Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Zachariah my Roalmodal you always makes me to see the conducting is so simple the way you're making organizations of instrumentals real I appreciate much Mangi 🔥
Wow sweet voices indeed,well articulate and balanced choir,may God bless you,continue inspiring you,protect you,lead you and give you His grace forever🙏,all the best for your future endevour👏🤝💕💞🔥👍
That lady in kitenge who js beside a lady in blue gown always sings with great passion.
Yes I agree
Ni kweli kabisa namkubali sana mungu amsimamie hakika
There is just singing n kunayo passion in singing. two different things, that lady sings upto heaven. ata pia the choir itself kuna passion.
what is her name
@@KarugabaWilsonher name is Magrethchizaye
Mara ya 100 nauangalia huu wimbo jamani Mungu azidi kutukuzwa 🙌🙌🙌🙌 Karibuni Tena
wimbo mzuri sana
How sweet it is to serve the Lord...being in His presense is better than 1000 elwhere. God bless MKM,LOVE FROM +254❤❤
Naomba mwalimu Mukasa aweke huo wimbo UA-cam tafadhali
Kwaya yangu namba moja duniani hakika mungu hawabariki
Jamani hicho kinanda hapo mwanzo 🙌🙌🙌🙌🙌Your the best Guys
Najua utakuwemo kwenye album ijayo..... Eeee mungu niweke hai nipate kuishuhudia album hiyo....
Yaani mimi hii kwaya lazima nije niimbe nanyi nawakubali sana
That is why I believe in the Catholic faith. Nothing will seperate me from it. God blessed you for signing and praising his name.
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
Always smrt ....karibuni kenya
Mbarikiwe san kwanya mt. Kizito🙏🙏🙏🙏
Mt kizito makuburi nawakubali sana conductor zakaria gerady lyimo 🙌
Bwana awabariki mtunge wimbo wa sabato
Sichoki kuwasifia jamani pia nawapenda sana
I like how mnafungua vinywa kutoa sauti ya masifu kwa Maulana
Huwa naskia kupeperuka nikiwaona hawa wana choir.....sweet voices
USHANGILIWE TENA BARIKIWE😍😍🥰
Mimi namkubari kwaya master anafany kaz yake vzru sana na pia niwapepongeze kwaya nzima mnafanya kazi nzuri na huwa siachi kusikliza hii nyimbo
Zachariah my Roalmodal you always makes me to see the conducting is so simple the way you're making organizations of instrumentals real I appreciate much Mangi 🔥
Bless u mangi 🙏🏼
One day I'll join this choir....
Long live KMK
A young boy playing such a huge organ....kudos
Bwana awabariki Sana kwaya za makuburi zote ,mnanibariki Sana kwa uimbaji wenu
Wow sweet voices indeed,well articulate and balanced choir,may God bless you,continue inspiring you,protect you,lead you and give you His grace forever🙏,all the best for your future endevour👏🤝💕💞🔥👍
Que assim seja, amadas almas.
Aprecio desde o Brasil.
Daaah!!! Hakika Mungu atufanye tuwe mawakala wake wema. Hongererni Sana watumishi.
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
KMK never disappoint
Listening from Uganda 🇺🇬🇺🇬
From Uganda. Wabule Grace. You are so beautiful and wonderful.
Congrats too all of you, nice Muzik, Big up sana kwa mtunzi
I love u all en u'r the most catholic singers😘😘
Ahsante sana Makuburi Choir. Hakika Mungu Atawabariki sana. Dunia yote inawasikia. Uongozi na Wanakwaya safi
Heri wewe tena ushangiliwe Tena amazing congratulations keep it up wanakwaya wa Mt. Kizito.🙏🙏🙏🙏
Upande wangu mara nyingi hamkosei hongereni kwa utume
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
Best of the best Mungu awabariki sanaaa
Great 👍 👌
Nimefurahi sana kuona nyimbo zimerudi
Hongereni sana mpendwa
Eee niwewe tena ushangiliwe tena🙏mbarikiwe
Hongereni Sana mungu azidi kuwabariki 🙏
Makuburi haoooo Tena 🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana wapendwa, kwa kuimba vizuri.Mungu aendelee kuwaneemesha muendelee kumuimbia zaidi ya hapo.Yaniiiiii!!
I love this choir 😍
KMKM ni 🔥🔥🔥
I love this choir so much
My best choir.you sing with so much passion.nawapenda
Mnahamasishaaa baarikiweni mpk mshangaeee
The best choir in Tanzania 🇹🇿
Tunaomba mmerekodi huu wimbo mkiwa wote
Hongereni kmk nawapenda sana
Waoh hongereni sana.
Kwaya bora zaidi kwa sasa dunia nzima
mbarikiwe sana kmk.....nice coordination of the choir..
Kwaya masta umejitahidi ana
Wonderful song ✨
Kazi nzuri sana Wanamakuburi
Eeee ni wewe tena uhimidiwe ni wewe tena
Hongera sana
Hongereni sana watumishi
Asanteen kwa uinjilishaj
Mpo vzur xana
❤❤❤❤
The best performance ever
Wooow, very nice
God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Karibuni manyara
kabisaa waje tuwaone ninavowapenda
Tuned from Kenya
O Eterno continue os abençoando!
Napenda hii live session kwakwel kuliko hata original 😁💓..Mungu awabariki Kwa kutuburudisha
Wewe kama mimi🔥🔥🔥🔥🔥
Safiiiiiiii...
Great. Indeed amazing.
Nice song congratulations.
Safi sana
Nice song
Very good
Blessings
Kamwe Msife moyo. Maombi pia muhimu ili kumshinda Shetani.
🙏🙏
Blessed family
Mungu awape nini
What is the title of this song and composer kindly assist
Haya tena....Bernard Mukasa