HUYU NDIE MUME AMBAE UKIMPATA UMEUPIGA MWINGI (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 20

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 місяці тому +3

    Asalam aleykum wallahi wanaume wengi wengekuwa na tabia hizi unazosema sheikh talaka tungeisikia redioni lkn nawao wanaongoza ukali kununa wanawake tunavumilia mengi kwakweli nakuhusu ulezi hapasemeki usimuulize kitu baadhi yao kusoma pia hawataki baadhi yao hajui haki zake mipaka yake yy anaishi kwa mazoeya t shukran sana alfatah TV online

  • @hidayamwinyi974
    @hidayamwinyi974 3 місяці тому +1

    Tupo pamoja na hubul halali Allah akidumishe hichi kipindi na wanaongoza kipindi kwa kweli ni muwarubaini Masha Allah

  • @SaidHamad-i6x
    @SaidHamad-i6x 3 місяці тому

    MashaAllah Alfatah imetufikisha tunapo pataka niitieni somo mtoto nae aje kujifunza jambo MashaaAllahh.tunaelimikaa

  • @salamamohammed1325
    @salamamohammed1325 3 місяці тому

    Masha Allah ❤❤

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 3 місяці тому

    Mashaallah maalim Hassan up vizuri❤❤

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 3 місяці тому

    Mashaalllah shekh jmn wanaume wangekuwa hv ndoa zingekuwa nzuri sana jmn badilikini mwanaume

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 3 місяці тому +1

    Safi sana maashaallah

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 3 місяці тому +2

    Leo nimewahi❤

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 3 місяці тому

    Swadakta hongereni sana kweli awe na kipindi tunaelimika zaidi inshaallah

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 3 місяці тому

    Tuna kupongezeni sana sana mungu atuzidishie siha na afya njema inshallah kheri

  • @MtumwaKhamiss
    @MtumwaKhamiss 3 місяці тому

    Somo zuri

  • @zabibuwazir2377
    @zabibuwazir2377 3 місяці тому +1

    Mambo mazuri ❤

  • @JamalJuma-i2g
    @JamalJuma-i2g 3 місяці тому +1

    Masha allah kipindi kizur

  • @hafia.056
    @hafia.056 3 місяці тому

    Professor please 🙏 tuangushie education 🙏 kwa human who don't know the right for there husband. Please bring the big hummer njundo nzitoo eee

  • @JabuMohd
    @JabuMohd 3 місяці тому

    Nakupnda bure kak

  • @soudsoud335
    @soudsoud335 3 місяці тому +2

    Umeupiga mwingi ndio kiswahili gani ?

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 місяці тому

      Hata mimi sielewi maana yake

    • @j4amas5
      @j4amas5 3 місяці тому +1

      Kuupiga mwingi maana ake ni kufanya jambo kwa uzur

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 3 місяці тому

      @@j4amas5 anha sawa. Asante

    • @j4amas5
      @j4amas5 3 місяці тому

      @@Catherine-mh8sw karibu