"Nilibadili Dini, Marafiki Wakaanza Kunitisha, Ilikuwa Inanitesa Sana" |SALAMA NA GODLIVER PT1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460
    LUVVIE
    Jina la episode litosheleze kumuelezea mgeni wetu wa wiki hii, hodari, mahiri, mcheshi na mwenye kujielewa ila kikubwa kuliko yote ni Mwanamke. Alipotoka na mipango yake ya maisha ilikua ni moja ya chachu zilizotufanya mimi na wenzangu tuone anastahili kukaa kitako kwenye kiti chetu kile kilichopauka. Na hakukua na mjadala juu ya yeye kuipata nafasi hii.
    Godliver kwa sasa ndo nyota yetu ing’arayo kila kona ya bara na dunia kwa ujumla, kwa imani niliyonayo kwake naamini huu ni mwanzo tu wa mengi makubwa na mazuri na pengine ya kushangaza na kuiandikia historia Taifa letu yanakuja, kiu hiyo ya kupata hayo na zaidi unaiona kwenye macho yake na kujiamini alikonako. Ukibahatika na kuangalia kazi zake basi ndo utazidi kuamini na kumtakia kila lenye kheri.
    Mitihani na kupanda na kushuka kwenye maisha yake naye alipitia kama kila mmoja wetu, jinsi alivyokua anayapangua na kutengeneza kinywaji kila mara alipokua anarushiwa malimao kumemfanya awe na kiu zaidi na kutaka kusonga mbele zaidi kwa kasi ya majaaliwa.
    Alianza kama mas’hara tu na mengine ni historia tu kwa sasa. Mama wa mtoto mmoja ambaye ni kila kitu kwake, Godliver ananihadithia moja ya mikasa mingi ilowahi kumkuta maishani mwake, na pia amenikumbusha umuhimu wa kuchagua marafiki na watu ambao unawaweka karibu kwenye maisha yako.
    Alishawahi kubadili dini na kuwa Muislamu, bahati nzuri alikua na wazazi ambao ni waelewa sana, hakuna aliyekua anamhukumu kwenye maamuzi yake, pengine walikua disappointed kwa kiasi fulani, zaidi Mzee wake lakini wala hakuonyesha kushutushwa au kutaka kumsema vibaya kwa maamuzi yake, badala yake waliheshimu na kumpa support tu kwenye maamuzi na maisha yake.
    Maisha yamemumfundisha mengi tu, pengine kwa adhabu zaidi yamemfundisha kuwa marafiki ambao ndo aliwaona wanampenda sana waliishia kumhusisha na mambo ambayo si mazuri na ambayo yalimfanya ajaribu imani yake kwa kiasi kikubwa sana.
    Humu anakumbuka jinsi alivyokua anahangaika kwa waganga na kujaribu kwa nguvu vitu ambayo vilikua hata havihitaji hiyo njia ambayo alikua anaaminishwa kama ndo zilikua sahihi.
    Anakumbuka Imani yake ilivyo jaribiwa na utukufu wa Mungu alipokuja kumuongoza.
    Hapo juu nilisema huyo ndo muigizaji BORA wa kike kwa sasa, pengine wengine wanaweza wakawa na mawazo tofauti kidogo na haikatazwi, ila kwenye vitabu vyangu? Kwa hesabu ya leo? Huyu ndo Mama yao.
    Sasa aliwezaje kutoka huko? Alikutana vipi na Baba wa mtoto wake? Na filamu au kazi yake ya kwanza ilikua inatwaje? Na aliipataje hasa? Nani ndo anamuangalia sana maishani mwake? Ambaye angependa kuwa kama yeye? Wapi anajiona huko mbele kwenye kazi yake hii?
    Natumai utajifunza mawili matatu kutoka kwa Dada Mkali na uta enjoy pia.
    Love,
    Salama.
    Support us through anchor.fm/yahs...
    SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahSton...
    Listen our Podcast on
    Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
    GooglePodcast Link bit.ly/GoogleP...
    Audiomack Link bit.ly/YahSton...
    ‪UA-cam Link bit.ly/UA-camS...
    Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 441

  • @RhodaMlowe
    @RhodaMlowe День тому +2

    Kumbe Anna asivyo na msimamo kwenye maigizo ndio maisha yake halisiiii😳eti uende uislamu ukaburuzwe huko then urudi Kwa Yesu duuuh!!! Huyu ndio Anna dada Ake Bill na Frank!! Mke WA Diba, mchumba WA bobo, na sasa Mr Focus Aiseee umetishaaaa!!

  • @WahidYahya-bf4lq
    @WahidYahya-bf4lq Рік тому +9

    mskini , nilikuhukumu ktk nafsi yangu kumbe kosa lilitokana na waislam wenyewe. ungepata misingi sahihi ya dini usingerudi kwenye ukristo

  • @norahmajaliwa3841
    @norahmajaliwa3841 5 годин тому

    Glory to God

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому +56

    Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 Рік тому +7

    Qur an inatosha sana kikubwa ni kujuwa vipi utaitumia kwa shida zako

  • @ramadhaninkondeja2018
    @ramadhaninkondeja2018 Рік тому +14

    Dada huo ni mtihami ujue wislamu ni dini ya kweli Sasa wanachikifanya watu wengi hawaamini maandiko wànawafuata watu Hilo balaa Quran haijabakisha kitu, manake hata hao wanaosali halafu wanaroga au kwenda kwa wagani wote motoni

    • @nicholousmtemi3902
      @nicholousmtemi3902 Рік тому +6

      Kwa yesu ndo mahali sahihi hajakosea

    • @rizoibrahimovich605
      @rizoibrahimovich605 Рік тому

      Inategemea unaenda Kwa mganga kufanya nn, kama unaenda kujikinga sidhani kama ni dhambi

    • @winfridahaule4364
      @winfridahaule4364 Рік тому +3

      ​@@rizoibrahimovich605Mungu ataki kuchanganywa Kinga ni Mungu pekee

    • @lilianmoyo9369
      @lilianmoyo9369 4 місяці тому

      Tuonyeshe alierudi kutoka wafu akakwambia hayo au ndio bendera fuata upepo

    • @JosephaNdomba
      @JosephaNdomba 2 дні тому

      Uislamu si mbaya ila kuna baadhi ya watu wanaharibu Uislamu

  • @upendokiwanga9538
    @upendokiwanga9538 6 місяців тому +4

    Safi dada una ujasiri wa kusema habari za Yesu kwa ujasiri mkubwa

  • @neemashao5328
    @neemashao5328 Рік тому +4

    Wow!Godliver umesema vizur umeokoka na unampenda Yesu:Nakupenda unajua kuigiza pia luv❤

  • @Fatmafo6gojh
    @Fatmafo6gojh Рік тому +6

    Hao marafiki ni sababu tu ya ww kurud ukristo coz haukua na Imani na amani na ujasir w kutosha w kufocus na dini ambayo ni ngeni kwko ata muislam ambaye ange shift ukristo ange do the same even if asingekutana na marafiki hovyo.

  • @SerahKasaine
    @SerahKasaine Рік тому +5

    Mungu wa mbinguni akubariki sana na uzidi kumpenda mungu na mungu bila shaka ataoneka ndani yako

  • @shangweyussuf640
    @shangweyussuf640 2 роки тому +9

    Ulikutana na matapeli. Hawakuwa Muslims.

  • @floramarinyo3517
    @floramarinyo3517 Рік тому +20

    Jina la YESU ni dawa ni faraja linaponyaa linauwisha Lina fariji aisee kam ww umebahatikaa kumpata Yesu , mashukuru Mungu aisee hii ni NEEMA , NEEMA nikwamba umepata kitu ambacho hukistaili so aiseee tushukuru kuwa wakristo 💒🙏👍💪❤️😘

  • @ShakiraHassani-mt7uk
    @ShakiraHassani-mt7uk Місяць тому

    Uislam wenyew hauruhusu ushirikina,wewe sema ulifata mapenzi, itabaki palepale uislam haujabakiza kitu

  • @InfinixHot7-b3t
    @InfinixHot7-b3t Рік тому +3

    Hakuna muislam yeyote anemchukia yesu. ila nyiny wa kristo sio waelewa

  • @Somoo220
    @Somoo220 День тому

    Wewe hujakutana na Waislam hasa umekutana na Washirikina bhnaa

  • @jacquelinelukambuzi5085
    @jacquelinelukambuzi5085 Рік тому +7

    Mi pia nakupenda sana Godliver Mungu atukuzwe kwa ajili yako

  • @_fizzle
    @_fizzle 2 роки тому +29

    Umeniletea mtu ninayempenda sana, personality yake tu mimi inanikosha mno. Big love Anna 😍

  • @luckyshija6649
    @luckyshija6649 2 роки тому +19

    Godliva is awesome in each way, Salama unajua mpka unaboa yani ni balaa

  • @AyubuKalukula
    @AyubuKalukula 3 місяці тому +2

    Usiwe mkristo tu kua sister kabisaa afu uwone kama aloumba mbingu atapungukiwa kitu uislamu ndo dini Tu no duscas

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 8 місяців тому +3

    Dunia ni gereza kwa waislam na dunia ni dunia ni pepo kwa makafiri unajihisi km maisha umeyapatia kumbe ni starrehe ya dunia tu

  • @noahyavinmlela859
    @noahyavinmlela859 2 роки тому +16

    Nazani Interview hii itakuwa Nzuri sana ngoja tuone

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 2 роки тому +18

    Ila salama ni mrembo jamani ❤️❤️ I love you 💚

  • @devotabashome1090
    @devotabashome1090 День тому

    Wote dini tumezikuta kutoka kwa nababu zetu

  • @choggysly3541
    @choggysly3541 Рік тому +4

    Umeongea vizuri...Pili uislamu na ushirkina ni vitu viwili tofauti ulipata watu sio sahihi kabisa

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 9 місяців тому +2

    Ulikuwa ukipendeza sana ulipokuwa ukivaaa ushungi

  • @yassintaibrahim3541
    @yassintaibrahim3541 2 роки тому +7

    Nawapenda Wote Kwaajili Ya M/MUNGU 🙏🙏🙏😘😘😘

  • @arjunelly540
    @arjunelly540 Рік тому +2

    Salama mnafiki et hata mimi nampenda Yesu😂😂😂😂😂

    • @SamiraMakame-w9c
      @SamiraMakame-w9c 4 дні тому

      Anampenda yesu salama kwa sababu uyo mnouita yesu ni nabii ISSA mtume wa 24 kati ya 25;waliotajwa katika Quran,atamchukiaje salama yesu?

  • @MTOTOWAvitoto
    @MTOTOWAvitoto 2 місяці тому

    huyo mzazi mwenzake ni nani jamn??

  • @gracejasson8690
    @gracejasson8690 2 роки тому +18

    Nlikuwa najiuliza kwa nini nampenda kumbe ndo maana 💞💞 Nakupenda wewe Dada jamani

  • @JilbertDanifordMathayo-sn2gy
    @JilbertDanifordMathayo-sn2gy 5 місяців тому

    YESU NDO KILA KITU. SOURCE OF LIVE IS HIDEN WITHIN A NAME OF JESUS.
    Neno linasema amwaminie mwana Yu na Uzima.
    Tuache kiki ... Za kudukua followers mtandaoni!

  • @kondempya
    @kondempya Рік тому +3

    Hukuwahi kuujua uislam sisi tuliozaliwa nao tunafarijika sana kuzaliwa tukiwa waislam.

  • @KituRu
    @KituRu 8 днів тому

    MUNGU NI MWEMA

  • @virendavictoria5174
    @virendavictoria5174 2 роки тому +5

    Godliver my favourite and the best actress

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 2 роки тому +5

    Sijui Christina Shusho anafuatilia hii Interview🙂 Nadhani akiangalia atakuwa mtu ambaye alikuwa mwanzo... Mnyenyekevu

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht 4 місяці тому

    Tha beautiful story of testimony of the blood of Jesus very powerful

  • @isacksaimon4532
    @isacksaimon4532 Рік тому +2

    Huyu salama ana jua kuuliza sana

  • @hilaryarande-gs8ht
    @hilaryarande-gs8ht 4 місяці тому

    Ni dhairi waislamu wanatumia majini, sule akuwa wazi Kwa ilo,lakini DAMU,ya YESU Iko na nguvu ya toa Kila nguvu za giza

  • @fatumaabrah3153
    @fatumaabrah3153 2 роки тому +4

    Nyie watu nisainieni jina na yule kaka video kig wa video ya zoba ya banana zoro ndo kazaa na huyu dada

  • @siasia5469
    @siasia5469 2 роки тому +3

    Wale marafiki zako walikua si watu wazuri walikupeleka uko kwaajili ya kukuangamiza tuu na si kukulinda ilikua ni kwa manufaa yao

  • @HilderKafuko
    @HilderKafuko День тому +1

    Kilicho Cha Mungu hakipotei

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 2 місяці тому

    Heeeee kutoka kwenye ziro hadi juu na kushuka tena kwa kasi kurudi kwenye ziro mbona iyo kiboko

  • @jacquelinekahamba7872
    @jacquelinekahamba7872 Рік тому +1

    yote maisha cha muhimu kumjua Mungu

  • @alphredinaalphonce7043
    @alphredinaalphonce7043 2 роки тому +3

    Kumbe nishomile mwenzangu🥰🥰

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 2 роки тому +5

    Mimi Mars afocus zaidi kwenye kuigiza na arudi kwenye utangazaji zaidi itapendeza

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer Рік тому

      😅kwa sababu hiyo kazi unayofanya haiendani na uislaam

  • @brendagabriel2052
    @brendagabriel2052 Рік тому +1

    My biggest brother khaaaa kinge hiki hahahaha, my Elder brother

  • @Hot_rod-lies
    @Hot_rod-lies 25 днів тому

    Ww dadangu hukushika uweslamu. Kisawasawa poli

  • @nispalaurian
    @nispalaurian Рік тому +1

    Mimi nimempenda uyu dada kwenye haikufuma aliitwa Ester aliigiza chenga na alimtesa robati huyu dada Hapo ndioo nilipo mpenda Mimi Hadi leo piga Kazi

  • @thomaslyimo1729
    @thomaslyimo1729 2 роки тому +13

    She is story teller, she is good and smart.

  • @halimajumanne9778
    @halimajumanne9778 Рік тому +3

    Kwa hiyo ana uliacha uislam kwa sababu ya marafiki wabaya wewe hukua na msimamo usitudanyanye bana

  • @AyubuKalukula
    @AyubuKalukula 3 місяці тому

    Polesana ulikutana na waislamu jina afu ukisema dini unakihukumu uislamu kwajiri ya hao matapeli umejichanganya sana mana hayo majini kanisani ndo kilasiku wanaombea sasa mwamposa na wenzie ndo kaziako yesu anafanyinini

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 8 місяців тому

    Huyu cheche kafanya makosa makubwa sana kumwaga damu yake hapo kapoteza damu yake

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому +21

    Ila salama
    Hata mimi na mpenda, YESU!
    😂😂😂😅🤣🤣😂

    • @nadrasalim
      @nadrasalim 2 роки тому +7

      Hajakosea. Waislam pia tunampenda yesu, na tunamuamini kama Nabii, so hapo ndo tunapotofautiana na wakristo wao wanamuamini km mtoto wa Mungu.

    • @zenadaudzena2849
      @zenadaudzena2849 2 роки тому

      🤣🤣

    • @justinangolinda1939
      @justinangolinda1939 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani alivyojibu Kwa haraka

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 2 роки тому +3

    Wewe umeongea UKWELI

  • @BhokeWarioba
    @BhokeWarioba Рік тому +2

    Woooh ubarikiwe sana anna

  • @michaelchuwa1879
    @michaelchuwa1879 2 роки тому +12

    It's marvelous interview waited along time .

  • @azinarashidi5204
    @azinarashidi5204 2 роки тому +7

    Nice interview

  • @winnifridaashery4449
    @winnifridaashery4449 Рік тому +1

    Interview tamu halafu muda umeisha haraka duuuh.

  • @queenmwaweya9691
    @queenmwaweya9691 2 роки тому +4

    We dada ninakupenda mpaka najishangaa natamani siku nionane nawew lakini naona hixhokibali sina ila nakupenda sana Anna

  • @angelraphael4500
    @angelraphael4500 2 роки тому +1

    Ubungo kisiwani my best school,,

  • @pastorvincent9851
    @pastorvincent9851 4 місяці тому

    Uliwekwa huru dada, baada ya Uhuru na gharama zake! Inafurahisha!

  • @lovelyliliy5822
    @lovelyliliy5822 7 місяців тому

    Ulishajua sio watu sahihi ungetafuta watu sahihi wangekusaidia km kweli ulikua na nia na unaupenda uislamu

  • @leauwikunze3903
    @leauwikunze3903 Рік тому

    Naku iga ila nimesha shindwaaa kbsaaaa niambie nifanyeje mpaka niku fikie

  • @samsoniadamu2727
    @samsoniadamu2727 Рік тому +1

    Yan huyu dada jmn...nampenda mno mno

  • @hawasapi5480
    @hawasapi5480 2 роки тому +11

    I never watch interview za kiswahili like this hadi mwisho, I love this actress.

    • @ngoni7944
      @ngoni7944 Рік тому

      But English belong to white people

  • @InfinixHot7-b3t
    @InfinixHot7-b3t Рік тому

    Hakuna muislam yeyote anemchukia yesu. ila nyiny wa kristo sio waelewa

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 9 місяців тому

    Hukuwa na imani thabit ndio mana ukarudi kwenye Dino yake

  • @leauwikunze3903
    @leauwikunze3903 Рік тому

    Nakupenda wwe dda hujuwitu na omba siku moja tukutane my

  • @WitnessAbron
    @WitnessAbron Рік тому +1

    Nakupenda❤❤ dada Ana MUNGU awe nawe

  • @cailesatieno4998
    @cailesatieno4998 Рік тому +2

    LOVE HER SO MUCH❤❤❤

  • @deborahkabwe6057
    @deborahkabwe6057 Рік тому +2

    Nakupenda Sana dada kazi yako nzuri sana

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 Рік тому

    Msimami wako zero kabisa baki kwenye Dini moja unayoiamini kuliko kutanga tanga

  • @Ayoon_Furniture
    @Ayoon_Furniture Рік тому

    Waganga hawasali wala hawasomi qur an

  • @pendondossy4181
    @pendondossy4181 2 роки тому +3

    Yan salama na Godliver❤️❤️❤️❤️💋💋💋

  • @MaryamSimai-b9f
    @MaryamSimai-b9f 8 місяців тому

    Hujielewi ata kidogo mpaka cheche kakupa mimba ujielewe asaaa utafute wanaume .

  • @rodrickmataba8999
    @rodrickmataba8999 2 роки тому +3

    Shout out kwa Mwanangu Mboghochov...

  • @pendozakariya2601
    @pendozakariya2601 Рік тому +1

    Nakupenda maira

  • @JilbertDanifordMathayo-sn2gy
    @JilbertDanifordMathayo-sn2gy 5 місяців тому

    Labda kuenda uislamu ni Kwa maslahi Fulani.

  • @jacksonkendavis8689
    @jacksonkendavis8689 2 роки тому +15

    I LOVE YOU GODLIVER..YOU ARE SUCH AN INSPIRATION!!!
    🔥🔥❤❤❤💥💥

  • @lucydelina1749
    @lucydelina1749 Рік тому +1

    Salma my dada kaz nzuri sana na godlvar

  • @maymunamakungu6265
    @maymunamakungu6265 Рік тому

    Hayo yalikuwa matesoòo au umeyatafuta hayo majini kwa waganga?

  • @melinaferuzi7842
    @melinaferuzi7842 Рік тому

    Nakupenda wewe ni kitu usicho kijua❤

  • @abdul-razaksheha7793
    @abdul-razaksheha7793 Рік тому

    Nawachukia hao marafik waliokusumbua Kupitia uislam but I love 💞 so much anna

  • @fatmaahmed8108
    @fatmaahmed8108 2 роки тому +1

    Kumbe Anna umesoma Mtendeni mashallah

  • @amazing_grace5392
    @amazing_grace5392 2 роки тому +4

    She is very humble

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 Рік тому

    Mbona Kama story yako na yangu zinaendana 😢😢😢😢

  • @mariambakari7796
    @mariambakari7796 2 роки тому +3

    Salama umenenepa Mashaallah

  • @jacklinenestory9945
    @jacklinenestory9945 2 роки тому +1

    Jaman kitu cha bk hicho nakupenda mno anna

  • @omarkhamis4220
    @omarkhamis4220 Рік тому +1

    Takbir

  • @siwemasalehe192
    @siwemasalehe192 Рік тому

    Nacheka nikikumbuka na ile adha ya mapenz jua kali

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 2 роки тому +2

    It's true. Getrude she is the best

  • @InfinixHot7-b3t
    @InfinixHot7-b3t Рік тому

    Hukuingia kweny uislam. Si kwa7bu mungu

  • @zuberimangi5168
    @zuberimangi5168 Рік тому

    Kwanini mnaongea kingereza jamani mmmm

  • @mercynina6288
    @mercynina6288 Рік тому +9

    Asante YESU aliekurudisha mtoto wake! There was a reason @godlivergordian

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 Рік тому +2

      Akikuchagua hupotea, utaenda na kurudi nyumbani Kwa Bwana, hallelujah on that. Sifa na utukufu anao yeye.

  • @ilhamrachel8474
    @ilhamrachel8474 Рік тому

    nampenda sna hyu dada kutoka moyoni i wish nije kuwa kma yy mbelen coz napend sn uigizaji

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 Рік тому +6

    Uislamu na uchawi ni Samaki na maji uwezi kuvitenga

    • @salimbahatisha3003
      @salimbahatisha3003 Рік тому +2

      Kama ulivokua ukristo Na ushoga huwez kuvitenga kbisaa

    • @kijakazinyalinga7003
      @kijakazinyalinga7003 Рік тому

      Ukristo na kufilwa ndio pake mna hama sisha ushoga makanisani😂😂😂

  • @Annie-tt8fi
    @Annie-tt8fi 2 роки тому +2

    Salama tuwekee part 2 jmn

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 2 роки тому +2

    Nampenda sana huyu dada jamani

  • @GodlistenDaudy
    @GodlistenDaudy Рік тому

    Sio tuu nakupenda nakupenda zaidi yasana

  • @mwajumasuleiman9767
    @mwajumasuleiman9767 Рік тому

    Nampenda.ana.kama.ninavyo.kupenda.madam.salama.mmmmwaaaaaa

  • @rukiaussi2764
    @rukiaussi2764 Рік тому

    Nakukumbuka kweny nusura ulikuw mke wa cheche❤