Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi PUTIN Waliofichwa kwa miaka 37/Walibadili Majina

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Ni siku chache zimepita toka Marekani kuwawekea vikwazo mabinti wawili wa Rais wa Urusi Bwana Wafahamu watoto wa Rais wa Urusi Vladimir Putin Waliofichwa kwa miaka 37/Walibadili Majinakwa kile ambacho wamarekani wadai kuwa mabinti hao wamekuwa na msaada mkubwa sana kwenye Maisha ya baba yao kwa kufanya kazi serikalini kwenye sekta nyeti huku wakimiliki mali nyingi ambazo wengi hawafahamu kuwa zinamilikiwa na mabinti hao.
    Unaambiwa kwa miaka yote katika kipindi chake cha uongozi Rais Putin amekuwa akiiweka sirini famiia yake. Yaani hataki ijulikane, sio Watoto wala ndugu yote hiyo inatokana na misala aliyonayo kila kona ya dunia.
    Pamoja na juhusi zote za Putin za kuficha familia yake lakini Marekani wanadai kuwa Watoto hao wametambulika licha ya kutotumia majina halisi ya mshua huyo mwenye vurugu zisizozibitika.
    Hatua ya Marekani kuwawekea vikwazo mabinti hao wa Bwana Putin inatokana na uvamizi alioufanya baba yao nchini Ukraine ambapo mpaka sasa anaendelea kukinukisha bila wasi licha ya kelele kutoka kwenye mataifa makubwa duniani so kufanya hivi ni kama njia ya kumuadabisha Bwana Putin
    ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------

КОМЕНТАРІ • 24

  • @user-oj3fq4pi2u
    @user-oj3fq4pi2u 6 днів тому +1

    Hatukuelewi.....na sitakuelewa na sitaki kukuelewa. Putin oyeee

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 5 днів тому +1

    Acha usengewewe mh.PUTIN sio mtuwavurugu yeye anapambana namashoga wenu tena babu usifanye masikhara wanajeshi wake tupo hapa tz shahuriyako

  • @HamissSantanga
    @HamissSantanga 2 місяці тому

    Kweli wamemshindwa Baba wanadili na watoto akbuui.

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 місяці тому

    Mashaaalah Putin

  • @SwidikiKabemba
    @SwidikiKabemba Місяць тому

    Ubaya wa Putin unauonawapi?mbona hautake makosa kibao ya marekani?mungu Ampe Putin ushindi.

  • @mwanaidiomari2676
    @mwanaidiomari2676 Рік тому +2

    Marekani zero and magharibi mbona jamuisemi marekani na wingereza na ujerumani ambazo zina fanya uhalibifu wa dunia zero wewe

  • @farinhafrank-dm4sg
    @farinhafrank-dm4sg Рік тому +1

    Naona unatudanganya ndugu msomaji

  • @user-pb7pr4qh9j
    @user-pb7pr4qh9j Рік тому +2

    Wewe uko na sema mambo haujuwi Faya wewe shetani

  • @mecksonjoseph2522
    @mecksonjoseph2522 2 роки тому

    Yaap kaficha kwa usalama

  • @husseinmbaya4855
    @husseinmbaya4855 3 місяці тому

    Achauongo kijana

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu 2 місяці тому

    Akili huna putine mtetezi WA Dunia

  • @user-hi8go7pk4t
    @user-hi8go7pk4t 3 місяці тому

    Malekani.wanachemka.wameungana.wataona.moto.waputini..watafilisika.mangalibi.putini.wafute.kwenye.lamani.yadunia

  • @Ali-te8tb
    @Ali-te8tb Рік тому +1

    Kwinini mmarekani haweki vikwazo kwa ufaransa 🇨🇵 Ali kaliya kwanguvu visiwa vya KOMORO 🇰🇲 Kwanguvu n'a kuleta hasara kwavisiwa hizo kwamuda Mwingi , hadi Léo ( 1975 + 2023 )😭⚰️

  • @mustwafathabiti2978
    @mustwafathabiti2978 6 місяців тому +1

    Pumbavu hujielewi

  • @OnestaEvaristo-gs7oc
    @OnestaEvaristo-gs7oc Рік тому

    Unawashabikia mashoga

  • @gabrielgodwin7465
    @gabrielgodwin7465 2 місяці тому

    Putin haui watu Marekani ndo inaua watu

  • @Quran-hidayat01
    @Quran-hidayat01 8 місяців тому

    Wawo wanafanya nini palestina

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 8 місяців тому

    Viva Russia

  • @omarimmbaga5632
    @omarimmbaga5632 3 місяці тому

    Acha umbea,huna jipiyaa,subiri ugali,muachie Putin achagame na. Wanafiki

  • @sadamkhamis9043
    @sadamkhamis9043 4 місяці тому

    Ht ww ni kibaraka mbovu tu wa mabwana zenu wa marekani na washirika wake

  • @SelemaniMeena-oo3os
    @SelemaniMeena-oo3os Рік тому

    HUNA LOLOTE

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 Рік тому +1

    PUTIN NI KIDUME

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 8 місяців тому

    Dunia hii ni dunia ya Propaganda