Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri / Sheikh Hashimu Rusaganya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri Na Nimepinda Unifanyi Chochote / Sheikh Hashimu Rusaganya
    Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Usiwatoe Watu Kwenye Uislamu Wewe Siyo Mungu / Mimi Sufi Na Qadiri Na Nimepinda Unifanyi Chochote / Sheikh Hashimu Rusaganya
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

КОМЕНТАРІ • 309

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 Рік тому +11

    Mashaallah shekh hashimu Rusaganya.
    Muhimu kumridhisha Allah na si kuridhisha watu ambao hawamiliki pepo wala moto.

    • @machano5690
      @machano5690 Рік тому

      Wacha kujifanya kua wewe ni mkamilifu, sh. Rusaganya anajielewa.

    • @mahamuduhassan8511
      @mahamuduhassan8511 Рік тому

      Hakika ni kweliii mamba kaamua kusema kweli hamna kuremba

    • @mohdhilaly7900
      @mohdhilaly7900 Рік тому

      Ukitaka kusema hivyo wale mashehe wote waliomsomesha na wamaulidi motoni maana walifanya yasiomridhisha mungu kwa mujibu wa maelezo yako ?

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 6 місяців тому +1

    MAA SHAA ALLAAH!
    رحمهم الله رحمة واسعة وأسكنهم الفردوس الأعلى

  • @RamadhanOmar-ow1ki
    @RamadhanOmar-ow1ki Рік тому +14

    Mashaallah sheikh wangu umesoma kwa makuraiesh wa ujiji Allah akuhifadhi sheikh wangu .Naona wenye roho mbaya na kujiona wao ndo watu wa peponi povu linawatoka humu.Kwa kweli elimu ya kisufi na twariqa ina baraka sana na kuna mambo makubwa ambayo huyapati mpaka ambae anajibidiisha kuwa karibu kwa Allah na kwa watu wa twarika na hao masufi mwisho wakiona hizo kalama wanasema bidaa na uganga .

  • @kudrangayonga7766
    @kudrangayonga7766 Рік тому +21

    Maashallha Leo nimefurahi mnooo nikiwasikia mashekhe kama hivi wakiongea huwa nafarijika sana

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline Рік тому

      Naam kaka hujanishinda Mimi. Kanifurahisha sana. Huu ndio ukweli.

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 Рік тому

      Mashallah!! Allah atakulipa ujira wako kwa kila hatuwa!!!

  • @raheemabeid1965
    @raheemabeid1965 Рік тому +1

    Mashaaallah sheikh hakika umefunzwa vyema sana katika mji wa ujiji kwa masheikh wakubwa na alama kubwa ya mkoa wa kigoma

  • @FridaMajii
    @FridaMajii Рік тому +1

    MashaAllah baba yngu Allah aendlee kukupa afya njema uendlee kutupa mazr yeny mafundisho jazzaqalah khery

  • @maximusalnono6425
    @maximusalnono6425 Рік тому +2

    Shekh amepinda kweli Allah amjaalie anyooke na atujalie na sisi njia iliyostahiqi.
    Alichotufundisha Shekh ni kwamba hatutakiwi kupinga kile tulichofunzwa na mashekh wetu hata kama hakipo kwenye haqqi 😅na ni marufuku kuhoji 😃tufatilie mambo yanayotuhusu hatuna haqqi ya kuongozana njia stahiki 😅
    Ahsante shekh nimekubali umepinda ila kila mtu ni mchunga na kila mchunga ataulizwa na Allah kwa alichokichunga

    • @MuhozaZiada
      @MuhozaZiada 4 місяці тому

      Siyo hivo nilazima kuaheshimu walio kusomesha Kwa kua ndo ilikua kiango Cha elimu Yao
      ذلك مبلغهم من العلم

  • @fahadsalim3000
    @fahadsalim3000 Рік тому +6

    Uzushi ni kumchezea Allah eti uwesu dah Allah akusameh nimzee wetu tunakuheshim kwahapa utatusameh mzee anatangaza akida yake alafu amesema amepinda subhanallah Allah akuongoze katika njia sahihi

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Kwn yupo ktk njia gn twembie ewe mtu wa peponi

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 Рік тому +3

    Ma sha Allah...
    Allah akuhifadhi shekh
    Umefungua akili wengi wanaothamini Madheheb yao kuliko Uislam na kutaka radhi za Allah...
    Pia umewapa ujumbe wanaodhereu na kutusi Mashekh....

  • @maisarasid8670
    @maisarasid8670 11 місяців тому

    Nashukuru nimepata mafundishisho kutoka kwa sheikh mungu akueke na akupe afya

  • @swalehahmed6579
    @swalehahmed6579 Рік тому +10

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allah akunawirishe akupe mema duniyani na akhera

  • @9119-r4t
    @9119-r4t Рік тому +3

    Allah akuepushe shekh.unaona watu wafanya shirk kisha mtu anyamaze

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 Рік тому +3

    Mmmh ila hawa Ma sheikh wetu mtihani sana. Mwisho wana anza kumtishia ndg yao katika imani. Naamini lengo kuu la Sheikh Mohammed Bachu ni kutoa elimu kwa ummah wa Ki Islam hasa juu ya kitabu cha Barzanj. Tatizo elimu hii ime pokelewa vibaya na wengi miongoni mwa Ma Sheikh. Allah pekee ndio anae jua nani yupo sawa na nani kapotea katika hili In Shaa Allah

    • @umbopaday
      @umbopaday Рік тому

      Nimekuelewa

    • @SalehSaidmbarouk-pu9jq
      @SalehSaidmbarouk-pu9jq 6 місяців тому

      Sasa kama jambo liko hivyo, tunajifunza hapa kua watu wawe na heshima wasiwatukane waalimu zao Wala watu walio na mtazamo tofauti.

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 Рік тому +4

    Masha Allaah Sheikh, Alhamdulillaah Allaah amekutoa ktk Mila ile potofu. Mimi pia nilitokea huko huko, tulipotezewa time kulazimishwa kuhifadhi yasiyo sahihi. Laiti masheikh wangeitumia nafasi ile kutuhifadhisha Quran.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому

      acha uongo wewe umesoma wapi?! sheikh Rusaganya ni Sufi tena kindakindaki, mimi ni mwanafumzi wake. zamani masalafi walikuwa wanajua ni mwenzao, baada ya masalafi kuanza kutukana masheikh hovyo na kuwakufurisha waislam wenzao sasa sheikh Rusaganya ameamua kuwafunguka na kuwaeleza wajue yeye sio mwenzao.

  • @athumaniyshehoza2252
    @athumaniyshehoza2252 Рік тому +1

    Shekh lusaganya Allah akuzidishie umri mlef zaid

  • @MohamedMgwami-nw6bl
    @MohamedMgwami-nw6bl 7 місяців тому

    Aksante sana sheikh hashimu lusaganya mwenyezimungu akuhifadhi ,

  • @IBRAHIMUHALIMAHY
    @IBRAHIMUHALIMAHY 24 дні тому

    Mashaallah Allah akuifadhi

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 Рік тому +8

    Allahu Akbar, Allah akuifadhi Sheikh wetu

  • @OmariAbdullahi-i8s
    @OmariAbdullahi-i8s Рік тому +2

    Allah atujalie mwisho mwema, baada ya kusikia kutoka kwa mtu linganisha kwenye kitabu na sunna!

  • @abdulali753
    @abdulali753 Рік тому +3

    Mashaallah, Allah Akuhifadhi Sheikh na wanafik❤

  • @ابنعثمن
    @ابنعثمن Рік тому

    Jazakallahu kheir sheikh Rusaganya!
    Wewe huwezi kuwatukana masheikh wako,lakini mtoto wa marhuum Sheikh Nassor Bachu amemtukana baba yake kwa maneno makali.
    Hatari sana.

  • @hajinassor6369
    @hajinassor6369 Рік тому +5

    Mm nnachoamini ujumbe umeshakufikia sasa ni juu yako kuufuata au kubaki na bidaa zako

  • @rashidabuu9406
    @rashidabuu9406 Рік тому +5

    Mashaallah maneno mazuri sanaa shekh mungu akubarik watu waufaham mchango wa mashekh walotangulia

  • @MohamediMsigiti
    @MohamediMsigiti Рік тому

    Maa shaa allah
    Elimu pamoja na adabu ndo funzo tunalochukua Kwa sheikh rusaganya
    Allah akudumishe siku nidiriki darsa yako ya macho Kwa macho in shaa allah

  • @muhammadnassibu7706
    @muhammadnassibu7706 Рік тому +11

    Allah atawadhihirisha tu watu wa bidaa wote inshaAllah hiyo ni ahadi ya Allah والله مخرج ما" كنتم تكتمون"

    • @MatanoSalim-il9fk
      @MatanoSalim-il9fk Рік тому +1

      Hauna kazi ya kufanya

    • @kavumohemedi871
      @kavumohemedi871 Рік тому +3

      Sahihi brother acha waumie ila bidaa wakifanya lazma waambiwe

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому

      Kwahiyo wewe Raha yako unataka akae hapo aanze kudhalilisha na kutukana masheikh.!!

  • @suleimansaid4633
    @suleimansaid4633 Рік тому +5

    Babullah ahmada bajata thanaa alayh❤ taraturbatu nnabatu nnabii ru’uyatallah alayh ❤. Maaashaallah

  • @ammsarissa-we4fo
    @ammsarissa-we4fo Рік тому +4

    Asalam Alaykum, nawapenda kwaajili ya allah, kipindikile una vuma sana redio imani
    Mbona ulishawayi kusema asyatuni wa maryamu, haya maneno ya meongezwa tena haya maneno yako kwenye clipu, lu saganya to muogopeni
    Allah, na hisi maneno ya allah yasha tuzuru, a lipo sema, kuna watu, mudhbi dhabina bayna dhalika huku tuko na Kule to ko

  • @yassinijumanne1763
    @yassinijumanne1763 Рік тому

    Wallahi shekh unasauti nzur yaan nmejiskia raha sana

  • @salmasalim4090
    @salmasalim4090 Рік тому

    MashaAllah sheikh

  • @sanda960
    @sanda960 Рік тому

    Shekhe. Unaposema shughulika na Yako na usishughulike na ya watu Mimi sikuelewi. Unaposhughulikia dini Moja Kwa Moja utashughulika na watu. Maana ndy walengwabwa dini hiii.

  • @saidkondo5112
    @saidkondo5112 Рік тому +3

    Mtihani huu,shekhe hata kama kakosea hataki ambiwe, hizo qasida unazoimba lusaganya shekhe wangu maana yake unajua, basi waambie waislam kama inafaaa kumuomba msaada au ukombozi mtu aliekufa, mtihani sana huuu sikutegemea kama unajeuri kiasi hiki

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 Рік тому +3

      Akili huna kama kitu hujui maana yake kukaa kimya nibora kuliko kuwatuhumu watu

    • @shabansalum5328
      @shabansalum5328 Рік тому

      Asante e

    • @FarahJey
      @FarahJey Рік тому

      Ongeza sauti rusaganya asikie,naona yuwaimba tuu,twaomba tafsiri ya hizo beti za nyimbo au qasoda

    • @saidkondo5112
      @saidkondo5112 Рік тому

      @@tanzaniaonmzamiloon8627 hakuna alietuhumiwa hapo ,lusaganya ni shekhe tena kasoma kwa hao mnaowaita mawahabi ,ila ataki kuacha itikadi za babu zake hata kama mbaya,atafsiri hicho alichokuwa anaimba wengine hue nda hawjui maana yake.alafu atuambie maiti anaombwa istikhatha

    • @Randomcattvideos
      @Randomcattvideos Рік тому

      @@FarahJey kumbe elimu huna ndio maana unaomba tafsiri

  • @sharifumajaliwa-pc8kd
    @sharifumajaliwa-pc8kd Рік тому

    Maashallaaa shekhe.Rusaganya Alla.akuweke maana watu kamanyinyi niwachache sana

  • @hatibunkonga2350
    @hatibunkonga2350 Рік тому +1

    Sheikh sasa anaaza kuheshimu watu wengine ...

  • @abdillahimohammed3544
    @abdillahimohammed3544 Рік тому +2

    Naam sheikh mashaa Allah nimefurahi qaswida unazijua

  • @husha6372
    @husha6372 Рік тому

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh Mohammed Abdulwahab Mwenyewe amesomea Kwa Sheikh Abdulqadir Jeilani

  • @SociedadeSust1234
    @SociedadeSust1234 Рік тому +1

    Allah akuifadh sheikh Hashimu

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Рік тому

    Ma Shaa Allah Sheikh wangu upo sahihi

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Рік тому +2

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @fadhilizomboko459
    @fadhilizomboko459 Рік тому

    Daaah mtiani huuu kwl ww umepindaaa xx km umepindaa sheikh bachu hata kunyoosha

  • @ruzatuntajadin1274
    @ruzatuntajadin1274 Рік тому

    Mashallah hiyo dhikri inifurahisha mpaka rohoni

  • @mussabaly
    @mussabaly Рік тому +1

    Mzee kazungumza hekima kubwa sana

  • @muhamadikombo4976
    @muhamadikombo4976 Рік тому

    Sheikh Muhammad Bachu maashallah mungu amueke hakik anafanya kaz ngumu kwa kweli 😢 ila watu bado wametia pamba masikion 😭

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      Wee na bachu wako hamuoni mbali baadala yakutagazaa ndini ya kiislam bachu wako kakalia maulidi biidaa na anocho jua nihicho tuu bachu hana elimu

    • @muhamadikombo4976
      @muhamadikombo4976 Рік тому

      @@jamilahjamilah4157 Wee una ushahid gan kama bachu hana elimu kwan unamjua mtu mwenye elimu na alokuw hana nduguyangu.... 😢🤔 Au ndo unaishi kwa kufuata mkumbo na matamanio yako t yanakupeleka wap 😢

    • @sadamakame7684
      @sadamakame7684 Рік тому

      Si tusoelimu sijui tushike wapi jamani mbona mwatuchanganya

    • @jamilahjamilah4157
      @jamilahjamilah4157 Рік тому

      @@sadamakame7684 dg yangu waala usichaganyikiwe elim haina mwisho wee soma utaujua nayule lile swali kalikimbia kusudi alikuwa anajua akijibu basi nahuyo wanaye muita ibun temwe atakuwepo naataulizwa kasema nn ndio sababu yakukataa kusema

  • @HassanNapalamula
    @HassanNapalamula Рік тому +2

    الله أكبر !
    بارك الله فيك

  • @hamishijja4574
    @hamishijja4574 Рік тому

    Ostaz allaah atuongoze atujali namwishomwema

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 Рік тому +2

    Shehe muhammad nassoro kigogo mwenyez mungu amfanyie wepes aliko 👏

  • @sheikhhusseinsuleimani2755
    @sheikhhusseinsuleimani2755 Рік тому

    Mashaallah shekhe Allah akuifadhi

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 7 місяців тому

    Quran na Sunna FULL STOP ❤❤❤

  • @mohd39789
    @mohd39789 Рік тому +1

    Hili shekh nalo linabana pua! Amesema kweli imaam Shafy mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana tayari ameshakuwa mpumbavu

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому +1

      huyo imam shafi na yeye mwenyewe ni sufi kama ulikuwa haujui.

    • @mohammedsaid3045
      @mohammedsaid3045 Рік тому

      Ww itakuwa umetumwa ni mshenzi tu huwezi kumsema muislam mwenziwe maneno km hyo

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому

      Mohd...huyo imamu shaafy mwenyewe alikuwa sufiii Sasa unasemaje.!!

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому

      @@swalehemrombo9301 ndio wanavyokudanganya mashekh wa kisufi?
      Imaam Shafy hawezi kuwa sufi hata siku moja! Imaam Shafy alisema mtu akiingia katika usufi asbuhi haitofika mchana tayari ameshakuwa mpumbavu.
      Imaam Shafy yuko mbali na usufi (upumbavu)

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +5

    SHEIKH HII DINI HUWEZI KUIBINAFSISHA!UISEMEE UNAVYOTAKA!!
    UKITOKA KWA MSTARI TU LAZIMA UPIGWE NYUNDO ZA KUTOSHA!!

  • @HarounJuma-c1b
    @HarounJuma-c1b Рік тому +1

    Nimesoma comments nyingi humu , nikichogundua baadhi ya waislamu au wengi wetu , hatuna tamyiz ya kupambanua haki na batwil, bali tunafata mkumbo

  • @RamadhanishemauaShemaua
    @RamadhanishemauaShemaua Рік тому

    Kidogo shkh ume teleza

  • @alikhatibali2024
    @alikhatibali2024 6 місяців тому

    Mashaallah

  • @fadhilizomboko459
    @fadhilizomboko459 Рік тому

    Maulidi sheikh Hashimu ni bidaa hata km umepindaa ukwl umekufikia vzr tu

  • @MudGuy-gv9do
    @MudGuy-gv9do Рік тому

    Hiyo stori ya mtume kuminywa na jibril sio kweli jribu kufikiria vzr

  • @Mfinanga1
    @Mfinanga1 Рік тому

    Shehe nakupongeza Allah akulinde.

  • @adamkombo2221
    @adamkombo2221 Рік тому

    شاء الله حفظك الله يا شيخ

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 Рік тому +2

    Kuna sheikh na mzee ww ni mzee rusaganya endelea na hadithi za babu na wajukuu zake
    Mm nilikuwa nakuona umesoma kumbe umefata mkumbo ila Allah atuongoze katika njia ya sawa sawa

    • @binaamour318
      @binaamour318 Рік тому +2

      Kw taarifa yko w Musa waulize hao unaowmini huyo rusaganya kasoma wpi watakwambia na ushabik wko up huyo Madina miaka iyo isiokuwa na mihemko ya kishabik y dini au shekh wako!

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому +1

      Tatizo we hujuwi halafu una mihemko huyo Rusaganya Sasa kasoma huko huko huko kwa hao hao wanaokuleteemi hiyo misimamo mnaojifanya mnayoo.!! Sasa yeye ndio kasoma huko huko uliza utaambiwaa.!! Acha ushabiki maandazii.!!

  • @jumabias4917
    @jumabias4917 Рік тому +1

    Mwalimu wangu, shekhe Rusaganya wakati nasoma masjid qubah ( kijitonyama Daressalaam)
    Allah akuhifadhi

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 11 місяців тому

    Mimi binafsi hata kama sijafika huo makamu, lakini najivunjari kuwa sufi Al hamdu lillah.

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 Рік тому +2

    Mashaallah mashaallah maneno mzuri

  • @ahmedmohamedshaksy9471
    @ahmedmohamedshaksy9471 Рік тому

    MashaAllah Sadakta sheikh 100 kwa 100 asiyependa ajifungie chooni 🤣

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому

    Mashekhe wana fanya kazi ya kuelimisha nyinyi mnarejesha nyuma juhudi njema, mtalaaniwa na Mola Mlezi wetu ngojeeni tu

    • @swalehabdulrahman4118
      @swalehabdulrahman4118 Рік тому

      Wameanza kulaaniwa masalaf alafu ndio wengine

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому

      Umesikia kuwa mungu ni mjomba wako atowe laana kwa matakwa yako tu unavyotaka wewee.!! We mpuuzi kweli yani.!!

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому

    Sheikh Mungu akuzidishie nimependa sana maneno yako umeongea kizamani hasa karne hii hakuna mambo hayo vurugu tupu kwanza huwezi kujua mwalimu nani sheikh nani mwanafunzi nani ujinga ujinga tu

  • @kassimali8756
    @kassimali8756 11 місяців тому

    Haki ibainishwe jameni tusiifiche ndivyo yalivyo amrishwa na Allah na mtume wake

  • @ramadhaniddsalim2201
    @ramadhaniddsalim2201 Рік тому +35

    Watu watarika wengi wamekufa na shahada wanapata mwishomwema

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 Рік тому +5

      Na kwanini wasife na shahada hali wao kutwa kucha ni lailaha illah Allah. Kila baada ya swala ni adhkaar tupu na lailaha illah Allah mara 165

    • @alawikihema8676
      @alawikihema8676 Рік тому +4

      chozi lataka kutoka nikiwakumbuka Masheikh wetu wameishi maisha yao yote kwa dhikiri tukufu

    • @shadyahamad3724
      @shadyahamad3724 Рік тому +3

      Na kubali twarika ukiishika na mafundisho yake unapata mwisho mwema twarika ni njia ilio nyooka🙏🙏🙏

    • @muktazimbuyu6569
      @muktazimbuyu6569 Рік тому +1

      Sio ukweli wewe ni muongo

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 Рік тому +6

      @muktazimbuyu6569
      Kwani wewe una Ilm ya ghaib kujua kama fulani ni muongo?
      Nyie kwenu masheikh zenu wa kiwahabi hawana nuru na utulivu na kutwa kucha ni matusi na takfiri na magaidi ni zao na magaidi.
      Hamuwafikii watu wa twariqa kwa adhkar na tahlil, huyo sheikh wenu mkuu hamfikii hata robo muridi tu wa chini kwa uchamungu na ibada

  • @KGONLINETV-i7z
    @KGONLINETV-i7z Рік тому +2

    MAULIDI JUU ZAIDIIII MTUME ASIFIWE SANAAAAAAA

    • @marthad7627
      @marthad7627 Рік тому

      اللهم صل وسلم وبارك عليه وعلى آله وصحبه أجمعين

  • @selemanabbas6862
    @selemanabbas6862 Рік тому

    Masha Allah

  • @AbubakaryKibendera
    @AbubakaryKibendera Рік тому

    Sayyid Abdul qadiry jaylan

  • @bachus57
    @bachus57 Рік тому +4

    Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar mashallah

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Рік тому

    😢😢 Allahu Akbaru Allah akulipe kheri

  • @BashirNuru-dn6fs
    @BashirNuru-dn6fs 6 місяців тому

    Book of qadiria shiekh

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +4

    Masufi mna dhalilika hadharani bila kujielewa😅😅😅😅😅

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di Рік тому +4

    Mashallah ❤

  • @mikekhalifaali7510
    @mikekhalifaali7510 Рік тому

    Mtu anatetea bidaah huyu daah, sio vizuri

  • @husseinazizi1275
    @husseinazizi1275 Рік тому +1

    قال الأمام أبيو بكر الطرطوشيء رحمه الله.
    مذهب الصوفية بطلة وجهالة وضلالة وما الإسلام إلا كتاب الله وسنة رسوله صلى الله عليه سلم

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 Рік тому +2

    Mngefundishwa vitu vya msingi mngekuwa mbali sana waafrika na watanzania ila mmefundishwa ujinga ambao hauwasaidii kitu katika maisha yenu.

    • @mohd39789
      @mohd39789 Рік тому

      Ni kweli wangefundishwa vitu vya maana wangekuwa mbali ila walifundishwa upuuzi na bid'aa na kubana pua

    • @ismailjuma3692
      @ismailjuma3692 Рік тому

      musiwe wajinga uislam haupo kimihemuko toeni dalili zinazoenesha kua maulidi ni bida'a

  • @jumabias4917
    @jumabias4917 Рік тому

    Masjid qubah nimesoma kuanzia 1987 ..... Mwalimu kaduguda, Yusuf Salim, Salim Awadh, shekh rusaganya ndio miaka hiyo nilimuona

  • @ayoubshaibu8123
    @ayoubshaibu8123 Рік тому

    Chungu cha busara hicho, ALHAMDULILLAH

  • @muftiahmadimahmudulemba1918

    Wao
    Maa Shaa Allaahu

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Рік тому +5

    MASHA ALLAH 🇰🇪 💚 💚💚💚

  • @salimbaalwy9388
    @salimbaalwy9388 Рік тому

    HONEST IZ THE BEST POLICY... "ENJOY THE RITE FORBID WHAT IZ WRONG"

  • @ngalamenoherbal6955
    @ngalamenoherbal6955 Рік тому

    Aislam isomeni dini yenu muijue hapo ndo mtaijua haqi iko wapi vinginevyo mtaburutwa sana, ukisoma fiqhi ya imam shafiy rahimahullah ndo utagundua Imam Shafiy hakuwa sufi na mengi yanayofanywa na masufi yeye aliyapiga vita, tafuta kitabu kinaitwa safinatu nnajah au matin ghaya utajua mambo mengi.

  • @abdimwalim3505
    @abdimwalim3505 Рік тому +1

    Alhamdulillah

  • @chaillahhassan225
    @chaillahhassan225 11 місяців тому

    A.aleykum,naomba msaada namba ya shehe

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 Рік тому

    Sheikh Rusaganya dheheb gani mbona hatumueliwi

  • @nassorothabiti7237
    @nassorothabiti7237 Рік тому +1

    mashallaa

  • @RasulMfinanga
    @RasulMfinanga Рік тому +1

    mashaallah

  • @bellasi349
    @bellasi349 Рік тому

    Ingia bongo fleva utoe nyimbo utoboe maisha😂au kalia kaswida zako ufe masikini kwa kutegemea sadaka

    • @omariaman7818
      @omariaman7818 Рік тому

      Masheikh wa kisalafi wengi ndo wana maisha magumu sana kwa unafki wa kujifichia kigezo cha sunna

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 6 місяців тому

    Kumbe ummoja wao 😢

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому +3

    KUWATUNA MASHEIKH WALIYOPITA SIYO SAWA! ILA KUWATETEA KTK YALE AMBAYO WAO WALIYAKOSEA NDILO KOSA!!
    NA KUSIFU NA KUWASOMEA WATU MASHAIRI YA WATU WA BID'A KWA NIA YA KUWASIFU UNAHESABIWA AWE NI MTU WA BID'A!!

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 Рік тому

      Sasa ndio umeongea ujinga gani

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 Рік тому

      Jifunze ewe kijana ujinga ni aibu hakuna anayeridhia ujinga ila punda

    • @mwalimumwanyongo880
      @mwalimumwanyongo880 Рік тому

      Siku ya hukumu jitahidi ukae katika milango uwazuie watu wooote wa bidaa na maulidi masufi wasiingie peponi

    • @mhusinigau3231
      @mhusinigau3231 Рік тому

      @@mwalimumwanyongo880 hahaha 😂😂😂😂😂 hiyo kazi hata shetani ana roho mbaya lkn hataiweza

    • @mwalimumwanyongo880
      @mwalimumwanyongo880 Рік тому

      @@mhusinigau3231 haha 😃😃 ee Si masufi na watu wa maulidi ni makafiri kwahiyo watu wa suna na salafi siku hiyo wakae kwenye milango ya pepo ili masufi wasiingie peponi

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому

    Maashaallaah

  • @swalehmuhsinhassan9413
    @swalehmuhsinhassan9413 Рік тому

    Kumbe hili jamaa sufi. .jitu la twariqa.. doh Allah atuongoze. Hafai kabisa

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 Рік тому

      Haya mnyime Pepo basi km unayo hiyo Pepo ya kumnyimaa.!! Maana watu km nyinyi si mnamiliki Pepo zenu za kuwapa watu na mnamiliki mioto yenu ya kuwaingiza watu haya fanya uwezalo Sasa.!!

  • @kahiyemohammed8556
    @kahiyemohammed8556 Рік тому

    Mimi niliota wale maulama sufi wala masuni wanahalalisha vitu zaharamu kama mira , tumbako, kuozesha wanake bila walii wao, wakiwa wanafamu wakona elimu watakuwa mahbuzi au prisoners (with uniform)ndani ya kaburi paka kiama , until the day of judgements... niliota nataka mtafsir hio ndoto yangu...

  • @FarahJey
    @FarahJey Рік тому +5

    Rusaganya
    عَنْ عَائِشَةَ رضي الله عنها قَالَتْ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : ( مَنِ الْتَمَسَ رِضَى اللَّهِ بِسَخَطِ النَّاسِ ، رَضِيَ الله عَنْهُ ، وَأَرْضَى النَّاسَ عَنْهُ ، وَمَنِ الْتَمَسَ رِضَا النَّاسِ بِسَخَطِ اللَّهِ ، سَخَطَ اللَّهُ عَلَيْهِ ، وَأَسْخَطَ عليه الناس ) رواه ابن حبان "الإحسان في تقريب صحيح ابن حبان" (1 /510) ، والترمذي (2414) بلفظ : ‏( ‏ مَنِ الْتَمَسَ رِضَاءَ اللَّهِ بِسَخَطِ النَّاسِ كَفَاهُ اللَّهُ مُؤْنَةَ النَّاسِ ، وَمَنِ الْتَمَسَ رِضَاءَ النَّاسِ بِسَخَطِ اللَّهِ وَكَلَهُ اللَّهُ إِلَى النَّاسِ ) .
    وقد اختلف في رفع هذا الحديث إلى النبي صلى الله عليه وسلم ، ووقفه على عائشة .
    وقد صحح الإمام البخاري ، كما في العلل الكبير للترمذي (332) ، وأبو زرعة ، وأبو حاتم ، كما في العلل لابن أبي حاتم (5/59) ، وغيرهم وقفه . وقال الدارقطني رحمه الله : " ورفعه لا يثبت" . انتهى، من "العلل" (14/182) .
    وينظر " سلسلة الأحاديث الصحيحة " ، للألباني ( 5 / 392 ) ‏.‏
    ثانيا :

    • @MussaRwegasira-ei3em
      @MussaRwegasira-ei3em Рік тому

      Shkh Rusaganya mim nataman uwe mwalimu wangu katika dini sikuwah kukaa darasani ila nasoma kama hiv nikiingia mtandao hiv

  • @foodcook3626
    @foodcook3626 Рік тому +2

    Wewe kweli umefikisha ya maana eeeh!!!!

  • @fahmymasoud3653
    @fahmymasoud3653 Рік тому

    Wameaminishwa hivyo indio hivyo hivyo tu

  • @fahmymasoud3653
    @fahmymasoud3653 Рік тому

    Masalafi wakwanza mabidaa wakubwa wanafuata na kuamini kila wanalosema wenzao Ila ma sheikh wengine wote hawajui

  • @salehothman4723
    @salehothman4723 Рік тому

    Alhmdulillah

  • @am2323Diaspora
    @am2323Diaspora Рік тому

    Ndio zao hawa wanaabudu mtu mwenye elimu. Abdul Kadri Jaylani.

  • @mohammedal7864
    @mohammedal7864 Рік тому

    Halaf sheikh anamipasho hapo naona anawapasha wenye kanzu za watoto 😂😂