MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 408

  • @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
    @IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 6 місяців тому +19

    Wallahi Mimi ninavyo mpenda Muhammad Bachu kwa ajili ya Allah na usalafi, naomba Allah anijalie niwe kama yeye au kama sio Mimi angalau mtoto wangu au mwengine apatikane kama sheikh wetu Muhammad Bachu inshaAllah.

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 6 місяців тому +2

    Maa shaa allah kipenzi cha watu nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh muhammad bachu. Ni mmi nwanafunzi wako

  • @musabahaliou-lo9xe
    @musabahaliou-lo9xe 6 місяців тому +9

    Somo juu ya somo mashaallah akhy Muhammad, Allah akufanyie wepesi kwenye mambo yako.

    • @UmmuFaaruq
      @UmmuFaaruq 6 місяців тому

      نسأل الله أن يهدي هذا الرجل الجاهل الذي لا يريد تعليم الناس بل يريد تضليلهم وإخراجهم من المنهج الحق الى الضلالات

    • @UmmuFaaruq
      @UmmuFaaruq 6 місяців тому

      Unadai wamtetea abuu Muawiya haliyakuwa wewe nwenyewe wajua abuu Muawiya hayuko pamoja na wewe toka akiwa hai mpaka amekufa na ata Hilo walijuwa wewe

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому

      ​@@UmmuFaaruqSASA ikiwa yeye alimkata unataka akataliwe na yeye Yani MTU akifanya ovu na ww ufanye ovu SASA huu ndio ujadida wenyewe

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      ​@@UmmuFaaruqkapike huko mandazi. Acha shughuli zakiume

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому

      @@James_Jay_Jay Al akhii ww unashindwa kufahamu hakuna anaepinga usalafi tunatambuafika Kia usalafi ndio njia sahihi Bali kinachopinga ni hiki kikundi kilichojinasibisha na usalafi na wakawa hawaufuati ule usalafi wenyewe Yani wanapetuka mikapa Kwa kuwaita watu wa Sunna wenziwao kua mahizbi na majina mengine mengi ndio maana wakambiwa kua wamekuja na usalafi mpya Yani salafia jadida haukuepo Zama izo hiki ndicho kinacho pingwa.

  • @hashimabdulrahman4532
    @hashimabdulrahman4532 6 місяців тому +1

    Shekh Bachu Ahsante sanaaaa Unatutoa Matongo kwakweli Allah akuzidishie elimu ww na sisi Inshaallah

  • @aishabiwott2413
    @aishabiwott2413 6 місяців тому +1

    جزيت خيرا شيخنا الفاضل علي هذا التبيين ويجعل الله في ميزان حسناتك....

  • @IbnUmmar
    @IbnUmmar 4 місяці тому

    Mashaallah Allah amuhufadhi shekh wetu wallah nimepata faida kubwa

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 6 місяців тому

    Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
    Uyu mafuta aweze kujibu lolote mafuta ni kutowana kwenye sunaa to
    Sheikh Muhammad bacho endelea kurekebisha hawa masalafiya jadidah wakina mafuta na wenzake

  • @ayubumasudi8380
    @ayubumasudi8380 6 місяців тому +1

    MaashALLAH❤ JazzakkALLahu khairat apa elimu tu ALLAH akuhifadhi sheikh wetu

  • @ThabitiRashidi-z1b
    @ThabitiRashidi-z1b 6 місяців тому +7

    Wallahi shekhe na kuelewa vema Allah akuhifadhi

  • @saeedqaseem3172
    @saeedqaseem3172 6 місяців тому +3

    Ukiiiacha Akili yako kuwa huru na kuwa ikhlas basi masalaf wanaotuhumiwa wanayo sababu yakukaa kujibu hizi hoja kwa ikhlas ili kuweka mambo sawasawa.. Allah atuongoze na atuhifadhi sote Amin

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      @@saeedqaseem3172
      Majibu kwa M.bachu na timu yake
      ua-cam.com/video/qoGcpPr5NfM/v-deo.htmlsi=0q3GglwKZ90zAy32
      Kwa ziada ya majibu sauti na makala peruzi kwenye hiyo hiyo channel

  • @mohammedhassan-o9s
    @mohammedhassan-o9s 6 місяців тому +3

    Yaani hili ni somo kubwa saana , allah akuhifadhi na mambo haya hayataki ata ushabiki bali ni kufuat na kukubali lililo sawiyya.

  • @abuibra
    @abuibra 5 місяців тому

    ALAIKUM SALAM WARAHMATULLAH WABARAKAT,SHAIKH VITABU VINGI SANA VIHIFADHI KWENYE KABATI ITAKUA BORA SHUKRAN.

  • @ShemsaUmmuFawzaan
    @ShemsaUmmuFawzaan 6 місяців тому

    Assalaam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh.vp hali yako sheikh wetu Muhammad bachu.Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wenye amali njema sheikh wetu.Aamiin

  • @muhammadkhamis9396
    @muhammadkhamis9396 6 місяців тому +4

    Maashaallah Shekhe kwa juhudi kubwa

  • @saidsalum523
    @saidsalum523 6 місяців тому +1

    Kwakweli aliekua hamfahamu Muhammad Bachu atakua ama ana ufahamu mdogo au KAAMUA TU KUMPINGA BACHU BILA YA HAQQI

  • @malelembaabdulrahim9107
    @malelembaabdulrahim9107 6 місяців тому +2

    Jazakallah kheir Ahsante kwa elmu nzuri

  • @aishabiwott2413
    @aishabiwott2413 6 місяців тому

    Mashaa Allah shukran jazakallahu kheiran wabarakallahu fiika...

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu 6 місяців тому +1

    Mashaallah Allah akuongoze uzidi kutupa elimu naona huyo kaja kuchukua elimu na sio kutoa elimu juu ya maswali uliyo wauliza hawajajibu na wanaogopa kujibu wanatuma watu ili wakujue unategemea ponti zipi kabla hawajakujibu ili wasije kichwa kichwa kama umewaelewa huyo nikibaraka katumwa kwamba muulize hivi na hivi ilitujue ana nini anatemea yani ww unaegemea kwenye Pont zipi ili wasije wakaaibika kwa hoja zao kua zaifu juu yako hivyo kua makini unapo wajibu maswali yao wakati yako hawaja kujibu shekh bachu

  • @abduswaburmuhammad6625
    @abduswaburmuhammad6625 6 місяців тому

    Aslm alkm warahmatullah wabarakatuh sheikh bachu unajaribu kuwaeleza Hawa watu ukweli wao wanakuja Na Shari so sioni wakikufaham Ni Bora utufundishe Sisi wasio jua lolote tutakufaham wao darsa zao Ni kutoa watu katika uisalm Na ukuwaingiza wengine so Allah atuongoze sote amiin

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 6 місяців тому +3

    Kwel we kichwa sheikh muhamad bachu hoja umezivunja vzr sana

  • @MunahyaMubaraka
    @MunahyaMubaraka 5 місяців тому

    A, alleykum allah atuongz inshallah endelea kutufunza maan ni mtihan huko tunapoelekea na vizaz vyetu vijavyo tunakupenda kwaajir ya ALLAH usichoke wala usikate tamaa na pia nna shida na no zako kam itawezekan inshallah

  • @omarykibunta4950
    @omarykibunta4950 6 місяців тому +6

    Assalam alaykum Hali yako shekh wangu Muhammad nassori bachu

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 6 місяців тому +4

    Allah akulipe kheir kwa kulibainisha kundi la majadida
    Lenye mrengo wa kuwatowa watu kwenye uislamu

    • @abdiazizmohamed444
      @abdiazizmohamed444 6 місяців тому

      Usalafi ni fitna

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      Ah! Wana mrengo wa kuwatoa watu kwenye uislamu!!!
      Watakuwa ni waislamu kweli hao? Au ni wanafiq waliojichomeka kwenye dini?
      Kama ni hivyo ni watu wabaya sana hao

  • @KijoJr-r1l
    @KijoJr-r1l 6 місяців тому +1

    Ndugu zangu wa kisalmu tumefundishwa mambo dini tusi tiye maneno ya ovyo oyvo hii ni Dini mungu akujaliye herii muhammad bachu

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 6 місяців тому

    Jazak Allah khair

  • @Dawah99
    @Dawah99 6 місяців тому +7

    Mm namshangaa sana huyu bachu, yeye anamsimamo wa kuwaita maulamaa majadida na biwabidi’isha mashekhe wakubwa kama Shaykh Muqbil, Shaykh Rabee na Shaykh Muhammad Aman Jamee. Huyu usalafi haujui. Allah amuongoze

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Wewe wache upuuzi, lini umeskia amewabidiisha hao mashekh? Kama Huna akili vizuri katafute spitali kwanza utibiwe kisha ndio uje comment hapa.

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому +1

      ​@@Najma_Mbarukkamuulize Muhammad bachu hivi
      Ni nini maana ya JADIDA?
      Ni nani hao JADIDA?
      Walianza lini hao JADIDA?
      Nani kaanzisha huo UJADIDA?
      Ushahidi uko wapi?
      Hapo ndipo utajua anaitikadi gani kuhusu hao masheikh kama sheikh raby na sheikh muqbil na wengineo

    • @Dawah99
      @Dawah99 6 місяців тому

      @@Najma_Mbaruk mimi sitokujibu baada ya hii, mambo huyajui kaa kimya dada

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 6 місяців тому

      Wapi bachuu kumbdiisha Shekh muqbel,Rabee nk​@@Dawah99

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 6 місяців тому

      ​@@Najma_Mbarukukisema wameanzisha usafi fake au hizbi jadida uko si kuwabidiisha ewe jahik

  • @MusaHamisi-d2s
    @MusaHamisi-d2s 6 місяців тому

    بارك الله فيك أخي الكريم

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni Місяць тому

    Ustadh Bachu me nakakubali sanaa ila ulipo sema MTU AWEZA KUA MLEVI , MZINIFU lakini bado akawa mtu wa Sunnah !!! 😢 how ?!! dakika ya 34:20

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 6 місяців тому +3

    Wallah kuna mda nafurah sana kukusikilza yaani saivi watu watiana peponi na motoni kirahisi hivi kweli Dr Islam,Qassim Mafuta nk mtu anakwambia usisome kwao kirahis maana waonekana kabisa watu wa sunna mtihani Wallah

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini 6 місяців тому

    mashaallah allah amzidishie elim sheikhe wetu kipenzi muhamadi bachu natumai mulizaji amejibiwa napia amesomeshwa

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому

      Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA
      JE wajua ni nini maana ya JADIDA?
      Ni akina nani hao JADIDA?
      Lini walianza hao JADIDA?
      Nani kaanzisha huo UJADIDA?
      Je unao ushahidi juu ya hilo?
      Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah

    • @sultansaidsalehe3805
      @sultansaidsalehe3805 6 місяців тому

      ​@@AbuuBakar1kamuulz shekh bakar abuu zayd swali lako hilo

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому

      ​@@AbuuBakar1kafungue kitabu cha Abdul Rahman nasor Saad Al hadhu alal ijitimai kalimatul muslimiin au kafungue kitabu cha Ibni uthaimin sherhe ya hilyatu twalib ilmi utakuta majabu yote ya swali lako.

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 6 місяців тому

    MASHAA ALLAH Shukrn kwa eml sheikh

  • @sawtsalaf
    @sawtsalaf 5 місяців тому

    Mashaallah Sheikh umeanza vizuri sana nikakuelewa lakini kile ambacho ulikikataa ww mwenyewe umekitumia. Ulikataa kuitwa mjinga ila baadae umelitumia neno hili kumuita mwenzako mjinga. Kingine hujatupa audio ya Qassim Mafuta kwamba amewatoa watu katika sunnah, ukawaunganisha Mahajawirah ukasema ni sawa na kina Mafuta ilihali Qassim Mafuta na wenzake kina Abdallah Humeid (Allah awahifadhi) wanawakemea kila kukicha. Huu si uadilifu kama ulivyosema mwanzoni.

  • @KashinnaKashinna
    @KashinnaKashinna 6 місяців тому

    Asalamu alaykum warahamatulah wabarakaru alihamdulilah tunazidi kupata elimu,kwanza nawashangaa wanao comment kwa ushabiki,sisi sote ni waislamu,na kutofautiana kupo na kutaendelea kuwepo,ukiangalia tangu mwanzoni hadi sasa tofauti zipo na hazitaisha,mimi nimeelewa jambo moja hapa kwenye hizi mada,kuwa haifai kumtoa mtu kwenye dini kwakua mnatofautiana jambo flani,sasa wengi wetu ni wana sunna ila wana comment ushabiki na matusi,namuomba Allah atuongoe sote inshallah

  • @hatimabubakar1791
    @hatimabubakar1791 6 місяців тому

    Jazaka Allah kheirah yaa shk

  • @hassanmohamedlaizer569
    @hassanmohamedlaizer569 6 місяців тому +22

    Jamani wanaosema tuchangie hii channel kwa ajili ya ubunifu zaidi naomba tu comment usipooze huu ujumbe tumshajiheshe sheikh letu aendelee kupambana...nani yuko tayari inshaallah

    • @MuhammadabedAbedi
      @MuhammadabedAbedi 6 місяців тому

      Maashaaanllah

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому +2

      Mimi pia naunga mkono. NA mimi nishaanza kutuma mchango wangu .❤ Nampenda sana huyu mtu wallahi❤

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 6 місяців тому +2

      Sahihi kabisa.
      Hakika huyu Bachu ndo anatuonyesha njia Sahihi.
      Kwa maana watu wengi walikuwa wanaogopa kusoma Usalafi Kwa sababu mafunzo yao mengi yanalenga kuwagawa Waislam hata kama wanajitahidi kufuata Sunna na kujiepusha na Bidaa.

    • @Abuunuwayra
      @Abuunuwayra 6 місяців тому +5

      Mungu Mahifadhi Sheikh Bachu

    • @musabahaliou-lo9xe
      @musabahaliou-lo9xe 6 місяців тому +1

      ❤❤❤

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 5 місяців тому

    Manshallah

  • @AbdallahAbdurahman-cj2qp
    @AbdallahAbdurahman-cj2qp 6 місяців тому

    Shkh Muhammad nakupa Salam assalam alykum warahmtllh wabarakatu

  • @jamaldineali3228
    @jamaldineali3228 6 місяців тому

    Wallahi sheikh nakupenda sana kwaajili ya Allah

  • @shekhmansoor5421
    @shekhmansoor5421 6 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi akhui

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 6 місяців тому +1

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 6 місяців тому

    Allah akuhifadhi

  • @maadinaJuma
    @maadinaJuma 6 місяців тому

    Allha akulinde na maadui wote

  • @abusalmadangaadam708
    @abusalmadangaadam708 6 місяців тому +2

    Muhammad bachu allah akulipe kwahakika wewe ni kiungo

  • @husseinmongolare3417
    @husseinmongolare3417 6 місяців тому

    Shukran ❤❤❤

  • @SonofJacol-t6h
    @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

    Utoto wa M.bachu haujifichi hata kidogo. Elimu si kubwabwaja sanaaa mitandaoni na kukaza macho.

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому +1

    51:19 hahaha لا إله إلا الله umeamua kuchezea dini والله

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      Hahahaha!!! Anajifanya kugonganisha kauli za wagonjwa wenzake #mahajawira ili apate uchochoro wa kupisha #uhizbiyya na #ujinga wake!

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому +1

      Tunamuuliza M.Bachu na waliomtuma na wanaomshabikia, Kwani nyinyi #maAnswari hamna hoja za #kuwajadidisha Masalafi?
      Hoja zenu zinatosha? Zinamashiko? Zileteni tuzione

  • @umarumzamidu
    @umarumzamidu 6 місяців тому

    Allah akuwekee wepesi ktk mambo yako

  • @mohammedhassan-o9s
    @mohammedhassan-o9s 6 місяців тому +1

    Assalamu alaykum
    Allah akulipe kheir akhy,
    Ww umeyajibu maswali wao mbona hawataki kujibu uliyouliza , hii inaonesha hasa hawa watu wamezidiwa. Tunaomba kwa allah awaongoze na atuongoze sis pia kwa wote.

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 6 місяців тому

      Mm pia nilishanga nilitmn tukabainishiw majibu ya mswal yalioulizwa ila chkuskitisha kumezuka maswal mapya 😂. Hawa jama hawako serious wamekamatw ndipo haswa hawachomoki Hawa. Wajibj maswal waliouluzwa kwamza hlfu km wan yao watajibiwa. Shekh qassim anamyindo huo huo na yeye ukimuliza swal ankuliza swali sasa hapo ndo Nini jmn ah wanzingua Hawa Hawa hoja

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 6 місяців тому +1

    Kwakweli sheikh Qassimu mafuta, au Sheikh Mujjahid, au Sheikh Abdalla humeyd, au upande wakina Sheikh Abuu Haatim au sheikh Abuu usama khamis ame, au upande wa kina Sheikh Abuu muwawiyya,
    Hawa wote chanjo cha ugomvi wao umetokea kwa masheikh wakubwa kama Sheikh YAHYA ALHAJURY, na sheikh ALWASWABIY, na sheikh RABIY ALMADKHAR, na sheikh, MUHAMMAD IMAMU,
    kwakutofautiana kwao masheikh wakubwa tena wote wa sunna ndio nahuku kwetu yametokea hayo, kwahio masheikh hawa wakwetu wanashindwa kuelewana kwasababu wanaona watawakharifu masheikh zao haliyakua masheikh wote ni watu wasunna masalafiyun
    Kwakweli tuna mtihani mzito Allah atuongoze sisi na masheikh zetu wote hao wa sunna na masalafiyun

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm 6 місяців тому

      Mashallah umesema vizur allah atuhifadhi na hizi fitina maana zinatokeya kama zilivyo tabiriwa ktk maandiko namuomba allah anipe salama duniyani na akhera

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      Maa shaa Allah! Na huo ndio msimamo wa Abu Muawiya na Muhammad bachu wanapoanza kuwakusanya watu ili wawasikilize huanza na msimamo huu huu.
      Mambo yakienda mbele Alhamdulillah tunajua wanapoishia ni wapi.

  • @LuqumanOmar
    @LuqumanOmar 4 місяці тому

    Duuu bachukumbe umepinda

  • @imranmrisho
    @imranmrisho 5 місяців тому +1

    Anajijibu mwenyewe maskin ,,,

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому +1

    45:07 utamjuaje kama hastahiki hujajibu swali ujanja ujanja Tu

  • @ashekhajabir2469
    @ashekhajabir2469 6 місяців тому

    mashaallah

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому

    46:04 hapa swali bado linakudai uende ukatafute wanawachuoni wanasema ninan anayestahiki kubidiishwa?

  • @AbdulwahidAli-md6re
    @AbdulwahidAli-md6re 6 місяців тому +1

    Wambie waje Zanzibar wasome lugha ya kiswahili kwanza, halafu wajibu kwa ufasaha hayo maswali

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 6 місяців тому

      Kwani uyo Hassan wazir mtu WA wapi na anakaa wapi msiwe kama makondoo mnafuata Tu someni acheni ujinga

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 6 місяців тому +2

    Dawat salaf ni nuru ya Allah na nuru ya Allah hawapewi mahizbi

    • @salumtakao9828
      @salumtakao9828 6 місяців тому +1

      Si usalafi wa shekh qassim lkin. Naon mmekamatw ndipo hamjibu maswal manuliza maswali na bado mmejibiwa kielim zaidi . Mnaaaibika majadida . Toen hijja Kwan hmumuon bacho anvopekula vitabu ? Mjibubi basii km kaongea pumba ila mnashindwa

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​@@salumtakao9828ni usalafi wa barahiyani na m.bachu eee?

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​@@salumtakao9828
      Kupekuwa vitabu si hoja, hoja ni anakielewa anachokisema? Hata masufi na mashia hupekua vitabu wateteapo upotofu wao.
      Tutoleeni ushamba na ulimbukeni wenu. Kinachotakiwa ni hoja, na m.bachu hakika hana hoja ana #Viroja tu.

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      mmebanwa haswa hapa

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      @@SonofJacol-t6h amekosea wapii sasa katika hoja zakee? au ndio cha kujibu hauna umebakia kuwa na muhahoo😅

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому +1

    41:51 hivi huyu anapata wapi ujasiri huyu ibnu uthaimin kamnukuu halafu akaleta kanjanja…ibn uthaimin hajataja imam amesema jitenge na jamaa zote

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 6 місяців тому +2

    Huyu aliejibu nadhan anjihisi ovyo saiv akisikia hii clip. Na halfu mkiulizwa maswali mjibu kwanza msianze kuuliz maswali yenu. Twambie kwaza abuu muawiyyah kakhalifu kipi mpk mumtoe hmna hojja juu ya hiloo ni chuki na ushabiki ndo umewaja yawa salafi jmni . Wabdilike tu

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 6 місяців тому +2

      Subiri dawa iwaingie mbona RUDUUD zinaendelea inshallah na mtakaa mjue kuwa huyo ibn bacho ni debe tupu..

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      shukran

  • @AbiyolaSaidi-qe2ku
    @AbiyolaSaidi-qe2ku 6 місяців тому

    Allh akibr allh akuongoz san man hun akir ya saw na maswal kam 4 ukijib nakup magar yang ma 3

    • @AbdurahmanBishariza-p9h
      @AbdurahmanBishariza-p9h 6 місяців тому

      Unasema kwa uhakika?au ndo yale ya kumchaleji mtu ?Kama unauhakika maswali yako yapo kwenye msingi ya dini yetu uliza inshaallah

  • @SonofJacol-t6h
    @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

    17:51 M.bachu kaona tusi kuitwa MJINGA #jahili na kujifanya eti anabusara sana.! Wakati huo huo kwenye kichwa cha habari cha video yake kamuita Abul Abbas ni #kibaraka!!!
    Hilo kwake yeye na wapenzi wake kwao sio tusi!!! Allahul Musta'an

  • @ramadhansaid778
    @ramadhansaid778 6 місяців тому

    Asie kuelewa Sheikh BACHU basi juwa yakuwa yeye ndio anakasoro

  • @KhamisDaud-nz3rc
    @KhamisDaud-nz3rc 6 місяців тому

    Anaetaka kujifunza atajifunza bi idhinillah bali yule alieshikilia ushabik ataruka patupu

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 6 місяців тому +3

    Wewe ulishaanguka ili usimame rudi katika njia ya sawa

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 місяців тому

      Jibuni maswali Kwa dalili tupate elimu sio maneno tuu

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Kaanguka kwako tu, Lakini duni nzima inajua kama huyu mtu yupo imara pamoja na misuko suko yote anayopata

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      amekosea wapi katika hoja zakee hapo? au ndio mmebakia na muhahoo?🤣🤣

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 6 місяців тому +1

    Nawaona majadida wanavyo ingiya nakutoka vikao kama vyote wanatafta uchochoro mdogotu wautumiye kumtukana mtu Allah awape kheri

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому

    38:18 hapaa kajigonga gonja imam Nnawawiy kumbe amekhalifu aqidah ya salafiy? Nini sasa kili mbakiza wakati umetusomea maneno ya ibn Taymiyyah kuwa akikhaalifu aqidah ya salafi anatolewa katika sunnah??

  • @yunus-or3ny
    @yunus-or3ny 5 місяців тому

    ukiishi darul kufru marumbano hayaishi

  • @abdallaali4260
    @abdallaali4260 6 місяців тому +1

    Ukiskia kelele nyingi jua ngumi imeingia, mahizby wataka nusuru nafsi zao na wala si daawa

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 місяців тому

      Toeni majibu acheni ngonjera sisi tunataka faida uhizbiya wenyewe hujui ni nin hapo ulipo

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Hakuna anaenusuru nafsi yake hapo, kinachpingwa hapa ni tabia yenu mbovu ya kuvuka mipaka na kujiona MASALAFI ni pekeenu.

    • @abdallaali4260
      @abdallaali4260 6 місяців тому

      @@saidimkwinzu9106 bali alama kubwa za mahizby n kumchukia sheikh rabii na sheikh amani aljaamii.....

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​@@Najma_Mbaruk
      Oh! Hivyo kumbe wao si masalafi peke yao tu nanyi pia ni masalafi wenzao!!
      Haya maneno ukiyatafakari kwa kina Wallahi utajicheka

  • @seifsalum3018
    @seifsalum3018 5 місяців тому

    Wengi wanaokoment ummu ni wale bendera wasiopenda kuisom dini na kaz yao ushabiki

  • @SonofJacol-t6h
    @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

    58:20 Muhammad bichwa ww ni #jaahil mada imekushinda unajifanya muda umekwisha.
    Hizo Athar za Salaf ulizowekewa ni kitanzi kwako. Unabakia kuuliza "shida iko wapi, shida iko wapi" huku ukikaza macho!!!. Mambo ya kielimu hayapelekwi hivyo huo ni #utoto

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому +1

    Khilafu ambayo mtu anapewa udhuru ni ipi sasa sheykh BACHU…mbona huiraji ili kina Abu muawiyah nawao wapimwe kwa kipimo hicho hicho kilo wapima kina ibn Hajar

  • @SonofJacol-t6h
    @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

    1:02:57 kwani Shekhe lako #HasaniAwadhi sio #Dai ni muislamu wa kawaida tu? Hivi unajua kweli unachokizungumza kweli au umeamua kuwapotezea watu muda?

  • @musabahaliou-lo9xe
    @musabahaliou-lo9xe 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @AmourAmour-ux3nm
    @AmourAmour-ux3nm 6 місяців тому +3

    Shida ndugu yangu wew hujulikan washika wapi kwanz nan aliyeanzisha kundi hilo la majadida

    • @wardinizuri
      @wardinizuri 6 місяців тому

      Kaanzisha mwalimu nyerere😂😂😂

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Hahahaha😂 eti mwalimu nyerere

  • @universitylink
    @universitylink 6 місяців тому +1

    Sheikh Bachu wewe ulianza kutoa hojà ilikuwa wajibu hoja Kisha ndio wakuulize maswali lakini wamebadilishà meza sasa wewe ndio unajibu maswali yao

  • @usrahismail3196
    @usrahismail3196 6 місяців тому

    Tanzania mnatuongoza wakenya kwa makundi na malumbano

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 6 місяців тому

    Hakuna hoja ya Al alkh abbul abbas iliojibiwa kiilmu ata moja ,,,tumeona kutafuta huruma kwingi tu ,,,,hoja zingine ameziruka ,,,lkn in shaa Allah mahizbiy mtabainishiwa haqq tu ivi punde .

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 6 місяців тому +1

      Hhhhhhhhh kipofu Kwel ww taassub ishakuzonga

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 місяців тому

      @@abuumansour8479kipofu ni wewe unayedai umeona ilmu na Hali hamna,,,sikiliza kwa maakini tena utaona venye bachu maswali yamemshinda.

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 6 місяців тому

      @@ABUUJAAFAR92 nyie maboya kwel yan Bach alianza kuuliza yeye maswal, uadilif ni kumjib maswal kisha ndo muuliz sasa nyie bana mnatabia ya kuruka maswal so maswal hamuwez kuayjib na kimakala uchwara hhhhhhhhh mim nakijib yan mpaka jina halijui anaitwa bachu sio bacho hhh

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 місяців тому

      @@abuumansour8479 si unaona sasa hata hufuatilii inaonekana ,,wadandia tu juu ,,,bachu amemtaja sheikh qaasim mafuta kwenye clip zake ,,,ambaye tayari alitoa hoja zake dhidi ya uhizbiy wa barahiyani na dr Islam,, hizo hoja za sheikh qaasim hazijajibiwa ,,bachu sasa angekuja akataja zile za qaasim mafuta azivunje kiilmu,,,lkn amejifanya hazijui akaja na zake ,,sasa ukisema bachu ametangulia kuuliza utakuwa humkweli

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 6 місяців тому

      @@abuumansour8479 sasa wewe subiri al akh abul abbas ,atakuja kumnyoosha huyu kijana wenu ,,kwahio subiri ,,,ikiwa hauko kishabiki utaelewa biidhnillahi

  • @BizimanaYahya-y4o
    @BizimanaYahya-y4o 6 місяців тому

    Wallah ukijibu haya maswali nilioyaona ndasema WWE nimwacuoni

  • @swalehemusakiluwa9405
    @swalehemusakiluwa9405 6 місяців тому +3

    Unakataa lugha chafu wakati wewe kwenye kichwa cha habari tu ushamuita mtu kibaraka
    Kama lengo ni dini basi rekebika wewe kwanza

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      KIBARAKA NI MTUMISHI WA MTU, SASA TUSI VIPI APO, HUONI KAMA HAO WANATUMIKISHWA KUJA KULETA FUJO?

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 6 місяців тому +1

      Hyu anatafta views tu biashara iende hana abdu ya kuongea wla kujishusha hataki anajiona anajua yeye kila kitu angekuwa na elimu kama ya shekhe OTHOMAN MAALIMU cjui ingekuwaje othaman maalimu anajuwa kujishusha mno na bado anaitafta elimu watu wanamtukana yeye kimya misho wa cku wao wenyewe wanaenda kumuomba msamaha hyu sasa kuwafedhehesha watu na Kuwaita watu majina ya aibu fedheha ndio anajua

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      ​@@azizayassin3623Wewe Huna ujualo tulia pembeni, huu uwanja wa watu wa sunna wewe unatutajia Othman Maallim!!! Huoni haya wewe? Hapa huyo Othmani hastahiki hata kutajwa, kama angekuwa na elimu asingekuwa mtu wa Bidaa

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 6 місяців тому

      ​@@azizayassin3623 kwahilo ni uongo hatafiti views na umejuaje kama uthman Maalimu ana elimu kubwa kumshinda Muhammad bachu hata kama humkubali mtu ila kuwa muadilifu Allah akuongoze ww na mm

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      anae endesha hii channel sio yeye wala sio yeye anae upload videos

  • @FeisalDoctor-wr8ws
    @FeisalDoctor-wr8ws 6 місяців тому

    Waislamu wenzangu uislamu haun madhehebu na qur ani imeshasema tusigawe uislam vikundi vikundi tusijikweze leo tunjiita majina tofauti tofauti muislam w kweli alishaelezwa n qur an n hadithi za mtume ay makundi makundi waanzilish wake ni wayahudi imkuw sas mt kuslim imkuwa shida pia waislam kw waislam kuombana maji tatizo kisa mtu ni salaf cijui sunni n makundi mengine kaeni mufkiri muipeleke din y uislam mbele mtu akiulizwa mtume alikuw kundi gani jibu hamna n mitume waliopita walikuw makundi gan majibu hamna ispokuwa walikuw waislam wa kweli.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 6 місяців тому

    Na Shekh Nuhammad hajaandika makala, bali ameongea wazi mbele za watu.
    Majibu yaje hivihivi mubaasharatan

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 6 місяців тому

    Wajikweza kweli sio uongo ndio maana ulishindwa kujibu suali La yule Sufi kwa kujikweza.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому

      tunataka rais wnu wa majadida sshk kasimu mafuta atutaki nyi vifaranga ambao hamjui kitu jibuni maswali kazi yenu kutukana t

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      ​@@AbdulIssa-o7enaam vifaranga. Vina taaabu. Hivi

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂duuh. Hii midude akina qasimu mafuta sijui ipoje. Maswali yakijinga kweli harafu ikiulizwa. Haitaki kujibu 😂😂😂 duu. Itakua. Ina laana au

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому +1

      @@abbaspaziaog2188 makombora mzito ya nyukla hyo shekhe yamewashinda na huoni wanataja nyusi za bachu hawana issue kichaka chao kimewashwa moto

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e naam kabisaa Rais wao. Hizbii mafuta anajikuta. Yy ni mwamba hamjibu. Bachu. Kumbe. Hamuwezi. Anaogopa. Kuaibika😁😁majadidah

  • @abubakarshaban6118
    @abubakarshaban6118 6 місяців тому +1

    Sio kila mtu anajibiwa tu...
    ua-cam.com/video/gPWZPwNE628/v-deo.htmlsi=5mMP38BnehB2VHVp

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 6 місяців тому +1

    Sheikh uthaymeen MashaAllah alishawaona zamani kwa mbali hata kasema hilo kundi lina matatizo.lkn majajida wanaenda kama kondoo

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому +1

      Kabla ya kumshajiisha hivi walijua neno analo tumia kila mara JADIDA
      JE wajua ni nini maana ya JADIDA?
      Ni akina nani hao JADIDA?
      Lini walianza hao JADIDA?
      Nani kaanzisha huo UJADIDA?
      Je unao ushahidi juu ya hilo?
      Twaomba kujua kwaajili ya elimu wala sio ubishani inshaa-allah

    • @bacteria5184
      @bacteria5184 6 місяців тому

      @@AbuuBakar1 majadida ni kundi linaloitwa salafy ilianzishwa na baadhi ya masheikh saudia.mtume saw hakutuachia kundi linaloitwa salafy,kundi linatoa waislamu na hata kukataa kwenda kuzika ndugu yao abu muawiya.

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому

      @@bacteria5184 naomba kuwajua hao masheikh wa saudia walio anzisha hilo kundi

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 6 місяців тому

      ​@@bacteria5184fact

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому

      ​@@AbuuBakar1ua-cam.com/video/G1DGZxUCMRI/v-deo.htmlsi=gv_CMFuSrORQc3bJ sikiliza hii upate majawabu yako

  • @AbubakarMuqaddam-f2r
    @AbubakarMuqaddam-f2r 6 місяців тому +2

    Unakiu kweli na Abulfadhli

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      😂😂😂Abul fadhwil anamuogopa japo anajifanya kashaakua mwamba hataki kumjibu Abul fadhwil kopo la choosing kweli

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Tena kiu kali sana, na akijaribu kuinua kidole tu, tunamuumbua😂

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​@@Najma_Mbaruk
      Na kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa.
      Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri.
      Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 6 місяців тому

    ua-cam.com/video/gPWZPwNE628/v-deo.htmlsi=2o6ywiNbAHgMXzfg
    SIKILIZENI HII MTAJUA KWA NINI SHEKH ABULFADHLI HAMJIBU MJINGA HUYU

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 6 місяців тому

      Acha porojo qassimu mafuta akiona kazidiwa hajibu hizbu wa pongwe salafiya jadida

    • @HassanJamada-pf4jt
      @HassanJamada-pf4jt 6 місяців тому

      @@HassanHamad-rf9tq ungekuwa ni mtu wa elimu usingesema maneno kama hayo lakini Nina khofu kuwa wewe ni mtu anayejishughulisha na kusaka tonge tu hata yakitajwa mambo ya kielimu huna zaidi ya ushabiki, mtu wa elimu anakuwa anajua kuwa sio Kila mzungumzaji hujibiwa

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      Hizi hojja amekosea wapii?

  • @RajabuBabu-c9y
    @RajabuBabu-c9y 6 місяців тому

    Shekh twakupenda ila pambana na kina sabas ila kwa shekh kasm mafita unacho kitafuta utakipata utapigwa radi Moja tu

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 місяців тому +1

      Bas ndio tunasubiri ilo radii mojaa kwa huyo daruweshi Kasim mafuta

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 6 місяців тому +1

      ​@@AbAlhuraastunamtaka shekhe lenu rais wa majadida tz ajibu nyi vifaranga hatutaki mana wafata mkbo hamjui kitu mnasetiwa kama maroboti usimsikilze fulani na ww humsikilizi atimae unapishana na hakki

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 6 місяців тому

      @@AbdulIssa-o7e kijana vp mim npo mbaali na ujadida kbs Nashkuru san na hlo pote nimejipusha zaman san

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​​@@AbAlhuraasNa kweli m.bachu anaisubiri sana hiyo sauti angalau hata ya dk. 2 kutoka kwa Sh. Qasim atajwe tu asikie raha aanze kubwabwaja masaa kwa masaa.
      Bila shaka Islam anaelimu kumzidi m.bachu, basi twamuomba kwa hisani zake abainishe kwa uwazi (asifuge funge) kuhusu hao majadida na Masheikh zake angalau hata dk. 5 kisha ndio tunaelewana vizuri.
      Kiufupi ni hivi Masheikh zetu hawahangaiki na mikia wao wanapiga vichwa. Vichwa vitakaposimama tujulisheni

    • @AbAlhuraas
      @AbAlhuraas 5 місяців тому

      @@SonofJacol-t6h ukiwataja wengne huwpi cheo cha usheikh ,lakn bos mafuta unampa cheo au utakosa ubwabwa ,ukiwapa hao wengne cheo cha usheikh

  • @AbdulfatahWanyamaAngachi
    @AbdulfatahWanyamaAngachi 6 місяців тому

    Watafuta kiki😅😅😅😅😅

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      hoja hakuna kwako, ukaona bora uonekane na wewe umeandika comments🤣

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini 6 місяців тому +2

    hivi hawa watu wanashida gani mbona nikitu simpo tyu mmeulizwa maswali jubuni sio kumtukana hatuwaelewi mnashida gani usimtukane mtu jibuni kwabusara tuwaone

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому

      Kuna maswali yaliulizwa tangu miaka 3 ilio pita mpaka leo hakuna majibu bali mnatuongezea tu kutatizika maswali kaulizwa sheikh Saalim barahiyyan Sheikh Ductur Islam Na wewe Muhammad bachu ila mpaka leo hakuna majibu
      Ni nini maana ya JADIDA?
      Ni nani hao JADIDA?
      Walianza lini hao JADIDA?
      Nani kaanzisha huo UJADIDA?
      Ushahidi uko wapi?

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 6 місяців тому

      ​@@AbuuBakar1hiliswali lishajibiwa sana Akhii hata katika kitabu cha sheikh Salimu Barahiyan majibu yapo

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 6 місяців тому

      Hawawezi kujibu hawa kazi yao nikusema. Hizbii 😂jaahil murankab baasi. Hawana. Lingine

    • @AbuuBakar1
      @AbuuBakar1 6 місяців тому

      @@abbaspaziaog2188 nakuhurumia sana

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому

      ​@@AbuuBakar1Al akhii Ayo maswali yote sheikh Muhammad bachu kashalizungumza ila ww unaonekana haya mambo umeanza kufatilia juzi ila nitakutumia clip ya sheikh bachu usikilize kama unahitaji elimu pia nenda kafungue kitabu cha ibn uthaimin sherhe ya Arobaina nawawia au sherhe ya hilyatu twalib elmu

  • @AbubakarMuqaddam-f2r
    @AbubakarMuqaddam-f2r 6 місяців тому

    MBONA HUKAI MSKITINI UKAWARUDI WAJIFUNGIA VYUMBANI KAA MSKITINI TUKUULIZE MASWALI NA SISI

    • @JumaAbeid-y5p
      @JumaAbeid-y5p 6 місяців тому +1

      Nyinyi ambao mupo msikitini jibuni Yale maswali 6 mulioulizwa.

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      ​@@JumaAbeid-y5p
      Majibu kwa M.bachu na timu yake
      ua-cam.com/video/qoGcpPr5NfM/v-deo.htmlsi=0q3GglwKZ90zAy32

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      ndio hojja hii kweli?

    • @SonofJacol-t6h
      @SonofJacol-t6h 5 місяців тому

      @@ibrahimjumaa538
      Ni majibu kwa m.bachu je, umesikiliza?

  • @yassinsaid-b7v
    @yassinsaid-b7v 6 місяців тому

    assalam aleikum huyo bwana kauliza maswali lakini majawabu yako ndio yamenipa somo kubwa zaidi ya maswali ..na pia umetupa taswira nyengne ya fatwa za maulamaa na maana halisia kuliko ukiziskia kutoka kwa midomo wanagueza maana Allah akupe umri mrefu wenye amali njema uzidi kutunufaisha na uwe ni sababu ya mimi pamoja na wengne wengi kuifahamu quran na sunnah namna salaf walivyoitekeleza Allah akujaze kula la kheri .. nategea hio chapa ya 2

  • @WazirrashadYussuf-um5uq
    @WazirrashadYussuf-um5uq 6 місяців тому

    Saupalo na Venezuela ,Brazil hahaha إذا عرف السبب باطل العجب

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      ndio hoja hiyo, au ni bora ukoments tuu na wewe. huu ni muhahoo

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 5 місяців тому

    Hawa majadida wana lugha chafu sana

  • @abdallaali4260
    @abdallaali4260 6 місяців тому +1

    Maneno ya sheikh abdallah humeid ama kweli😂 ukiona mtu kwa video yake kaweka vitabu mrundo n hafungui hata kimoja ni kuvuta taswira ya watu wamuone ana elimu😂😂

    • @Najma_Mbaruk
      @Najma_Mbaruk 6 місяців тому

      Kaa Na ujinga wako , zama za sasa unachapwa kwa vitabu kwenye pdf tu, huoni njia anayotumia Muhammad bachu kuonyesha hoja zake kwenye screen? Nyinyi mbona hamufanyi hivyo? Wehu nyinyi.

    • @abdallaali4260
      @abdallaali4260 6 місяців тому

      @@Najma_Mbaruk bila ya mavideo alhamdulillah tandika wtu wa bidaa mpka kueleweke siku zote haqqi itashinda batwil twamuomba Allah thabat juu ya kushikamana n manhaj salaf

  • @sadru5710
    @sadru5710 6 місяців тому

    sasa majadida ni wepi??
    mahajaawira au masalafyy???
    wew unashika wapi kwni???

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs 5 місяців тому

    Huyu kaw mwiba kwa kundi la kasim mafuta na humeid

  • @SaidoOmar-g2b
    @SaidoOmar-g2b 18 днів тому

    Wanaziyoni wote hawo mabingwa wawakoseya adabu. Halafu wamtaja n'a uthaimin hâta ikiwa mjuzi. Nikina Nani umwatawo ww.

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 6 місяців тому

    Ungoja mbona umekimbia

  • @Aakhar-z3c
    @Aakhar-z3c 6 місяців тому

    Nusura nikajiunge na majadidah ila nimegairi tena.

  • @ibrahimabdul8257
    @ibrahimabdul8257 6 місяців тому

    50:08 sasa hapaa ndio umefanya nini wewe kweli umekulia mtaa wa venezuela

    • @ibrahimjumaa538
      @ibrahimjumaa538 5 місяців тому

      unajua kabisaa katika nafsi yako ni ni Muhammad amejibu.. lakini kibrii tuu.. suali, je ni wapi amekosea katika hojja zake zote hapa? usifuate itikadi pasi na hakki...

  • @abuubakarmohd7532
    @abuubakarmohd7532 6 місяців тому

    1:04 umetamka ujinga