MAKOSA YA KIPESA YA KUEPUKA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лют 2025
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 203

  • @ChrisMauki1
    @ChrisMauki1 2 роки тому +41

    Powerful stuff, a very useful lesson my good brother Joel

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 10 місяців тому +1

    Asante joel nakufatilia kw..umakinanu... n... Alex..kutoka.... Kenya... mungu azidi kukubariki..xana.....

  • @AfredaLupogo
    @AfredaLupogo 2 місяці тому +2

    Asante sana kaka Joel nanauka Kwa mafundisho yako mazur hakika nmejinza kitu

  • @sandetete8781
    @sandetete8781 2 роки тому +18

    Toka nianze kukusikiliza nimekuwa na Nidhamu ya kifedha sana na nipo napiga hatua najiona maisha marefu kaka💗

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому +2

      Hongera sana sana endelea hivyohivyo

    • @frankmuhango4238
      @frankmuhango4238 2 роки тому

      Yan mm Kila nikipata Hela hata sijui inaenda wap pengine ningepat muda unipe ushauli Zaid ningefulahi mno

  • @ghfhfdtyfgggd6271
    @ghfhfdtyfgggd6271 2 роки тому +6

    Asante kaka Joel nilikua na madeni mpaka napata depression. Tanguy nianze kukufatilia nikajua jinsi ya kuepuka madeni.kwa sasa niko free nashukulu sana.

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 2 роки тому +6

    Nashukuru Sana mungu akuweke nipo hapo ktk kuweka pesa Kwa baadae nashukuru Kwa hatua niliyopo mungu ni mwema

  • @cosmassostenes4877
    @cosmassostenes4877 2 роки тому +54

    Naitwa cosmas niko arusha nilifatili mafuzo yako 2019 mpaka leo nilikuwa Kwa mwenz naweka akiba 200000 na mpaka 100000 ila Kupitia mafunzo yako niliaza kuweka 600000 na leo hiii sitaki kuajiliwa niko kwenye prosess na kujiajili mwenyewe na ninasoma kitabu cha Timiza malengo Chenye Mbinu 60

    • @kelvinnjoroge4933
      @kelvinnjoroge4933 Рік тому +2

      Nikihitaji kitabu hicho nawezafanya vipi ili nipate mwongozo pia!?

    • @christermlewa8471
      @christermlewa8471 8 місяців тому +1

      Mimi pia nahitaji hicho kitabu

  • @dramatz3106
    @dramatz3106 2 роки тому +5

    Uishi miak mingi Mungu akujalie afya utatupa ulichopewa na Mungu asante

  • @PaschalKizale-r4t
    @PaschalKizale-r4t 10 місяців тому

    Wewe ni chaguo langu pekee la mwlmu wa elimu ambayo ckufundishwa God bless u much

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 2 роки тому +13

    Wooow Asante sana MUNGU ATUTUNZIE wewe Life coach wetu🙏🙏🙏🙏

    • @vicentndiholeye1067
      @vicentndiholeye1067 2 роки тому

      changamoto yangu MM. KAKA. nikuto kuwa nizamu. yakile ninacho kipatA

  • @EmmanuelMggs-ik9mk
    @EmmanuelMggs-ik9mk Рік тому

    akili yangu ililala kwasasa najitambua kwa masomo yako Joel nanauka asante mungu akubariki

  • @sibitasoinda7908
    @sibitasoinda7908 2 роки тому +1

    1.bajet ya mwez ~ ainisha kwa vipengele
    2.Epuka kuishi maisha ya madeni
    3.kuwa na mkakati maalum wa kifedha
    4. Mpango thabiti wa kupata uhuru wa kifedha ( kipato kinachotokana na uwekezaji kikidhi mahitaji Yako yote
    Barikiwa bro

  • @AdeltrudaHilonga-cz7wz
    @AdeltrudaHilonga-cz7wz Рік тому

    Be blessed kaka JOEL NANAUKA nakukubali sanaaa umekuwa chanzo Cha mabadiliko kwangu🙏🙏

  • @JofreyMbule
    @JofreyMbule Рік тому

    Najikuta kweny mabadiliko makubwa zaid pale ninapo sikiliza masomo yako na zaidi kweny kusomaaa najifunz mengi saaan kaka joel

  • @masheyn
    @masheyn 2 роки тому +1

    Nimekuelewa sana mkuu dah

  • @IsihakaLitanda
    @IsihakaLitanda Місяць тому

    Nashukur san ...una mbinu nzuri sana kwa vijan waelewa kufika malengo yao

  • @ntidenderezajamal2073
    @ntidenderezajamal2073 2 роки тому

    Asnt sn mwamba wang muhenga wang mungu akubariki sn na sn

  • @hassanjr5318
    @hassanjr5318 2 роки тому +8

    Makosa ya kuepuka ktk kutafuta uhuru wa kifedha
    1. Kutokua na bajeti ya matumizi yako ya kila mwezi
    2. Kuishi maisha ya mikopo au madeni
    3. Kutokua na mkakati wa kubadilisha active kuwa passive income ...kutokua na mkakati wa kutengeneza pesa ukiwa umelala
    4. Kutokua na mpango wa kuingia kwenye uhuru wa kifedha (financial freedom) ...Kutoa kua na clear plan of financial freedom

  • @Eliroster
    @Eliroster 6 місяців тому

    Shukurani sana mkuu napitia haya yote ila nitajifunza kupitia haya wenda nitabadili maisha yangu

  • @jacksondarema5654
    @jacksondarema5654 2 роки тому

    Habari kaka samahan xana kwanza mungu akubar xana na akupe maisha maref nawesa sema umechangia xana me kua hapo nilipo kwa mawazo yako pia naomba kuwasiliana nawe kama hutojali make Nina mamb mengi xana naitaj ushaur wako kaka

  • @johnmulelamuthoka2310
    @johnmulelamuthoka2310 2 роки тому

    Ni kweli ndeni si poa ju ata uwezi kaa na amani

  • @JacksonJuma-u5q
    @JacksonJuma-u5q Рік тому

    Kaka masomo yako yamenisaidia na kunifumbua akili kaka 😊😊 aksante,,,,san

  • @ElishaMasalu
    @ElishaMasalu 2 місяці тому

    Uko sawa kabisa
    Barikiwa saana nafuatilia hatua kwa hatua

  • @mikehjackson8146
    @mikehjackson8146 2 роки тому

    Kaka joel mm nmejiajili mwenyew ila napata kipato ambacho kina mudu mahitaj yangu binafsi na watu wangu wa karibu na akiba inabak ambayo naweza kufanya uwekezaji mwingne ila cjui nianzie wap kila wazo nalowaza naliona halifai naomba kujua ni kitabu chako gan nikisome ili niweze kuvuka kwenye ukuta huu.Ahsante.

  • @worldboyzteamcyg4000
    @worldboyzteamcyg4000 2 роки тому +1

    Naomba unifundish jisi yakuanza biashiala ukiwa na mtaji mdogo

  • @fyogelajohn2250
    @fyogelajohn2250 2 роки тому

    Joel big up sana brother ♥️🤝

  • @veronicamwautenga7394
    @veronicamwautenga7394 Рік тому

    Barikiwa SoMo zur sana

  • @priscashairock2679
    @priscashairock2679 Рік тому

    Good message stay blessed our mentor

  • @frankdommy415
    @frankdommy415 2 роки тому

    uishi maisha marefu bro joel

  • @mwanaidijiran3296
    @mwanaidijiran3296 2 роки тому

    Iko poa sana kamanda!

  • @lovenesslukas5360
    @lovenesslukas5360 2 роки тому

    Ahsantee sana, ubarikiwe

  • @msabwarashidi2628
    @msabwarashidi2628 2 роки тому

    Aksante sana kaka kwa kunipa elimu bora sana

  • @wilbertmlyuka5723
    @wilbertmlyuka5723 2 роки тому

    Hakika nilishakuelewa sana Joel

  • @NaySulley
    @NaySulley Рік тому

    Asantee uko vizuri nimeioenda mafundisho Yako ubarikiwe

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 2 роки тому

    Hakika umekua mbaraka kwa wengi Mungu azidi kukubariki zaidi kaka @Joel

  • @mohamedhamad2374
    @mohamedhamad2374 2 роки тому +1

    Ahsante kwa Elimu nzur sana Bos Mkubwa.

  • @suzanakaijanangoma703
    @suzanakaijanangoma703 2 роки тому

    Asante Sana Kaka. Napambana Sana bado kupata mpango madhibuti wa kuelekea kwenye Uhuru wa kifedha

  • @mohamedngota8535
    @mohamedngota8535 2 роки тому +3

    We don't have financial money and you teaching us 🙏✔️

  • @hamisjuma8524
    @hamisjuma8524 2 роки тому

    Namepata Kitu Kutoka Kwenye Hii Mada Kifupi Nmekuelewa💯💯

  • @godloveall.2564
    @godloveall.2564 Рік тому

    Shukrani Sana rafiki yangu MUNGU akubariki Sana

  • @salehabdallah2737
    @salehabdallah2737 2 роки тому

    Bro j we ni nowma sanaaa right personal kwa hii motivation upo njema mung akupe umei mrefu tuzidi kufaidika na uwepo wako maisha marefuuuu tunakuombea

  • @evamwashiuya3314
    @evamwashiuya3314 2 роки тому

    Asante.kwa.somo.zuli.nimejifunza.sana.kaka

  • @richardmoris8571
    @richardmoris8571 2 роки тому

    Ahsante kwakuiona ufaulu was kifedha.

  • @marympemba2137
    @marympemba2137 2 роки тому

    Kweli kabisa, kunapesa ya leo, na kesho Hilo ni jambo muhimu sana

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 роки тому

    Ahsante sana, umenijenga,

  • @abibusaidy5899
    @abibusaidy5899 2 роки тому

    Dah kwanza nashukuru kwa kaka changamoto yangu ata nikiwa na pesa natafuta niwekeze kwenye kazi gan

  • @ELISHAALFAXARD-s4t
    @ELISHAALFAXARD-s4t 9 місяців тому

    Nakubariiii mkuu endelea kutukomboaaa

  • @abdulrahmaniselemani8569
    @abdulrahmaniselemani8569 2 роки тому

    Kupata uhuru wa kifedha.

  • @mathiasjumanne9053
    @mathiasjumanne9053 11 місяців тому

    Asante sana nimejifunza kaka Joel

  • @davidmarik4633
    @davidmarik4633 2 роки тому +3

    Genius 💥

  • @hekimaBukuku-mu3js
    @hekimaBukuku-mu3js Рік тому

    Asante kaka nimejifunz kitu kwako

  • @jckybags
    @jckybags 22 дні тому

    Mi naona nakosa vyote😭😭😭😭. Let me start bro.

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 роки тому

    Joel nakukubali sana

  • @emmanuelmakomango6577
    @emmanuelmakomango6577 2 роки тому +1

    Barikiwa sana. Hakika Mungu ametupa zawadi kubwa sana wanzaninia.

  • @hamissally9498
    @hamissally9498 2 роки тому +1

    Kaka mungu akupe umri mrefu uweze wapa elimu wengi.najiona kwenye pessa mingi sana.nilianguka namka nasonga mbele

  • @feisalhamza1589
    @feisalhamza1589 2 роки тому

    Thanks brother Joel.

  • @ShonyangaAbdoulrashid
    @ShonyangaAbdoulrashid Рік тому +1

    Allah akuongonze

  • @fadhilikiyungi1741
    @fadhilikiyungi1741 2 роки тому

    Thank you joel nanao niko nyuma yako

  • @FlankNyikonde
    @FlankNyikonde Місяць тому

    Nimeelewa sana

  • @wilbertmlyuka5723
    @wilbertmlyuka5723 2 роки тому

    Hakika upo vizuri

  • @Emmanueli-k4r
    @Emmanueli-k4r 3 місяці тому

    nzur sana hii nimejifunza

  • @danchibomnyama5461
    @danchibomnyama5461 2 роки тому

    Asante san kaka Joel kwa somo lako je nawezaje kuekeza kweny makampuni yakiserekali au makampuni ya kibinafsi

  • @lukwelehassan7714
    @lukwelehassan7714 Рік тому

    Hujawahi kutuangusha toka uanze

  • @petermgoben8283
    @petermgoben8283 2 роки тому

    Nathubutu kusema Dk Joel Mimi Nina shida amabapo nashindwa nifanye nn maana nilikua na Duka kubwa na nimekufuatilia Kwa muda na nimejijenga sana kupitia wewe lakini nimevunjiwa kama mara 3 Sasa nashindwa kuweka malengo ya kudumu ☝️☝️

  • @TheBloodline-y2e
    @TheBloodline-y2e 4 місяці тому

    All-hamdullilah 🤲 we must move bro

  • @melesianageorge2012
    @melesianageorge2012 2 роки тому

    Mungu akubariki Sanaa azidi kukupa maarifa zaidi

  • @salehabdallah2737
    @salehabdallah2737 2 роки тому

    Watu hawa wa muhim jaman tuwaombee mung afya njema na umri mrefu .haya masomo yanatufanya tuwe matajiri jmn .

  • @sikituukololo1161
    @sikituukololo1161 2 роки тому

    toka nianze kukusikiliza nilichukua hatua kwa kufanya matumizi kwa kupanga. Na akiba yangu inaongezeka, ila kwavile nimeacha kutoa hovyo pesa naambiwa siku hizi bahili.

  • @EliudJoram
    @EliudJoram 29 днів тому

    mungu akubarik xan kaka

  • @mafanikiogidioni5148
    @mafanikiogidioni5148 2 роки тому

    Mungu akubaliki

  • @paschalmakono6854
    @paschalmakono6854 2 роки тому

    Ushauri mzuri sana, nahisi ndicho chanzo cha kutofanikiwa kwa wengi.

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 Рік тому

    MUNGU AKUBARIKI

  • @jamomuthakacommedy5721
    @jamomuthakacommedy5721 Рік тому

    This guy is a genius

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 2 роки тому

    Asante kwa SoMo limenitoa mahali Fulani kaka.

  • @lovenoor988
    @lovenoor988 2 роки тому +1

    Ahsante kaka 👏

  • @ShadyaJuma-vo8fk
    @ShadyaJuma-vo8fk Рік тому

    NtaZa Leo kaka

  • @dizochande3240
    @dizochande3240 2 роки тому

    mtaji wangu ni mdog saana nashindwa kupata faida

  • @vuaikitwana2752
    @vuaikitwana2752 Рік тому

    Good job brother

  • @IvonaDenis-un8hl
    @IvonaDenis-un8hl Рік тому

    Nakushuku kaka

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 8 місяців тому

    Ubarikiwe sana mafunzo mazuri

  • @musasabuu2808
    @musasabuu2808 2 роки тому

    Dar ofisi yako inapatikana wap

  • @FlankNyikonde
    @FlankNyikonde Місяць тому

    nimeelawa sana

  • @ramadhanikibana6456
    @ramadhanikibana6456 8 місяців тому

    Bro ubarikiwe sana.....

  • @costarsokoni
    @costarsokoni 2 роки тому

    Asante sana naku soma vizuli kaka

  • @saidalhabsi9257
    @saidalhabsi9257 2 роки тому

    Ubarikiwe sana kaka tangia nianze kufatilia video zako nimepata uimara sana Asante

  • @kasabamedia5332
    @kasabamedia5332 2 роки тому +3

    Good message, brother be blessed

  • @ShamburileiyoShamburileiyo
    @ShamburileiyoShamburileiyo 9 місяців тому

    Upo vizuri mungu akubariki

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 2 роки тому +1

    Basic facts with big results!!. Thanks a lot Bro..

  • @lugendondayanse4910
    @lugendondayanse4910 2 роки тому

    God bless you Br Joel

  • @binjafa6362
    @binjafa6362 2 роки тому

    Nakubali kk

  • @modestshikilana4610
    @modestshikilana4610 2 роки тому

    Asante sana kwa kutupatia shule nzuri

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  2 роки тому

      Karibu sana, tuendelee Kushare na wengine

  • @beckanismone6324
    @beckanismone6324 2 роки тому

    good teacher

  • @hellyfridy
    @hellyfridy Рік тому

    Be blessed🙏🙏

  • @simonshija2476
    @simonshija2476 Рік тому

    hapa bhana point ya kwanza mi siwezi kuitumia, mi natumia pesa sana na nikikuta mtu hana bora nimpe yeye mi nikose
    na nimefanya sana kifupi hizi kanuni mimi hazinifai na madeni yanasababishwa na kutokumtolea MUNGU finishi................................

  • @williamrinus7793
    @williamrinus7793 2 роки тому

    Barikiwa

  • @leticiampeka1488
    @leticiampeka1488 2 роки тому +4

    Perfect timing...thanks brother, stay blessed

  • @ngendakumanasalumdiki2847
    @ngendakumanasalumdiki2847 2 роки тому

    Video muhimu saana. Asante

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 роки тому +1

    asante studios

  • @jacksonenock5231
    @jacksonenock5231 2 місяці тому

    Nikupata vyemaa sana

  • @mussakhamis2377
    @mussakhamis2377 2 роки тому

    Thank broo uko uzur