Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Mt. Kizito Makuburi - Nimekuja Kuyafanya Mapenzi Yako (Live Performance) Dominika ya 2 Mwaka B
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2024
- Wimbo wa Katikati Dominika ya 2 Mwaka B wa Kanisa ulivyoimbwa na Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi
It is high time this choir-MKM Makuburi made more Catholic songs by Bernard Mukasa. Alphonce
Those who ever believes in what this great choir delivers kindly let's gather here ❤❤❤
Much respect kwa mzee flani pale nyuma na shirt ya blue. He knows the song very well hana hitaji la kusoma hata kidogo. Abarikiwe sana.
Tumshukuru Mungu Kwa ajili yenu kmk kutujaza neema Kila iitwapo leo
Asante Mungu tumpe sifa Mungu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤no@@MarthaSangira
Mnaimba jaman na huyo kakaa anav piga mkono mpaka raha kweli nawapenda sana
Mzidi barikiwa kwa Utume uliotukuka....
Organist ako top top
Mgandu things 🔥.. Great performance guys..
Beautiful voices 🎉🎉 the drum guy 😊😊kudos
Makuburi mmeleta mapinduzi katika Muzik mtakatifu , hakika nabarikiwa sana nikiwasikiliza
Utukufu Kwa mungu
Huu wimbo tazama nimekuja umenikumbusha nikiwa mtt Yesu,wakati wa maandamano❣❣
Wa kwanza hapa. Napenda huu wimbo sana. Nimebarikiwa. Pokea salamu kutoka kenya 🇰🇪 ❤
Mwalimu wangu uwanakupenda saaana unapo hongoza nyimbo,huwa nafarijika saaana nakukuhiga saaana hata hapa kwetu congo DRConcgo
Nabarikiwa na nyimbo zenu Mwenyezi Mungu azidi kuwapa upeo na nguvu kwa kumtumikia Mungu .Mtumishi wa Mungu anayewaongoza hapo mbele Bwana azidi kumpa nguvu na afya ya kuendelea ya kuwaongoza na viongozi wote kwa jumla Mungu aendelee kuwabariki KMK Amina.
Wow glory to God.
Congratulations to you all. It is so lit.
this choir though proud of it .they give us what we really need cheers
Mubarikiwe sana jamani
Makuburi ni hatari unstoppable
Mbarikiwe sana
fire fire good peformance
Classic and amazing
Hongeren San
This is so good 🫶
Balaaa ni zitoo
What's the name of the choir master he is the best
Mmeutendea haki
Nice one we sang also but dynamics imeweza hapa
Kwaya pendwa ya parokia yangu pendwa,nimewamis sana hakika
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Good performance ❤
Nice songi
Nice one
Wimbo mzuri ❤umenibariki sana,bless you people 🙏🙏
Okay....
Alright Alright! You have made my new year
What a live performance ❤🎉 my all time KMK
Wanamakuburi katika ubora wao wakiongozwa na Zacharia Gerald😊
Hongereni mno wadau,ktk utume wenu huu.
Hawa watumishi wa mungu ni balaa
Hongereni kwa uinjilishaji kwa njia ya uimbaji.
KMK 🎉 zach na wajakoya 😅😅
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni sana wapendwa kwa kazi nzuri
HOngera sana katika kipaji chaunjilishaji
❤❤❤❤
Nice song .... excellent performance kmks 👏👏👏
All the best to u with the greatest performance❤❤
This choir 😊 so Amazing 🎉
Mpiga ngoma yupo on fire
Mmeimba vzr jaman❤❤❤
aisee hongeren sana kazi nzuri
❤Nice Composition of the song 🎵
❤ tunabarikiwa sansaa
Nafurahi sana nyimbo za katholic
#👏👏👏
Hongereni San wapendwa
🎉❤
Huu wimbo umetungwa na nani?
Ni wimbo mzuri sana
John Mgandu
Organist ako top top
❤❤❤