MFAHAMU MUME ATAKAYEKUINGIZA PEPONI KABLA HUJAFA (HUBBUL HALAL)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Wallah kwenye hiii kaul ya kumtia adabu jaman niseme ukwel hiii kaul mimi mpaka leo hiii sina ham na baba watoto wangu mtihan Allah atujaalie subra wanawake
Alhamdulilah.
Allah awazidishie . Maalim Hassan . ❤❤❤❤ me nimejifunza Tokea Maalim hasani awepo hewani. Pls pls pls asiondoke kipindini
Shukran shekh Hassan umetutetea wajane ALLAH akubariki
Nampenda sana huyu ustadh anaakili sana mashaallah mungu ambarik
Allah awahifadhi masheikhe wetu ❤❤
Mashallah Mashallah Maalim Hassan umejawa na hekma na busara
Mashallah mashallah ALLAH Akubariki sana sana. Umejaaliwa hekima na busara na unakijua hasaa unachokizungumza
Mashaaallah. Kipindi kizur sana. Laiti kama haya maneno wangekuwa wanayatekeleza wanaume. Wanawake tusingepata ugojwa wa afya ya akili
Asante sana kwa maneno mazuri mungu awabariki .... waungwana tuongeze bidii like+ share
Mashallah Allah akubarik
Mashaallah maneno mazur
MASHALLAH Alfattah huy msimuach please kwenye vipind vyenu
Naam!
Mashaallah somo zuri sana kipindi kiwe Cha kudumu
MaashaAllah.
❤❤❤
Na!
heshima kwako