KISHIMBA AWAVUNJA MBAVU WABUNGE KWA HOJA ZAKE "KWANINI MSITOE NUSU DEGREE? MNAYOONGEA NI MAUTAPELI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 172

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 4 місяці тому +7

    Du! Huyu mzee Kishimba ni genius sana. Nimefika kwenye hifadhi zetu nyumba zimeezeka kwa nyasi.

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 4 місяці тому +24

    Huyuu mtu mnamuona anachekesha ila yupo sahihi Sanaa, mie nashangaa mpka leo watu wanasomeswa vita vya kwanza vya dunia, chifu mkwawa, vita vya pili ujinga mtupu, watu wanafundiswa utaalam wa maisha yanowakabili sie tunapumbazwa tu akilii mpka unamaliza chuo unakaa miaka kumi Huna ajira wala mawazo ya kufanya coz hatukupewa mafunzo ya maisha baada ya hapoo tumefundishwa mambo yasiyoo tuhusu kabisaa

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 4 місяці тому

      Haya maelimu useless wanashadadia sijui kwann yaan wanaficha elimu ya msingi wanaleta madudu ya hovyo kabisa inauma sana

    • @MeshackLukanda
      @MeshackLukanda 4 місяці тому +1

      kweli mkuu chief kila sehemu chief mkwawa

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 місяці тому +16

    Kumuelewa huyu mzee hadi uwe umeishi maisha ya hali ya chini na kwenye kusomesha uwe umeshapata changamoto,,wanaojifanya wazungu hawawezi kumuelewa huyu mzee

    • @FestoMalisati-lf8hj
      @FestoMalisati-lf8hj 4 місяці тому

      Sana yaani anagusa kwenye uhalisia, angekua raisi Tanzanie ingekua bora sana.

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 4 місяці тому

      Fact blaza sisi tunaoishi this time tomorrow tunamuelewa sana

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 4 місяці тому +25

    Free thinkers are rare in African politics. Huyu Kishimba ana akili sana. Shida ni kuwa hajui kuwa Serikali inaendeshwa na wafanyabiashara wa Kiyahudi

  • @thesilencer5114
    @thesilencer5114 4 місяці тому +21

    Mnacheka lakini kiongozi anaongea kitu sahihi kabisa👏🏼👏🏼

    • @digital-d2t
      @digital-d2t 4 місяці тому

      Mjinga2 huyu paka pori

    • @Ndu-wa.uroony2
      @Ndu-wa.uroony2 4 місяці тому

      Kishimba kichwani yuko vizuri kuliko hao vilaza wote.

    • @mohamedally6390
      @mohamedally6390 4 місяці тому

      Hao wwngne hawajitambui kazi kupiga meza na kusubir posho na kupokea madudu kutoka kwa wazungu ndio kazi yaooo

    • @zakariamalembela3974
      @zakariamalembela3974 4 місяці тому

      ​@@digital-d2t wewe akili yako mgando.

  • @TheNichym
    @TheNichym 4 місяці тому +18

    Yan huyu Mzee yuko njema sana, ila kumuelewa lazima uwe umetulia sana

    • @Bobhov
      @Bobhov 4 місяці тому

      Yes

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 4 місяці тому +19

    Mwenyez mungu akubariki mh kishimba tatizo la elim yetu ya kukariri kuaminishwa wazungu ndio kila kitu

  • @boazychaulla2909
    @boazychaulla2909 4 місяці тому +2

    Mh kishimba ni genius tumuelewe tuu

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 4 місяці тому +16

    akili kubwa baba mungu akutunze

  • @officialshelomwangole256
    @officialshelomwangole256 4 місяці тому +5

    Mkimpa huyu mzee wizara ya elimu atafuta vitu vingi sana 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yusuphswai6851
    @yusuphswai6851 4 місяці тому +25

    Kishimba ajawai kuchangia pumba

  • @mapoluchalya280
    @mapoluchalya280 4 місяці тому +1

    Ahsante Sana mh.kishimba yaan wewe na king msukuma 🙏🙏🙏🙏

  • @Mc_Gwajee
    @Mc_Gwajee 4 місяці тому +12

    Daaaah huyu Mzee akili sanaaa

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 4 місяці тому +8

    Mashimba mungu ambariki sana hakika kahama wakizingua njooo update Jimbo sengerema

  • @frankrefresh6850
    @frankrefresh6850 4 місяці тому +2

    Kaongea facts kwenye uasili wa maisha ya kiafrica! Asili, tamaduni zikiwa hazizingatiwi na wahusika wenyewe kwa kuacha asili yao na kuziendea asili nyingine maisha yao yanakuwa na uharibifu mkubwa sana! Mataifa yaliyofanikiwa yote huwa yanaishi kwa kuzingatia tamaduni na asili zake!

  • @adamhamisi2638
    @adamhamisi2638 4 місяці тому +2

    mzee kishimba, moja ya watu muhimu sana bungeni

  • @robertnkaragano298
    @robertnkaragano298 4 місяці тому +1

    Duh! Kishimbaa! Wew ni professor wa mambo yote!! Kishimba ooyee! Kishimba ooyee!!😂😂😂

  • @kazimoto-eq2th
    @kazimoto-eq2th 4 місяці тому +4

    Mzee kaeleweka ila tatizo lipo kwa hawa wajanjawajanja upo umuhimu sana watoto kupata chakula shule uwezekano upo ila ila hoja ikiwekwa wazi kama ivo inapotezewa nchi hii.

  • @faustinhommedetatnifasha9669
    @faustinhommedetatnifasha9669 4 місяці тому +5

    Kama huna #D mjo huwezi muelewa😂😂💪💪

  • @calvinmalale1761
    @calvinmalale1761 4 місяці тому +1

    Naam mbunge hongera sana KWA kuongelea MAISHA halisi wengi wanataka aige MAISHA ya watu na watu wanaishi MAISHA SIO Yao kabisa

  • @dicksonvicent8139
    @dicksonvicent8139 4 місяці тому +5

    Hatari sana aisee

  • @stanslauslugendo31
    @stanslauslugendo31 4 місяці тому +2

    Akili kubwa!💪🏻🌹

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 4 місяці тому +1

    Mmmh kazi kwelikweli.
    Mbona hamjadili kama je ni sahihi kumlipa posho mbunge posho ya siku laki 3 sawa na kima cha chini cha mshahara wa mtumishi?
    Mjadili na maslahi ya watumishi na nyie. Ukiwa mbunge form 4= unalipwa 10M ila mwalimu huyohuyo analipwa 300K, ufala mtupu

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw 4 місяці тому +1

    Hiki ni kichwa hasa , mawazo yake na tafakari zake ni nyepesi kuelewa kwa mtu yeyote. Ni mwalimu hasa. Tumpe maua yake Kishimba. Mawazo yake yakitekelezwa kwa vitendo bila shaka maendeleo yangeonekana dhahiri shahiri.

  • @desmond-87
    @desmond-87 4 місяці тому +4

    He is talking sense

  • @vicentdaud2632
    @vicentdaud2632 4 місяці тому +3

    Huyu jamaa akisikilizwa mawazo yake na kufanyiwa utekelezaji yanaweza kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi....

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 4 місяці тому +4

    Hivi mnakiona wanachokifanya Chalinze Modern primary school?!!
    Kuna haja ya viongozi kujifunza kwenye hii shule,,,,, na inawezekana kumjenga mtoto tangu awali

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 4 місяці тому +1

    uyuu mzeee ni ana akili sana naomba BUNGE limpe mda wakutosha kumskiliza TZ itasogea mbelee

  • @kimandafukitefu2999
    @kimandafukitefu2999 4 місяці тому +1

    Hoja zote za huyu mzee zichukuliwe zinafaa kwa matumizi ya nchi

  • @Loshiphameliyomoleli
    @Loshiphameliyomoleli 4 місяці тому +2

    Good point

  • @ramadhaniabdul5180
    @ramadhaniabdul5180 4 місяці тому

    Kishimba anaelezea uhalisia,yaani halisi kabisa,sio ile ya kufikirika😂😂😂safi sana mh mbunge

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 4 місяці тому

    BIG UP👏👏👏

  • @HamisaAli
    @HamisaAli 4 місяці тому

    Big point Masha Allah

  • @kileoisaac
    @kileoisaac 4 місяці тому +3

    Kweli kabisa

  • @medystarter
    @medystarter 4 місяці тому +2

    Tatizo la bunge letu lipo kusikiliza tu sio kutekeleza, SIASA za kikoloni ndio zina tuludisha nyuma

  • @Avith-lj2sp
    @Avith-lj2sp 4 місяці тому +1

    Kweli vitabu vyetu vya syllabus no hopeless kabisa

  • @MahadhiHassara
    @MahadhiHassara 4 місяці тому

    Yupo sahihi mzee wangu muhimu tuwekeze watoto wetu katika mazingira yanayo wazunguka kilimo ufugaji nk. Huko ndipo wanaweza kuwa matajiri baadae. Lazima tutambae kwanza ndio usimame. Tusitake kukimbia kwanza kama wachina na wao walitambaa ndio sasa tunawaona wanakimbia.

  • @jrkaluli5638
    @jrkaluli5638 3 місяці тому

    Pragmatism philosophy! GreAt

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 4 місяці тому +1

    Yani Mzee nakubali,

  • @faryjay808
    @faryjay808 4 місяці тому +1

    Fact sanaaa🔥🔥🔥🔥

  • @AziziKalembo
    @AziziKalembo 4 місяці тому +3

    Mh,ameongea vzr sana

  • @felisterphilemon1852
    @felisterphilemon1852 4 місяці тому

    GOD be with you forever

  • @sylivesterleonard5133
    @sylivesterleonard5133 4 місяці тому +1

    Akili kubwa sana hii!!

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 4 місяці тому +3

    Hawawezi kuwafundisha somo la kutafuta pesa sababu miitaala ya elimu bado ni wakoloni na watawala wetu leo hii ni wakoloni weusi,na wakoloni elimu yao ilikuwa ni kwa ajili ya kuwapata watu wa kuwasaidiana nao kuwaswaga punda wao,.

  • @suchabulunja5611
    @suchabulunja5611 4 місяці тому

    Mbunge Genius pekee Tanzania 🎉🎉

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 4 місяці тому +1

    Yuko sawa huyu mzee

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 4 місяці тому

    Asante sn bb ukovizr

  • @edwardkagombora3782
    @edwardkagombora3782 4 місяці тому

    Mimi nafikili mitaara itatoa hii kitu kumbe wapi bado tupo pale pale kuna masomo unafundishwa lakini hayatusaidii maishani mwetu na huku umetumia muda mwingi mwingi kujifunza

  • @AbdulMwengwa
    @AbdulMwengwa 4 місяці тому

    Kishimba Oyeeeeee😅😅😅😅 huwa unato vitu vitamu sana Mhe mbunge

  • @josemoko530
    @josemoko530 4 місяці тому +1

    Hongera Sana 😂

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 4 місяці тому +4

    Nusu degree

  • @matwerangulichedr3985
    @matwerangulichedr3985 4 місяці тому

    Big brain, out of the box

  • @zawadisisto8188
    @zawadisisto8188 4 місяці тому

    Laiti wangemuelewa chishimba ingekuwa sawa kabisa yeye ni profesa OG

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 4 місяці тому

    👏👏👏👏👏Brilliant ❤

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 місяці тому +1

    📌 📌 📌

  • @FernandesKalokola
    @FernandesKalokola 4 місяці тому

    Huy mtu jamani hapew ata President. Jaman nn shida hii ichi wasukum na wat wa mara hawa ni viongoz bora sana katika nchi hii

  • @dicksonvicent8139
    @dicksonvicent8139 4 місяці тому +2

    Hatari sana aisee

  • @HashimuHashboy-bo2wl
    @HashimuHashboy-bo2wl 4 місяці тому

    He is hero but we ar not use him one day we wil remember the most ,our life not Western lofe

  • @johnmgalla7377
    @johnmgalla7377 4 місяці тому

    Uyu mzee yupo mbele ya muda sana sikupi maua nakupa na mti wake kabisa

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 4 місяці тому

    Kishimba inatakiwa UWE mtu mkubwa san. Unajua hali ya umasikin ULIKO Tz Kwa watoto wetu.

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 4 місяці тому

    Huyu jamaa anafaaa kuongoza Africa

  • @russia1253
    @russia1253 4 місяці тому +1

    Tatizo izo point zina achwa hapo hapo bungeni 😢 azifanyiwi kazi

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 4 місяці тому

    Huyu ni profesa kabisa

  • @gaudenceassenga1900
    @gaudenceassenga1900 4 місяці тому

    Nawezaje kumpata huyu mbunge nipige naye story?

  • @ScholasticaDomonko
    @ScholasticaDomonko 4 місяці тому +2

    👏👏👏

  • @freddiemanento6318
    @freddiemanento6318 4 місяці тому

    Huyu mhe namkubali sana sana

  • @sengiyumvaathanas8815
    @sengiyumvaathanas8815 4 місяці тому

    Big brain

  • @mohamedally6390
    @mohamedally6390 4 місяці тому

    Wabunge wote wangekuwa kama huyu mzee haya madudu ya wazungu tusingepokea na tungeendelea sana kwakweli.

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd 4 місяці тому

    Hii nchi bwana kufika mbali kimaendeleo so leo tunasera za kisenge sana

  • @CivilEngineeringWorks-d7b
    @CivilEngineeringWorks-d7b 4 місяці тому

    Professor Kishimba
    Kuna watu wana degree unashindwa Kuelewa hii degree kapataje ukikosa ubunge huko njoo tutakupa kura

  • @MwaniPh
    @MwaniPh 4 місяці тому

    Genius

  • @leonardmanawa952
    @leonardmanawa952 4 місяці тому

    baba wa mawazo positive ❤

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 4 місяці тому

    Hakuna mtu anapenda nyumba ya nyasi ispokuwa analazimika kuishi hoja yako mweshimiwa inaeleweka lakin sio smart

  • @dilludillu2747
    @dilludillu2747 4 місяці тому +1

    Pesa ni siri professor 😂

  • @oliviermulabikokans1013
    @oliviermulabikokans1013 4 місяці тому +1

    ❤moja❤kati❤ya❤zote❤

  • @IsayaMorange-wb5ek
    @IsayaMorange-wb5ek 4 місяці тому

    Afrika, tumeshindwa kuwa na mifumo mizuri ya elimu ambayo ingetupa maendeleo ya nchi zetu,, na tumechelewa sana na tupo nyuma ya muda lakini ni vyema tujadiri jinsi ya kujikwamua kimaendeleo kama nchi kwa sababu viongozi wetu wameshindwa kuwa wabunifu

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 4 місяці тому

    Huyu mzee ana akili Sana Mungu uiongezee miaka mingi.

  • @moseslimonga2337
    @moseslimonga2337 4 місяці тому

    Hahahahahahahaahahahhaahahah duuuh wabunge wamevurugwa

  • @KiigeMongoreme
    @KiigeMongoreme 4 місяці тому

    Wabunge wa Kanda ya ziwa wanaupiga mwingi wapewe maua yaoo🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jeffreywilliams1171
    @jeffreywilliams1171 4 місяці тому +1

    Angalizo, akili ya huyu mtu ni zaidi ya kina Vasco da gama, serikali na watu wenu tafadhali yafanyieni kazi haya mawazo yake.

  • @fridayjkajange1247
    @fridayjkajange1247 4 місяці тому

    Duh jamaa anaakili sana

  • @japhetlinus3891
    @japhetlinus3891 4 місяці тому +1

    Mpak uwe na D 2 ndo utaweza kuelewa

  • @msukumamnywamaziwa2785
    @msukumamnywamaziwa2785 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @josephignas3988
    @josephignas3988 4 місяці тому

    Hawawezi kuingiza pesa kwenye mtaala wanajua watu wote watakuwa matajiri na wao matajiri watapata wanyonge wao wapi

  • @uledimude8921
    @uledimude8921 4 місяці тому

    Mbona hamtuambiagi Hadi kishimba aseme

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 4 місяці тому +2

    bila bangi hoja zake ngumu kuelewa

    • @Muslim-gs6rn
      @Muslim-gs6rn 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂yaani.weww😂😂

  • @gaddafiofficial3200
    @gaddafiofficial3200 4 місяці тому +2

    🔥

  • @ramsonmajid2069
    @ramsonmajid2069 4 місяці тому

    Naona watu wengi sana wamecheka kwenye hoja alizotoa mheshimiwa ila ... kusema ukweli ili tuweze piga hatua mfumo wetu wa elimu unatakiwa kubadilika ... tunatakiwa kusoma mambo ambayo yanaambatana na hali yetu halisi lakini pia katika vile vidogo ambavyo kwetu vinatuingizia kipato kwa namna fulani basi tuvifahamu vizuri na vizazi vinavyofuata vifundishwe pia ili waweze kuja na maboresho na mwisho wa siku vidogo tulivyonavyo vinaweza vikatufikisha mbali kiuchumi

  • @yonahgideon7561
    @yonahgideon7561 4 місяці тому +1

    Mbona kwenye mtaala mpya Kuna somo jipya linaitwa Elimu ya biashara ambako huko ndani Kuna mambo ya ujasiriamali na jinsi ya kutunza fedha

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 4 місяці тому

      Shida litakavofundishwa

    • @barakalevis31
      @barakalevis31 4 місяці тому +1

      Uliza walio apply kama wameliona kwenye machaguo

  • @AnaniaBulaya-rc3jv
    @AnaniaBulaya-rc3jv 4 місяці тому

    Huyu kishimba kwanini asiende kuongeza elimu.anaongea maneno ya maana sana

  • @theboyofficial7441
    @theboyofficial7441 Місяць тому

    Bila D 2 huwezi kumuelewa

  • @Igauf3
    @Igauf3 4 місяці тому

    Seriously that’s not practical approach. You have to upgrade your life.

  • @Enoshi-m5e
    @Enoshi-m5e 4 місяці тому +1

    Watalamu wetu hawatusaidii chochote wanashikilia elimu ya nzi ana miguu mingapi ujinga mtup

  • @PhilipoNjalika
    @PhilipoNjalika 4 місяці тому

    Mbunge mwenye akili kubwa

  • @johnassey2327
    @johnassey2327 4 місяці тому

    Fact

  • @bonphacearon2428
    @bonphacearon2428 4 місяці тому

    Yan mijitu inacheka lkn uyu baba hakuna sku kaongea upuuz na makelele hua kila akisimama unamuelewa anaongea nn lkn ss

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 місяці тому +1

    WAMEKALIA KUVUNJANA MBAVU TUU , BADALA YA KUJADILI MAMBO YA MUHIMU YA KUENDELEZA NCHI.

  • @maheitumdintunya2928
    @maheitumdintunya2928 4 місяці тому

    huyu jamaa yupo sahihi

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 4 місяці тому +1

    Hoja kalu na zenye akili

  • @KelvinNyanduli
    @KelvinNyanduli 4 місяці тому

    Ww ndio mbunge mwenye akili kubwa