Ustadh Mazinge Amchakaza Mchungaji South Africa-Utume wa Mtumie Muhammad (s.a.w)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • usisahau ku subscribe channel hii

КОМЕНТАРІ • 16

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 4 місяці тому +5

    Prof. Habib Othman Mazinge .. Allah amuhifadhi
    Kazi kubwa ameifanya alhamdulillaah 🎉❤

  • @ImanSaid-ox3po
    @ImanSaid-ox3po 4 місяці тому +3

    M/Mungu amlete mrithi wa Mazinge asije akafa na elimu yake

  • @ZuhuraHamisi-v2k
    @ZuhuraHamisi-v2k 4 місяці тому +2

    Shekhe mazinge allah akupe pepo ya juu kabisaa hakika unakazi nzito

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 4 місяці тому +2

    Masha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Allah akuzidishie

  • @FatumaFatu-ok9kt
    @FatumaFatu-ok9kt 4 місяці тому +1

    Allah amjalie umri sheikh mazinge jamani

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa 4 місяці тому +2

    Allah akubariki ustaz wetu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 4 місяці тому +4

    makafiri ni wapingaji wa mitume wote hawawaamini mitume na vitabu na Mungu mwenyewe wapo tuu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 4 місяці тому +1

    Allahu akbaru yaaaah allah rabiii zidniiii yaaaaah kariiim wewe ndie muweza

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Місяць тому

    Ya Allah❤❤❤

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 4 місяці тому +2

    Sura al imran: 19
    Hakika dini ya pekee mbele ya allah ni uislamu. Na wala hawakuikataa waliopewa kitabu (wakristo na mayahudi - biblia na taurati) ila baada ya kuujua ukweli (quran) kwa chuki baina yao. Na kwa atakepinga aya za allah (quran) basi allah hukumu yake ni kwao ni ya haraka sana (kwani wataingizwa motoni bila kuhesabiwa matendo yao kwa kukataa kwao)
    Sura al imran:144
    Na hakuwa muhammad ila ni mtume, na walitangulia kabla yake mitume wengine

    • @mariamhassan8152
      @mariamhassan8152 3 місяці тому

      Allah akubariki sana Sheikh Mazinge, Jazzak Allah Khair Insha Allah ❤

  • @omarcpt1178
    @omarcpt1178 2 місяці тому

    Leo nakubali kama huyo pastor ajui tafsiri ya neno mtume…arudi shule

  • @richardsalala9147
    @richardsalala9147 17 днів тому

    Huko south aliongea lugha gani huyo mfuga majini wa msanga 🤣🤣🤣