MUSUKUMA Afunguka Kuhusu 'SUKUMA GANG' - "KIGOGO ANAJULIKANA, MAGUFULI ALIKUA NA MISIMAMO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • MUSUKUMA Afunguka Kuhusu 'SUKUMA GANG' - "KIGOGO ANAJULIKANA, MAGUFULI ALIKUA NA MISIMAMO"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #MsumariWaMoto #CharlesZungu #WasafiTV

КОМЕНТАРІ • 357

  • @maximilianrodgers2751
    @maximilianrodgers2751 2 роки тому +48

    Best segment in Wasafi media

    • @ndamezerevocatus1078
      @ndamezerevocatus1078 2 роки тому

      Msukuma unapendeza ukifanya kila unacho kijua vzr,! Nakushauri usiwe unachomekea maneno ya kiswaenglish! Coz unakua umeshatupa madini then unaharibu kwa kiswaenglish chako

    • @saidimsonjele5672
      @saidimsonjele5672 2 роки тому

      0

  • @nestor384
    @nestor384 2 роки тому +15

    Very brilliant Musukuma Akili kama yako ndiyo ilikuwa ndani ya Dr. JPM, Hustlers for excellence no matter what! Nimependa maelezo yako pia katika SUKUMA GANG upuuzi wa WAHUNI kutengeneza neno lenye character killing kwa watu wa kanda ya ziwa. Akili kubwa sana.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 роки тому +10

    Dr. Musukuma..
    Hongera kwa historia yenye kutia Moyo kwa watafutaji... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz

  • @bartholomewkunzugala5946
    @bartholomewkunzugala5946 2 роки тому +21

    Namkubali Msukuma kuhusu Elimu. Wasomi wetu zaidi ya 95asilimia wanajivunia sana vyeti na hawana tija kwa taifa.

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 роки тому +11

    Interesting kwa kweli mungu akulinde inafundisha mengi inspirational

  • @bahatiunami3526
    @bahatiunami3526 2 роки тому +29

    Yani katika wabunge wote walioko bungeni ..mm namuelewa uyu tu kaka

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 2 роки тому +8

    Wamekupa maswali ya mitego na umeyapangua vizuri sana big up Sana

  • @majaliwaeliaskondeboy9117
    @majaliwaeliaskondeboy9117 2 роки тому +17

    Wakorogwe tunakufaham kaka yetu🙏🙏🙏🙏

  • @olivambala3086
    @olivambala3086 2 роки тому +12

    Safi musukuma uko poa kama polepole big up

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 2 роки тому +9

    Dr Msukuma you deserve that title PHD Mungu akubariki

  • @rehemamsekeni8972
    @rehemamsekeni8972 2 роки тому +7

    Umenisisimua sana na historia yako na una hekima sana kaka mungu akubariki sana na akupe uhai mrefu uje kuwa raisi wa Tanzania

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 роки тому

      AMIIIN na kweli akigombea anapita vila kupingwa AMIIIN na uwe hivyo magufuri anaweza kurudi Tanzania.

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 роки тому +7

    Mashallah ALLAH barik musukuma hakika wewe ni mfuasi wa magufuri.

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 2 роки тому +4

    Watanzania kwanini tusimpongeze mheshimiwa tusiwe na roho mbaya. This guy is so intelligent.

  • @justineombela1727
    @justineombela1727 2 роки тому +10

    ninaitamani sana iyo kaz waliomsingizia msukuma alipokua korogwe. imefika mahali mpaka sehem yangu ya biashara nataka niipatie jina ilo😊😊

  • @jenifagideon3380
    @jenifagideon3380 2 роки тому +9

    Hongera sana msukuma kwa kuwa mzalendo wa taslimali ya nchi yako

  • @japharykikoti3391
    @japharykikoti3391 2 роки тому +11

    One of the best n best Interview..Msukuma is Kiongozi wa kweli.

    • @mamamanka1310
      @mamamanka1310 2 роки тому

      Naomba Nani nielekez chuo sense mwanangu nitashukuru

  • @elinakizza8453
    @elinakizza8453 2 роки тому +9

    BEST INTERVIEW EVER

    • @alexkameo6399
      @alexkameo6399 2 роки тому

      Safi sana
      Msingi wa utajiri wake ni uaminifu👌

  • @hamzalewinsky5043
    @hamzalewinsky5043 2 роки тому +13

    Kasheku 🔥🙌🏾🙌🏾

  • @kedmonmaquiz
    @kedmonmaquiz 2 роки тому +14

    Bonge moja la interview... Bravo Msukuma

  • @stanslauselias9002
    @stanslauselias9002 2 роки тому +11

    Namukubali sana huyo mwamba

  • @alphonceshirima4186
    @alphonceshirima4186 2 роки тому +6

    Huyu Jamaa ana akili kama sio maarifa...... Good segment. Hongereni sana.

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 роки тому +10

    Sisi wa korogwe tunakufahamu sana, korogwe jimbo unapewa. Welcome back

  • @saidomary3370
    @saidomary3370 2 роки тому +13

    msukuma unaongea ukwery kk mungu akuongoze kk simama kwenye haki

    • @joselinemwaki9665
      @joselinemwaki9665 2 роки тому +1

      Akili nyingi sana msukuma, mumuandalie mdahalo 😀

  • @gasparyephraimmwakatuma9542
    @gasparyephraimmwakatuma9542 2 роки тому +2

    Uko vizuri Dr Msukuma nakubaliana na wewe kwamba wanatumia ukabila kutia hofu ili wapate nafasi za karibu na nafasi ya urais, wamepotosha maana kwa sababu ya matumbo yao.

  • @evaristmgaya9200
    @evaristmgaya9200 2 роки тому +3

    Msukuma uko vizur nilikua nakuchukuliapoa uko vzr baba bigup

  • @King_186
    @King_186 2 роки тому +37

    Msukuma amenyooka sana, ni mzalendo na anapigania sana maslahi ya watu wa chini,tuko wengi tunaokusapoti

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому +10

    Wanaumia kwa sababu walikuwa bookworms. Miaka yote hawakuweza kushughulikia CSR ya Geita hata CSR policy ya taifa hamna!

  • @mohamedlacha6515
    @mohamedlacha6515 2 роки тому +9

    Hongera Msukuma. Unastahili kwa kuwa umeshika nafasi nyingi. Na unajiamini. Endelea na kuchapa kazi

  • @duweetherapytalk4656
    @duweetherapytalk4656 2 роки тому +3

    WASAFI TV INAFANYA INTERVIEW SAFI SANA 🙏

  • @mkilalu255
    @mkilalu255 2 роки тому +5

    Anataka battle na Professor 🤣 amenikosha sana.

  • @evancemshandete8871
    @evancemshandete8871 2 роки тому +4

    Safi saana

  • @allymwandoro312
    @allymwandoro312 2 роки тому +1

    Mungu atujaalie inshallah nimeipenda hii

  • @anordkingstar5793
    @anordkingstar5793 2 роки тому +8

    Uko vizur san kiongoz,,, hapo kwenye sukuma gang,,, hata mimi kuna jitu et liliniita et wew utakua sukuma gang,,, wakati sielew chochote mimi,,, majinga tu hayo,, hukuna sukuma gang wala nini

  • @majeshijaphet918
    @majeshijaphet918 2 роки тому +3

    Nakukubali sana king 👑 msukuma

  • @kbingwa8860
    @kbingwa8860 2 роки тому +11

    Kaka you're very smart man, you deserve to be a professor

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 2 роки тому +7

    Huyu jamaa namfuatiliaga yeye tu pale bungeni.

  • @azariamaksibuxay6160
    @azariamaksibuxay6160 2 роки тому +1

    Poa Mkuu uko vizuri wadarasa la saba tunakukubali Mungu akutangulie amina

  • @makongorowassira6593
    @makongorowassira6593 2 роки тому +7

    Ni kweli wasomi wanakalili sana mambo ya nchi waliondika vitabu ambavyo vinaangalia uchumi wao na sio wetu.

  • @edna9166
    @edna9166 2 роки тому +5

    Msukuma yuko smart sana ukimsikiza anastahili kupewa udokta wa heshima akupewa kimakosa

  • @tizomelele4424
    @tizomelele4424 2 роки тому +4

    Napenda hoja zake ziko strong na anajiamini pia yuko simple sana kweli wenye hela hawan mbwembwe

  • @josephatmathiasgalagalabuh786
    @josephatmathiasgalagalabuh786 2 роки тому +16

    Kama kuna watu wanataka wajuwe uliyofanya kwa jamii waje GEITA.

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 2 роки тому +1

    Asante sana

  • @qasammawa5310
    @qasammawa5310 2 роки тому

    Mwenyekit,mstsfu uko vizur sana

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 2 роки тому +1

    18.02.2022

  • @blessbaysa5561
    @blessbaysa5561 2 роки тому +5

    Msukuma nakukubali sana ww unafaa kua hata presdent

  • @salehemusa539
    @salehemusa539 2 роки тому

    Namshauri muheshimiwa msukuma aandike kitabu juu ya maisha yake yanaifundisha jamii kibiashara

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 роки тому +6

    Musukuma jau sana😆😆😆 anamwambia Zungu usitumie vumbi la kongo ana dawa zake atampa 😆😆😆😆

    • @bengang3265
      @bengang3265 2 роки тому

      noma sana..dawa zipo kweli

  • @fallii2867
    @fallii2867 2 роки тому +2

    Asanteee leo ndio unaitwa msumari wa moto

  • @ellyg7570
    @ellyg7570 2 роки тому +2

    ‘Kama unaumia njoo uniue uchukue’☺️☺️☺️

  • @oliverpius2948
    @oliverpius2948 2 роки тому +2

    Mungu azid kukutia nguvu msukuma

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 роки тому +8

    Msukuma akili nyiiingiiiii sanaaaa

  • @gracejonathan86
    @gracejonathan86 9 місяців тому

    Nampendaaa Msukuma Jamani Anajiamini

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 2 роки тому +1

    All the best bro, unanipaga ujasiri nikikusikilza bro.

  • @maximilianrodgers2751
    @maximilianrodgers2751 2 роки тому +2

    Yoooh i like Charles Willam questions👊🏾🙌

  • @peterbuju5216
    @peterbuju5216 2 роки тому +2

    Safi sanaaa msukuma

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 роки тому +29

    Kulikuwa hakuna secondary school za kutosha. Watoto wa wakubwa ndiyo walikuwa wakishinda mitihani bila ya kuwa na akili bali kwa kujulikana. Kwa sasa ndiyo maana tuna viongozi wengi ni wajinga. Hawakushinda mitihani kwa akiri bali kwa kusukumwa kama mabehewa.

    • @mashirimathias6006
      @mashirimathias6006 2 роки тому +1

      Madam sio wajinga tu Bali viongozi wengi ni vilaza hawana lolote tofauti na kutumikia matumbo yao

    • @mashirimathias6006
      @mashirimathias6006 2 роки тому

      Angalia elimu yetu yenyewe ni ya ajabu mpaka tosha elimu hii ndio inayochangia umaskini mkubwa taifani kwetu tz.

    • @paulinacherement2534
      @paulinacherement2534 2 роки тому

      Kweli kabisa

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 роки тому +13

    Waswahili husema kwenye miti hakuna wajenzi. Sisi watanzania tuna shida ya wivu na hatupendi maendeleo ya wenzetu. Tunapendana kupigiana misumari kwenye mambo ya maendeleo.

  • @estermpagama9664
    @estermpagama9664 2 роки тому

    Mi nampenda Dr Msukuma upo vizuri wanaona wivu wanafiki walitaka wapate wao piga kazi wazidi kuumia mtani waelewe kipaji

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 2 роки тому +7

    Msukuma upo sahihi kbsa yani degrii na PhD za kibongo uje nayo ulaya hawaitambui kbsa yani unaanza moja

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 2 роки тому +2

    Uprofesa ndio inamfaa. Tumwiteni profesa. Profesa Msukuma

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 2 роки тому +1

    bless you msukuma

  • @kamtawakomba8601
    @kamtawakomba8601 2 роки тому

    Nakukubari sana kaka

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 роки тому +2

    Naikubali pia hii Media wako vzr kwa mahojiano

  • @Our_Patriotism
    @Our_Patriotism 2 роки тому +1

    Mimi nimefurahi, Hongera Sana, material education is nothing but sensible with performance and not rehearsals.

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 роки тому +1

    Barikiwaa mh.msukumaaa. uko vzriii
    Sanaa

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 роки тому +2

    Mungu wangu wa huruma akutunze na 2025 chukua urais mzee.mungu akuongoze hakika wew ni magufuri no 2.

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 2 роки тому +1

    Nakukubali mno Dk.

  • @saidomary3370
    @saidomary3370 2 роки тому +9

    sema kwery kk tatizo tanzania fitina sana wabongo roho mbaya hakuna rorote wivu tuuuu kk

  • @hendrycomonsiwenga1128
    @hendrycomonsiwenga1128 2 роки тому +6

    Dah! Mhe. Umetaja Korogwe Tanga uko ndiyo Nyumbani kabisa, Miami ni kweli kabisa hiyo ndiyo ilikuwa Guest House maalufu sna wakati huo n.k

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 2 роки тому +3

    Msukuma nakupenda Kiongozi wangu Bora Kati ya waliyobora

  • @hamisamostungu5813
    @hamisamostungu5813 2 роки тому

    King

  • @abuelolongavida7261
    @abuelolongavida7261 2 роки тому +5

    Hiki ni kidhibiti tosha ya kuwa akili na elimu huweza kuwa vitu viwili tofauti, wabongo tungeweza kutumia heshima aliyopewa Msukuma kwa njia chanya ila badala yake wengi wajinga walianza kumbeza na kuibeza PHD yake kwa upeo wao mdogo walionao.... 'Honorary Causa' PHD inaheshimika sana, hasa kwa wasomi wa kweli.... Prof Kabudi aliwahi sema hili bungeni nimemnukuu!

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 2 роки тому +4

    Muhongo hakufikii ana beat sana lakini uwezo wake anamalizia vitabuni

  • @evodiamusa2398
    @evodiamusa2398 2 роки тому +1

    u deserve more than phd Msukuma

  • @jameslaizer603
    @jameslaizer603 2 роки тому

    good inspiration

  • @JosephSongolo-lb9fr
    @JosephSongolo-lb9fr Рік тому

    Nakukubali Sana mwenyekiti msukuma.

  • @philipmchele5254
    @philipmchele5254 2 роки тому

    Safi sana congrats brother

  • @seifseleman1254
    @seifseleman1254 2 роки тому +7

    Too inspired

  • @sengengemangae3698
    @sengengemangae3698 2 роки тому

    Big up sana msukuma

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 2 роки тому

    Story nzuri sana never give up

  • @rainerydenis8812
    @rainerydenis8812 2 роки тому +16

    Msukuma Mimi nakukubali, kwasababu Tanzania Elimu yetu ya darasani hata Prof. Inakua haina uhusiano na halisia wa kimaisha.Yaani unaweza kuona msomi aliyeongoza kwa ufauru darasani Kama la Saba,kidato Cha nne,Cha sita na chuo kikuu kimaisha baadae na kutumia Elimu yake kuleta mawazo ya kimafanikio na yeye kua na maisha Bora ni wa mwisho .wakati aliye feli darasani ndio anaplan nzuri na anamaisha mfano mfanyabiashara,anamawazo ya kimaendeleo.wakati wasomi wanalewa na vyeti vyao wanasubiri kukaa ofsini .
    Huo ndo ukweli.
    Msukuma nakuku bali sana. Kusoma sana hainamaana unamawazo mazuri ya kimaendeleo ila unauwezo tu wa kupata cheti na haina maana unamaisha mazuri.

    • @JIWEtv6484
      @JIWEtv6484 2 роки тому

      Kunatofauti kati ya elimu na akili so dr.musukuma ana akili, akili ndio Inafanya kazi kuliko elimu

    • @trafficnanyumbu4079
      @trafficnanyumbu4079 2 роки тому

      @@JIWEtv6484 f

  • @patrickmsuguri
    @patrickmsuguri 2 роки тому +2

    King Msukuma PhD holder 🔥🔥

  • @mtumishimathias7762
    @mtumishimathias7762 2 роки тому

    Kazi nzuri msukuma

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 2 роки тому +6

    Napenda kumsikiliza msukuma he's a very smart man

  • @simonseyongwe
    @simonseyongwe 2 роки тому +2

    Dr Msukuma anaupiga mwingi sana ni zaid y wasomi wengi knowledge yake ni zaid ya PHD

  • @jlusjr9229
    @jlusjr9229 2 роки тому +3

    Cjapoteza muda na MB zangu kumsikiliza Dr msukuma

  • @dicksonTV113
    @dicksonTV113 2 роки тому

    Hongera sana mh.msukuma

  • @gracelee61
    @gracelee61 2 роки тому +8

    This man is hilarious and smart 🤣 degree zinaishia airport 🤣🤣 i laughed so hard.

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 2 роки тому +7

    Huo ni ukweli. Ndoto za watoto wengi zimedhitiwa na huo uteuzi, rushwa kwenye elimu ilikithiri kuanzia 79 na kuondelea. Matokeo yake mengine tunayaona leo kwa taifa.

    • @innocentkizito5664
      @innocentkizito5664 2 роки тому

      Watu lazima wawe wafatiliaji siyoubishi usio nafaida akili siyo makaratasi ongela aikoni

  • @blessbaysa5561
    @blessbaysa5561 2 роки тому +3

    Kweli kabisa wasomi wanatufelisha sana

  • @erishajohn3237
    @erishajohn3237 2 роки тому +1

    Nakupenda broo msukuma sana wewe hata ukiwa rais unafaa ungesoma mpaka wanavyo fikiri wao na ungekua gumzo dunian

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 роки тому +4

    Huyu jamaa mkweli sn mimi si msukuma but nafanyakaz kanda hii wasukuma wanatabia ya kuamini sn wakubwa wao wakielimishwa hua wanaelewa ingawa kunakuaga na kaz sn kuwaelimisha

  • @rollyboymallya6344
    @rollyboymallya6344 2 роки тому +2

    Msukuma huna mfano was kufananishwa MUNGU azidi kukuinua

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 роки тому +4

    Msukuma yuko vizuri, akili yake ni zaidi ya phd nakubaliana naye

  • @williampeter834
    @williampeter834 2 роки тому +6

    Moja ya kiongozi bora Tanzania.

  • @faustinejemsi1488
    @faustinejemsi1488 2 роки тому

    Naipenda sana

  • @mussajuma1736
    @mussajuma1736 2 роки тому +8

    Safi msukuma upo vinzuri wazungu walete mihela iwasaidie watu hapa.kina lisu wapo huko hata siku moja hatuoni wakileta pesa za kusaidia wanyonge ila ni mineno to.

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 роки тому +1

    Wasukuma wana uchungu sana na nchi yao si msoga

  • @robertmwangomale
    @robertmwangomale 2 роки тому +1

    Tujifunze kwa watu kama Hawa good tunapenda watu wanao jitambua

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 9 місяців тому

    Unazingumzia Uchumi wa Pakistani mimi nazungumzia Uchumi wa Mtanzania 😂😂