Uko vema Kishimba. Tusaidie na hili la ratiba za shule. Mijini wanarudi watoto saa nane na dakika hamsini na shule za vijijini ni saa kumi na dakika kadhaa jioni. Na Jambo la kuumiza watoto wetu vipindi vya jioni vingi hawasomi zaidi ya kutumwa na walimu na kupigwa na njaa.
Huyu MP Kishimba anaonekana kama mchekeshaji, lakini anaongea/anachagua Mambo muhimu sana kwa Ustawi wa Taifa letu. Mawaziri wenye dhamana fanyieni kazi ushauri wake
@@mathewdyzymaleyafrica9128 gratianus hajielewi ,anazani wote matajir, wazazi kuwajibika na kua na uwezo wengine hawana uwezo wa mtoto kupata hela tu ya kula alafu vifaa tu vina gharama kiasi hicho ,atawajibika vipi au Ndo ataamua kumuacha mtaani👌
*KUSHEREKEA MAULIDI SIYO KATIKA UISLAMU, BALI NI UZUSHI ULIOZUSHWA.* NO:01 ua-cam.com/video/syLMq3IUqak/v-deo.html NO:02 ua-cam.com/video/4t0YAcb6Sag/v-deo.html
Mheshimiwa Kishimba una hoja nzuri sana sema watendaji ndo mazwazwa
Fact mr kishimba
Watanzania kishimba kwenye hoja zake ukweli tunaitaji kutafakali sana. Anaongea point za kutafakali
uko vizuri prof
Hili swala la shati nyeupe jamn linaumiza sanaaa aiseee linaumiza mtoto anarudi Kama kafukuliwa
Akili kubwaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Uko vema Kishimba. Tusaidie na hili la ratiba za shule. Mijini wanarudi watoto saa nane na dakika hamsini na shule za vijijini ni saa kumi na dakika kadhaa jioni. Na Jambo la kuumiza watoto wetu vipindi vya jioni vingi hawasomi zaidi ya kutumwa na walimu na kupigwa na njaa.
Huyu Mzee ni Akili kubwa.
😭😭😭😭 natamani ujuwee yanii dahhh
Huyu MP Kishimba anaonekana kama mchekeshaji, lakini anaongea/anachagua Mambo muhimu sana kwa Ustawi wa Taifa letu. Mawaziri wenye dhamana fanyieni kazi ushauri wake
Mh.miwa anaakili sana kweli yeye ni mtu mzima
Dah, huyu mzee akili zake ziko vizur Sana. Ni kichekesho chenye point tupu
Nakubari Sana kishimba
Mzee yupo Sawa kabisa lakin Kwenye uniform me naona kwa nyeupe tuendelee nazo
Kishimba umenikumbusha mbali toka asubuhi mpaka jioni hujala, nimesoma hapo kawe kata ya kilago
Talented
Swadaqtaa
Kishimba njoo uombe uraisi
Ni kweli hatuhitaji Digree nyingi kuwa Raisi Bali mtu mwenye upeo wa kiona mbali hasa Mambo yanayosumbua jamii
Mm ni mwalimu kaunta hazifai .mf .f1 awe na kaunta moja tu Tena la hesabu
Huu uzee unafaidaa
Usemayo si kweli kiuhalisia maana wewe unatetea kutowajibika kwa wazazi kwa watoto wao. Malezi ni fungamano na sio changamano
MAISHA YANATOFAUTIANA UKIFANYA TAFITI VIZURI NA UKARINGANISHA NA ANAVYOSEMA MHESHIMIWA UTAELEWA NACHOSEMA
@@mathewdyzymaleyafrica9128 gratianus hajielewi ,anazani wote matajir, wazazi kuwajibika na kua na uwezo wengine hawana uwezo wa mtoto kupata hela tu ya kula alafu vifaa tu vina gharama kiasi hicho ,atawajibika vipi au Ndo ataamua kumuacha mtaani👌
*KUSHEREKEA MAULIDI SIYO KATIKA UISLAMU, BALI NI UZUSHI ULIOZUSHWA.*
NO:01
ua-cam.com/video/syLMq3IUqak/v-deo.html
NO:02
ua-cam.com/video/4t0YAcb6Sag/v-deo.html
Dah mzee wewe utakuwa magufuli wapili
Mhe hizo hasira zatoka wap ikiwa umefunga kweli?ama siasa zinatupeleka ndipo sipo
Shule gani alichukua sample Mimi kwa daftari ninakataa kabisa. Kwa mfuko wa madaftari ya mtoto wa primary unamwonea huruma.
HAPA DAR SHULE YA OLIMPIO MDOGO WANGU ALIKUA AKIBEBE COUNTER BOOK
@@mathewdyzymaleyafrica9128, nafaham shule za private madaftar yake, na namnunulia mwanangu sio ya mia mbili.
Bado ufagio na kidumu cha maji
0
0
9⁹9
9
9
Bunge
Kwani serikali inasomeshaaa maskini au
Msitubeze tunaosomesha watoto wetu shule za serikali sisi sio maskini Mhe
Huenda wew ukawa unajiweza na tathmn haichukuliwi kwawachache kama ww .binafsi nimesoma shile ya msingi hata viatu vya gradu nimeazima
Muongo we mzee wakat private ndio hawatak kuskia hizo dafutar ndgo..tuna watoto kabisa huko mzee usitudanganye
Ujinga na akili ni malezi ya mtoto aliyokuliaaaa