Ooh1 now i get this kumbe madam ni kule kwetu? ndo maana kila baada ya sentence kuna kiswanglish afu akiongea full swahili utagundua tu ni wakule kwetu lafudhi yake. in top of it upo juu madam all the best.
Salama, umeonekana kumezwa na Ri...maswal mazur na magumu,umekua ukimjibia mf. ana uhusiano,au ana-date?Umemjibia!Try not to ask 'leading qns'... Anyway, u r great
Kwa nini watanzania wengi wanaamini kuwa kuongea kiswanglish ndiyo ustaarabu. Sijasikia mahojiano ya kiswahili mtu akajibu kwa kiswahili tu, lazima alazimishe kuingiza kiingereza. Kuna watu wanajaribu kuweka maneno ya kiingereza katika mahojiano, lakini ukishawabadilishia maongezi kuyafanya kuwa kwa kiingereza tu, unakuta wanajikanyaga.
Majura Selekwa Ebanae Kweli kabisa!..Wema Sepetu unaambiwa kidogo antapishe na nyodo zake!..English nyingi yani kuiga kupita kikomo!..Yani anaboa kweli hata sikumalizia kumsikiza..ni majanga!
PLEASE QUEEN, USIKUBALI (SISEMI AU SN UHAKIKA KM HAKUNA MWENGINE AMAEWEZA OK?)LKN PLEASE DONT TRUST THEM ,THE WAY YOU TRUST YOUR SELF AND THE PEOPLES AROUND YOU PLEASE QUEEN
hapo 07;56 UNASEMAJE WE MUBA? KWANI WATANZANIA WKOJE? SIKU ZOTE MTU ASIYEJIAPPRECIATE NI MTUMWA WA FIKRA...KUAMINI ETI MZUNGU ANAFANYA VIZURI KULIKO MTANZANIA, HATA WW UNAEZA KUFANYA UKIAMUA, POOR U, SALAMA U NEED TO FIND ANOTHER SUB INTERVIWER MWENYE UPEO KIDOGO SIO HAO MAKANJANJA
SHE BORN TO BE SPACIAL IN THIS WORLD(QUEEN WILL REMAIN TO BE A QUEEN(WHAT EVER IT IS
Penda sana madamu Rita...mungu akupe maisha marefu hapa duniani my sister
I love mdm Rita's confidence
Both the ladies r good upstairs(sharp).kudos.
Ni kweli kujiamini ni kitu kizuri...safi sana!!
Ooh1 now i get this kumbe madam ni kule kwetu? ndo maana kila baada ya sentence kuna kiswanglish afu akiongea full swahili utagundua tu ni wakule kwetu lafudhi yake. in top of it upo juu madam all the best.
Salama, umeonekana kumezwa na Ri...maswal mazur na magumu,umekua ukimjibia mf. ana uhusiano,au ana-date?Umemjibia!Try not to ask 'leading qns'...
Anyway, u r great
Awesome.
Big up madam
haaaaaaaahaaaaaaahaaaaaaahaaaaa omg salama salama....u juc made my day..lool
Ni elimu na pesa ndio inayoweza kumpa mwanaume 'confidence' lakini kwa mwanamke ni pesa na uzuri.
Hii ni moja ya interview nimeangalia mara nyingi alafu sii choki. Na kila nikiangalia nacheka utadhani nipo na mtu ndani kumbe pc
John & Salama mna maswali mazuri yaliyo tulia
rita ameganya vizuri cn like it
who is she?...
Afu jamaa li draya lako aah, kero Sasa
Dully Sykes kaua hapo mwishoni kuimba kipande cha Fally Ipupa, am longing for his episode.
Kapisa like That Madam Ritha
hongera madam liter
3:27 taulo ya nini sasa.
chezea Ngara ww n htareeeeeeee
Salama kinyumban kipo sana eti walah bilahi... Hahahhh
Huyu niwwpi
Muba, pimbi weee unampenda madam afu unatuchafua wabongo eti tupo ovyo,domo zege unajikanyaga
Mchana saa mbili asubuhi hahahaha
22:29 mchana saa mbili asubuh
hapo pa kuanguka hata mi nimecheka
Elizabeth Minja jomon miss u
Big up madam rita
age is jst a number so cjui kwani inakuwakikwazo kwenu mukiulizwa umri munakataa ilo swala
I can see uko na damu ya nyarwanda,kuja na huku ufanye business. it's will be better
or so mwaaaaaaaa I like u madam
Speak Swahili only it's a Tanzanian programme
Salama doing a gud job but u can make it better with ur qns..writ them down b4 if u can ...so it wont look lik u havin a hard time with ur qns...
Kwa nini watanzania wengi wanaamini kuwa kuongea kiswanglish ndiyo ustaarabu. Sijasikia mahojiano ya kiswahili mtu akajibu kwa kiswahili tu, lazima alazimishe kuingiza kiingereza. Kuna watu wanajaribu kuweka maneno ya kiingereza katika mahojiano, lakini ukishawabadilishia maongezi kuyafanya kuwa kwa kiingereza tu, unakuta wanajikanyaga.
Majura Selekwa Ebanae Kweli kabisa!..Wema Sepetu unaambiwa kidogo antapishe na nyodo zake!..English nyingi yani kuiga kupita kikomo!..Yani anaboa kweli hata sikumalizia kumsikiza..ni majanga!
Ritha unaonekana kaks
years later, unaposikia watu hawajalipwa.
what is wrong with that? goose pimples = goose bumps, inaonekana wewe ndo umekariri!
Goose pimples??kwikwikwikwi I died...
PLEASE QUEEN, USIKUBALI (SISEMI AU SN UHAKIKA KM HAKUNA MWENGINE AMAEWEZA OK?)LKN PLEASE DONT TRUST THEM ,THE WAY YOU TRUST YOUR SELF AND THE PEOPLES AROUND YOU PLEASE QUEEN
hapo 07;56 UNASEMAJE WE MUBA? KWANI WATANZANIA WKOJE? SIKU ZOTE MTU ASIYEJIAPPRECIATE NI MTUMWA WA FIKRA...KUAMINI ETI MZUNGU ANAFANYA VIZURI KULIKO MTANZANIA, HATA WW UNAEZA KUFANYA UKIAMUA, POOR U, SALAMA U NEED TO FIND ANOTHER SUB INTERVIWER MWENYE UPEO KIDOGO SIO HAO MAKANJANJA
Kiufupi huyu ni MTU wa tanga lakini anaficha tu kama bbaako nimtanga na wwe pia
okay why do women scare to say their age...why why?and they ask men how old they are!!!
ax
ax