ANAYEMJUA SHARIFU FEKI NJE NDANI AFICHUA SIRI NZITO A-Z NIMECHEZA NAYE TOKA UTOTONI HANA USHARIFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 766

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 6 днів тому +41

    Shkh Kishk mkweli na anaijua nini Islamu Allah ambaarik afya na Elimu zaidi Ameen!!

  • @AminaKassim-ni9wd
    @AminaKassim-ni9wd 6 днів тому +46

    Aaa wameumbuka wote waliomtetea uyu jambazi mwezao kikubwa mungu atuongoze na atujalie mwisho mwezako na kila alie mtetea shekhe letu nurdini kishki Allah atamlipa ila uyu jamaa ni mganga kasoma kidogo quraan anajishaua ila kwa yote shukran sana ndugu zetu

    • @RahimMsham
      @RahimMsham 6 днів тому

      Angesoma asonge kosolewa alisikia wakati anapta njian ndo kajifanya kasoma

  • @saalim5401
    @saalim5401 5 днів тому +8

    Shukrani habiib hawa washenzi wanataka kuleta ushenzi kwenye hii dini tukufu Alhamdulillaah tunamshukuru Allah tunawasomi wa hakika ktk hii dini Allah akubaarik sana sana habiib

  • @OmanOman-st3kg
    @OmanOman-st3kg 6 днів тому +17

    Subhenanllah Allahu akibar Allah akulipe kila la kheri kwa kukuongea ukweli Allah akufanyie wepesi uwendelee kusema kweli na kuipinga batwir ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my 6 днів тому +19

    Naskitika sheikh Mazinge kua na uyu mtoto anamsupport ....Mazinge tunakupenda na kazi yako kubwa sana...Allah akuongoze na wote waislamu...

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 6 днів тому

      Tatizo njaa wamezitoa tumboni wakahamishia kichawi

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 6 днів тому

      Tena mazinge kaushusha heshma yake sana aiseee!!

    • @jamesmwangi9153
      @jamesmwangi9153 5 днів тому +1

      Mazinge ni tapele pia

    • @kassimmohd
      @kassimmohd 4 дні тому

      Tumbo la uzazi linauma, mwnao anawez fnya kosa ukakataa

    • @timaomar-rq8rf
      @timaomar-rq8rf 2 дні тому

      Mazinge ni wale wale wote gora moja wote wazinifu tu

  • @S.Mnguyu
    @S.Mnguyu 6 днів тому +16

    Allah akuhifadhi shekhe wetu,na muadhiri wa kimataifa shekhe KISHIK,hakika Haki na batwili haikai pamoja

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly 6 днів тому +34

    Katika Dini ya uwislam hakuna ujanja ukitaka kuwatapeli wa Islam utaibika tu! Sheikh umenifurahisha saana Love you from 🇷🇼

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 6 днів тому +43

    Allah amhifadhi Sheikh Kishk 🤲

  • @ExcitedChefHat-ef5jt
    @ExcitedChefHat-ef5jt 6 днів тому +16

    Jazzakallah Tabarakallah Allah akuhifadh katika ukweli wote uliodhihirisha kwa huyu sheriff mchawi.

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 6 днів тому +31

    Subhanallah, Innalillahi wainnahillahi rajiun,Shekhe Nurdin alikuwa akikemea kwa hisia na uchungu sana aki lkn watu hao chawa wa uyo tapeli wao walikiwa wakicheka na kudhiaki,dunia imefika mwisho kwenye ukweli watu hawakubali kabisa sababu ni pesa mwakubali uongo na haki 😢😢😢

  • @DjumaAsha
    @DjumaAsha 6 днів тому +8

    وقل جاءالحق وزهق الباطل إنا الباطل كان زهوق
    صدق الله العظيم ❤️ ❤️

  • @khalidally3588
    @khalidally3588 6 днів тому +18

    Subhanallah Allah atawaumbuwa wote walofagilia huyu tapeli kishki yupo wazi kabisa

  • @ochuMay05
    @ochuMay05 6 днів тому +26

    Subhaanallah.. M/Mungu hawezi kuwaficha Wanafiki na Matapeli daima. Alishaumbuka na ataendelea kuumbuka mpaka atatafuta pa kwenda kujificha na hao wanaomtetea aibu zitawajaa na Kupoteza heshima zao kwa sababu ya tamaa ya Pesa.. Uislamu sio Sini ya Kinafiki..

  • @MaulidAbdullah-nw9wu
    @MaulidAbdullah-nw9wu 6 днів тому +20

    Shukran akhii yani wewe ndio umeumaliza huu mzozo

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 6 днів тому +11

    HAPA YAONYESHA ALLAH ATAKA KUWAFICHUA WALE MASHEKHE WAONGO WOTE WANAONUNULIWA KWA PESA NDOGO, HUYU SHARIFU FEKI NI SABABU TU LAKINI LENGO LA ALLAH NI KUTUONYESHA WALE WANAOTHAMINI PESA KULIKO UKWELI , KILA ATAKAEMTETEA HUYU KIJANA MUONGO MUJUE NI WATU WANAOTHAMINI PESA ,LAKINI ALLAH ATAWAPA NGUVU MASHEKHE WA UADILIFU WAWAFICHUE HAWA MANYANGARIKA NA MAZOMBI WENYE NIA YA KUUPAKA TOPE UISLAMU, ALLAH ATAWABAINISHA KILA KHAINI NA MNAFIKI!!!

  • @VerattiBey
    @VerattiBey 6 днів тому +14

    Subhaanallah allah akubarq shekh wang kwa kudhihirisha ukweli,
    Allahu Akbar 😭

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 6 днів тому +21

    SHEKHE ALLAH AKUBARIKI NA AKUPE UMRI MREFU WA KUWAFICHUA HAWA MAADUI WA ALLAH NA UISLAMU MPAKA WAKIMBIE KAMA WALIOFUKUZWA WAKSJIMBILIA CONGO!!!

  • @TenesMtunguja
    @TenesMtunguja 6 днів тому +9

    Masha'Allah Mdg wangu Bingwa kanyaga kanyaga uyo tapel alafu anataka kushindana na Shekh wetu kishk jahli mmoja anataka kushindana na Aleem Tapeli uyo saf sana

  • @Ramyyosy
    @Ramyyosy 6 днів тому +11

    Shukran sana bingwa Allah akulipe ujira mkubwa sheikh wangu kwa kuonyesha ujanja wa huyu kijana anae potosha ummah wa muhammad na masheikh wengi hasa sheikh Nurdini kishki

  • @SaleheMsangi-y5r
    @SaleheMsangi-y5r 6 днів тому +11

    Masha Allah umemaliza kabisa kama maboya bado wapowasioelewa ni kiburi tuu

  • @AshuraKhamis-qv3ld
    @AshuraKhamis-qv3ld 6 днів тому +14

    Subhanallah 😢😢😢😢😢😢 Allah Atuswameh

  • @MuhamadyAraby-k9i
    @MuhamadyAraby-k9i День тому

    Jazakahllah khair allah akuhifadhi

  • @zuwanahemedy9170
    @zuwanahemedy9170 6 днів тому +20

    Nasisi kina mama tumuogopeni allah mnapeda kudanganywa natukubukeni motoni tuko wingi wanawake turejeni kwa mola wetu

  • @semidegreat4354
    @semidegreat4354 4 дні тому +2

    Mashallah Allah akubarik Kwa kutupa ufafanuzi na kuweza kujua ukweli 🤲

  • @hashimuhatibu9470
    @hashimuhatibu9470 6 днів тому +10

    Allah ajaalie kher shukran shekh

  • @theknightking5345
    @theknightking5345 2 дні тому

    Allah atawaumbua mmoja baada ya mmoja in sha Allah na nyie masheikh mnosema kweli na haki katika dini Allah atakulipeni duniani na akhera in sha Allah kwa kuutetea uislam baadhi ya watu wanataka kuuchafua in sha Allah Allah atawachafua wao na tamaa zao za ki dunia

  • @YusuphBurney
    @YusuphBurney День тому

    Yaan ww ndio umetuletea na evidence (ushahidi) wa kutosha Big up mashaaAllah Allah akulipe matapeli hawana upenyo hapo

  • @rashidgoza3157
    @rashidgoza3157 5 днів тому +2

    Mwenyezi mungu akuongoze vyema shekh wangu uko vizuri sana tun ashukuru kwa kutuelimisha na kumuelimisha kijana mwenzio hizo zote ni njaa zao tumeingiliwa kwenye dini jitaidi kumfatilia na utusitue mkuu nimefurai sana maana watu wengi walianza kumuamini huo uongo wake anaikosea dini yetu, njaa zake ashike jembe akarime

  • @ayadjuma2457
    @ayadjuma2457 2 дні тому

    Jazzakallahu khayra,,kwa nasaha zako nzuri ,,hapo sasa mashekh akiwemo mfti na shekh wa mkoa na wengine wote mlopaisha huyu tapeli mmemjua vizuri Allah awabariki

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 6 днів тому +22

    Shekh kishk alianzisha Allah kampa wasaidizi sasa sharifu feki na genge lake wamepata kiboko yao 😂😂😂😂😂😂 TAKBIIIIIIIIIIIIIIIIIRRRRRRR ALLAHUAKBAR

  • @MrutuAbdala
    @MrutuAbdala 2 дні тому

    SUBHANALLAH SHEIKH ALLAH AKUIFADH INSHA'ALLAH BIIDHINILLAH ALLAH AKUWEZESHE UZIDI KUTUJUZA INSHA'ALLAH AKSANTE SHUKRANI 😭😭😭

  • @Naam3616
    @Naam3616 6 днів тому +4

    Mashallah shukran kaka yangu.huyu mchawi tuu jini lake ndio lamwambia asome vibaya mnganga tuu huyu mshirikina

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 6 днів тому +5

    Shukrani sana sheikh wetu ila usisahau huyu sharifu feki ni rafiki yake na chief godlove kwaio wote hawa wawili ni matapeli. Alhamdulillah ☝️🕌🙏🙏🙏

  • @Saeedpopa
    @Saeedpopa 4 дні тому +1

    SubhanAllah huyu sharifu wenu mbna muongo voo South gani hyo alokuja yey May Allah give him strength.

  • @SheikhHassanMussa
    @SheikhHassanMussa 6 днів тому +23

    Allah Atawadhalilisha Waha Wanao Mtetea Huyu Tapeli

  • @RahmaKassim-vf6tv
    @RahmaKassim-vf6tv 6 днів тому +9

    Subhannah uyo ni ibilis tumu kamatiye hatuwa kbs asante sheikh

    • @حاجسنغورى
      @حاجسنغورى 6 днів тому

      Jee waliokodiwa naibilisi nao?walijua wanachokitetea?

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 5 днів тому

      لَيْسَ الْمُؤْمِنُ بِالطَّعَّانِ وَلاَ اللَّعَّانِ وَلاَ الْفَاحِشِ وَلاَ الْبَذِيءِ

  • @YusuphBurney
    @YusuphBurney День тому

    Shukran akhiy umetupa habar swadaktah

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 6 днів тому +5

    Shukran shelkh Allah akuhifadh tumepata elim 😂 pia ss tusiojua jazaka Allah khair shelkh nayihifadhi hii video

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 4 дні тому +1

    Mungu ampe kila la kher shekh wetu kishk kwan alisema ukwel wakamuona ana muona anamonea husda ila siku zote Mungu ni mwenye kubainisha ukwel

  • @feisaldesign4156
    @feisaldesign4156 11 годин тому

    Mashallah ustadh kwel matapeli hawana faida

  • @RAMLATU-i3y
    @RAMLATU-i3y 5 днів тому

    Masha Allah swadacta shekhe kipezi Allah akuzidishie umri mrefu wallah inasikitisha sana kwa hawo wanaopoteza uma

  • @OthmanAbdalla-qt2td
    @OthmanAbdalla-qt2td 3 дні тому +1

    Allah sw,atawafichua wote wanao wachezea waslam inshaallah

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 дні тому +1

    Mimi ni Mkristo,nimeumixwa sana na hili jambaxi na wapambe wake,yachomwe hadharani,yanaidhalilisha dini ya Allah.Mungu ayalaani.Ni lichawiiiii.

  • @HassanKoy
    @HassanKoy 3 дні тому

    Asante sana shekhe mwenyezi Mungu akupe maisha malefu

  • @riyadhamasha2404
    @riyadhamasha2404 4 дні тому

    Shekh Allah akujaalie kila lenye kheri ktk Dunia hii na Akhera Wallah,umebainisha kila kitu wenye kusikia wamesikia,hivii mtu kama mazinge juhudi zake zote juu ya uislamu leo hii amekuwaje hadi anamsupport muhuni yule, Yaa Allah tujaalie mwisho mwema,tunapambania sana dini yako bt mwishoni watu wanabdilika tena.

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 6 днів тому +24

    Asalam alaikum sheikh pasuwa hatutaki uzushi kwenye dini

  • @i5669hz
    @i5669hz 6 днів тому

    Hajui kusoma qur an SubhanAllah.....😢😢😢Mungu azidi kuwadhalilisha , Allah akuhifadhi sheikh

  • @salmasaid8674
    @salmasaid8674 5 днів тому +1

    Umemaliza kazi kaka MashaAllah wajijuwe

  • @Gamba81
    @Gamba81 6 днів тому +4

    😭😭 Huu ni mwisho wa dunia yalisemwa yote haya sasa yanatokea .Mungu atupe mwisho mwema🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤲🏾

  • @saidoo_6975
    @saidoo_6975 4 дні тому

    UISLAMU DINI YA KHAKI AINA JANJA JANJA IMENYOOKA SANA
    UISLAMU IMEKAMILIKA NA HAINA SHAKA NDANI YAKE..MASHAALLAH

  • @ahmedpera4231
    @ahmedpera4231 6 днів тому +1

    Allah huakbar
    Mungu atawaongoa inshallah mashekhe wamekuwa wanatetea jambo ili wapate ugali tuh shukran sana shekhe wwtu pamoj na shekh kishki

  • @AbbasMwakichui-db9tn
    @AbbasMwakichui-db9tn 6 днів тому +9

    Huyu firdaus ni fitna sana katika umma wetu wa kiislamu

    • @AminaKassim-ni9wd
      @AminaKassim-ni9wd 6 днів тому +1

      Acha kabisa aya wako wapi walio mtetea mungu anawaumbua kwakweli

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 6 днів тому +1

      ​@@AminaKassim-ni9wdHuwaoni/hujawasikia Mitandaoni?! Au nawe ni Mshirika wake?!

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 6 днів тому +1

      Ni Mfuwasi wa Masih Dadjjal na Wafuasi (Wapambe) wake wapo Kazini ktk Zama/Saa zao zimetimia

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 6 днів тому +5

    Ahsante sana sheikh kudhihirisha haki

  • @nelson-cd7fr
    @nelson-cd7fr 5 днів тому +1

    Jazzakallahu kheir sheikh kwa darsa

    • @YusuphBurney
      @YusuphBurney День тому

      Unaonaje shee kaupiga mwingi apo apewe mauwa yake

  • @irshadabuhafsi6585
    @irshadabuhafsi6585 4 дні тому +1

    MashaAllah umeelezea kwa ufasaha

  • @AbdulIsrah
    @AbdulIsrah 6 днів тому +1

    Inna Lillah wainna ilayh rajiuun.
    Kwanza shukran sana Akhy kwa hili na wenye akioi salaam wameelewa usahihi upo wapi.
    Nilichojifunza hapa kwa Watu Tunaowaheshimu ni Bora unyamaze kuliko ukasema kwa usilokuwa na uhakika nalo.
    Mtihani njaa ibakie tumboni ikihamia kichwani ni mtihani sana Wallah

  • @mwanahamisisaid8663
    @mwanahamisisaid8663 6 днів тому +1

    JazakAllah kheyr

  • @NizigimanaFatuma
    @NizigimanaFatuma 2 дні тому

    Mashsaallah allah akulipeni kher nyingiiiii

  • @AhmedAbdullah-v7b
    @AhmedAbdullah-v7b 4 дні тому

    Alhamdu lillah masha All'wa
    Shukran sana ustadh tumestafidu sana

  • @hafizmubarakmussa1780
    @hafizmubarakmussa1780 5 днів тому

    Asante sana sheikh Allah akuhifadhi na akulipe kila la kheir

  • @mafundisho81
    @mafundisho81 5 днів тому +1

    بارك الله فيك

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 4 дні тому

    NAMHIRUMIA SANA MAZINGE KIPENZI CHANGU, YAANI NAMPENDA MAZINGE KWA AJILI YA ALLAH LAKINI AKIWA NA HUYU TAPELI NIMEANZA KUKUCHUKIA KWA AJILI YA ALLAH HAKI. RUDI CHUMA NA UTUPU KIPENZI CHA WA ISLAMU MAZINGE

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 6 днів тому +1

    Masha Allah sheik Allah akuongoze ...siku sote njia ya muongo huwa fupi sana

  • @MwantumJaff
    @MwantumJaff 3 дні тому

    Asalam alaykum, wallah dunia ni mtihan sana kiyama kimefika watu wanamchezea ALLAH kwa manufaa yao hakika tutapotea maish haya yanapita ndug znguni tuna umr mref sana kburini kuliko hpa dunian hebu tuache yatakayotutesa ktk maish ya milele😢😢

  • @bakariibrahim8971
    @bakariibrahim8971 3 дні тому

    Sub'hannallah...
    Akamatweee shegheeee afunguliwe kesiii Aaaahhh....
    Anatia hasiraaa sanaaaa wallahi mie Sina uwezo wa kumfikia2 ila kichwa chake king Elika halali yanguuu...Aya mambo si yakufumbia machooooo😢

    • @theknightking5345
      @theknightking5345 2 дні тому

      Waislamu zindukeni haya mambo yashatabiriw yatakuja ma shekhe wano ilmu wakikufafanulieni msiwapinge tutahadhar na mambo ya uzushi yanoletwa kwenye dini yetu kwa tamaa za ki maisha

    • @hadijaismail3619
      @hadijaismail3619 2 дні тому

      🙄🙄🙄

  • @Ramyyosy
    @Ramyyosy 6 днів тому +13

    Shukran sana ziende kwa sheikh Nurdin kishiki na wewe kijana moulana hassan bingwa wa sharifu feki

    • @shaikhqari3192
      @shaikhqari3192 6 днів тому

      😂

    • @AminaKaifa
      @AminaKaifa 4 дні тому

      Hakika twampenda sana shekh wet kishk na Mungu kaubainisha ukwel

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn 18 годин тому

    Uwezi kuchezea uislam wakakuacha.nawapenda sana waislam

  • @OmarSharif-xr3pe
    @OmarSharif-xr3pe 8 годин тому

    Allah atuongoze dini imekua biashara Sübhanallah 😢

  • @Rahmaismail-y9u
    @Rahmaismail-y9u 5 днів тому

    Alhamdhlillah Allah amedhihirisha ukweli Allah akuhifadhi inshaAllah mtihani kwakwel allah atuongoze sisi na vizazi vyetu

  • @latifahali8228
    @latifahali8228 6 днів тому +1

    Subuhanallah watu wanaichezea dini ya Allah halaf anajita sharifu. Kweli na masheikh wengin wanamsupport

  • @AllyYahya-h1u
    @AllyYahya-h1u 4 дні тому

    Allah akubariki sheikh wetu bingwa😇🤲

  • @ramadhanjamali5761
    @ramadhanjamali5761 5 днів тому +1

    بارك الله فيك يا حبيبي

  • @dryusufmohamed9537
    @dryusufmohamed9537 2 дні тому

    mashaaAllah

  • @mohamedibrahim7732
    @mohamedibrahim7732 6 днів тому +2

    jazakallahu khairan

  • @saidmasoud7701
    @saidmasoud7701 5 днів тому

    Mungu akulipe Kila lakheri na akulinde na maadui shekh ulitoa ushahidi wa huyu sharifu feki Allahuma amin

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 6 днів тому +5

    Mimi huyo SHARIFF feki tokea nione clip yake anasema kuwa Chief Godlove ni rafiki yake mkubwa,nilijuwa wazi kabsa kuwa huyu jamaa ni MSHIRIKINA! Atakuwa anatumia nguvu za giza. Subhan' Allah! Ni msiba mzito sana huu,wallah.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 3 дні тому

    Dah!subhaanallah! Kumbe huyu Sharifu ni tapeli hivi!

  • @LatifaMwandu
    @LatifaMwandu 2 дні тому

    Rabbanna. Zidna ilma wa ruzuqna fah'..ma

  • @ShamimMsofe
    @ShamimMsofe 6 днів тому

    Alhamdulilah allah tunakuomba uendelee kutuumbulia hawa mapepo wanajiita masharifu

  • @AllyAmir-e9c
    @AllyAmir-e9c 6 днів тому

    Kwa wenzetu waupande wa pili Kuna Manabii wa uongo na sisi Usharifu limekuwa ni kichaka Cha watu wasiyo na Imani kukusanya hela za watu wanyonge wanaohangaika . Mungu awape imani thabit wanaojiita maSharifu ili warudi katika mstari ulionyoka.Amin

  • @himnakhatib1050
    @himnakhatib1050 6 днів тому +7

    Msiba mzito huuu Allah atujaalie mwisho mwema

  • @AmaniSadjad
    @AmaniSadjad 5 днів тому +1

    Subhanallah !! Ahsantum

  • @zuenajumashf3105
    @zuenajumashf3105 6 днів тому

    Jazaka Allah khairan Akhuya

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 6 днів тому +1

    Walaykum msalam warahmatullah wabarakatu. Shukran shehe

    • @YusuphBurney
      @YusuphBurney День тому

      Unaonaje apo shee kaupiga mini sana apewe mauwa yake🎉 mashaAllah

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 6 днів тому +10

    Subhanallah, mnaopambania dini Allah awape pepo yake,,

  • @KalejuGaspal
    @KalejuGaspal 6 днів тому +5

    Mungu akulipe kutufungua she

  • @abdallahtitu3186
    @abdallahtitu3186 5 днів тому

    Mashallah mashallah, Allah atamuumbua bado

  • @ismailalmuhajir
    @ismailalmuhajir 5 днів тому +2

    Sheikh Hassan Mussa Allah Akupe Umri Mrefu Wenye Manufaah Nawe Nina Zawadi Yako Naomba Nitafute
    Umemuweka Sawa Huyu Tapeli

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 6 днів тому

    Subhanallah bado sana anatikiwa ajifunze vizur Qur-an

  • @salummbarouk4216
    @salummbarouk4216 3 дні тому

    Subhana Allah wameumbuka

  • @IssaNasir-v2e
    @IssaNasir-v2e День тому

    Sharifa hajui kusoma qur an

  • @AminaKaifa
    @AminaKaifa 4 дні тому +1

    Ahsante sana shekh kwa kutuambia ukwel maan m nilishtukia pale mazinge alipo sema kwa hakuwa mwislam half akamrekebisha mazinge kumwambia nilikuwa muislam

  • @omaryally3489
    @omaryally3489 6 днів тому +2

    Mi namuonea huruma mazunge tu Ni shehk mkubwa ana mkumbatia mchawi...Allah amuongoze mazinge wetu inshallah 😢

  • @yusufndikumana4216
    @yusufndikumana4216 6 днів тому +2

    Subhanallah yaani km lafdhi ya qur an ni mbovu bas ni ushahidi tosha

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn 3 дні тому

    😢😢😢😢😢 wallah siliivingine bali namlilia shekh mazinge kwann anajidhalilisha kuwa na huyu kijana..!! Hakika waislamu tulikua tukimkubali juu ya ushujaa wake na kulingania wasokua waislamu na kuwasilimisha kipi kimemkuta 😢😢 toka huko shekh please.

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 5 днів тому

    Mashaallah.... Ust umepga pabaya

  • @BintalliMbakuha
    @BintalliMbakuha 6 днів тому +2

    Unafaazawadi kubwa shekh, Allah akupe jannatufirdaus

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 6 днів тому +6

    Asante mungu kaka mungu atakulipa kwakutujuza pasua mbalika kaka hajui salama asema swalama hajui kitu akasome kwanza

  • @fuadmohammedamour9027
    @fuadmohammedamour9027 6 днів тому

    جزاك الله خير الجزاء أخ الكريم

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 6 днів тому +2

    Duu ! Subhanallah