@@bnyangomahii si ni mtandao wao TRC, wajibu hapahapa, halafu mtandao wao wa intaneti hawaweki maelezo ya msafiri wa SGR ili asafiri anahitaji afanye nini, kwa mfano mabegi yamezidi uzito au kama kuna toroli station ya kubeba mabegi kama airport.
uyu jamaa wa ng,ombe yupo theoretical na porojo hizo hizo kila siku ambazo kila mtu anazijua embu tuongee vitu ambavyo vina impact sio ivyo ivyo anavyoongea mkirugenzi na yeye anaongea ivyo ivyo
R.I.P.JPM
Vizuri hongera sana Tanzania
Zile Treni za mchongo jaribuni Mbele kwenye pua pafunikwe kukaa wazi hazileti mvuto maana Ile ni EMU Sasa Haina.sababu ya kuwacha wazi
pale ni kwaajili ya kuunganisha na seti nyingine ila panaweza kufunikwa.
Wafunike bana
@@mussamussa8181 yeah wako katika majaribio ila inafunikwa kama hivi ua-cam.com/video/GXZG74zipkk/v-deo.html
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
HONGERA SANA TRC..
Kwa Nini ask me...? Na sio niulize Mimi tuache ujinga
😂😂😂Hizo takwimu mnazitoa wapi??
Wasichana wangekuwa kofia kama zile za wale wenzao wa Kenya Railways wangependeza Sana..
Sio Kila cha kuiga
NGOJA WAKAT. WA MVUA TUONE MANA IZO PAA AZIJA SOGEA KABSA......MAAYAI 4BILION NA AATUYAON TUNAKULAA YAKISAASA
Mie natumia wheelchair, je nipanda je, nataka kusafiri
Nenda station utajua huko huko