Tazama umahiri wa Askofu Vitalis Msimbe katika kupiga Kinanda | Apiga Kinanda wimbo aliotunga yeye.
Вставка
- Опубліковано 22 тра 2023
- 𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america
Hongera Sana baba askofu MUNGU azidi kukupa afya njema ya kuzidi kumtumikia
HONGERA SANA BABA ASKOFU NA PADRE SOKO KWA KUTOZIKA TALANTA ZENU.. MUENDELEE NA UPENDO HUO
MUNGU AWABARIKI SANA
Hongera sana askofu kwa baraka ya uongozi bora
Well done His Lordship! Bravo!
Mungu azidi kukuinua katika kipawa cha kuwaongoza kondoo wake Baba Askofu..
Umetixha Baba Askofu 💯💯
Hongera kwa baba Askofu na waimbaji pia
Naomba kujua wimbo umetungwa na nani.mtunzi tafadhali, Asante.
Soma pale juu tafadhari
MUNGU akujalie afya njema baba askofu
Hongera Sana askofu kwa kipaji ulichonacho
Hongera sana askofu tuombeane wote aminaaaa
Mungu awe nawew daima baba askofu unajua sanaaaa🎉🙏🙏🙏🙏
Hongera askofu kwa utumishi ulio bora
Hongeren baba askofu na father sok mungu awabarik sana
Hongera sana baba ujuzi hauzeeki
Askofu uko sawa😊
Hongera choir nice voice 😅👌👌👌
Baba askofu mungu akubariki sana
Kazi safi Baba Askofu!!!!!
HONGERA SANA BABA ASKOFU MUNGU AKUBARIKI KATIKA UTUME WA KUIMBA PIA.
Hong era askofu
Askof uko vizuri saana
Mungu akubaliki sana baba askofu kwakupiga kinanda vyema
Mungu aendelee kumbariki tunda la mungu hili
Hongera sana babà ubarikiwe sana❤❤❤
Hongera sana
Hongera baba asikofu
Mungu akulinde baba Msimbe
tumshukuru Mungu wetu
Hakika ni kazi nzuri kwa father
Barikiwa sana
Ahsante sana Baba Askofu
Barikiwa sana Askofu. God bless you always. Am proud to be a Catholic.
Mungu akubariki baba Askofu
Papa wewe ni mfano wa kuigwa
Mungu akubariki Sana Baba Askofu wetu kwa kuona umuhimu mkubwa kuimba na kondoo zako
O
O
Dios bendiga a los pueblos africanos y les conceda fe y libertad para seguir evangelizando❤❤❤❤
Safi sana baba askofu.
THANK YOU AHSANTE SANA BABA SKOFU. AM PROUD OF MY PEDIGREE CATHOLIC EXTRACTION. TUMWABUDU MUNGU. WHITE FATHERS MISSIONARIES PASSED THROUGH TANGANYIKA, TABORA TO COME AND PLANT SHAMBA LA MIZABIBU LA BWANA IN NORTHERN RHODESIA NOW ZAMBIA IN THE 1880s. Ecclesia Catholics. Greetings from Zambia.
What a wonderful song..may good God be with u always brother simon
Wow!!!!!!
So beautiful!!!!!
Beautiful Choir and amazing Electric Organ playing!!!!👍👍👍
Thank you Papaa
Thank Mgr. Vitalis, from Catolic Rome Church in Indonesia.
🏀🏀
Amazing ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I love you bishop
So sweet,God bless you pple
My Lord my God❤
Kazi safi sana hii..naomba tuwekewe nota kwenye SMN..natanguliza shukrani
😊
Wow! Impressive
This is too inspiring
Hongera mwashamu
Cantan hermoso!!!
Mbona milele Mingo sana
Hongera baba..Adi raha
🎉🎉🎉
wimbo wa kikatoliki hasa
Alooo hii imeenda
Amina
Lovely....
Bab askof uko vizur
Aminaa jamani tunaomba nota za wimbo huu plz
Baba askofu noma
😮🎉🎉Merveilleux
inspired
❤❤
❤❤❤❤❤
Kila wakati ni mwema
Anyone know the song name in english?
But to me being a one of the snr journalists of Kenya,I want Kenya to challenge the cameraman of this coverage to show us where the bishop got the sign from the choirmaster to start,where is that? And am a strong catholic n a one of the snr journalists in kenya,
La partition musicale svp
Nafasi ya MT Austino wa Hipo inaonekana. Hongera sana askofu wetu
I can`t understand this languaje.
shuchrani
😅❤😍
Camera zikamnyaka mzee lukando basil kwa mbali 😂,
Mc makelele mengi mpk kero hata hatusikii kitu
😂❤❤❤😂
Kelele kibao kuanzia mc mpaka kero
0k
0
Hawa watu waskii kabisa. Pongezi askofu