The Story Book: NI IPI SURA HALISI YA YESU ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 тра 2020
  • #wasafi #thestorybook
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @nashonmwasumbi254
    @nashonmwasumbi254 3 роки тому +69

    Hakuna haijuaye sura ya yesu
    Waamini gonga like p1

  • @anthonywill7892
    @anthonywill7892 4 роки тому +509

    Anae amini Yesu ndio jibu la maisha yako Gonga like hapa

  • @danielelly8838
    @danielelly8838 3 роки тому +78

    Kama unampenda yesu na unaamini ndiye mkombozi wetu gongs like hapaa!!

  • @nestoryselaphine1098
    @nestoryselaphine1098 4 роки тому +134

    Kama unampenda yesu kama Mimi like naziomba nyingnyngi tujuane

    • @Kai_busati
      @Kai_busati 4 роки тому +1

      yesu kama mm tuu

    • @mohammedjuma5595
      @mohammedjuma5595 4 роки тому +2

      yesu si kama ww unakosea

    • @noelilyatuu8129
      @noelilyatuu8129 4 роки тому +2

      Watu wakilike ww unafaidika n'a nn ?

    • @besttrendingcovers1838
      @besttrendingcovers1838 24 дні тому

      we unampenda mtu humjui acha ujinga huo, yesu alikuwa mwanadam tu ruhusu ufahamu wako kufanya kazi nje ya bible usiwe kama robot

    • @besttrendingcovers1838
      @besttrendingcovers1838 24 дні тому

      kinachowaponza wengi ni kunukuu bible kwa kila kitu as ifu wew huwezi kufikiri

  • @ltlmedia8480
    @ltlmedia8480 4 роки тому +459

    Twende pamoja acha tuisikilize leo nimewai kuwa wa kwanza mazee Gonga like kama wampenda Yesu

  • @vincentkahwa2081
    @vincentkahwa2081 4 роки тому +243

    Kama unamuamini Mwenyezi mungu na Yesu Gonga like Hapa💗💗👇👇

    • @salumchamwiti1017
      @salumchamwiti1017 4 роки тому +4

      acha mambo yko yesu sio Mungu mzee fikilia kwanz

    • @ayoubbilatuka7012
      @ayoubbilatuka7012 4 роки тому +8

      @@salumchamwiti1017 lakini Vicent kaainisha Mwenyez Mungu na Yesu hakusema Mwenyez Mungu ni Yesu...labda umeelewa tofauti!

    • @benvalchino7614
      @benvalchino7614 4 роки тому +4

      Salum Chamwiti Kama wewe sio mkristo nitakuelewa lkin wachristo tunajua ni mungu

    • @ramahawai7056
      @ramahawai7056 4 роки тому +1

      Mimi sio mbaguzi wa rangi, lakini siamini kama yesu ni mtu mweupe. Ukiristo na usilamu uliletwa Africa kuwadanganya waafrika ili watawaliwe. Kwannini sura zote za picha zinatundikwa makanisani ni picha za mtu mweupe na sio mchanganyiko wa rangi mbalimbali za binadamu wote duniani. Watu weusi sasa hivi duniani wanaonekana kama ndio wabaya mashetani. Kabla ya ukoloni waafrika walikuawa na dini zao, tuliomba mungu wetu Milimani kwenye mapango, mitoni, na baharini. Mungu alitusikia. Tuliomba mvua, mvua zikanyeesha, tuliomba matibabu tukatibika. Yesu ni mtume wa wazungu kwa maoni yangu.

    • @SAM_163
      @SAM_163 4 роки тому +7

      YESU NI MUNGU.💕💕❤

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 4 роки тому +40

    Makala,moja amazing aisee dah . Cjawahi comment ila leo sina budi

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +1

      Yaani🔥🔥🔥

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому

      Imedhihilisha ulivo mbuzi Kuma wew sas stor Ina mashiko gan sas hyo??

    • @apostlepaulatura2113
      @apostlepaulatura2113 4 роки тому +1

      Amen nishafundishwa nabeda mambo km.haya Ebenezer atusaidie

    • @thelonewolf4429
      @thelonewolf4429 4 роки тому

      @@luccabosslugendo9722 ongera kwa matusi mazito endelea ivyo ivyo. Ila juwa iposiku.

    • @habibmohamed4766
      @habibmohamed4766 4 роки тому

      @@luccabosslugendo9722 bangi hizo

  • @allyhamadi4183
    @allyhamadi4183 4 роки тому +36

    Duh nlikuwa nakuona hujui mwanzoni nmegundua unajua mno kuliko mtiga,unachimba sana duhhh🤔🙌🙌🙌🙌

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому +1

      Yan Leo kaharibu we ndo unasema umemwelewa?! We kwel huna tofaut na bundi mzee

    • @dullerahmedy6325
      @dullerahmedy6325 4 роки тому +2

      Lucca Boss Lugendo acha majungu yako mzee baba kaharibu wap acha wivu Au chuk zko jamaa kaumiza sna leo hii tuache Chuki zisizokua na sababu yeyote 😎

    • @unrulyboss4219
      @unrulyboss4219 4 роки тому

      I like ,uko sawa,napenda bwana.

    • @RashidRashid-ko2zh
      @RashidRashid-ko2zh 4 роки тому

      Usirudie tna icho ktu kumfananish na mtiga hampati ata kidgo.yule Ni fundi

    • @alexmichael8950
      @alexmichael8950 4 роки тому

      @@RashidRashid-ko2zhnendenim kamfuate efm

  • @ananiabaraka4067
    @ananiabaraka4067 3 роки тому +8

    Ooooohoooo YESU alifufuka, unataka ushahidi mtafute Roho Mtakatifu kutoka kwa MUNGU atakujuza.

  • @jamsivany7584
    @jamsivany7584 4 роки тому +75

    Safi Sana wasafi Media tupo makini na story book ya wasafi🇿🇲🇿🇲🇿🇲

  • @EduKafro
    @EduKafro 4 роки тому +13

    Watu wa Yesu dam dam tujuane.

  • @saidmuhibu1306
    @saidmuhibu1306 4 роки тому +85

    Nabii Issa au yesu nampenda sana na namuamini kama ni Mtume wa mungu ktk "chain" ya mitume waliotumwa na mungu

  • @diamondgeyser7987
    @diamondgeyser7987 4 роки тому +12

    My friend nadhani ni bora utafute mada nyingine za kuzungumzia, wakristo wa kweli hamwamini Yesu aliyechorwa kwenye picha au sanamu, waaminio wa kweli hawaamwamini Yesu kwa sura umbo au wajihi wake, tunachoamini ni NENO LAKE. siyo rangi, kimo, wala.sura. na Yesu atakaporudi hatutampokea kwa kumwangalia sura yake wala mavazi, urefu, rangi ya nywele zake au ndevu zake, bali ULIPO MZOGA NDIPO WANAPOKUSANYIKA TAI.
    Na mwisho kwa taarifa yako YESU KRISTO WA NAZARETI AMEFUFUKA NA YUPO HAI. HAYUPO KABURINI. WALA HAYUPO KATIKA WAFU.
    Historia yako ni hatari, ya kishetani ya uwongo, isiyorandana na ukweli wa Yesu Kristo kibiblia wala nabii Issa katika uislamu.
    Pole sana unahitaji msaada wa Mungu kwa kuwa mpotoshaji na mjumbe wa iblis na shetani.

    • @Balozikijana25
      @Balozikijana25 4 роки тому

      Kweli kabisa kaka

    • @ismaila.namanolo6158
      @ismaila.namanolo6158 3 роки тому +1

      Ndio maana sisi waislamu kweny movie za kiislamu hakuna mtu aliegiza kuwq yy ni mtume Mohammad (s.a.w) kwakuogopa watu kunakili sura....Huyu jamaa ameeleza ipasavyo may be uwe umkoti vibaya

    • @mylaomary1622
      @mylaomary1622 2 роки тому +2

      We weng wanaamin yes ndo Huyo muigizaj mnakalilisha mpaka watot

    • @godfreygodwin7510
      @godfreygodwin7510 2 роки тому +2

      Ww io dini umeipata kuptia ukolon acha kujikta unaijua SNA dini..pia filamu ya yesu io ndio iliowapagawsha sna watu weusi

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 3 роки тому +9

    Bwana Mungu wa wote wenye mwili hapa duniani Yesu Kristo, nakupenda Sana, najua siku kazi yangu itakapoisha hapa duniani nitakuona, na nitaweza kujua jinsi sura yako ilivyo. Amen.

    • @priscajulius1070
      @priscajulius1070 2 роки тому

      Amina

    • @albertpike5893
      @albertpike5893 2 роки тому

      Yesu ni Mungu??? Wacha kufuru kijana

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 2 роки тому +1

      @@albertpike5893 1Yohana4:1-3.

    • @albertpike5893
      @albertpike5893 2 роки тому

      @@micamathew2595
      Hiyo say imesema yesu no mungu!! Soma John 20:17

    • @micamathew2595
      @micamathew2595 2 роки тому

      @@albertpike5893 Yohana 14:6. Soma hiyo mpendwa, Yesu ni Mungu wako.

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 4 роки тому +211

    Jamal Mustafa leo nakupa sentensi mbili tu nadhani tutajifunza wengi.
    "Be a hero for one minute or coward for a lifetime"...Bro mwanzo tulikukataa ikiwemo mimi lakini ukakata kua muoga leo tunakuita shujaa.
    "If you want peace prepare for a war"
    Ulihitaji amani ,ukajiandaa kwa vita ndo maana kuna muda ulikua kimya kujiandaa na vita leo vita umeishinda na una amani.
    Hongera kaka

    • @kongajoe310
      @kongajoe310 4 роки тому +7

      Kweli Jamal anasimulia vizuri sana

    • @alinanuswemaclean1871
      @alinanuswemaclean1871 4 роки тому +6

      Daima usikubali watu wakushushe! keep fighting and prove them wrong! they will praise you... well done Jamal April....I always believe in Talent and Commitment

    • @ramazanitr8541
      @ramazanitr8541 4 роки тому +4

      Fact bro

    • @martinezsiwale4419
      @martinezsiwale4419 4 роки тому +4

      feyzal Yusuph Kabisaaa

    • @sabrinabakari5908
      @sabrinabakari5908 4 роки тому +4

      Mm binafsi sikumkatia tamaa jamal April sababu nilijua tu ipo siku nitampa mia kwa mia na imetimia na tangia mwanzo nilikuwa namkubali jamal April

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 роки тому +32

    Nimesikiliza ili nijifunze kitu japo mm ni muislamu... Kuna mengi ya kujifunza zaidi ya haya...
    Asante jamal mustafa...

  • @jerrycharz25
    @jerrycharz25 4 роки тому +133

    Kipindi jamal alipo weka story yake. Ya kwanza watu mlisema hammtaki wala hammuelewi lkn now karibia wote mnamkubali ..hii inafanya niamin kabisa kwamba ktk kufanikiwa mwanzo huwa mgum sanaa lkn ukijituma mambo huwa yanakja kbadilika

  • @phoibejohnmollel9466
    @phoibejohnmollel9466 2 роки тому +5

    Hongera sana Jamal April - The Professor, kwa kazi zako nzuri. Mimi niseme tu kuhusu kaburi, lenye jina la Yesu KWAMBA, kwenye nchi aliyozaliwa bwana Yesu Kristo-Messiah, kulikuwa na watu wengine walioitwa Yesu. Mfano, yule Bar-Yesu aliyeandikwa kwenye matendo ya mitume 13:6-7. Hali kadhalika jina lake la Emmanuel pia wanatumia watu wengi. Hivo yule ambaye jina lake lilikutwa kwenye kaburi atakuwa siyo yeye. Yesu alikufa na kufufuka na mifupa wala nyama yake haipo kaburini.

  • @edgeralves8186
    @edgeralves8186 4 роки тому +77

    KAma umeipenda hii story gonga like hapa

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 2 роки тому +1

    Allah akuzidishie kaka uzidi kuzindua watu kutoka usingizini na kuwatoa kwenye njia iliyopotoka

    • @whitetigerprincy5882
      @whitetigerprincy5882 Рік тому

      Hamna usingizini ila ukweli unabaki ukibainika kuwa yesu atabaki kuwa yesu na wote waliyoigiza kila kitu walikitoa katika bibilia.

  • @kelyanjeremiya2533
    @kelyanjeremiya2533 4 роки тому +3

    Dah.. mzee hongera sana umenifungua kwenye jambo nisilokuwa nalijua ama kweli ww ni genius na naamini kweli una uwepo wa MUNGU ndani yako Asante kwa elimu nzuri na mwenyez MUNGU azidi kukuongoza..🙏🙏

  • @salimummbaga4347
    @salimummbaga4347 4 роки тому +22

    Naombeni like kama umeielewa Jamal anachosema ni ukweli tuacheni kupotoshana Sisi Kwa sisi

  • @fadhilisanga2392
    @fadhilisanga2392 4 роки тому +49

    The storybook inazidi kuwa tamu zaidi na zaidi

  • @neemaedward1791
    @neemaedward1791 3 роки тому +1

    Mungu ni Roho Sisi Sura haituhusu ,tunamwaminj Yesu na sio Sura wala mavazi , wew usiposhe Iman za watu

  • @emtv9675
    @emtv9675 4 роки тому +21

    Mimekua wa kwanza kucoment

  • @tikonjoka5090
    @tikonjoka5090 4 роки тому +35

    from Zambia

  • @martinfrancis9808
    @martinfrancis9808 4 роки тому +119

    JAMAL MWAMBIE DIAMOND AKUONGEZEE MSHAHARA AKUPE MILIONI 3 YANI UNAJUA SANA MPAKA UNAOGOPESHA...

  • @juniorclifford4426
    @juniorclifford4426 4 роки тому +213

    Umetusahulisha @mtiga.. acha tuendelee kukusuport" weka like👍

  • @michaelb.luande6512
    @michaelb.luande6512 4 роки тому +8

    Mimi kutoka Kenya. Asante kwa kazi nzuri kaka April! Uwepo wa yesu ni myth. Vitabu vya dini vimeandikwa kwa mbinu ya allegory. "Allegorical language". siyo facts za history. Hiyo ni sababu moja mbona vitabu vya dini havina "dating system". yani mbinu ya kutumia tarehe katika matukio haiko katika hivi vitabu. naomba ufanye research kuhusu mythical beings wengine ambao wana historia sawa na Yesu ilihali myths zao zilkuwepo miaka mingi kabla ya yesu.

  • @nomatter1239
    @nomatter1239 4 роки тому +100

    Wanaosem jamal mustafa anajuwa snn lik hp zimife 30 tt kam kwel jam anajuwa

  • @jamsonpeter3917
    @jamsonpeter3917 4 роки тому +8

    Yesu hatatokea akiwa amevaa mwili kama Jamali anavyodhani ila atakuja kwa roho. Na kitakachomuona sio macho yetu ila ni roho zetu. Na hawa wakina Blayan na Robert woa wanaigiza tu kufwatia maandiko na mtu anacho amini si sura ila ni matendo . Sura haiwezi kutufikisha popote. Okokeni maana hakili Yesu hatumuamini kwa resurch ao kwa archeology bali kupitia Biblia takatifu. Sema Amen kama tuko pamoja

    • @alvinbexton6338
      @alvinbexton6338 2 роки тому +1

      Acha uongo bna imeandikwa kila jicho litamwona sasa ww unaesema roho ndo zitamwona unamaana gani sasa

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 8 місяців тому

      ​@@alvinbexton6338sio macho haya ya kawaida maana miili hii tulionayo itakua imebadilishwa

  • @zaonline5363
    @zaonline5363 4 роки тому +9

    Jamal Mustapha this man is geneous

  • @shabanimwinchea2696
    @shabanimwinchea2696 4 роки тому +6

    Huu mzgo umengusa mnooo,Jamaluch respect hii story umeresearch saaana big up

  • @NissileStephen
    @NissileStephen Рік тому +2

    God bless Brian and his family

  • @janjaneston01
    @janjaneston01 4 роки тому +26

    Jamal April hii kitu ya leo ni kubwa sana Kaka, Mungu akupe mwongozo Mkubwa sana kwa hii Kitu, daaah mpaka nasikilliza kwa umakini sana aiseee🙏🙏🙏❤

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +2

      True buddy👌🔥🔥🔥🙌😍

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому +1

      We umekua brainwashed nae at hujielewi Kama Nyumbu Fara ww kwa stor gan hpo mpka unasema amezama

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 4 роки тому +1

      @@luccabosslugendo9722 sasa unampangia kipi apebde na kipi asikipende?

    • @sohychances6747
      @sohychances6747 4 роки тому

      Sureee aisee

  • @josephlotto996
    @josephlotto996 4 роки тому +30

    Uko vzr. U make wasafi TV on 🔥

  • @thomasbyarugaba2755
    @thomasbyarugaba2755 Рік тому +6

    Those who believe in God shall really rejoice alleluia

  • @danieljoseph8758
    @danieljoseph8758 3 роки тому +1

    Hongera sana mwenyezi mungu ata kulinda Niamini lakin watu wabaya wataanza kukupinga na kukukwamisha lakin mungu hashindwi kama ww nini mmoja wa watu ambao mungu amepanga kukutumia kwenye kazi yake amini hamna atakaye zuia japo vikwazo lazma ukutane navyo lakin usiogope wala kukata tamaa HONGERA SANA KUWEKA WAZI UKWERI UNAOFICHWA KILA UCHAO

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 4 роки тому +2

    Bwana wetu Yesu Kristu alikufa na alifufuka siku ya tatu. Na hicho kitambaa ndio alama alioiacha. Hivyo basi Yesu kristu atarudi tena kuishuhudia dunia na wale wanaompinga. Humu kila mtu ana imani yake tuache kudodosa ya mungu kwa kejeli hatujui kitakacho tukuta. Mimi naamini ya kwamba Yesu yu hai mpaka sasa na alisema atarudi tena kuchukua walio wake.

  • @elishadesela269
    @elishadesela269 4 роки тому +7

    Kama una kubal huy jamaaa ni word mashine ,kiswahili kimetulia gonga likee

  • @josephybaruti1250
    @josephybaruti1250 4 роки тому +19

    Wasafi media big up

    • @raphaellazaro5324
      @raphaellazaro5324 4 роки тому

      Hivi ameshindwa kuleta habari ya muhammad analeta ya yesu

  • @yohanaeliah9944
    @yohanaeliah9944 4 роки тому +14

    MTU MMOJA AKANIAMBIA KWAMBA KWANINI UNAMWAMINI YESU HAUJIU KWAMBA YESU NI MZUNGU NIKAMWAMBIA SIKILIZA NIKWEELEZE HAYOYOTE SITAKI KUJUA NINACHOJUWA AMENIOKOA , NILIKUWA MTUMWA AKANIWEKA HURU NDIO MAANA NINA MWABUDU,

  • @apolinaryalfred9577
    @apolinaryalfred9577 4 роки тому +122

    Wanayo ipenda the story book mpoooo

  • @paulmshabaha6356
    @paulmshabaha6356 4 роки тому +41

    Genius jamal april

  • @balomjeshi3827
    @balomjeshi3827 4 роки тому +23

    Jamal April 💣💣uko makini brother

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому

      We mbwiga kwel makini gan sas hpo na hyo stor ya kiwaki?? Fara kwel nyote..

  • @vedastusmsiba5439
    @vedastusmsiba5439 4 роки тому +1

    The story book iko pw xan we jamali uko vzr xan una saut nzur xan noma xan wasafi Media

  • @Babaphanicemwenyewe278
    @Babaphanicemwenyewe278 2 роки тому +1

    My God bless you nakuoenda mbure👏👏👏🙏

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 4 роки тому +33

    King leo apo wasafi 🇶🇦🇶🇦

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 роки тому +5

    Asante sana kwa hi story mkubwa

  • @NissileStephen
    @NissileStephen Рік тому

    Watafiti hao ni binadamu kama mm so cwez wahamin kwa makadilio yao iki ni kitendawili kikubwa sana. lakini cwez walaumu bali nawaombea kwa Mungu awabariki sana na waachane na kazi ya kukadilia sura ya Yesu bal wa muombe sana Mungu awabark wafike mbinguni waka muone yesu kwa uhalisia wake, Asante Mungu kwa kuniumba mm na wanasayansi wanao kisia sura ya mtoto wako tubark cc wote na utusamehe kwa dhambi zetu zote

  • @imakulatapaulo1806
    @imakulatapaulo1806 4 роки тому +25

    Gonga like kama umekuwa wakwanza kuview

    • @nasraally4588
      @nasraally4588 4 роки тому

      Qur an ndio inamtambua yesu kuliko MTU yeyote, hizi ni story tu!

    • @imakulatapaulo1806
      @imakulatapaulo1806 4 роки тому

      @@nasraally4588 mmmh hatr

  • @janethsembe7124
    @janethsembe7124 4 роки тому +20

    Naangalia story huku napitia comments baas muruuuua kabisa😊

  • @azizkilindi9014
    @azizkilindi9014 4 роки тому +16

    genius jamal🏍🏍🏍🏍

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому

      We kwel mburula na familia yenu ni manyumbu stor ya kijiinga afu unasema genius hahahaha

    • @devymuya3750
      @devymuya3750 4 роки тому

      Kaka ww unajua sana mzee piga kazi mzee

  • @AliAli-by7vb
    @AliAli-by7vb 4 роки тому +1

    Uko vizuri sana hadisi zako nazipenda kutoka Jordanie nizielewa

  • @abdlhaleem8380
    @abdlhaleem8380 4 роки тому +21

    God is Allah only... 🔥 🔥 🔥 🔥

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому +3

      Apo umemaanisha Mungu ni Mungu tuu .inamana waarabu awana jina la Mungu

    • @ikrissaidrissa8613
      @ikrissaidrissa8613 4 роки тому +2

      😂😂😂😂 umechanganya kiarabu na kiingeleza yote maana ni moja mungu ni mungu or Allah ni Allah or God is God

    • @nlylyn1443
      @nlylyn1443 4 роки тому

      @@ikrissaidrissa8613 STRONG

    • @samxx411
      @samxx411 4 роки тому +1

      @@ikrissaidrissa8613 Hapana God/Mungu ni wengi, inawezekana ni ng'ombe, mizimu, miti, mawe, moto itategemea na imani nyengine ila Allah ni Mwenyezimungu hana mshirika, hakuzaa wala hakuzaliwa, hakuna aliefanana nae, yeye ndie alieumba ulimwengu na kila kilichomo nae ana majina 99

  • @aminihaji4856
    @aminihaji4856 4 роки тому +50

    Jamal Mustafa. Talented. The story book.

  • @kennedyacholajanyarwenya1126
    @kennedyacholajanyarwenya1126 3 роки тому +15

    Glory be to God 🙏

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 3 місяці тому

    Ukiwa mwombaji Mungu mwenyewe anaweza kujifunua kwako!!

  • @danielmlaponi9235
    @danielmlaponi9235 4 роки тому +9

    Keep it man big mind strong story

  • @alinanuswemaclean1871
    @alinanuswemaclean1871 4 роки тому +11

    Daima usikubali watu wakushushe! keep fighting and prove them wrong! they will praise you later and be their hero... well done Jamal April....I always believe in Talent, Hard work and Commitment

  • @trueonlinemedia64
    @trueonlinemedia64 4 роки тому +11

    Mzee ukoseagi🔥🔥

  • @onlinetzmedia
    @onlinetzmedia 4 роки тому +2

    Jamaal Mustafa ww sio m2 wa kawaidaaa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @decemberachieng7488
    @decemberachieng7488 4 роки тому +40

    But Jesus raised from death
    He's no more in the tomb
    I can't believe that....

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 4 роки тому +6

    Jamal upo vizur sana unachimba sana endelea kaka

  • @ceciliaeleuterymbangile7989
    @ceciliaeleuterymbangile7989 3 роки тому +5

    You did a great job, I see pple worshiping other pple,a lot has to be done to transform the mind of people especially the ones living in rural areas

    • @ceciliaeleuterymbangile7989
      @ceciliaeleuterymbangile7989 3 роки тому +2

      Wako na picha Za hawa and kneel before them and pray to them

    • @allansk1035
      @allansk1035 2 роки тому

      @@ceciliaeleuterymbangile7989 That's crazy me as well before doing my research I used to think that is the real picture of Jesus Christ..but it was damn lie 🤥

    • @terrywatahi1203
      @terrywatahi1203 2 роки тому

      True

  • @tariqdasulley
    @tariqdasulley 4 роки тому +1

    JAMAL STORY ZAKO USIMULII JUU JUU TU YANI UNACHIMBUA KABISA NDANI HUKO 🔥🔥🔥

  • @mjuba
    @mjuba 4 роки тому +3

    Jamal mustafa uko vizuri bro👍 Big up sana👊👊

  • @Mcdonaldtv
    @Mcdonaldtv 4 роки тому +53

    Wafilipi 2:5-11 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
    5 Muwe na nia kama ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu; 6 yeye kwa asili alikuwa sawa na Mungu, lakini hakuona kwamba kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kush ikilia sana. 7 Bali alikubali kuacha vyote, akachukua hali ya mtumishi, akazaliwa na umbo la wanadamu. 8 Alipochukua umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii mpaka kufa, tena kifo cha msalaba. 9 Kwa sababu hiyo, Mungu alimwinua juu kabisa, akampa jina ambalo ni kuu kuliko majina yote; 10 ili kwa jina la Yesu, kila goti lipigwe, mbinguni na duniani na kuzimu; 11 na kila ulimi ukiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu

    • @naftaliosango9575
      @naftaliosango9575 4 роки тому

      Ameeeen

    • @naftaliosango9575
      @naftaliosango9575 4 роки тому

      @@blackman7532 Uongo gan wew

    • @ivanlaizer724
      @ivanlaizer724 4 роки тому

      Amen

    • @mwamtumumasanja9629
      @mwamtumumasanja9629 4 роки тому

      Kikawaida jina hua halibadiliki.mungu jina alilomwita haswa ni lipi.mana yesu ni kiswahili na yy alikua muibrania

    • @allyseugendo
      @allyseugendo 4 роки тому

      Toa andiko yesu akisema yy ni mungu na si utoe andiko walilosema watu kama wewe acha kufuru wewe mtoto

  • @htvtanzania3483
    @htvtanzania3483 4 роки тому +5

    Jamal wewe ni kiboko ya story ALLAH akubaliki

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому

      Labda abarikiwe na ALLAN SIO ALLAH.. STOL YA KISHENZ YA KUKASHF

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      @@luccabosslugendo9722 we nawe sijui binadamu wakoje msxuuuuuuu

    • @azizjuma7678
      @azizjuma7678 4 роки тому

      @Lucca kasome acha kubururwa

  • @hysbakmonster580
    @hysbakmonster580 4 роки тому +1

    Dah kaka jamali unajua sana mwanzo tulimzoea lakin umetuonyexha kuwa kila k2 kinawezekan ukiamuan

  • @monalisahenry2625
    @monalisahenry2625 3 роки тому

    Natamani ktk uzao wang Mungu anipe mtt atakae kuw kama ww
    Mungu akubariki sana Jamal the Genius

  • @robinsonshoo6754
    @robinsonshoo6754 4 роки тому +15

    Big up jamal

  • @bnztechnologies2676
    @bnztechnologies2676 4 роки тому +7

    jesus is alive my friend hekima ya kibinadamu ni upuuzi kwa Mungu

  • @fpctsamariakahama5713
    @fpctsamariakahama5713 4 роки тому +2

    Aisee huyu jamaa alisomea wapi kama sio utafiti wahaliayaju gonga like kama mjanja

  • @impixelmusictz3044
    @impixelmusictz3044 2 роки тому

    Asante sana kaka jamali Mustafa ulichozungumza Ni kweli kabisa

  • @ronardngwavi3234
    @ronardngwavi3234 4 роки тому +26

    Mapema ndani ya the story book

  • @ibrahimmnenwa9919
    @ibrahimmnenwa9919 4 роки тому +55

    Kama umekubal kumaliza MB zako kama mimi kwa ajil ya uyu jama gonga like twende sawa😀😀😀🤣🤣

  • @Hottatto816
    @Hottatto816 4 роки тому +8

    Jamal kunywa Pepsi big queen darlin atalipia

  • @sabrinabakari5908
    @sabrinabakari5908 4 роки тому +17

    Leo nimeongeza umakini kusikiliza the story book

  • @brothermo9343
    @brothermo9343 4 роки тому +4

    Mm ndo nimekamilisha like ya 1k

  • @beatricewamboi4316
    @beatricewamboi4316 Рік тому +7

    Jesus is lord and God over my life I have felt his love and grace in my life.Thank you lord.No matter what anyone says I know my lord is alive and his power is evident in my life amen.

    • @omarysaidy5524
      @omarysaidy5524 Рік тому

      Nyoo yesu sio mungu na wala hana Sifa ya kuwa mungu pole sana njoo kweny usilam unusurike utakuja juta baadae ndg me nakupnda njoo uku

    • @ErnestErio-sv8hu
      @ErnestErio-sv8hu Рік тому

      Thanky

    • @ErnestErio-sv8hu
      @ErnestErio-sv8hu Рік тому

      Thanky my brother

    • @MaaDii-iz3ur
      @MaaDii-iz3ur 8 місяців тому

      Gai nyie waislamu simuendelee na muhamad wenu mbona mnalialia tu kwa ajili ya yesu, YESU ndie BWANA milele.

    • @Iamwitynes
      @Iamwitynes 3 місяці тому

      @@omarysaidy5524😅😅😅😅😅 pole yako wewe

  • @gidionimbona7420
    @gidionimbona7420 4 роки тому +1

    Hongora San kijana

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 4 роки тому

    Aisee najifunza mengi san Kupitia the story book asante san

  • @abduljuma9614
    @abduljuma9614 4 роки тому +13

    iki ndio kipindi bola kabisa cha story akuna sehemu nyingine unaweza kupata story za kijanja kama izi .Jamal unauwa Sana mzee .

  • @bensonbenjamini7072
    @bensonbenjamini7072 4 роки тому +12

    Wanaopenda the story book kutoka dar mpo wangapi

    • @selemanikinyonyi7971
      @selemanikinyonyi7971 4 роки тому

      Kwaiyo wapo 9 tu au mbona comment ninyingi, naona apo kuna like tisa tu

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 4 роки тому +1

    Nakukubali mwamba 👊

  • @stevelouis2502
    @stevelouis2502 4 роки тому +1

    Fata matendo ya Yesu Sula haita kusaidia Chochote na Iman ya Yesu ndy itakayo kusaidia ktk maisha yako msifate Din maana din haipeleke m2 mbingun

  • @jacksonnyahiri4819
    @jacksonnyahiri4819 4 роки тому +6

    Big up bro.... unaeleweka kinyama never give up we piga kazi c tutakusupport

  • @dramamusic3008
    @dramamusic3008 4 роки тому +21

    Wasafi media

  • @SalmaSwedi-ss3tk
    @SalmaSwedi-ss3tk 9 місяців тому

    Jaman Kaz ya mungu kwann tunapenda kuzuchunguza lazima tupotoke .kwann tusifuate vile mungu anasem

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому +1

    Ukitaka kuijua Sura ya Yesu wewe zama kwenye imani kwa ndani kabisa utaijua sura yake, ambapo utakavyoiona wewe sivyo watakavyoiona wengine !! Imani ni fumbo ambalo analijua anayeiamini pekee !! Na kama Mungu alituumba kwa mfano na sura yake basi kila mwanadamu anayo sura ya Mungu !!

  • @charitythegolden729
    @charitythegolden729 4 роки тому +6

    IMANI YA KIKRISTO SI MUONEKANO WA KIMWILI WA YESU BALI UMUNGU ULIONDANI YA YESU.

    • @ladyubuyu4797
      @ladyubuyu4797 4 роки тому

      Charity The Golden I wish ungewaeleza watu waliodhania kwamba Jamal anaikashif imani fulani kisa anaongelea rangi ya mwili ya yesu. Hapo ndio unajua mabeberu wanetutawala hadi fikra

    • @charitythegolden729
      @charitythegolden729 4 роки тому

      @@ladyubuyu4797 Ni kweli,
      YESU Ni jina la kawaida Uyahudini lakini YESU KRISTO ambaye ni MUNGU hatuwezi kumfafanua katika mwili.

  • @jaxfrax9578
    @jaxfrax9578 4 роки тому +15

    Wakwanza leooo nipeeni like zanguuu asee

  • @fgvh2151
    @fgvh2151 Рік тому

    Amen amen amen amen amen yes alikataa wamakanzu ndefu

  • @meshacksamson1008
    @meshacksamson1008 4 роки тому +1

    Dah yan wa2 vigeugeu sana yan ,,@JAMAL wasamehe wote waliokuvunja moyo na hongera kwakuonyesha kua unaweza
    Fact MSIPENDE KUMUHUKUM MTU BILA KUMPA NAFAC

  • @jriyadahmad5617
    @jriyadahmad5617 4 роки тому +23

    Kama ww ni muislamu na unaamini yesu sio mkristo likes

  • @loneboy6656
    @loneboy6656 4 роки тому +15

    Yoooo Jamal April anakubal Sana wat ur doing brother unatufumbua akili Lina nn bro hauogob ukamatwa na watuwasiojulikana???

    • @iammusic3404
      @iammusic3404 4 роки тому +1

      Mtiga au?😂😂😂
      Mana now Jamal yuko on fire🔥🔥🔥

    • @loneboy6656
      @loneboy6656 4 роки тому +1

      Yeah bro uko on fire jamal

    • @luccabosslugendo9722
      @luccabosslugendo9722 4 роки тому +1

      We bwege kabisa sas kwa stor gan mpaka ufumbuliwe akiri?? Na wasiwas utakua unatokea familia ya vilaza tupu!!!

    • @tenatanz
      @tenatanz 4 роки тому

      Lucca Boss Lugendo
      huhuhu ww nahis mpuuuz

  • @davidmaisely8899
    @davidmaisely8899 4 роки тому +1

    Hongera umejitahidi kusimulia! Kitu ambacho binafsi yako huamini lakini umesimulia vizuri !! Wewe unaamini kuwa Yesu hakufa alipaishwa mbinguni kutokana na imani yako! Sisi twaamini alikufa akafufuka
    Swali langu kwako kutokana na simulizi yako Je! Wewe unaamini mwili uliokutwa kwenye jeneza ni wanani? ??

  • @kelyanjeremiya2533
    @kelyanjeremiya2533 4 роки тому +2

    MUNGU awe nawe pia mzee na azidi kukuongoza na kukubariki kwenye kazi ya mikono yako..🙏🙏

  • @emtv9675
    @emtv9675 4 роки тому +48

    Kama unamkubal jamal gonga like za kuzidi😋😋😋😋