𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗨𝗛𝗔𝗠𝗠𝗔𝗗 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 𝗡𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗠𝗨𝗔𝗪𝗜𝗬𝗔 اللهم غفرله ورحمه

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 299

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 Місяць тому +3

    Kwakwel Alhamdulillah. Nashkuru sana kuifaham hii Dawa ya haki.
    Allah awalipe khery Masheik zetu

  • @KashinnaKashinna
    @KashinnaKashinna Місяць тому +6

    Wallah elimu jambo zuri sana,pia tujiepushe kutoa watu kwenye dini tumche Allah

  • @amenakenya7993
    @amenakenya7993 Місяць тому +4

    BarakAllah fiyk sheikh allah awaifdhi Allahuma AMIYN

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Місяць тому +2

    Tumekuelewa vizuri sana Al akhy Allah akulipe khery

  • @user-ww5iu4gz4b
    @user-ww5iu4gz4b Місяць тому +2

    بارك الله فيك يا أخانا
    زادك الله علما لما ينفعك

  • @imranmrisho
    @imranmrisho Місяць тому +9

    Allah akulipe kher shekh tumekuerewa vizur Sana,,,,

  • @babatchi9169
    @babatchi9169 Місяць тому +4

    Masala7i wako Makini sana

  • @azizisulay6005
    @azizisulay6005 Місяць тому +3

    Alhamdulillah nimeona tu notification nikasema ngoja niweke GB kabisa kwa tahadhar, Allah Aijalie kher channel yetu hii na za masalafi wote na sheikh wetu Abul Abas Hasan wazir na sote pia ameen

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u Місяць тому +5

    Ilmu uliosema hapa ni kubwa sana wallah, Allah akulipe kheri, lakini naweza kuapa mahizby hawawezi kukuelewa kabisaaa... huo ndio mtihani... jamaa maskini hawana uzoefu wa maneno ya ilmu kama haya... barakallahu fiik akhy.

    • @sultansaidsalehe3805
      @sultansaidsalehe3805 Місяць тому

      Ilmu kubwa sawa lkn inakuwa hain maan km maswali hayajajibiwa bd angejarb kuzngmz kwa nukt zile za yale maswali

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому +6

    Ukisikikilza kwa makini na kufutilia darsa za Sheikh Qassim Mafuta na Sheikh Muhammad Bachu na masheikh wengine kama Dr Islaam unaona kabisa kuna sehemu ndogo sana Wallah wanatofautiana kwanini wasikae kama ndugu wakajadili kwa elimu kisha wamalize tofauti zao washikamne pa1 tufaidike zaidi maana katika hawa watu wa3 nikiambiwa mmojawapo nisimsikilize napata wakati mgumu maana nawapenda kwa ajili ya Allah pia nafaidika sana na darsa zao kama kuna mmojawao ana makosa afanye hakki ya kukubali mambo yaendelee huo muda mnaopigana raddi kuna watu wengi wajingaa wa kupigwa raddi kama wachawi wakina Sule na wengineo.

    • @user-qm4qd8yk2x
      @user-qm4qd8yk2x Місяць тому

      wallahi Mimi pia naona taabu kwamaana wote Hawa ni watu wa Sunna lakini Hawa kina mafuta mbona walazimisha watu salafi salafi kweni ni chama Fulani.Mimi naona wote ni watu wasunna bas salifi ni jina tu lakini muhimu ni wote wanalingania Sunna na kupambana na shirk na bid a

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      ​@@user-qm4qd8yk2xhapana sio eti wanalazimisha salfy kama Chama,,,kitu wanachotetea kina sheikh mafuta ni misingi ya usalafy ,,na wanaona kina dr islaam na barahiyani wamekhalifu misingi ya usalafy ,,,na huwezi kuwa salafy na Hali umekhaalifu misingi yake ,,,kwahio kina abul fadhl wanatetea hilo ,,,sasa kuitetea misingi ya usalafy ndio kuunda Chama?

    • @officialnasheedaboussalam
      @officialnasheedaboussalam Місяць тому

      Wallah natamani itokee hivyo naumizwa na hili linanikereketa pia wote ni vipenzi vyangu kwasababu Wana mchango mkubwa wa kuwaamsha watu

    • @abuubanyai8344
      @abuubanyai8344 29 днів тому

      Pole sana akhin kareem ila tujitahidi kukaa chini kusoma ukweli upo wazi usiku wake ni kama mchana lkn huwezi kulitambua hili mpaka uwe ukunje goti usome ujue nn manhaji nn hizbiyya na mtu akifanya nn anatoka kwenye sunnah..... Baaraka llahu fiiyka

    • @user-qm4qd8yk2x
      @user-qm4qd8yk2x 29 днів тому

      @@abuubanyai8344 Ameen barakallahufik kadhalik

  • @user-ik7or2tr2p
    @user-ik7or2tr2p Місяць тому +4

    Mashaallah nimeelewa sana Allah akubarik ndugu ndan ya hii clip kuna faida kwa mwenye kusikiliza bila ushabiki

  • @Khalid-xd2yl
    @Khalid-xd2yl Місяць тому +2

    جزاك الله خيرا

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Місяць тому +5

    Allaah akulipe sheikh umebainisha na umesafisha mazingira

  • @asrams
    @asrams Місяць тому +2

    Baraka Allahu Fiikum👍🏿

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому +3

    Shukran baraka allahu fiikum.

  • @abuuasume6534
    @abuuasume6534 Місяць тому +4

    allah akubariki kwa ufafanuzi mzuri

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Місяць тому +9

    muhamed imam sio mada yetu, na aliingizwa kama mfano wa mtu aliefanya jambo wanazuoni wakakhitilafiana juu yake, baadhi wamemjeruhi na baadhi wamempa udhuru, sasa tumeelimishwa juu ya maana ya kupetuka mipaka katika kumjeruhi.
    mada hapa ni maswali sita juu ya abuu muawiya, maswali yajibiwe

    • @yusufathman2478
      @yusufathman2478 Місяць тому

      Wanatafuta njia ya kutoka kwa njia

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому +4

      Maswali yote 6 yamejibiwa kama kweli umesikiliza darsa nzima! Na sio lazima ajibu kwa kusema swali la 1,2,3,4,5 na 6 ila kama umesikiliza darsa nzima utagundua kuwa majibu yote yametolewa majibu! TAFAKARI,ACHA USHABIKI WA KUCOMMENT KABLA YA KUMALZA KUSIKILIZA DARSA!

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому +2

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 29 днів тому +1

    KAKA TUNATAKA DALILI /NUKUU kama alivyo tuzoesha shekh wetu BACHU, Naona unaongea maneno yako tu meengi.

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt Місяць тому

    Maanshallah Allah akubaariki shekh wetu Kwa ufafanuzi huu hakika tumeelewa kadhia hii

  • @user-dw4le7bq8d
    @user-dw4le7bq8d Місяць тому +1

    Maashallah majibu haya ni mujarrabu yamenyooka kama rula mbaka muhammad bichwa mtaka sifa kanyamaza kimya

    • @abuuhafswa
      @abuuhafswa Місяць тому

      hakuna haja ya kutumia majina mabaya kwani ALLAH KAKATAZA

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      ​@@user-dw4le7bq8d,,ama kweli wewe ni salafy wa ukweli na umepata miongoni mwa unwaan za saada ,,Allah akuhifadhi al akh

    • @mbjunior166
      @mbjunior166 Місяць тому

      Acha unafki sheikh mbn hujafuta hayo matusi yako ikiwa ww kweli ni mwenye kutubia!

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d Місяць тому

      Ndugu yangu tuelekezane nasio kutumbukizana kwenye unafiki wengine hatujui alafu nikuusie amiliana na dini nasio ushabiki

    • @user-dw4le7bq8d
      @user-dw4le7bq8d Місяць тому

      Ukisoma dini ukapata ilmu basi ushabiki utakukaa pembeni lakini ukakosa kusoma ukawa mjinga basi utakua mshabiki mbk unaingia kaburini

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 29 днів тому +2

    WAONGOOO😂😂 ETI KASSIM MAFUTA NI MKUBWA, hajibu maneno ya Muhammad BACHU ni uongo kisha ni uongo , tena ni unafiki MKUBWA 😮😮😮😮 Ukweli ni kuwa HAKUNA ja diidah mwenye uwezo wa kumjibu BACHU.

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih Місяць тому +3

    umeingia kwenye kimbunga cha maswali na hujajibu ..subiri kidogo tu ..

    • @abusihaa6396
      @abusihaa6396 Місяць тому

      Hamna kitu Mahizbi,tena wewe ndio unayajua yote nje ndani ni sio wewe ulianzwa kupigwa vita sababu ya Fuyush na leo ume unga safu na walio kupiga vita kina ibn Issa na ibn Amm yake Nurein kama si uhizbia mulio nao tuwaitaje ya Ab Ayman? Mcheni Allah

  • @babatchi9169
    @babatchi9169 Місяць тому +2

    Shekh uko makini sana na umepa7ia sana

  • @babatchi9169
    @babatchi9169 Місяць тому +2

    Majibu m3ma bila majikwezo wa kujiona ilimu ime7ulia haqi ni nzu sana

  • @AnaSalafi-f9d
    @AnaSalafi-f9d Місяць тому +1

    Majibu ya kielimu sana .

  • @MohamedSalim-cm9ih
    @MohamedSalim-cm9ih Місяць тому +3

    Tunashkuru tumepata ubao wa kusomea ..utafanywa ubao ..kuna Abuu Zagar ..Abuu Nuaimy.na Muhammad bachu washapata ubao wakutusomeshea

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому +1

      Hii team yako yenyewe haielewani .
      Manhaj zao tofauti,,,abuu zagar na abuu nuamy hawako pamoja na bachu,,,kina abuu zagar wanaitakidi kina barahiyani na bachu ni mubtadi'u,,,sasa wewe uko upande gani wa kina bachu au kina abuu zagar?
      Na huwezi kuwa pande zote labda uwe jaahil .
      Lkn alhamdulillah wa maa shaa Allah, ،,,,majibu ya al akh abul abbas yamenyooka ,na yako wazi sijui huelewi nini .

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@ABUUJAAFAR92abu mu'awiya aliomba abainishiwe kpnd cha uhai wake ili atubie! Shida ilikuwa nini hata msimsaidie mwenzenu majibu ali akiona kosa atubie?

    • @maulidimuhani
      @maulidimuhani 29 днів тому

      Kabisaa tushapata UBAO WA kujifunza na kusoma.

    • @allyiddally9110
      @allyiddally9110 23 дні тому

      ​@@hafidhwajina6718 ni dhahiri kwamba walimdhulumu ndugu yao katika dini

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 20 днів тому

      Na mpaka anakufa abuu mua'awiya hakuna sh hata mmoja alie kubali wote walimpuuza maana hapakuwa na nia walitaka azid kupotea kama wanavo dai wallahi yanaumiza ila ipo siku Allah atabainisha wapi wako sahihi kama ni upande wa sh kassim au abuu mua'awiya ipo siku tutaijuwa haki lakin kiukwel watu wanachuki binafsi ndan ya nyoyo zao dhidi ya abuu muaawiya na sikwamba twamtakasa ila alitaka sana suluhu lakin walizikataa ila Allah yupo hai bas itabainika haqi wallahu aghalamu ​@@hafidhwajina6718

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 Місяць тому +2

    Sheikh unazidi kujitia kitanzi
    Mpaka sasa hujajibu swali hata 1
    Hukuelewa maswali?

  • @user-lr2wd3zs1k
    @user-lr2wd3zs1k Місяць тому

    Allah atongoze sote

  • @alimtumwa8608
    @alimtumwa8608 Місяць тому

    Sheikh naomba tofauti ya Salfi na Ahalsunnah wa jamaa

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani 29 днів тому

    Ulitakiwa ujibu maswali kaka

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO Місяць тому +5

    Hivi sheikh Muhammad imam alitahadharishwa sawa ila jee si kuna wana wa chuoni waliompa udhuru? Sheikh mbona hujataka dondoo za waliompa udhuru muhammad imam? Na ikiwa ivo mbona ao wana wa chuoni waliompa udhuru hamujawapa majina ya watu wa bidaa?
    Cha msingi ni kuwa mumeshindwa kuwastahamilia ndugu zenu waliochukuwa msimamo mwengine ilikuwa jambo ni jepesi tuu wana wa chuoni wamegawanyika mapande mawili mulikuwa muchukuwe msimamo mmmoja na abuu muawiya kachukuwa msimamo mwengine kesi iishe ila mumeyachukuwa maugomvi ya wana wa chuoni na kuyabeba wanafunxi apo kama hatujapima uzuri ugomvi wa wana wa chuoni ukitokezea tufanye nini tumekwisha. Mwana wa chuoni akipatia ujira mara 2 akikosea ujira mara 1 jee tuna pa kujitetea apo? Allah atuongoze na fitna kwenye dini

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      Sikiliza darsa zima utapata majibu ya maswali yako

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4xBaarak Allah fiyk!

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому

      Kama yamejibiwa nikuulixe hapa kwenye comments nijibu unaweza? Apo hakuna insafu ndo maana Pana tatiza

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      ​@@MALELEMBARIMOuliza tu usiogope

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO Місяць тому +1

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x . Nini tumefahamishwa sie kwenye uisalmu yakitokezea maugomvi ya wana wa chuoni wa zama moja( Akranu)?

  • @musabahaliou-lo9xe
    @musabahaliou-lo9xe Місяць тому

    Jibu maswali sheikh

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 23 дні тому

    Ssa sheikh fawazan aliyemsifia shee muhamad imam mbona usimseme?yaani masalafy ni uchwara

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct Місяць тому

    Dini nikazi sana
    kazi kuwashughlisha watu
    wasomi wengi wazama hizi
    wsmezidi kutumia qauli zawana zuoni kuliko kutumia
    kitabu na sunnat
    kilasiku mizozo
    kaeni chini msomeshe
    mbona mnapenda umaarufu

    • @AllyJuma-hy7wj
      @AllyJuma-hy7wj Місяць тому

      Maneno yako ni ishara kwamba bado hujajua maana ya kufuata kitabu na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia. Allah atufahamishe wote.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Місяць тому +1

    Alhamdulilah twamshukuru allah
    Kwa kuwafarakanisha hawa majadida
    Ambao msingi wao mkubwa kuwakufurisha waislamu na kuwatoa katika sunna

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Місяць тому +5

    Atanyooshw mpk ajute

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

      Ushabikitu hamnalolote

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Kabla anyooshwe ,,kwani wewe waona wapi hajajibu kiilmu ?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@ABUUJAAFAR92ili ikusaidie nini

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@ABUUJAAFAR92kwa nini hakubaishiwa uhzbi wake akiwa hai na aliliomba hilo? Mulikuwa hamtaki atoke kwenye uhzb wake?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@ABUUJAAFAR92dr islamu ni hizb,vipi munataka akaechini asomeshe, asomeshe nini?

  • @KashinnaKashinna
    @KashinnaKashinna Місяць тому +2

    Mashekhe tunaomba elimu ya maswali yalio ulizwa,ili tuepuke kuchukiana

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Місяць тому +2

    Shekh Awadh nakupa heshima yako ya shekh, ilanaomba nikuweke sawa yule haitwi Muhammad Bacho na Amekuweka sawa ww kwahilo alisema hivi jinakamili anaitwa Muhammad Nasour Bachu pili shekh sioni kama umejibu suali hata moja yeye ameuliza nilipi kosa la Abuu Muawiyya mpaka ametolewa kwenye usalaf jee amekhalif Quran, sunna au Ijmail ulamaaau , muje mutuambiye musitafte vichaka vyakujificha aje maalim kasim mafuta aje atubainishiye haqi sisi tunatafta haki nikwann asijibu yeye mwenye shekh kasim eti kisa suali alouliza nimtoto ndo ajibiwe na mtoto duh shekh ata fikra hutumii suali aulize mtoto ajibiwe nawatoto jee huyu mtoto atapata elimugani toka kwa mtoto mwenzake watu wanataka aje maalim kasim mafuta yeye nimtu mzima aje kumpatiya elimu mtoto mdogo wallah tunamsubiri ajehapa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      Kosa la Abuu Muawiyah ni kumtetea Muhammad Al imaam (mtu wa bida'a) ....kipi hujaelew hapo sasa? Tatizo umesikiliza hyo audio kishabikishabiki na ndo mana huwez ukaelew kamwe labda Allah akuongoze uache ushabiki

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 Місяць тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Jee shekh unaweza kuwashaaahid mbele ya Allah siku ya kiu na njaa kudhibitisha madai yako ya kuwa Shekh Abuu muawiya amemteteya mtu wa bidaa nahiyo ndo sababu tosha yakumtowa mtu kwenye sunna ukiachana na Quran hadithi na Ijmaial ulamaaa najee sababu hiyo unayodai ww unatosha kumkufurisha abuu Muawiya ???

    • @yussufothman5663
      @yussufothman5663 Місяць тому

      @@mfalmenajjash2128 kabis shekhe wangu hichi ndio tunachokisubir toka kwao nikipi kilimtoa kwenye manihaj

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      @@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      @@mfalmenajjash2128 fatilia mising ya dawatusalafiyyah utajua....miongoni mwake ni kutowatetea na kuwahama watu wa bida'a...na ulamaa wamesema mtu akikhalifu hata msingi mmoja anatoka katika usalafy

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Місяць тому +1

    Azungukaaa tuuu
    Jibu maswali acha kukariri

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Swali gani waona halijajibiwa hapo ?
      Mana mm naona maswali yote yamejibiwa na majibu yameniridhisha ,,,

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me Місяць тому

    Allah amsamehe madhambi yake na ampe qauli thabit

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      Amin! Baarak Allah fiyk!

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@sabrizamilalmendhryalitaka kutubia akiwa hai,alitaka mumbainishie uhzb wake sasa ashakufa,muhimu kuombea dua au ilikuwa abainishiwe atubie

  • @yussufothman5663
    @yussufothman5663 Місяць тому +2

    Mm naona anakariri

    • @xxy.1
      @xxy.1 Місяць тому

      kabisaaaaaa

  • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
    @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому +2

    MAHIZBI MLIVYO WAHABIKI SASA! YAn mtu anakomment tu hata kusikiliza darsa hajamaliza....nyie mahizbi msiforce muingie katika usalafy wakati hamna sifa za kuingia...nyie ni watu wa matamanio hakuna asiyewajua.... ALHAMDULILLAH SHEKH ABUL ABBAS TUMEMUELEWA...NA SIO LAZIMA NA NYIE MUELEWE! ENDELEENI NA UHIZBI WENU...!!!

  • @Adam2326-w3w
    @Adam2326-w3w Місяць тому +2

    Nyie watu mnao mtukana huyu sheikh mna akili kwel za ufaham wa mambo hamupimi hata hizi hoja basi anazozitoa mnatakata amjibu vp Allah awaongeze

  • @NaduuAbdilah-uj5vj
    @NaduuAbdilah-uj5vj Місяць тому +1

    Huja tembelea point za Abuu zaghar kwamba waitenii mahizb na ma ulamaa walio mpa udhuru shekh mohamed imam

    • @shabanrashid6009
      @shabanrashid6009 Місяць тому

      Wewe ni hewa

    • @NaduuAbdilah-uj5vj
      @NaduuAbdilah-uj5vj Місяць тому

      ​@@shabanrashid6009 sio hewaa msi chaguee waitenii kina fauzan mahizb Abuu muawiya kawa nukuu kina fauzanii.

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      ​@@NaduuAbdilah-uj5vjndugu yangu audio umeskiliza? Maana majibu ya swali lako yako hapo kwanini akina sheikh fauzan hawajaitwa mahizby! Wacha ushabiki

    • @abuubanyai8344
      @abuubanyai8344 29 днів тому

      Kina sheikh Fawzaan wale ni maimamu wana daraja ya mujtahid wakifutu mas'ala wakipata wanapata ujira mara2 wakikosa wanapata ujira mara1 sasa Abuu muaawiya yeye si imam bali ni sheikh kwetu sisi mimi na wewe ila pia ni mwanafunzi mbele ya maulamaa

    • @NaduuAbdilah-uj5vj
      @NaduuAbdilah-uj5vj 29 днів тому

      @@abuubanyai8344 sawaa sisi wana funzii tuki tofautianaa kuwa elewaa maulamaa mfanoo sisii tuka ona tumfuate fauzanii na wengine wa hijazii na wa Yemen ambaoo wame mpa udhuru muhamad al imam udhuruu tuta kua tume koseaa??

  • @bafaaabuu
    @bafaaabuu Місяць тому +1

    Kweli nimeamini hakuna wa kujibu maswali ya ibnu bachu kijana anaelimu kubwa yule huyu anamangamanga kama kuku wa muhanga elimu hamna hapa ametumalizia bando2

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому

      Ulikua unajiskia kutapika.ilimradi useme tu. Fuata dalili

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      @@AbulqassimAshirazy-yd7thBaarak Allah fiyk!

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Kwani wataka yajibiwe vipi?
      Ama nipe pahali ambapo hapajibiwa ,,ikiwa umkweli na wewe si shabiki

  • @husseinally3350
    @husseinally3350 Місяць тому

    Jadda na jadida tofauti ni ninn?

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 Місяць тому

    Tumekuelewa sheikh wetu hujajibu swali hatamoja zidi yakututia aibu

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg Місяць тому

    Sheikh muogope ALLAH....kwa7babu sheikh muhamadi bachu hakusema maswali nimagumu wala hakusema hayajibiki ....nyie kazi yenu kuwatoa watu ktk suna haliyakua wanaipambania suna...ebu jibu maswali kama yalivyoulizwa ili tupate elimu zaidi.(mimi nasema sheikh qassimmafuta ni salafi na anaitetea suna ALLAH ampe umr mrefu na wakina sheikh barahiyan dor islam muhamad bach pia nimiongoni wanaopigania suna ALLAH awape muda mrefu na awaongoze)lkn kila mmoja anamapungufu yake kwa7bu mkamilifu ni Allah pekeee

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op Місяць тому +3

    Wewe umeleta talbis tu huna kitu kipya ulicholeta na huwezi kutetea umeharibu
    Muhammad bachu haja wakosoa masalafiyun bali amewakosoa nyinyii majadida ndio mukaulizwa maswali 6

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Місяць тому +2

      Uyo Bachu Amemjeruhi adi shekh Rabee wakat maulamaa wa kisalaf wote wanamzingatia kua ni Imamu yupo njia sahih ya salaf bachu yy anasema ndio muanzilishi wa jadida

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p Місяць тому +2

      Hii dini umekuwa ya kiushabiki hamlinganii kwajili ya Allah Bali. Mwataka sifa

    • @hajikanu
      @hajikanu Місяць тому +3

      Haikataliki kuwa kuwadiiisha watu ilikuwepo Muhammad bchu ansema jambo Hilo ss linafanyika kwa ghuluu hicho ndo kinachokatzwa na wanaofanya hivyo ni watu wanojinasibisha na usalafi si watu wa bidaa Kisha hebu jibu Yale masuali yake sita

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому

      @@hajikanu ghuluu ipi ebu bainisha, hakuna isipokua kila anaebidiishwaa amekhalifu

    • @abuumansour8479
      @abuumansour8479 Місяць тому

      ​@@hafidhsalum-jp2mwwapi bachuu kamjeruh Shekh Rabee kinyume cha kutanguliza Maullamaa.?

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota Місяць тому

    Hapo unamsemea sheikh muhamad et sabab ya nyiny kuwaita majadida et kisa mwafanya rudi kwa muharifa....hapana hapana sheikh muhamad anajua haswa rudi ni lazima kwa muharifa ila nyiny mwafanyaa ghuluu

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 Місяць тому

    Nimesikia ilipofika saa1:10
    Umeongea vitu vya maana sana.
    mbona somalia hamyaoni hayo?

  • @HassanHamad-rf9tq
    @HassanHamad-rf9tq Місяць тому

    Hamna jipya hapo Hassan wazir unaleta mipasho na porojo tuuuu taasub zinawasumbuwa tuuuu mahadadiya

  • @user-lr2wd3zs1k
    @user-lr2wd3zs1k Місяць тому

    Mawahab kaz munayoo

  • @abuukauthar525
    @abuukauthar525 Місяць тому +1

    majadida bwana mapimbi kweli yan

  • @user-tr6rq4ok9g
    @user-tr6rq4ok9g Місяць тому +1

    Wacha kubabaika jibu maswali

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Kama hujaona majibu basi nenda kapimwe akili

    • @user-tr6rq4ok9g
      @user-tr6rq4ok9g Місяць тому

      @@bakarisalimu8421 majibu ya maswali yameulizwa mengine yuwajibu mengine km kwley ujadida ni ugonjwa

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 Місяць тому

    Sheikh mimi nakushauri ungesikiliza kwanza maswali aliouliza mohamed bachu ndio ujibu
    Hujibu maswali unazungukazungukatu.
    Sasawewe ukaulize maswala ya dkt islam kwa kasim mafuta?

  • @CheniShauri
    @CheniShauri Місяць тому +4

    Sheikh unazunguka tu huja jibu maswali yule tayari Ahllwa ameshampa elimu kubwa mujibu tu maswali msizunguke!

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Nenda kapime akili yako kama iko sawa au haiko sawa

    • @UsalafiniKWETU01
      @UsalafiniKWETU01 Місяць тому

      Kwani anasema si majibu ya kilichosemwa? Au wewe unisikia mawe tu yanaporimoka?

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      ​@@bakarisalimu8421kama majibu unayajua c umjibu nduguyo

  • @AsampiMpili
    @AsampiMpili Місяць тому +2

    Hivi kama nakumbuka kuna sehemu Bachu aliuliza kukhalifu ijmaa ya wanazuoni wapi kahalifu Abuu Muawiya?

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому +1

      ​@@Hamis-ks1sy mbona hata yahya Al hajury kapewa udhuru na baadhi ya ulamaa! Lakin kwann Abuu Muawiyah alikuw akiwaradd mahajaawirah??? Kwo hapo shida sio kuwa Muhammad Al imam kapewa udhuru au la,shida kajeruhiwa kwa misingi gan na kapewa udhuru kwa mising gan

    • @user-ww5iu4gz4b
      @user-ww5iu4gz4b Місяць тому

      Upeo wako mdogo ila majibu ya huyu sheikh yanawajibu kuanzia muawiya na vifaranga vyake vyote hvyo usikilize kwa kuelewa sio kwa kutaka kukosoa hutaelewa MIMI NI MIONGONI MWA MASALAFI NAMUOMBA ALLAH ANIFISHE HALI YAKUA NI SALAFI

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy Місяць тому

      @@user-ww5iu4gz4b waweza ukawa wasema waomba ufe ukiwa Salaf kumbe hata usalaf wenyewe huuelewi hebu anza kwanza kuomba ufe ukiwa muislamu kamili.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy Місяць тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ok,Allah amsamehe na amrehemu Abuu Muawiyah

    • @abuubanyai8344
      @abuubanyai8344 29 днів тому

      ​@@user-ww5iu4gz4baamiiyn

  • @sharifuburuhani1969
    @sharifuburuhani1969 Місяць тому

    Majibu ya Zuyutwi mbona hatuyasikii au hujaelewa swali?

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 Місяць тому

    Halfu baadhi yenu walisem hmuwez mjibu shekh Muhammad ety hjielew nbki kucheka tu mm nikiwasikia vile. Hya ngoja nipte faida na mm ila zile nondo sidhni km znjibika kirahis😂😂

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct Місяць тому

    Alafu kumbe alie ulizwa ni Abul faadhil na kumbe mwenyewe yupo hai kwann asingejibu alie ulizwa?
    kuna ulazima gani kujibu ww Abul abbaas huko sio kutaka umaarufu
    au umetumwa ujibu?
    ebu tuwacheni ushamba
    wa elimu tumuogipen Allaah

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Місяць тому

    tajaaaaaaaaaaaaaaaa huo msingi aliokhalifuuuuuuuuu tunausubiriiiiiii mbona mnazungukaaaa bila majibuuuuu

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u Місяць тому

      Kaka skiliza makini utapata jawabu.

    • @xxy.1
      @xxy.1 Місяць тому

      sasa labda utusaidie wewe kutuambia tu kwa ufupi msingi upi alioukhalifu... maana hata mm sijausikia ukitajwa humu​@@user-bp6fb6wo5u

    • @yussufothman5663
      @yussufothman5663 Місяць тому

      @@user-bp6fb6wo5u hakuna jawabu apo shekhe

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Місяць тому

      @@user-bp6fb6wo5u nimesikiza kwa makini sijapata jibu, yeye ametunga maswali yake na akayajibu yaliyoulizwa hajajibu hata moja

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      @@user-bp6fb6wo5uBaarak Allah fiyk!

  • @abuujaafaryabdillahiomary4757
    @abuujaafaryabdillahiomary4757 Місяць тому

    Nyie mnao washabikia hawa wanaojiita masalafi na uhalisia si lolote c chochote katika usalafi, angalieni je hawa watu ni wadilifu ..? Kwanini hawataji hayo maneno ya wanawazuoni wengine katika kumtetea Shekh Muhammadl imaam,

  • @saidabdallah5448
    @saidabdallah5448 Місяць тому

    Mlichofanikiwa nyie nikuwazuiya wanafunzi wenu kutowasikiliza kina sheikh bachu
    Laiti mkiwaacha wawazikilize kina bachu nyie majadida mgekimbiwa na wanafunzi wote

  • @IbnuAlly-wm8il
    @IbnuAlly-wm8il Місяць тому

    Pumba tupu wallahi kibri tu ndo kinawasumbuwa majadidah

  • @IssaNankalaga
    @IssaNankalaga Місяць тому

    Nauliza niko dakika 28 naaudio ina saa na nusu ameeleza amekhalifu wap Abuu muawiya

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 Місяць тому

    Masunni waliokamata dola kwenye nchi za kiaarabu ni wanafik wanaojiunga na mayahudi na manaswara, ndio maana mungu amelipa nguvu jeshi la kishia kwa kuwa haliko pamoja na makafiri, japo mashia hawako kwenye hakki katika salafi, lakini sio wanafik

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому

      Jiangalie sana ewe kijana maneno yako ni ya hatar. Yaani unafadhilisha masuni kuliko mashia.! Hayya io Ndio hatar ya wathiqa wa muhammmad imam.

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому

      Jiangalie sana ewe kijana maneno. Maneno yako ni ya hatar. Yaani unafadhilisha mashia kuliko masuni. Hayya io Ndio hatar ya wathiqa wa muhammmad imam.

    • @salmyhussein6255
      @salmyhussein6255 Місяць тому

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th huo ndio ukweli, masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na manaswara na kuwapa ardhi zao ili waweke kambi za kijeshi na Nia Yao ni kutaka kuivunja Dola ya Iran, unafki.ni.mbaya kuliko.ushia, ushia hawako katika salafi lakini sio wanafik kama wasaudi na WA Yemen wanaojifanya ni masunni, jihad ndio nguzo kubwa katika dini, kaaeni mkikurufishiana bila Hadith Wala ayah, mumejikita na kunukuu maneno ya Wana wachuoni ilhali wanawachuoni wametafautiana, toeni Aya na Hadith ndio muwakufurishe watu

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828 Місяць тому

    Hmtamuelewa yeye anatetea hakki shekh muhhammadi Lilo baya ndo ankemea na zuri ndo analispot haijalish lipo kwenu au kw upande Gani. Sasa tatizo ni lenu nyie mjiangalie

  • @user-go3bk6wr8u
    @user-go3bk6wr8u Місяць тому +1

    Unazunguka tu .

  • @HemedSerious
    @HemedSerious Місяць тому

    Ni kweli ni washenzi wa kuwahukumu watu ndio kazi yenu

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota Місяць тому +1

    Haelewek au nyiny ndio mnajifanya hamuelew jibun hoja za muhamad bachu maswal yako pale pale ...ameainisha makosa ya imam suyurtwi katika tafsirul jalalaan ya kiaqida mbna nyny masalaf hamumtoi kweny usalaf je abuu muwaiya kosa lake lipi la kumtoa kwny usalaf

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      Sijui uelezwe vipi hadi uelewe ,mbona majibu yametolewa kiilmu na yameeleweka

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota Місяць тому

      @@ABUUJAAFAR92 hapana abuu jaffar kuna mambo sheikh muhamad ameongezewa ....lkn pia tunataka jibu kwann abuu muawiya mnaotoa kwny usalaf amekhalif nn.....uyo muhamad bachu mwenyew mwasema c salaf amekhalif nn ktk manhaj salafiya

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      @KhalfanMakota haya majibu ya abbul abbas umeyaskiza vizuri kweli?
      Si ameeleza hapo kwamba sababu aliamiliana na sheikh muhammad al imaam, ambaye wanawachuoni walimbidiisha baada ya kukhaalifu msingi,na ni kwamba alichukua mkataba na mashia ,,,lkn abuu muaawiya alikuwa akimdafi',,

    • @KhalfanMakota
      @KhalfanMakota Місяць тому

      @@ABUUJAAFAR92 pamesemwa au uo ndio uhalisia maan kama ni uhalisia cdhan kama ibn bachu hayajui haya why anamdifai ......au pana mahala anafaham kuwa ndio chanzo maan hata yeye muhamad bachu nasikia nae c salafi nawe pia kakosa nn...au kosa lake kum zaki mtu ambae umembidiisha kwako abuu jafar

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 Місяць тому

      @KhalfanMakota abuu muaawiya na bachu manhaj zao ni tofauti kwanza fahamu,,,bachu team yake ni ya barahiyani answari sunnah ,,na amebidiishwa kwa kuamiliana na barahiyani, mtu anaewatukana maulamaa wa sunnah .

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому

    Unaharbu bado baba pita kweny zile nukta na ujibu yale maswali.. Sisi hatutaki story ya muhammad bachu

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th Місяць тому

      Kwani uyo Muhammad bachu Sio mwezenu

    • @kasimubangu1875
      @kasimubangu1875 Місяць тому

      Tunataka imamu suyutwi rahimahullah vp nayeye anakuaje​@@AbulqassimAshirazy-yd7th

  • @masoudabdallah9878
    @masoudabdallah9878 Місяць тому

    huu upuuz sjui mtaacha lini??! zaman tulizowea kuwapiga radi masufi na watu wa bidaa ila xv mnalana nyie kwa nyie ..! kibaya zaid mtu mpak kashakufa ila bado mnae tu mnamuandama ..! nasema tena acheni upuuzi

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Місяць тому

    Wapi kasim mafuta mbona anawatuma hawa wasiojua kitu maneno mengi?kama alienda kinyume na nyinyi ndo msimzike?salafi ni ugonjwa

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 Місяць тому

    Hassan waziri jibu maswali ya muhamadi wacha kuzunguka kija Allah kamjaliya elimu kuja kuwaonesha ujadida

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      Maswali yashajibiwa..muombe Allah akupe akili uweze kuielewa hyo audio... mbona majibu yapo waz tayar

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      suyuttwi nae vipi mbona hujamtolea majibu ebu jibu maswali kama yalivyo ulizwa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      @@abdurashidinasorodini mbona mnapenda sana kuwachokonoa wanazuoni? Kuna haja gani ya kumtaja Suyuutw sasa! Kwan lazima atajwe? Asipotajwa hamridhiki??? Hata kama sio ulamaa wa kisalafy ila kuexpose makosa yake bila sabab za msingi sio katika Twariqa nzuri....ikihitajika kuyataja yatatajwa ila so LAZIMA KAMA NYIE MNAVYOTAKA

  • @JumaAliy-jo4bg
    @JumaAliy-jo4bg Місяць тому

    Hakunashaka yeyote nyinyi ni maswaafika hamko kabisa katika jaadda mliokuwanao ni uhzibi allah awaongoze mrudi katika usawa 😅

  • @SimbaRamadhan-i6x
    @SimbaRamadhan-i6x Місяць тому +2

    Shekh Samahan Ila nikosa Hilo unalosema Kama sisi tuko na maulamaa wakubwa manhaj haiangalii maulamaa wakubwa au wadogo yoyote atakae sibu hakk kwake itafatwa hakuangaliw ukubwa Wala udogo kaaida mbovu unatumia hiyo

  • @universitylink
    @universitylink Місяць тому

    Nafikiri ingekuwa vizuri kama ungeenda na points kuanzia mwanzo mpaka mwisho maana naona kama umebase sana kwa sheikh Mohammed Imam lakimi points za Abu Muawiyah bado hujjajibu points zote

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому

      Lazima abase kwa Muhammad Al imaam kwa sabab ndo kutetewa kwake kunamtoa Abuu Muawiyah kwenye usalafy

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Tatizo lako ufahamu mdogo! Abuu Muawiyah kaitwa hizby na sababu ya kuitwa hizby ni hiyo kadhia ya Muhammad imam sawa ewe shabiki wa bachu?

    • @universitylink
      @universitylink Місяць тому

      Kwa hiyo mulimuita hizbi kwa hoja ya Muhammad imàm pekee yake au kabla ya hapo alikuwa ameshaitwa?
      Pili, kama ni hoja hiyo ya Mohamed imàm waliompa udhuru hawakuwa na dalili kama wasio mpa udhuru kama ulivyosema sasa mtamuhukumuje kwa uhizbi na yeye aliwafuata wanazuoni waliompa udhuru Mohamed imàm kwa nini na yeye asipewe udhuru?
      Tatu mimi sio mfuasi au shabiki wa bachu unapoulizwa swali jibu Wacha kupachika watu majina
      Nne sijui umetumia kifaa gani kupima uwezo wangu wa akili maan akili ni abstract thing sasa kifaa ulichotumia pia chatakiwa kuwa abstract.
      Tano, ukiondoa issue ya Mohamed imàm jibu vipi Abu Muawiyah ni hizbi ni hilo tu

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      sawa shabiki wa mafuta

    • @universitylink
      @universitylink Місяць тому

      Sina ushabiki wa yeyote yule hata huyo Qasim akiwa sawa nachukua na nasoro akiwa sawa nachukua pia hata wewe ukiwa sawa nachukua pia

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e Місяць тому

    Yani hawa watu hawa😂😂😂wanachekesha sana wallah yule kijana hamumuwezi, maswali yamewashinda yale na atakae subutu kujibu achomoki kwenye ule mtego atanaswa tuuh vungeni tu hoja hamna kabisa.

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Місяць тому

    Mmmmmh unajua huyu hawezi mjibu bachu ukweli ni huo kbsa

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Ndugu yangu audio umeskiliza au ushabiki?

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      weye ND mshabiki maana sheikh wako azunguka ilikua anatakiwa some swali moja moja anasoma Kisha anajibu sasa aeeeeenda mbaliiiii asome swali ajibu swali ebu acheni ujanja ujanja enyi majadida

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      @@abdurashidinasorodini hilo neno JADIDA aliulizwa bachu nani kaanzisha UJADIDA kashindwa kujibu
      Kwa ihsani yako naomba jibu kutoka kwako
      Nani kaanzisha UJADIDA jibu kwa elimu lakini na muogope Allah

  • @user-zr1dv2tb5k
    @user-zr1dv2tb5k Місяць тому +2

    Utakatwa maana masharifu wa pongwe hawajakupa tazkiyya unazungumza wewe

    • @user-iu3me2sm2h
      @user-iu3me2sm2h Місяць тому

      Sio kwamba nimekubali ulichosema ila nimefurahi tu hahaha ywzkna😊

    • @user-zr1dv2tb5k
      @user-zr1dv2tb5k Місяць тому

      @@user-iu3me2sm2h khatirr allah atustir

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Istihzai kwa masheikh walio kuzidi elimu maarifa na umri ni sawa na kufanya istihzai kwa babako

  • @bacteria5184
    @bacteria5184 Місяць тому

    Maneno mengi na majibu hakuna yaani masalafy ni maneno tu mengi

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Kapimwe akili yako hospital kama hujaona majibu

  • @salmyhussein6255
    @salmyhussein6255 Місяць тому

    Mashia hawako kwenye hakki lakini wamejitolea kupigana na mayahudi.wanao waua wa Palestine, wanajiita masunni saudia ndio wanao wakaribisha mayahudi na wamerekani na kuwapa kambi za kijeshi katika mijii Yao, wacheni upumbavu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Місяць тому +4

    majibu ya maswali 6 yako wapi?????
    Bachu aliuliza Watu wa Maulidi maswali 9 + hakukuwa na majibu
    Leo kauliza majadiida maswali 6. Kimyaaaaaa
    😅😅
    Bachu kipaji cha elimu ukimsikliza tu utaona huyu kijana ameeneemeshwa ktk elim ya dini !
    Allah amuhifadh na cc sote!
    Pitaa mule mule alipopita İbnu BACHU NUKTA KWA NUKTA , tujue kweli elimu ipoo na sio chuki na kukaririshwa tu!

    • @ulimwengu-giza
      @ulimwengu-giza Місяць тому +1

      acha ushabiki kwenye din ya Allah utapotezwa ndugu yangu

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Місяць тому

      @@ulimwengu-giza sasa hapo ushabiki aliofanya ni upi??

    • @YahyaYahya-vp2pp
      @YahyaYahya-vp2pp Місяць тому

      Kwel ndugu ni ngumu kupita kweny zile nukta alizopita bachu ni ngumu sana

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u Місяць тому +1

      Kwa mantiki hii basi yeye kapewa moja tu na makhurafi wa mambrui akajikojolea na hakuweza kujibu..
      Akaandika swaduku humo daftarini... swaduku... 😂😂😂😂😂

    • @ulimwengu-giza
      @ulimwengu-giza Місяць тому

      @@user-bp6fb6wo5u naungana na wew

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Місяць тому +2

    Hapa ndo utajuwa kwamba majadida hamna kitu

    • @bakarisalimu8421
      @bakarisalimu8421 Місяць тому

      Maswali matano tangu 2021 mpaka leo hamjajibu genge la sheikh Salim barahiyyan ila nyie jana tu leo mwataka majibu?

  • @user-zr1dv2tb5k
    @user-zr1dv2tb5k Місяць тому

    Porojo unazunguka saana

  • @abuuhafswa
    @abuuhafswa Місяць тому

    muhammad bachu hamtetei mtu anatetea hakki

  • @IbrahimuMgeni-gz5vx
    @IbrahimuMgeni-gz5vx Місяць тому

    Kasim mafuta alisema Dokta Iislaam halinganii dawa ya salaf kwa dalili zipi????

  • @abuumansour8479
    @abuumansour8479 Місяць тому +1

    Sijaona maswal yalojibiwa apaaa na hili ndo tatzo shekh twaomba majib kwanz kisha utupe darsa

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x Місяць тому +1

      Kama umesikiliza darsa zima na hujaona swali lililojibiwa basi uwezo wako wa kureason ni mdgo..kwo rudi darasan na uachane na ushabiki na matamanio

    • @sabrizamilalmendhry
      @sabrizamilalmendhry  Місяць тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbaarak Allah fiyk!

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Місяць тому

    Huyu nimemsklza ameleta porojo tu hakuna raddi hapo

    • @hafidhsalum-jp2mw
      @hafidhsalum-jp2mw Місяць тому +1

      Huwezi kuelewe mambo ya kielimu eti
      Wewe subir mambo ya ushabiki ndio utaelewa

    • @ulimwengu-giza
      @ulimwengu-giza Місяць тому

      ​@@hafidhsalum-jp2mw asante kwa jibu zuri

    • @babatchi9169
      @babatchi9169 Місяць тому

      Kasome Kwanza

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Місяць тому

    kwa hali hii, waislam yule dogo Tanzania tumepewa tumuombee dua kila anachofanya iwe kwa ikhrasi ili iwe sababu ya kuingia peponi, dogo elimu yake nzuri na imenyooka na tunafaida hawa mashekhe wengine sijui wametoka wapi.

    • @ulimwengu-giza
      @ulimwengu-giza Місяць тому +1

      @@mobilespecialschool4216 Allah akujaalie uwache ushabik na uangalie kweli pasina kujua amesema shekh gan

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy Місяць тому +1

      Hatari sana Wallah,hawa bna wote masheikh wetu katika sunna sema kuna sehemu ndogo sana watofautiana'

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 Місяць тому

    Acheni ujadida rudini katika manihaji salafi sahihi acheni kutowa watu kwenye salafi

  • @mobilespecialschool4216
    @mobilespecialschool4216 Місяць тому

    sheikh kamaliza bando langu afu hajajibu swali hata moja 😬😬😬😬

  • @Athumaniomari-ge2gs
    @Athumaniomari-ge2gs Місяць тому

    Yaaaan kiukweli nmecheka huyu jamaa kazungumz jambo la kunichwkesha eti yale maneno hayawahusu wao ya imam lbarjas ;yanawahusu nyiny kina wazir kabisa mnafanya ghulughuu

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Місяць тому +1

    Tumekuelewa vizuri sana Al akhy Allah akulipe khery