ITAKULIZA! ALIYEKUWA MFANYAKAZI BENKI APEWA KESI ya KUMBAKA HOUSE GIRL, APOKONYWA MALI ZOTE na MKEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 428

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +7

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @salehrajab8341
    @salehrajab8341 Рік тому +5

    Ifike wakati tuwe tunautambua uwepo wa mungu ktk maishayetu ili tusipate ujasir wakunyanyasa watu jmn hiidunia niajabu sana

  • @marthashenenga9076
    @marthashenenga9076 Рік тому +7

    Mungu akusaidie baba angu uyo mwanamke aliyezaliwa na mwanamke muachie Mungu Sali moabidhi Mungu Kila kitu. Utakuja kumshuhudia na wale mashahidi wa uwongo wote utawashuudia amini ilo. Kwa Mungu haki zote zimeifadhiwa baba.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 9 місяців тому +8

    Mungu atakulipia Dua ya Madhlum hujibiwa kwa haraka lakini kwa haraka urudi kwenye Dini yako kwa imani. Mnafanya mchezo kuoa na kubadilisha Dini. Fanyeni michezo yenu yote msicheze na Dini.

  • @deliriousgentleman7369
    @deliriousgentleman7369 Рік тому +6

    Mshitakie kwa Mwenyezi Mungu. Ataku tetea

  • @zuwaynamussa5629
    @zuwaynamussa5629 9 місяців тому +4

    Sijawah kumuona baba angu sijawah feel ulebupondo wa baba ila hii stor ya huyu mzee imeniliza sana wallah

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 8 місяців тому +3

    Ila mapenz yakiisha jmniiiiiiiiii 💔😢😢
    Pole sana Mzee ukwel wako anaujua Mwenye enz Mungu ila tu nikwambie dunian kupata haki ni ngumu mtegemee Mungu tu mali ni kitu cha kupita tu Bora uhai wako

  • @OnesmoDenis
    @OnesmoDenis 9 місяців тому +4

    Kumbuken dunia tunapita tu namali siyo zetu vyote ni maua ya mwenyezi mungu nass anatutumia tu kuvitafuta na kupendezesha dunia yake pea anaweza kuvichukua akiamua hivyo we mama uszan utajir unaolilia niwa muhimu kuliko ubinadam

  • @sammasadika9598
    @sammasadika9598 Місяць тому

    Wallahi pole sana baba yani hukiona mwana mume yuwalia juwa ameumia sana rudi kwa mola wako kilio chako milie Allah atakujibu in shallah

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 22 дні тому

    Pole xn Bab yangu aisee mungu atakulipia ... Inaumiza xnaaaa pole daah

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 15 днів тому

    pole sana baba yangu ningekua nauwezo ningekuchukua maana mi sina baba

  • @Moshiarusha360
    @Moshiarusha360 9 місяців тому +3

    Wapo wanawake wengi wananyanyasa wanaume ,wanaume wamedhuliwa wamenyangajywa watoto na hawana pakukimbilia

  • @sawackoswald9322
    @sawackoswald9322 Рік тому +3

    Hata juzi mwezi huu April tarehe 27 kunajamaa amefanyiwa ivi ivi na mwanamke Polisi wa pale Songea mjini nanipolisi pia sijui hizi Mali za hii Dunia zitawapeleka wapi Hawa watu WP wajitafakari sana Jamani jamani Mungu wa Mbinguni anawaona tafuteni ya Mungu hii dunia mtaaviacha vyote chini ya ulimwengu

  • @mngwalijuma597
    @mngwalijuma597 9 місяців тому +5

    Rudi kwa mungu wako uliyoyafanya ndio.mungu anakulipa umeacha dini yko ya haki umesaliti kwa ajili ya mapenzi kwa tubu kws mungu wako akusamehe yote yatakua sw kwa uwezo wa allaah hukuwa na imani ya dini yako ya Uislam
    Pole san kakasngu

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 9 місяців тому +2

    😢 Subhana Allah pole sana baba Allah atakulipia kwa hili dhulma alokufanyia huyo mwanamke mpumbavu sana

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 9 місяців тому +2

    😭😭😭 Subhana Allah baba umeniliza sana mali ulochuma wewe leo zinakutesa pole sana kwa dhati ya moyo

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +13

    Pole sana babangu,,mwenyezi mungu anajibu kwa wakati na malipo yake ni hapa hapa dunianj,,mungu atakusaidia ,,utapata haki yako,,dahh so sad kwa kweli

    • @jumanesaidi7635
      @jumanesaidi7635 9 місяців тому +1

      Masikini mama Tz, nimeumia sana.
      Wanao tumeshafika hapo! Ziko wapi zile sifa zako za amani na utulivu, ambavyo ni asili, na jadi yako? Uko wapi moyo unaweza kuvumilia dhuluma, na ukatili kama huu, na bado tukabaki ndugu, kama ulivyotulea?

  • @eastafricaqualitychickenfa9916

    Mungu atalipa chozi la Mnyonge halipotei bure Ila mzee kosa kumkabizi mali Asimamie mwanamke

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому +7

    😢😢😢malipo duniani atalipwa tu uyo mwanamke kwa njia yoyote

  • @GerladSimon-me3sc
    @GerladSimon-me3sc 9 місяців тому +1

    Duuuuuh kunabaadhi yawatu nikatili sana. Mshukuru mungu uko hai kaambali nahuyo mwanamke

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Рік тому

    Subhana ALLAH, Pole Sana kakangu ALLAH atakulipia, ila mwanamke mwenzangu ubabe hauna nafasi katika hii dunia yataja kukutokea puan hayo

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 9 місяців тому

    Duh mateso Pole sana kaka Hongera kwa ustamhimirivu MashaAllah.

  • @MwalukoMakomelo
    @MwalukoMakomelo 5 місяців тому

    Pole Sana mzee mungu atakulipa uskate tamaa haki yako ipo itachelewa lakin utspata

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Рік тому +5

    Mungu atamlipa hapa duniani

  • @martinlema4192
    @martinlema4192 8 місяців тому

    Pole sana! Nguvu za giza zipo, pole sana. Jitahidi ufanye maombi!

  • @evalineemmanuel8178
    @evalineemmanuel8178 9 місяців тому

    pole sana baba Mungu atamuhukumu hapa hapa duniani namachozi yako hayatapotea

  • @sein.208
    @sein.208 Рік тому +2

    Subhana Allah
    Astaghafirullah
    Pole sana baba
    Allah ni mjuzi zaidi haki yako haitapotea

  • @faizaboubacar5064
    @faizaboubacar5064 Рік тому +1

    Pole sana babu angu

  • @bahatijanvier6357
    @bahatijanvier6357 Рік тому

    Pole sana mzee, ukikosea kuoa ndio hivo
    Wanaume tujifunze.....

  • @bupemwakihaba-lj2fb
    @bupemwakihaba-lj2fb 9 місяців тому

    Pole baba mungu yupo hivyo ni vitu vya duniani vyote tutaviacha,,mungu wako yupo

  • @tausishabani263
    @tausishabani263 Рік тому

    Pole baba malipo Ni hapa hapa duniani kwa mungu Ni hesabu tu muombe mungu na umlilie atamlipa

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Рік тому

    Pole sana ulikosea kuoa mke mwenye tamaa mbaya sheria ifate aki

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 15 днів тому

    pole sana baba jamani kunawanawake wanaroho mbaya sana Malipo nihapahapa duniani usjali ubaya unamwisho wake

  • @bashirbaruan3969
    @bashirbaruan3969 Рік тому

    Huyu mwanamke ni zaidi ya ibilisi aise, Hana utu wala khofu ya mungu hata kidogo mungu amlipe anachostahili hapa hapa Dunia kwanza

  • @maryikambo6155
    @maryikambo6155 Рік тому +1

    Pole kaka Mungu si kiziwi na wala hana upendeleo na haonei mtu. Ila anatwambia adui yako mwombee, maana kwa kufanya hivyo unampalia makaa ya moto kichwani.

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 9 місяців тому

    Hatari sana, Kumbe ni kweli watu husema, raia wa kawaida usioe polisi, utajuta. Baba ukiweza hama usiishi nae jirani anajambo huyo. Mungu awe nawe.Glory be to God.

  • @saidakiwale9227
    @saidakiwale9227 8 місяців тому +1

    Jamani Roho inauma sana

  • @suleabdullah2247
    @suleabdullah2247 Рік тому +3

    Kama hawajafa wote hao dhulmati watalipwa mmoja baada ya mmoja.Hizi ndizo mahakama zetu na watoa haki wanaotegemewa,pepo ya Mungu nahisi haitakua na hawa watu wanaoitwa watoa haki.
    Vuta subra Mzee Mungu halali utauona mwisho wewe amka kila usiku wa manane kilio hicho kibadilishe kuwa ibada mlilie Mungu atakujibu kwa namna bora

  • @fikirinimahamudu6488
    @fikirinimahamudu6488 Рік тому +1

    Sheria Iko wap inakanyagwakanyagwa tu tutaishi wapi ss kama mahaka hazitoi haki?? Pole Sana Mzee wangu mm ushauri wangu kashtaki msikitini kwaidadi ya misikiti utayojaghaaliwa kutoa taarifa ifanyike Dua ya wengi hakika mwenyezi mungu ndie mjuzi 😢😢 naamini lolote laweza kutokea jema kwako wabillah twaufiq

  • @verryinyas5065
    @verryinyas5065 Рік тому +2

    Mungu n mwaminifu pole sana baba Mungu yupo amesikia kilio chako serikal itakusaidia pia huku tulioguswa tunakuombea kila kitu kutakuwa Sawa Mungu n mwaminifu na Ndio maaan kila kesi hakupati anavyotaka yeye uwee dah uyo mama atapata alichokivuna Mungu yupo haki ya Mungu naapa utapata haki yako 🤲🙏

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis8298 Рік тому +2

    nakupongeza sana mwandishi kwa utulivu na umahiri mkubwa wa interviw hii

  • @aliferuzi1537
    @aliferuzi1537 9 місяців тому

    Pole Sana bro ndio maisha ila muombe mungu Nina hakika hski HAIPOTEI RUDI ktk Imani ya dini ULIOKUWA MWANZO nnina hakika kazi itakua ngumu kwake

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 Рік тому +1

    Uwiiii leo umenifundisha kitu kumbe kuoa hao watu ni hatari.😢😢😢😢eeeeh jamani yaani MUNGU ASIMAME MWANADAMU ASIPATE NGUVU.

  • @azizacherepa3979
    @azizacherepa3979 Рік тому +3

    Imeniuzunisha sana jamani pole sana baba yangu Mungu akutie nguvu ww mama kua na huruma vitu vya kupita hivyo

  • @kassimally-zu3dz
    @kassimally-zu3dz Рік тому

    Mungu atalimpa mzee wangu kua na aman pole sana

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 Рік тому

    Pole.sana.kaka

  • @mchelekwanza
    @mchelekwanza Рік тому +3

    Pole sana baba

  • @sizalyimo8468
    @sizalyimo8468 9 місяців тому

    Duu Pole sana kaka kipa nimefanya kazi na wewe delina na kiasi mapito yako nayafamu Pole kaka yangu nimelia sana

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 Рік тому +4

    Kaka hakiyako iko tu haitapotea mungu atasimama nawewe daima dhulma haidumu itamtesa tu

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 9 місяців тому

    Polee
    Sanaaa kaka mpakachozi limenitoka naomba serekali kuu imsaidiee huyu baba

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 Рік тому

    Mungu ataingilia kati haki itapatikana inshallah

  • @djumakonki1964
    @djumakonki1964 9 місяців тому +3

    Mzee ulikosea kosa kubwa sana la kubadilisha dini !
    Hayo yote yanayo kukuta ni kwa sababu ya kubadili DINI.
    Fanya shime kurudi kwenye dini yako.
    Koran haikucha kitu kwa hao manaswara.
    Umeyataka mwenyewe kwa hiyo basi usimuombe msaada Raisi wala mtu yeyote.
    Muombe sana MwenyeziMungu peke yake .
    MwenyeziMungu akunusuru inshaallah.

    • @alfoncejohn2104
      @alfoncejohn2104 9 місяців тому

      Mawazo yako tu

    • @evelynlehnard3928
      @evelynlehnard3928 9 місяців тому +1

      Dini hizi mbili ni utumwa wa akili..ni wengi wamepitia mambo mazito zaidi na hakuwa wamehusika na dini yeyote..wengini wako kwa dini zao wamefata kikamilifu na bado wamekuwa au wako kwenye mapito mazito sana. Hebu waafrika tujinasue kutoka kwa utumwa. Utumwa ulianza na waarabu halafu wakafata wazungu na moaka leo hatujiulizi kwanini sisi tunafata dini za watu ambao walikuja watukuta kwetu tukiwa tunamjua Mungu. Pili hakuna bara lingine duniani ambayo inaafata dini ya kuletewa. TULILOGWA NA NANI SISI ??

    • @FlorenceMlemi
      @FlorenceMlemi 9 місяців тому

      We kama huna unalo liwaza nibora upite tuu

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 4 місяці тому

      Hauna akili
      Mtumwa wa tamaduni za waarabu
      Wanawaoneni watumwa manyani weusi mnawashangilia
      Ovyo

  • @ramadhanideu6444
    @ramadhanideu6444 Рік тому

    Hasbiyallahu waneemal wakeeel

  • @jobmaclean5382
    @jobmaclean5382 Рік тому

    Pole sana

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 Рік тому +2

    Na Sheria zetu TZ kwa upande wanaume huwa wanaonewaa jamani, tumwogope mungu

    • @isamony58
      @isamony58 Рік тому

      kinawanawake wanarohooo mbaya sana kama wachawii tu

  • @RukiaSalum-n4m
    @RukiaSalum-n4m 9 місяців тому +1

    Hatusikii sauti iko juu sana ya mziki

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 Рік тому +2

    Pole mzee mwenzetu, ulikuwa unaishi na jini mtu

    • @HellenKerubo-mo9vh
      @HellenKerubo-mo9vh Рік тому

      Hoo I'm so so sorry but it seems that the man is old than the wife , but mey God be with you

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому

    Pole bb hilo chixi unalolitoa mungu atakulipia

  • @makambamohamed3632
    @makambamohamed3632 Рік тому

    Pole brother hawa askari depo huwa wanaenda kufundishwa manyanyaso Kwa raia

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 9 місяців тому

    Bro polesana

  • @namumlaki9838
    @namumlaki9838 Рік тому

    Mwenyezi atakufanyia wepesi uyo mama akae akijua Dunia hii tunapita atapigwa na mungu mwenyewe siku isiyokuwa na jina

  • @yasintajohn1189
    @yasintajohn1189 Рік тому +2

    Jaman Sisi wanawake tufike Mahal tubadilike jaman sad kwakwel .... huko uliko Mungu ana kuona

  • @bokaiddi2961
    @bokaiddi2961 Рік тому +3

    Pole sana mze wangu changamoto za wanawake zimekuwa nyingi sana ila inauma sana da😭😭

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Рік тому +1

    Jamani inauma pole sana kaka

  • @alexnyigo8864
    @alexnyigo8864 Рік тому

    Pole mzeewangu mwaminimungu

  • @mwanaidimwinyi844
    @mwanaidimwinyi844 Рік тому +1

    Dah Mungu wa mbinguni akupe nguvu baba huyo mama hakukupenda alipenda Mali zako inauma kwakweli hakika ni bora ukosee kujenga nyumba kuliko mke au mume Allah atujalie tukutanae na watu watakaotupenda kwa dhati

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 8 місяців тому

    Uyo mama mwenyezi mungu ampe maradhi ambayo yatamfanya ajute kwa upumbavu na tamaa alizo zifanya Kama hatakufa vile?

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 Рік тому +1

    Magu angkuepoo jmnii ungeskia naomba uyu baba asikilizwe 😢 uwiii kun watu wanakuag Yan kam vile hawan moyo kabsa uwiii maskinii jasho lako linakuangamiza🙌🙌

  • @MODESTCHAMI
    @MODESTCHAMI 9 місяців тому

    Pole sana ndg angu hao ndio wanawake tuishi nao kwa akili

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 9 місяців тому +1

    Mrudie mungu wako
    Umemkosea ALLAH

    • @princematumbo
      @princematumbo 9 місяців тому

      Anastahili kabisa yalomfika, mshenzi sana

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 4 місяці тому

      Upuuzi huu
      Mungu hana dini
      Ni upwiru wa akili huu

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 Рік тому

    Pole sana mzee

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 9 місяців тому

    Pole kuoa afande

  • @gloriamsaki9109
    @gloriamsaki9109 Рік тому +4

    Pole Sana.wanaume mkipata fedha fanyeni mambo yenu wenyewe.Wanawake wamezoea kutawaliwa na kumilikiwa.mwanamke anapenda kutumia vya mwanaume Ila akiwa na uwezo kuliko mwanaume lazima amnyanyase

  • @humphreymkony8915
    @humphreymkony8915 Рік тому +8

    Hili ni fundisho kwa vijana wa kiume ambao hamjaoa: ogopeni kuoa Wanawake ma Polisi. Hawa wanafaa waolewe na ma Polisi wanaume.

    • @d15355
      @d15355 Рік тому +1

      kwanza ukitaaka stress oa hao askari kwani si mkeo peke yake hadi mabosi zake watakulia maana kule ni amri tu hawakataagi

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 9 місяців тому

      ​@@d15355hamnakitu kama hicho hakuna amri kwenye mambo hayo

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 3 місяці тому

    Watu wanaangainga na dunia 😢😢😢😢

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 Рік тому +2

    Nimepitia mengi sana na hawa wanawake ndio maana sitaki hata kusikia kitu kinachoitwa ndoa, Mungu anisamehe na namshukuru kwa kunipatia watoto hiyo tosha kabisa kwangu. Kwa kizazi hiki ndoa ni ngumu sana.

  • @MwalukoMakomelo
    @MwalukoMakomelo 5 місяців тому

    Simlizi ya huyu mzee wanaume wengi wanalizwa Sana wamama muwe na huluma na watoto wawanwake wezenu

  • @maryamudunga1094
    @maryamudunga1094 Рік тому +3

    Subhanallah wanaume muagaliaga wanawake wakuowa tatizo mnafagamia wanawake

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Рік тому

      Mnafanana wote..wanaume tuko wakati mgumu..kuoa mwanamke wa kufaa mama watoto ni game of chance.. nafasi kubwa za utawala TZ mnazo, bado mnadai upendeleo.. Nampa pole huyu shujaa..ndiyo,ni ushujaa kutoka hadharani kueleza hayo

    • @leonardbrown181
      @leonardbrown181 Рік тому

      Dah! Wanawake!!!

    • @maryamudunga1094
      @maryamudunga1094 Рік тому

      @@josephlorri431 we usitujumuishe kwenye ujinga kwahiyo unataka kusema tz hakuna wanawake tulokuwa natabia nzuri

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Рік тому

      @@maryamudunga1094 njoo nikuoe ila mpaka boksa zangu nitaandika majina ya ndugu zangu

    • @AmyeSanga-u4c
      @AmyeSanga-u4c 9 місяців тому

      ​@@Pedeshee01. Hufai kuoa kaa mwenyewe uoe alafu akili inaishi na nduhuzo kaa na ndugu zako inayosha

  • @ThomasErro-ec3ov
    @ThomasErro-ec3ov Рік тому

    Pole sana baba, wanaume ndo tunapitia magumu

  • @MagdalenaMalaki-qr6hy
    @MagdalenaMalaki-qr6hy Рік тому

    Pole sana baba MUNGU atakuacha

  • @shimbaalex8837
    @shimbaalex8837 Рік тому +1

    Mzee una uvumilivu sana sana ni wanaume wachache sana wanaoweza kuvumilia hayo.Huyo mama hata kazini kwake ana matatizo

    • @agnessamma4669
      @agnessamma4669 Рік тому +1

      Pole Sana Baba Mungu atakusimamia hayayote yatapita usiogope Mungu atkua upande wako Sheria duniani haki kwa Mungu

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 Рік тому +1

    Hayo machozi unayotoa yatalipa baba mueke mungu mbele 😭😭😭😭

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Рік тому +1

    Ndiyo maana watu wa zamani walikuwa wanapeleleza kwanza familia unayoenda kuoa au kuolewa je wana utu?????

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn Рік тому

    Sasa ktka maelezo y huyu ndgu yangu, awali waliponunua shamba hakumshirikisha m/kiti wa kijiji? Na kwa hali hiyo hakupewa hati ya kijiji ya kumiliki shamba hilo? Hati hiyo ingemsaidia sana kama ipo. Kama nayo hana, kwa mwendo wa dhuluma ya dunia ya sasa,asitegemee huruma ila maumivu zaidi! Pole sana.

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Рік тому +4

    Mwanamke ana roho mbaya dah 😢😢

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 Рік тому +1

    Bw. Kipa, kama nyumba za Dodoma na Morogoro zipo upande wako, basi muachie cho chote anachogombea.
    Ishi kwa kutegemea hizo nyumba 2. Mali ni ya dunia hii, haitamsaidia, ina machozi ya kweli. Muombe Mungu akupe uzima tu na uhame msionane na hilo jambazi. Muachie hiyo mali, wala haitafika saa 12, utakuwa umepata matokeo. Narudia tena muachie hiyo HAKI yako aimeze iwe ndoano kooni.

  • @HarunaSadallah
    @HarunaSadallah 8 місяців тому

    Ndio myaone 😮mkiambiwa wananyanyasa wanaume mnawatetea imauma sana😮

  • @AgripinaJosephMushi-hw2xw
    @AgripinaJosephMushi-hw2xw 9 місяців тому

    Mungu hulipa kwa haki kama usemayo ni kweli machozi yako hayataenda bure

  • @sadakombo-li7yi
    @sadakombo-li7yi 9 місяців тому

    Mama samia suluhu hasan nakuita ×3 tunakuomba kwa heshima yako na kwa upendo wa mungu umsaidie huyu baba kuweza kufanikiwa haki yake ipatikane ni mimi mkizimkazi mwezio by sada mohd

  • @zuhuramussa3996
    @zuhuramussa3996 Рік тому

    Pole sana kaka Mungu atakusaidia

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Рік тому

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upate haki zako.huyo mkeo na Mamba mla Watu

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 Рік тому

    Mungu.atakulipa.tu

  • @johnsonjasson2526
    @johnsonjasson2526 Місяць тому

    Naomba namba ya huyo mzee

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Рік тому

    Kaka endelea kuomba mungu..iko siku utayasahau hayo.maana mungu wa sasa iv ni kijana..pole sana ndio maana wengine wanauwa

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +2

    Hapa duniani tunapita
    Mwachie mungu huyo mwanamke yatamkuta dhuruma mbaya mwanamke kaudhu mkavu kweli kweli

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 8 місяців тому

      Yaniii utadhan hajazaa nae😢😢

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 Рік тому

    Wanawake jaman😭😭😭😭 tuwe na huruma 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 Рік тому

    Usilie kaka mungu atakusaidia uyo nishetani mukumbwa sio muntu na atataja kilakitu alichokifanya pole sana

  • @victoriakiwanuka5428
    @victoriakiwanuka5428 Рік тому +1

    Pole sana baba Mungu atamlaani

  • @princesschii4090
    @princesschii4090 Рік тому +3

    Dah inahuzunisha sana....

  • @shimbaalex8837
    @shimbaalex8837 Рік тому

    Dah baba mstaarabu sana