole Sana kuondokewa na mke wako ukiwa unashudia
Mungu ampumzishe kwa amani,Poleni wote mlioguswa na huu msiba, tz sasaivi wanatumia siraha vibaya mno kuwaangamiza wanyonge😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu ututetee sisi wanyonge
Ila dawa ya mnyonge ni kunyongwa tu
Poleni sana, wanafamilia na watu wote, naomba tu wajulikane, wakiwa wasiojulikana utakuwa aibu kwa Tanzania
Pole sana ndugu
Kumbe mume hajui chochote, kaka ameeleza vizuri sana.
Poleni sana, wahalifu watapatikana tu kwa sababu mume anawajua kwa sura zao kwa sababu walikaa pamoja na kusikilizana bei ya kuweka makontena.
Hata huyo mume anatakiwa kuchunguzwa pia. Maelezo yake yamejaa mashaka.
Mume amesema hakuwatambua! Nashangaa kivipi wakati walikaa muda kuongea mpaka kufikia muafaka wa kwamba walipane . Ichunguzwe ukweli utajulikana .
Kasema eti umeme ulikua hamna kwake
Huyo amepunziya aghabu ya mungu huko aliko ishaalah kheri itapatikana ishaalah👋👋👋👋👋
Mijitu inakuwa na rho mbaya km shetwani.Mungu atayalaani.Poleni sn.
Poleni sana wafiwa.haki itendeke
Ugomvi wa aridhi ni mbaya sana ,wakamatwe hao waliokuwa na ugomvi nao juu ya hilo eneo ni wao tu waliomtoa uhai ,wanahisi wao wataishi milele
Ni wao sii kingine wauwawe na wao tu
@@susanraphael5894 we acha tu sidhani kama serikali itaangalia hili ,labda tu ndugu wafanye mbadala
Ningelikuwa mm,hapo serikali ikiacha kufatilia nafanya namna yeyote ninayojua ili ni mnyooshe.mambo mengine yanaudhi na kuumiza sana
Hao walioua ndo wale wanaojiita unanijua mm nan ? ndo wale waliokaa nyuma wanaiongoza serikali ya kisenge hii, haya mambo hayakuwepo wakati wa jpm huyu mama anakwama wapi ,?
@@dianaelias517 hakika mimi ni bora nikose haki yangu ya msingi ,kuliko kumpa kura yangu huyu mama
Poleni Mungu awape nguvu.
Something must be done on gavement this tyme around, pole tanzania🇹🇿😢,
Inasikitisha sana poleni sana wafiwa
Mungu ailaze roho ya marehu Amin
Yan toka magufuli aondoke matukio km ya kuuawa kwa kuchinjwa na kupigwa na risasi yamekuwa mengi sana kila kukicha😭😭
Sio kweli
@@hajjiomary2383 kweli ameongea pumba watu wanakufa kitambo tena hicho kipindi cha magufuli snip ilikuwa balaa au ilikuwa hujazaliwa?
@@hajjiomary2383 kweli ameongea pumba watu wanakufa kitambo tena hicho kipindi cha magufuli snip ilikuwa balaa au ilikuwa hujazaliwa?
Nyie ndo mnaongea pumba tu kipindi cha magufuli kulikuwa hakuna vifo kama hivi
@@المهلهلالحراصي pumba anaongea mama ako mzazi aliyekuzaa shoga ww husiye na akili wala kumbukumbu moja zaid ya kuwa na akili moja tu ya kuwaza kufirwa kila muda wako wa kufirwa unapofika
Jamani poleni Sana wafiwa wote hapo ndipo utashangaa huyu jamaa alipata wapi bunduki haya mauaji yameanza kutokea tena kipindi hiki mungu atusaidie
Aisee poleni sana jamani, ila kaka mambo ambayo yapo chini ya police au uchunguzi hutakiwi kuyazungumia, unahatarisha maisha yako binafsi na unaharibu uchunguzi, RIP mwalimu.
Nimemuelewa kaka mtu vizuri. Inasikitisha sana. Binadamu tumekuwa wanyama sana yote ni vitu vya dunia
Poleni sana familia
Ahsante Issa mnaly kwa taarifa
Binaadam ni mtihani Sana unauwa mtu kweri kwa Aldhi na ndiyo utakufa utaacha na ujui lini na saangapi naujui kitakuuwa nini Subuhanallah binaadam WA maajabu Sana wengi rihozao ngumu Allah atuifadhi kwakutenda mema Dunia mapito
Pole sana familia inauma sana
Poleni sana wafiwa Mungu wa mbinguni awapeni subra kipindi hiki kigumu cha majonzi. Hakika mwalimu kafa kishujaa kwa kushinda na kupata haki yake hivyo kamanda mlilo kazi ni yako kuhakikisha wauaji wanapatikana la sivyo hii ni dhima yako kesho mbele za ALLAH. Mungu ampokee mwlm raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Ameen
Nchi imekuwa hatari sana,
Thx 4 da show
Poleni sana wafiwa nyuma ya marehem kuna panzia chanzo kipo tu dah
😭😭😭eeeeh mungu tupiganiee wajaa wako.innallillah wainnallilah rajiun🙏🙏
Pole sana bro !
Poleni sana wafiwa.R.I.P.dada
Poleni Sana
Mungu turehemi
Dahh pole sana
Pole sana wafiwa wote.
Poleni sanaaa 😭😭😭
Duh mungu atusaidie jmn tu mm mpaka naogopa haki mali zako mwenyewe sinaweza kukuuwa jmn ee mungu angalia watoto wako jmn nn hiki tunauwana tu jmn
Inauma sana pumzika kwaamani Joyce
Tupo kwenye msiba mkubwa wa Watanzania, tunamkumbuka JPM . Tour Guide!!! Twende zetu Marekani.
Mimi jana nilisema tangu magu ondoke vifo vimekuwa vingi😭nilitukanwa sana
Mpumbavu ww sasa kipindi magu yupo yule aqwelina hakufariki tena aliuuawa na polisi wake achani ushenzi
Kwani Lissu alipigwa risasi Rais alikua nani vilee
@@fetychina3273 hukutukanwa umejituka nisha
@@abubakarihamissi4178 Kwani huwezi kuongea mpaka utukane ndugu yangu
Poleni sana jamani
Mmmmmm!! Tz imekuwa hovyo sasa hivi wallah tunusuru 😭😭😭😭😭
Duuuh hatari sana..Tz imeharibika.kwa sasa Tutakukumbuka Daima Jpm
Oohh Dunia inatupeleka wapi?
Inauma poleni sana wafiwa
Dunia sio Salama jmn, Km muelewa Msikize vzr Kakake na Marehem utagundua kitu , Pumzika kwa Amani mwalimu na poleni sn kwa wanafamily Ndg, Jamaa &Marafiki
Poleni sana jamani kwa tukio hilo la kinyama malipo ni duniani hukumu mbinguni yeyote aliye usika na kifo cha mama huyu atalipwa hapa hapa duniani ombi langu naomba vombo va sheria vingilie kati na Mungu awangoze wakati wpo kwa uchunguzi
subhanallah Inalillah wainaillah rajiun
Duh 😭😭
Apumzike kwa aman😢🙏
Huyo aliyejenga nyumba kwa Rhobi.... atusaidie 😭😭😭
Poleni
Aisee Pole pole
Poleni familia mungu awatie nguvu
Mama Samia watu wanaisha wewe mama wewe jamani ongea basi😭
Inna lilah wainna ilaih rajiuun
Pia Naliomba Jeshi la Polisi Huyu kijana aliejitambukisha kuwa yeye ni Mumewe Wamchunguze kiundani Zaidi maana Kiundani Mhalifu kwa tukio hili hawezi kutenganisha kifaranga na mama yake. Huwa inatokezea ila lakini Kwa hili Mtu wa kwanza wa kulisaidia Jeshi la Polisi kwa Uchunguzi ni huyo Kijana aliyejitambulisha kuwa Mumewe.
Huyo Kilmario bab.walitaka kumuaa mwenye mali na mwenye maamuzi.
Huyo mwanaume aulizwe kiurefu na kiumakini. Simanishi kausika ila uenda anajambo anaweza likumbuka na akawa shahidi mmoja wapo . Amani imetoweka .😭🤲
Innalilla wainna Illayh rajiunah pole saan wanafamily,, 😭😭usikie kwa jiran tuu dadaangu alipigwa risasi akitoka kazin jmn jmn sitakaa nisahau msiba wa ghafla unauma acheni
Pole, wapi?
Pole kaka
Dah inauma sana jmn
Pole sana
Mbona kwa Magufuli Hawakuwepo Hawa watu
Sio kweli
Ulikuwa Hujazaliwa Inaaonekana.
@@tamimtours6934 alikuwa kwenye bukta ya mzee
Janani Mungu wangu kwa nn binadamu wamekuwa wanyama wabaya E Mungu tusaidie
Kwa mealezo ya huyu baba kuna kitu tu kwanni wasimuue na huyu baba
Inauma kwa kweli
Hata mume wake pia achunguzwe na Vyombo vya Dola. Maana katika hali ya kawaida, sio rahisi wahalifu kubagua mume na mke wake hususani wakiwa wanataka kufanya uhalifu. Angalau hata wangeonyesha jaribio la kumdhuru. Lakini sio kumuacha hivi hivi tu. I smell something fishy!
Ndio ahojiwe tu...!
Hata uyu mke labuda ana ugovi na mfanyi biashara au kuna mwanaume alie mdagaya ajaolewa akaingia Kwa mausiano akapewa mgwaja mrefu WA kuazisha biashara mwanaume alipojua ana mwanaume tena mume wake WA seria akamua kulipiza kisasi kunanmawili mume na mke mwenywe wanajua shida iyo
Nikweri kabisa umenena maana sikuhizi Iman hakuna
@@magynzioka1122 dah inawezekana hicho unachosema dada magy huenda nikweli kwan ata mimi nilihic hicho hicho usemacho ww dah hatari dada
Mmh ila huo mwanaume alikuwa ni mtu wake sio mme wa ndoa jmn
Rest in paradise teacher 😢😢😢
Mmm pole kwa familia maskini Sasa alikataa na shamba naameikosa
Hy maisha bhna daaah
Mmmh! Ni kweli kumwambia mtu avunje mjengo kama huu ambao amehangaika kuujenga inaumiza na inapagawisha, lakini bado adhabu ya kifo haistahili
Magufulieeeeeeeeee baba yetu umetuachia majanga makubwa sana rudi jamani uione tz haipo sawa kabisa
Dah mtihan kila siku mauaji Mungu atalipa apa apa duniani
Huyu Mume Wake Sijui Lakini, Anyway Wacha Polisi Wafanye Kazi Yao
Kweli kabsaa hyu mume ashikiliwe nae
Pumzika kwa amani mwalimu chacha....😭😭😭😭
Hii sitofahamu kwann auliwe mmoja mmoja aachwe waangalie kwa jicho la pili
Urais tunapindua meza
Unafikir Kuna Rais atakae ondoa mambo ya mauaji asee weacha mawazo mgando kbs kisa cha kuuawa ninn we serikali itakuja ikulinde nyumbn
Mpuuzi nini wewe
Mbona nje ya nchi hawauani ovyo na wanamiliki siraha??
Kabisa
@@enterenter1921 akili zako zina akili🤫
Jamniii😭😭😭
Bora angeachukua pesa tu!jamani ugomvi wa aridhi ni mbaya
Huyo ata kama angekuwa jirani naye bado angemzuru tu
@@barakamsungu5260 hapana imagine mtu anahambiwa kuvunja nyumba kama hiyo ingetumika hekima marehemu akachukua mpunga,mim nimedhulumiwa boma langu,,niliamua ninyamaze make niliona dalili za kuhuawa!
Kweli kbsa shoga
Poleni sana ndung zang
Sheria za kitanzania zilivyo za kipumbavu. Utasikia amekamatwa anafanyiwa uchunguzi baada ya hapo anaenda kwenye vigest vya serikali vile vya bure
Kama Kuna jambaz kaua benki kachkua pesa polis walvykj kumkmbza jamaa akawauwa bax baadh ya polis walianz kumfkuzia bax jamaa akakmblia kambi ya jesh bax wale maaskar wakapga cm kuwaomb jesh msaada wakafanikiwa kumkamata ila Cha kushangaza jeshi limempa Kaz na cheo juu ndy uone serikal ya kiboya
Ndomana hamza hakutaka mambo mengi,aliwavugurumishia risasi tu Tanzania ina sheria mbovu sana, Allah atuongoze kwakwel
@@rahimaan6481 Bora polis wakikamata watamfnglia shitaka ila jesh la wananch ukiua wao wanakuchkua wanakupa cheo
@@abdulazizmwipi9295 anaepewa cheo nani sijakuelewa
@@rahimaan6481 Iko hvi rafki ang Kuna jamaa m1 aliingia benki akavamia akabeba pesa akaua raia na walinz was benk Sasa alvytoka polis walkj na defender Sasa yle jambaz aliwaona mapolis mapema akawapga risasi mapolis wakafa kama wa4 na jamaa akaanz kukmbia Sasa kilkj kikos kngne Cha polis kikaanz kumfkuzia yule jambaz Sasa alivyoona anazdiwa akaingia mipakan mwa jeshni akajfcha Sasa na hlo eneo hawaruhusiw watu kupta Sasa askar wakapga simu kuliomba jesh liwasaidie Kuna jambaz kaingia humo kambn kwao bac jesh wakaamua kumtafta ila walivympata na kumkamata badala wamrudsh polis akashtakuwe wakadai watamhukum wao wnyew kumbe mwsho wa cku yle jamaa akapewa cheo jeshni hfi leo kis kuingia benk na kuua watu wasio na hatia na kuwaua polis waliokja kutetea Mali za raia na kuwaua walinz ambao hawana hatia yyte hvi unadhan hlo jesh la wananch linatenda haqi kwel
Mungu mvumilivu sana😭