USTAADH ARAFATI ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI NA AKUFUNGULIE FAHAMU KTK DINI NA AKUPE MWISHO MWEMA KWA HAKIKA UMETUSAIDIA SANAA KWA MSINGI HUU WA KUJUA YUPO NA NANI?
Mawahabi wanatafunana wao kwa wao. Alhlusunna : Wanakuangalieni tu na kutoana wenyewe kwa wenyewe . Alhamdulillahi ambae kanihifadhi na wau wa aina hiii
Naam muombe sana Allah akudumishe katika njia ya wapotevu, maana nyie hamjawahi kuomba njia ya maswahaba mko tayar kukataa haqq kisa tamaa za nafs, Huku kwa Ahlus sunnah hakuna kupakana mafuta kama kwenu masufi.
Mashallah Allah mtukufu akulipe kher Shekh wetu kwafaida
jazakallah khayra
USTAADH ARAFATI ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI NA AKUFUNGULIE FAHAMU KTK DINI NA AKUPE MWISHO MWEMA KWA HAKIKA UMETUSAIDIA SANAA KWA MSINGI HUU WA KUJUA YUPO NA NANI?
بارك الله فيك يا شيخنا
Mawahabi wanatafunana wao kwa wao.
Alhlusunna : Wanakuangalieni tu na kutoana wenyewe kwa wenyewe .
Alhamdulillahi ambae kanihifadhi na wau wa aina hiii
Naam muombe sana Allah akudumishe katika njia ya wapotevu, maana nyie hamjawahi kuomba njia ya maswahaba mko tayar kukataa haqq kisa tamaa za nafs,
Huku kwa Ahlus sunnah hakuna kupakana mafuta kama kwenu masufi.
🤯🆚💪🏻
Hamza hoja wa samsara laminitis mnachimba tabiya ya watu kumtafutafutia makosa. Your group very pity.