KIPINDI CHA RELI NA MTUKIO AUGOSTI 29,2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 9 днів тому +5

    Hicho kipindi chamwisho chakutoa elimu kuhusu matumizi ya ndan ya sgr inafaa muwe mnaonyesha kwahizo tv zenu zandani ndio abiria walio panda wataelimika zaid na zaidi

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 9 днів тому +3

    Mwanza / Isaka imefikia wapi mbona mpo kimya sana

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 9 днів тому +2

    Kubadili inawezekana buana mbadilishieni mtu siku ya kusafiri sio awe amepoteza pesa yake huo ni wizi...
    Kutoa taarifa ya nini wekeni mfumo online mtu aingie abadili mwenyewe mambo ya barua tena noo!!😢

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 10 днів тому +2

    Fanyeni Stations ziwe na pilika pilika sanaa za Kibiashara, itasababisha hata anayesubiri Treni asiboweke. Ukifika Hamburg Station, Hannover Station, Frankfurt Station, Paris Station au London Station huwezi kutofuatisha usiku na mchana kutokana na pilika pilika zinazomfanya mtu asiboweke. Kuongeza sehemu ya kukaa sio lazima sanaa!!!

    • @salumalriyamy
      @salumalriyamy 9 днів тому +1

      Naamini ndio lengo, labda wafanyabiashara ndio hawajatumia fursa

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 9 днів тому

    Maelekezo ya kisenge nimeyaelewa😊

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 9 днів тому +1

    NIDA tena? Haipo senemu yeyote duniani. Huu ni ujinga tu

  • @SATZ-news
    @SATZ-news 9 днів тому +2

    Wekeni card ngumu sio ticket za makaratasi @Tanzania Railway Corporation

    • @Robert-p7c1k
      @Robert-p7c1k 9 днів тому

      @@SATZ-news pia suala NIDA ni upuuzi mtu, tuna baadhi ya watendaji wajinga sana, huweza kukkuta sehemu yeyote duniani tiketi za treni zinakatwa kutumia NIDA, ujinga mtupu 🤣🤣🤣🤣

    • @SATZ-news
      @SATZ-news 9 днів тому

      @Robert-p7c1k Hata mie imenishangaza sana yani hapa nilipo hata nikiinuka sasa hivi naingia kituo cha train nanunua card napanda hiyo fast train ili mradi card iwe na pesa ya kutosha ninakokwenda.

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 9 днів тому +1

    Kama mnaongeza mahala pa kukaa abiria msije mkaweka maviti ya plastic kama yanavyoonekana hapo kwenye hii video. Maviti yanaleta picha mbaya kwanza yana rangi mseto mara kijani mara njano..kama mmeagiza please weka viti original hivyo walivyoweka wajenzi. Black. consistence. Hvyo vya plastic tunaonekana very disorganized...mbaya mbaya

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 10 днів тому +1

    Kwa nini msiongeze aina zingine za biashara kama migahawa na maduka ili wasafiri waweze pia kuwa na activities zingine - Tatizo siyo viti vya kukaa bali aina mbali mbali za activities ambazo zitawafanya abiria wasichoke kabla hawajaondoka.

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 10 днів тому

    Ile filamu ya Royal tour inachosha kuangalia inajirudia rudia kila baada ya dakika 5, mngekuwa mnaweka na vipindi vingine pia

    • @danielkullwa1613
      @danielkullwa1613 9 днів тому +1

      labda pia wangeongea na azam tv,,ana ile device ambayo ni mobile kwa ajili ya watu wa mabasi ya mkoa..inaweza fungwa kwenye train