HAYA NDIO MAMBO WASIYOYAPENDA WANAUME KWA WAKE ZAO (HUBBULHALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 22

  • @SaidHamad-i6x
    @SaidHamad-i6x 22 дні тому +10

    MashaaAllah.mada zinazidi kua nzuri ila mara nyingi ss wanaume inakuwa ndio chanzo ya matatizo hakuna mwanamke mbaya mbele ya mwanamme mtiifu hakuna.mara nying ss ndio huwa sababu baashi yetu tuna mambo meng nje ya box..

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 21 день тому

    Mashallah Allahumma barik Mada mzur na imeeleweka Allah aitunze Alfatah na wafanyakaz wake wote 🥰🤲

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 20 днів тому

    Asalam aleykum hamjambo wallahi sasa ivi al fatah munataradad kila Kona ndani ya nnchi yetu na nnje ya nnchi yetu kwa vipindi vizuri mmno hongereni munafanya ka nnzuri sana

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 22 дні тому +1

    Mashaallah adumu zaidi nngojabnisikiliza madi

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 22 дні тому +1

    A alaikum warahmatullah wabarakatu mashallah mada nzuri Allah akunbrik kwa kutuelimisha.

  • @fatmam1997
    @fatmam1997 22 дні тому +1

    Mashaallah maalim Hassan unamadini yakuelimisha sana❤

  • @hafia.056
    @hafia.056 22 дні тому +2

    Please Teacher 🙏 please teaching the human 🙏 to except the reality. and thank you for giving us the Dawwwar

  • @UwumuremyiKhurusumu
    @UwumuremyiKhurusumu 22 дні тому

    Nawashukuru Alhmdulillah na fatiliya sana hivivipindi nikiwa Rwanda Allah awape afya nzuri tuzid kufaidika na. atujaliye kuyafanyia kazi❤

  • @SHADIAABDALLAH-o6m
    @SHADIAABDALLAH-o6m 20 днів тому

    Maashaallah

  • @SalmaSalum-qw8yo
    @SalmaSalum-qw8yo 22 дні тому

    Salute ustaadh unaelimisha sana na ndio sadakatil jaaria yako

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 22 дні тому +3

    Duh hii elimu imepiga ndipo Alhamdulillah

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 22 дні тому +1

    Mashaallah madini mazuri

  • @HawaaUmibrahim-um7zi
    @HawaaUmibrahim-um7zi 22 дні тому

    Mashaallah jadhakallahul kheyr 😊

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 22 дні тому

    1. Allah akulipeni kwa yale mema mnayoyafanya, akuongezeni elimu na kukusameheni pale mnapokosea.
    2. Hizi mada zinaziangalia jamii za mijini zaidi. Mifano, maelezo na ufafanuzi mkubwa unazingatia NDOA za mijini. Tunatarajia kuzifikia jamii zote

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 22 дні тому +1

    Masha ALLAH 🎉🎉🎉shukran sheikh

  • @MercylineNgumbao
    @MercylineNgumbao 22 дні тому +2

    Ma sha Allah uyu anaongea ukweli mtupu,,ju ss wanawake tuna penda kuigizana,,,,hasa nyakati za sherehe,,hebu niulizie uyu sheikh anakunywa soda gani?

  • @hafia.056
    @hafia.056 22 дні тому +2

    Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth. Please 🙏 give us dawwar hii iwe endelevu dawa sikuzote inakuwa dawar please 🙏 huu ndoo wakati wake soote kuyafuata mazuuuri naMazuri always kitucha kweeeliii please tujaribu kuitaka pepo amaPeponii.

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 22 дні тому +2

    wanaume tunakufa mapema kwenye ndoa kwa stress za wake zetu

  • @SHADIAABDALLAH-o6m
    @SHADIAABDALLAH-o6m 20 днів тому

    Maashaallah