NJIA ZA KUJILAZIMISHA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 54

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 17 днів тому +2

    Vicoba ni nzur sana ❤❤❤

  • @SALAMAJuma-s1s
    @SALAMAJuma-s1s 6 днів тому

    Ok broo kwa ushauri nzur sana

  • @MwajumaAbdulhamid
    @MwajumaAbdulhamid 6 днів тому

    Njia ya 3 iko vizuri zaidi

  • @HadijaMhando-n8e
    @HadijaMhando-n8e 7 днів тому +1

    Vikoba safi sanaa

  • @samsonsityo5956
    @samsonsityo5956 6 днів тому

    VICOBA NA UPATU ni nzuri sana

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 6 місяців тому

    Barikiwa zaidi kaka kiukweli unanibariki

  • @mahmoudmtanga8448
    @mahmoudmtanga8448 6 днів тому

    Nashukuru kwa elimu nzuri. ila pia kwanini usingekua unatengeneza audio books

  • @nathanaelMtegwa
    @nathanaelMtegwa 9 місяців тому

    Nimejifunza na nitatendea kaz ,shukran san mwalimu wetu ❤❤

  • @aminaabdallah5170
    @aminaabdallah5170 11 місяців тому

    asante kwa somo zuri, natumia upatu ila ningependelea utufundishe namna ya kuwekeza kwenye mifuko kama utt

  • @fabulouslillah9898
    @fabulouslillah9898 11 місяців тому +1

    Vicoba 🙏

  • @ArianaEmmanuel-i9c
    @ArianaEmmanuel-i9c 27 днів тому

    Asante sana kaka

  • @josephaugustino646
    @josephaugustino646 3 місяці тому

    Yaan mm huwa nashindwa kuweka akiba niliweka kwenye kibubu ikitokea shida tu naitoa asante nmeelewa kaka

  • @Loyoutfit
    @Loyoutfit 9 місяців тому

    Points 🎉🎉

  • @upendolairumbe889
    @upendolairumbe889 11 місяців тому

    Napenda vikoba

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 6 днів тому

    Dr naomba niwe miongon mwa watu unaowasimamia kwenye kuweka helaaaa

  • @MicholethAmandas-oi1qj
    @MicholethAmandas-oi1qj Місяць тому

    Mm naomba unifundishe Ile ya kikoba

  • @lilykingo609
    @lilykingo609 11 місяців тому

    👏👏👏🙏

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara 11 місяців тому +1

    🙏🏾

  • @FrankoFikiri
    @FrankoFikiri 11 місяців тому +1

    Mm njia ya fixed acaunt

  • @theodorajohn9474
    @theodorajohn9474 9 днів тому

    Hela ya mshahara ikatwe moja kwa moja nipe maelekeza kk

    • @franklinisaya4796
      @franklinisaya4796 7 днів тому

      Ukienda bank huduma kwa wateja Kuna form utapewa ya kujaza

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 28 днів тому

    Mpesa wekeza

  • @danielmakelemo2395
    @danielmakelemo2395 11 місяців тому +1

    Nimeipenda ile njia ya kusimamiwa na mtu ninaemuheshimu kutoa kuweka sarving acount siwezi kutoa bila huyo mtu

  • @MariamManoko
    @MariamManoko 11 місяців тому

    Nimeipenda njia ya kaunda group la watu mnao fahamiana then mkaweka mkakati wa kila mtu kuonyesha pay slip pale anapokua aneweka akiba

  • @EzilyMunyi
    @EzilyMunyi 3 місяці тому

    Njia ya vikoba

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 11 місяців тому

    Mie nmependa ya kikoba ntajitahidi nianze

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  11 місяців тому

      Anza ni vizuri. Tafuta vilivyosajiriwa na ambavyo pesa inawekwa bank ya kikundi sio account ya mtu binafsi au mtu kukusanya

    • @omanjalan582
      @omanjalan582 11 місяців тому

      @@kelvinkibenje Saw Mr kelvin nitaanza nashukur pia ushaur wako Mzur

  • @jenifakessy-nd6tl
    @jenifakessy-nd6tl 9 місяців тому

    Nameipenda hiyo ya kutafuta mentor wa kunisimamia!

  • @rynekiswaga4597
    @rynekiswaga4597 10 місяців тому

    Nimependa fixed account, sijui naipataje

  • @teddytemu2897
    @teddytemu2897 17 днів тому +1

    Hvi NMB kuna account ambayo naweza kuweka akiba kipindi ambacho nina hela tuu Kama sina nikija kuweka wasinikate maana nilikaa muda mrefu bila kuweka pesa baada kama miez sita nkaanza kuweka wakanilamba zote sina hamu nao hadi leo natamani kuchoma kadi😢😢

    • @pendothomas7258
      @pendothomas7258 7 днів тому +1

      Nenda ukaulizie pre paid kadi Haina Makato ni ya NMB

    • @teddytemu2897
      @teddytemu2897 6 днів тому

      Sawa Ahsante ​@@pendothomas7258

  • @zainakhalid3843
    @zainakhalid3843 6 місяців тому

    Iyo hakiba inakua na faida pale ukifkia tamati ya kutoa ela yko?

  • @paulinamasanja
    @paulinamasanja 9 місяців тому +1

    Nataka hicho kikoba ulichopo ww

  • @farajamwanisawa488
    @farajamwanisawa488 10 місяців тому

    Fixed account IPO vipi mkuu

  • @jompoultryfarm7012
    @jompoultryfarm7012 5 місяців тому

    Sasa kwa sisi wa mikoani tunapataje kikoba

  • @LeunideMtimbuka
    @LeunideMtimbuka 6 місяців тому

    🙏🙏