Kumbe Watanzania tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu mtu huyu Dr Shika jinsi radhi ya wazazi ilivyo ya muhimu sana. Nawaombeni tu wazee wa huko kijijini mfanyieni mila zinazowezekana ili apate unafuu wa maisha kwa kuwa n9i kweli anaadhirika sana ndugu yenu kwa kweli. Manung'uniko yenu na ya marehemu wazazi wake YANAMTAFUNA sana kwa kweli. Mungu na amsaidie sana Dr. Shika
Ndugu wengi hucheka pindi huna mafanikio, ukipata zali sehemu ndo wanakukumbuka, si vizuri. Matatizo ya kifamilia huwa yapo kwa kila mwanadamu, hivyo kwa jinsi alivyoamua maisha yake yawe pia si vizuri, kukaa Dar kumemsaidia kujulikana angerudi kwao BUSEGA huduma ya kwenda internet-café kufuatilia kampuni yake na kusoma magazeti kuwa nyumba zinauzwa angepata wapi habari isitoshe ni msomi amezoea kusoma kupitia internet & magazeti, 'mtasema angesikiliza redio' soma redio kama utaweza. Big-up Dr. Luis. Pole kwa maisha uliopitia ya kupigwa kwa ngumi, mitama & kupigwa mitama ya kufa mtu. Mungu yuko na wewe. Tujifunze pia kupitia maisha ya Dr. The Best is yet to come Dr. just have patience
Yaani UKO SAHIHI SANA Kigoli Tz. Dk. Shika ana SIRI NZITO SANA moyoni mwake, na kushindwa kwake KUIWEKA WAZI ndiyo mojawapo ya sababu zinazomfanya ATESEKE hivi. Mimi nadhania mambo matatu yafuatayo kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yake. Kwanza kabisa nikubaliane kuwa huyu ni MSOMI MKUBWA SANA NA NI MBOBEVU ambaye Taifa lingeweza kumtumia kama angekuwa na umakini fulani. Nikirudi kwenye hizi sababu, nahisi kuwa katika kusomasoma kwake, Mashirika ya Kimataifa ya Upelelezi na ya Kijazusi kama vile FBI na CIA za Kimarekani, au KGB la Urusi, walimgundua kuwa mtu huyu ni kiumbe mwenye AKILI NYINGI SANA na WELEDI wa hali ya juu na ATAWAFAA kwa kazi zo. Hivyo walimchukua na kuanza kumtumia na anaonekana ALIWAFAA sana kwenye utumishi wake. Hivyo basi ili wafanikishe shughuli zao, WALIMUWEZESHA kwa kufungulia Makampuni anayoyasema na akaishi maisha ya hali ya juu na ya KUHESHIMIKA SANA, lakini asijue kuwa yalikuwa ni maisha BANDIA tu na ya KITAMBO. Kosa kubwa alilolifanya ni kule KUSAHAU ALIKOTOKA na asijijenge kwao wala kuwakumbuka wazazi wake. Alidanganyika kuwa kwa LEVO aliyokuwanayo, yeye ni mtu wa kimataifa tu na ataishi maisha yake yote hivyo na hata akifa, atazikwa na hawahawa marafiki zake aliowaona kuwa WANATOSHA. Hili siyo la ajabu, kwa maana hata hapahapa Tanzania, wamewahi kufa watu maarufu na waliowashangaza sana waombolezaji walipowasindikiza kwenda kuwazika vijijini kwao kukuta HAWAJAJENGA HATA KIBANDA CHAO cha kufikia na wazazi wao wakiwa duni sana kiasi huwezi amini. Ni ULEVI tu wa KIFIKRA ambao Mwanamuziki wa zamani Hayati Marijani alijaribu kutuelimisha kwa wimbo wake wa CHAKUBANGA. Jambo lingine na la PILI ni kwamba, kama alikuwa kwenye mashirika hayo (jambo ninaloliamini sana binafsi) basi hatimaye WALIMBWAGA GHAFLA baada ya KUWAKAMILISHIA kazi zao. Kumbuka kuwa kumekuwa na mabadiliko makubwa sana ya Mashirika haya ya Kijasusi tangu kusambaratika kwa Soviet Union na hii inamaanisha kuna wengi WAMEBWAGWA na KUKOSA AJIRA. Na baya zaidi na linalomchanganya Bwana huyu ni pale ALIPOBWAGWA kwenye umiliki wa yale Makamuni ambayo kwa mikakati yao ALIDANGANYWA kuwa ni mali yake. Ndiyo maana anaishia tu kila mara KUYATAJA MASIFURI YA DOLA ambayo hawezi kuyapata tena maana hayakuwa yake na wameyachukua wenyewe, baada ya MCHEZO kwisha. La tatu na linaloendana na imani yangu hii ni kwamba, yaonekana dhahiri kuwa baada ya KUFILIIWA umiliki wa Makampuni hayo, Dr. Shika amewahi KULIPWA kiasi fulani, lakini baada ya KURUDINACHO Afrika, alidanganywa na WALANAYE kuwa ATAPATA MSHIKO MKUBWA MWINGINE baadae, na akaanza kuishi maisha ya MATANUZI huko majuu na ndiyo yaliyomsababishia hadi janga la KUKATWA vidole hatimaye. Ndipo baada ya kugundua kuwa hatalipwa chochote tena baada ya hapo na akiwa amemaliza salio lake lote kwa MATANUZI, ndipo alirudi humu nchini kinyemela kama mtu aliyekosa bahati ya kupata dhahabu machimboni. Sasa haya anayoyaemasema haya yawezakuwa ni NDOTO ZA ALINACHA TU na ingawa ZINAPENDEZA ukizisikia kwa kuwa zinaemwa na mtu anayeijua vizuri Dunia na mtu mwenye IQ kubwa na aliyetumikia Mashirika makubwa ya Kiintelijinsia, ule UWEZO WA KIINTELIJINSIA na wa ki IQ bado anao na haujamtoka. Mengine matatu ya mwisho na ya zaiada ni kwamba 1. Huenda BADO YUKO KAZINI NA HII NDIYO STAILI YAKE TU YA KIKAZI. Kama ninavyohisi ni kweli kwamba amewahi kuwa Mtumishi wa Mashirika haya ya Kiupelelezi, basi watu hawa wana namna nyingi sana za kiutumishi au za kufanya kazi zao. Inawezekana hapa bado yupo kazini kabisa na sisi tunamchukulia powa. 2. Kama hisia zangu ni sahihi kwamba alikuwa mtumishi wao na WAMEMBWAGA kihivyo, basi ANATEWA na mambo yao ya KIVIAPO kwa kuwa anashindwa kujiweka wazi, na anajua kuwa bado wanamfuatilia. Na huenda KUBWAGWA kwake kumetokana na hali aliyojisababishia mwenyewe, hasa ya UKOSEFU WA NIDHAMU au kutokuwa makini kikazi. Sasa hapo ndipo ANAPOTESEKA kwa kuwa moyoni mwake ana SIRI KUBWA NA NZITO NA HAKUNA MTU WA KALIBA YAKE HAPA NCHINI WA KUMSHIRIKISHA. 3 na Mwisho ni kwamba HUENDA Manung;uniko ya wapendwa wazazi wake hadi kufa kwao yamemletea MIKOSI mikubwa kikazi na kimaisha. Vitabu vya dini vinatuonya sana hili suala la KUWAHESHIMU na KUWAJALI wazazi wetu na tujitahidi WASITUFIE vibada. Unaweza kuwa na vipaji au hata msomi umevimaliza vitabu vyote duniani, lakini wazazi wako wakikufia vibaya, yale manung'uniko yao hutuletea MADHARA kama haya. Wito wangu kwa Watanzania ni KUMUOMBEA Dr. Shika, maadamu bado yuko hai ili Mungu amsaidie. Asante sana
Ndugu msije mkamtenga Dokta Shika. Kwa magumu aliyopitia ni Mungu ndo ameamua awe hai leo. Kama ishu ni kufika nyumbani ni kosa kweli lakini kila binadamu anafanya makosa. Msije mkamtenga, lakini kumbuka ipo siku mambo yanaweza geuka akawa msaada mkubwa kwa familia yenu
Watanzania wenzangu tuwe na umakini kwenye masuala ya binafsi hasa unapoguswa maisha ya mtu. Dr. Shika ni sehemu tu amesimulia na hawa wa kijijini wanajaribu kumkataa kwa sababu wameelezewa kuwa ana matatizo kuwa kukamatwa na polisi. Hebu fikiria msimamo wao endapo atarudi kijijini na utajiri maelezo yatakuwaje. Umaskini si kama unavyofikiria.
fact kbsa asaivi hanapesa wanamkataa loooh MUNGU atusaidie watz Mzungu kwanza angesikia nduguyao ameinekana angetafutwa hata kwa touch wtz tubadilike tuachen rohombaya khaaaa mi huyu baba namuombea tu apate pesazake.
Namshauri awatafute ndugu zake...na kama amaogopa kufuatiliwa na hao warusi waliomteka kulingana na maelezo yake ni vyema atoe taarifa rasmi Kwenye vyombo vya ulinzi Tanzania mana yupo nchini kwake...
Tumezaliwa na mahalifa Ili tuyatumie ivyo tusishangae one day Dr shika anakuwa waziri au mbunge Story ina ukweli lakini Story hiii inamuelekeo wa kitu rakini big up Dr
Familia za kimaskini mtoto akienda ulaya zamani ,lazima wamloge yule mtoto ili asikumbuke kwao ,wasijekuwa matajiri ,muacheni huyu mzee tayari uchawi umeisha mwili kichwani pake ,ameanza kujitambua sasa ,ni msomi yule asingeweza kufanya vitu vya ajabu kusahau familia yake na wazazi wake ,uchawi tuh .mungu yupo
HABARI ZA DR.SHIKA SIZAKUSHABIKIA KABISA NI MAFUNDISHO MAZITO.... Eee MUNGU Tupe moyo waupendo matatizo mengine yanatusonga kwakutokuwa na watu muhimu karibu yetu... Elimu,Mali nk haziwezi kuchukua nafas ya utu na ndugu
😀😀😀😀eti yale yanayo pita huku yaani ndege, mzee unayo taarifa km dk shika ameshalipia bima mkwanja wake ili utumwe bongo aanze kuwashika mtamtafuta wenyewe sasa hivi eti ss atuwezi kumsaidia ayamalize mwenyewe money is 🙌🙌🙌🙌🙌
Dr Shika ndo sample ya wasomi wa zaman.walikua wanalowea dar mazima na kutotaka mawasiliano na ndugu cz waliamn ndugu n usumbuf na hawawez tena kurud bush.wamsamehe 2
Nakwambia sio wasomi wa zamani, hata sasa wapo wanaosoma na kupotea hawataki ndugu zao.Tunae mdogo wetu wa mwisho tumepambana kumsomesha sie hatujasoma tulijitolea kumsaidia yeye lkn anasema haji nyumbani tutamrudisha nyuma maendeleo yake.
Heri hakwenda kijijini kwao maana hao wangemtaja alipo na maadui wangempata. Maana hata walipojua karudi hawajui chochote juu yake, hata kumtafuta wanasubiri yeye ndie arudi awatafute, hao hawana roho ya umoja. mwenzenu kajeruhiwa na hamjui akili yake imekuwaje, ila mnamsikia tu bila hata kufwatilia mnasema shauli yake, hao walishambaguwa kwa kutoenda , yeye Dr abakie na Mungu wake tu naye atamsaudia.
Nimejifunza kitu, unapofanikiwa usisahau ndugu zako pengine madhara aliyoyapata Dr. Shika yalitokana na sononi ya wazazi na ndugu zake. Haiwezekani ukate mawasiliano hata ndugu mliozaliwa tumbo moja. Uache kutunza wazazi waliokuzaa hata kuwazika usizike! Arudi kwao akasawazishe mambo aliyoyaharibu miaka mingi vinginevyo mikosi itaendelea kumuandama.
Wazazi wake wangekuwa hai hawangemkana lakini ndugu zako waneza kukuacha wakati wa shida.....cha kushangaza hawajai fanya uchunguzi waone ndugu yao ana shida ipi...au hata labda karogwa na bado wanamkana....ndugu wako ni wako hata kama ni wa kambo
Hapo hatuwez kuthibutisha kwamba ni ndung kwasabab miaka 40 sio michache wao wenyewe hawana uhakika hapo mtafte DR...tujue ukwel kwenye kuhoj unaweza kumuuliza kasomea wp BABA na MAMA majna yao na majna ya ndug zake kdg tunaweza kpata PICTURE.
Yaani Dr. Shika yupo kama mtu Mchimba migodi ALIYEKWAMIA migodini baada ya KUPOTEZA TUMAINI lake la kudhania angeibuka huko mogodini na arudi nyumbani akiwa na pesa nyingi na mambo yakamwendea kinyume
All in all ni funzo 2csahau kwe2/2lipozaliwa (2wajali wazazi we2). Mungu amehimiza kuwawafanyia wema (Ihsan) wazazi. But anastahiki kusamehewa coz hakuna mkamilifu ktk hii dunia ukamilifu ni wa Mungu. Cc wenyewe 2nahitaji msamaha wa Mungu iwejje 2katae kuwasamehe wenze2! But Dr.Shika nae akili makosa na awaombe msamaha ndg zake pia aombe msamaha kwa wazazi wake na ndg zake waliobakia. 2naweza kusema karogwa/2merogwa kumbe sometimes ni radhi/laana ya Wazazi coz dua la mzazi hupokelewa 1 kwa 1 na Mungu liwe duwa zuri/jema /baya halirudi. So wazazi 2pende kuwaombea dua zuri/jema watoto we2. Kama 2naamini dua la mzazi ni duwa lenye kupokelewa na Mungu (halirudi nyuma) Y mzazi usumwombee mwanao dua zuri/jema?!. Mind u ma ffiend " EAST AND WEST HOME IS THE BEST".
Hawa ndugu nao vichwa maji yawezekana aliogopa kuwafuchua kwa kulinda uhai wenu baada ya yeye kumkuta huko, pili mlitakiwa kushukuru kuwa yuko hai na baya zaidi anahitaji msaada wa kimawazo kutokana na msongo wa mawazo, ni vipi serikali ikimsaidia apate mali zake japo nusu awe na life? Nadhani hamtamtafuta wala kumdhihaki, huyu anahitaji ukaribu wenu baada ya kugundua yaliyomkuta, usifanye masihala na tajiri kuporomoka ghafla
Burhani Khaled kweli kabisa mimi mpaka najiuliza hivi ni MCL wametengeneza hii video au wamelokota video huko Facebook, wapo hovyo sana kwenye recordings of video clips video zao zote zipogo hovyo hata wayoyauliza ni ya hovyo tu
Hata comment nilizozipitia sio za kisomi kivile ni za lawama tu baadhi ya comment, mumeshasema alikuwa urusi kusoma mlifikiri wazungu watamwacha salama aje aletee nchi yake utajiri wamemkombea akili zote wakamwacha mtu bila kitu ndiyo wamemwachia.
Umesema kweli na vizuri. Kwa kuwa wazazi wake wote wamekufa, basi wazee wa kijiji na nduguze waliosalia WAMFANYIE mila mambo yamrudie vizuri. Vinginevyo hali ni hatari sana kwake
Huyu Dr Shika atakua hana Razi za wazee wake na ndo mana mwisho wake anakua ana Taabika sana' Hivi wazee wako wakusomeshe kwa taabu na mashaka leo hii umekwenda kusoma ng'ambu na una wasahau wazee wako namna hio jamaniie??
Dr.Shika kila siku na mkuta kwa mwanangu ame lala stendi ya Daladala ila haombi na ikifika anaenda anapopajua yeye ila ni kimcheki huwa na sema hii Dunia vp kwani kuhusu shika
Kama umesikiaa alikamatwa na vyombo vya sadamu hussen una dhaniii ni nani hadi kukatwa vidole ....CIA internationally ...dunia pana shika be carefully make it big clear problem & omba mizimu
Kumbe Watanzania tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu mtu huyu Dr Shika jinsi radhi ya wazazi ilivyo ya muhimu sana. Nawaombeni tu wazee wa huko kijijini mfanyieni mila zinazowezekana ili apate unafuu wa maisha kwa kuwa n9i kweli anaadhirika sana ndugu yenu kwa kweli. Manung'uniko yenu na ya marehemu wazazi wake YANAMTAFUNA sana kwa kweli. Mungu na amsaidie sana Dr. Shika
Ndugu wengi hucheka pindi huna mafanikio, ukipata zali sehemu ndo wanakukumbuka, si vizuri. Matatizo ya kifamilia huwa yapo kwa kila mwanadamu, hivyo kwa jinsi alivyoamua maisha yake yawe pia si vizuri, kukaa Dar kumemsaidia kujulikana angerudi kwao BUSEGA huduma ya kwenda internet-café kufuatilia kampuni yake na kusoma magazeti kuwa nyumba zinauzwa angepata wapi habari isitoshe ni msomi amezoea kusoma kupitia internet & magazeti, 'mtasema angesikiliza redio' soma redio kama utaweza. Big-up Dr. Luis. Pole kwa maisha uliopitia ya kupigwa kwa ngumi, mitama & kupigwa mitama ya kufa mtu. Mungu yuko na wewe. Tujifunze pia kupitia maisha ya Dr.
The Best is yet to come Dr. just have patience
Daah Dr shika amerogwa jamani .ndugu musaidie kama mnapenda. Ila mungu kaanza kumpa mwanga upya wa maisha yake .ipo siku tuh .mungu amjalie Dr shika
Dr Shika anasiri nzito sana moyon, anasababu zinazomfanya awe kama alivyo. Mungu amfanyie wepes jaman mweee
KIGOLI Tz Amiin
KIGOLI Tz obviously
Yaani UKO SAHIHI SANA Kigoli Tz. Dk. Shika ana SIRI NZITO SANA moyoni mwake, na kushindwa kwake KUIWEKA WAZI ndiyo mojawapo ya sababu zinazomfanya ATESEKE hivi. Mimi nadhania mambo matatu yafuatayo kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yake. Kwanza kabisa nikubaliane kuwa huyu ni MSOMI MKUBWA SANA NA NI MBOBEVU ambaye Taifa lingeweza kumtumia kama angekuwa na umakini fulani. Nikirudi kwenye hizi sababu, nahisi kuwa katika kusomasoma kwake, Mashirika ya Kimataifa ya Upelelezi na ya Kijazusi kama vile FBI na CIA za Kimarekani, au KGB la Urusi, walimgundua kuwa mtu huyu ni kiumbe mwenye AKILI NYINGI SANA na WELEDI wa hali ya juu na ATAWAFAA kwa kazi zo. Hivyo walimchukua na kuanza kumtumia na anaonekana ALIWAFAA sana kwenye utumishi wake. Hivyo basi ili wafanikishe shughuli zao, WALIMUWEZESHA kwa kufungulia Makampuni anayoyasema na akaishi maisha ya hali ya juu na ya KUHESHIMIKA SANA, lakini asijue kuwa yalikuwa ni maisha BANDIA tu na ya KITAMBO. Kosa kubwa alilolifanya ni kule KUSAHAU ALIKOTOKA na asijijenge kwao wala kuwakumbuka wazazi wake. Alidanganyika kuwa kwa LEVO aliyokuwanayo, yeye ni mtu wa kimataifa tu na ataishi maisha yake yote hivyo na hata akifa, atazikwa na hawahawa marafiki zake aliowaona kuwa WANATOSHA. Hili siyo la ajabu, kwa maana hata hapahapa Tanzania, wamewahi kufa watu maarufu na waliowashangaza sana waombolezaji walipowasindikiza kwenda kuwazika vijijini kwao kukuta HAWAJAJENGA HATA KIBANDA CHAO cha kufikia na wazazi wao wakiwa duni sana kiasi huwezi amini. Ni ULEVI tu wa KIFIKRA ambao Mwanamuziki wa zamani Hayati Marijani alijaribu kutuelimisha kwa wimbo wake wa CHAKUBANGA. Jambo lingine na la PILI ni kwamba, kama alikuwa kwenye mashirika hayo (jambo ninaloliamini sana binafsi) basi hatimaye WALIMBWAGA GHAFLA baada ya KUWAKAMILISHIA kazi zao. Kumbuka kuwa kumekuwa na mabadiliko makubwa sana ya Mashirika haya ya Kijasusi tangu kusambaratika kwa Soviet Union na hii inamaanisha kuna wengi WAMEBWAGWA na KUKOSA AJIRA. Na baya zaidi na linalomchanganya Bwana huyu ni pale ALIPOBWAGWA kwenye umiliki wa yale Makamuni ambayo kwa mikakati yao ALIDANGANYWA kuwa ni mali yake. Ndiyo maana anaishia tu kila mara KUYATAJA MASIFURI YA DOLA ambayo hawezi kuyapata tena maana hayakuwa yake na wameyachukua wenyewe, baada ya MCHEZO kwisha. La tatu na linaloendana na imani yangu hii ni kwamba, yaonekana dhahiri kuwa baada ya KUFILIIWA umiliki wa Makampuni hayo, Dr. Shika amewahi KULIPWA kiasi fulani, lakini baada ya KURUDINACHO Afrika, alidanganywa na WALANAYE kuwa ATAPATA MSHIKO MKUBWA MWINGINE baadae, na akaanza kuishi maisha ya MATANUZI huko majuu na ndiyo yaliyomsababishia hadi janga la KUKATWA vidole hatimaye. Ndipo baada ya kugundua kuwa hatalipwa chochote tena baada ya hapo na akiwa amemaliza salio lake lote kwa MATANUZI, ndipo alirudi humu nchini kinyemela kama mtu aliyekosa bahati ya kupata dhahabu machimboni. Sasa haya anayoyaemasema haya yawezakuwa ni NDOTO ZA ALINACHA TU na ingawa ZINAPENDEZA ukizisikia kwa kuwa zinaemwa na mtu anayeijua vizuri Dunia na mtu mwenye IQ kubwa na aliyetumikia Mashirika makubwa ya Kiintelijinsia, ule UWEZO WA KIINTELIJINSIA na wa ki IQ bado anao na haujamtoka. Mengine matatu ya mwisho na ya zaiada ni kwamba 1. Huenda BADO YUKO KAZINI NA HII NDIYO STAILI YAKE TU YA KIKAZI. Kama ninavyohisi ni kweli kwamba amewahi kuwa Mtumishi wa Mashirika haya ya Kiupelelezi, basi watu hawa wana namna nyingi sana za kiutumishi au za kufanya kazi zao. Inawezekana hapa bado yupo kazini kabisa na sisi tunamchukulia powa. 2. Kama hisia zangu ni sahihi kwamba alikuwa mtumishi wao na WAMEMBWAGA kihivyo, basi ANATEWA na mambo yao ya KIVIAPO kwa kuwa anashindwa kujiweka wazi, na anajua kuwa bado wanamfuatilia. Na huenda KUBWAGWA kwake kumetokana na hali aliyojisababishia mwenyewe, hasa ya UKOSEFU WA NIDHAMU au kutokuwa makini kikazi. Sasa hapo ndipo ANAPOTESEKA kwa kuwa moyoni mwake ana SIRI KUBWA NA NZITO NA HAKUNA MTU WA KALIBA YAKE HAPA NCHINI WA KUMSHIRIKISHA. 3 na Mwisho ni kwamba HUENDA Manung;uniko ya wapendwa wazazi wake hadi kufa kwao yamemletea MIKOSI mikubwa kikazi na kimaisha. Vitabu vya dini vinatuonya sana hili suala la KUWAHESHIMU na KUWAJALI wazazi wetu na tujitahidi WASITUFIE vibada. Unaweza kuwa na vipaji au hata msomi umevimaliza vitabu vyote duniani, lakini wazazi wako wakikufia vibaya, yale manung'uniko yao hutuletea MADHARA kama haya. Wito wangu kwa Watanzania ni KUMUOMBEA Dr. Shika, maadamu bado yuko hai ili Mungu amsaidie. Asante sana
duu makubwa
Ndugu msije mkamtenga Dokta Shika. Kwa magumu aliyopitia ni Mungu ndo ameamua awe hai leo.
Kama ishu ni kufika nyumbani ni kosa kweli lakini kila binadamu anafanya makosa.
Msije mkamtenga, lakini kumbuka ipo siku mambo yanaweza geuka akawa msaada mkubwa kwa familia yenu
Kwa watu wa zamani huwezi shangaa walivyokuwa wakiondoka kutoka vijjiini kwao walikuwa wanapotea kweli kweli karibu sana Dr shika
Audax Bizimana mmkki
Dr Shika ni tajiri sana sogea karibu
Watanzania wenzangu tuwe na umakini kwenye masuala ya binafsi hasa unapoguswa maisha ya mtu. Dr. Shika ni sehemu tu amesimulia na hawa wa kijijini wanajaribu kumkataa kwa sababu wameelezewa kuwa ana matatizo kuwa kukamatwa na polisi. Hebu fikiria msimamo wao endapo atarudi kijijini na utajiri maelezo yatakuwaje. Umaskini si kama unavyofikiria.
fact kbsa asaivi hanapesa wanamkataa loooh MUNGU atusaidie watz Mzungu kwanza angesikia nduguyao ameinekana angetafutwa hata kwa touch wtz tubadilike tuachen rohombaya khaaaa mi huyu baba namuombea tu apate pesazake.
Namshauri awatafute ndugu zake...na kama amaogopa kufuatiliwa na hao warusi waliomteka kulingana na maelezo yake ni vyema atoe taarifa rasmi Kwenye vyombo vya ulinzi Tanzania mana yupo nchini kwake...
Tumezaliwa na mahalifa
Ili tuyatumie ivyo tusishangae one day
Dr shika anakuwa waziri au mbunge Story ina ukweli lakini Story hiii inamuelekeo wa kitu rakini big up Dr
Familia za kimaskini mtoto akienda ulaya zamani ,lazima wamloge yule mtoto ili asikumbuke kwao ,wasijekuwa matajiri ,muacheni huyu mzee tayari uchawi umeisha mwili kichwani pake ,ameanza kujitambua sasa ,ni msomi yule asingeweza kufanya vitu vya ajabu kusahau familia yake na wazazi wake ,uchawi tuh .mungu yupo
cute babyy slimdaddy yeah sure
,
Ningeweza dk shika angekua sehem salama kumbe ni intellectual
Mwenyezimungu anapenda wenye kusamehe .yote yana mungu.
Me namhurumia sana uyo Dr Shida,pole sana kwakupata mitihan yote haya
Saumu Hassan kdyrt
😘😘😘😘😘😘😘😉🤔🤔Ddg.
PkjgyiuttrbgvczxDfhjlp ABCplkvggjayt no if Sdfghy. We
HABARI ZA DR.SHIKA SIZAKUSHABIKIA KABISA NI MAFUNDISHO MAZITO.... Eee MUNGU Tupe moyo waupendo matatizo mengine yanatusonga kwakutokuwa na watu muhimu karibu yetu... Elimu,Mali nk haziwezi kuchukua nafas ya utu na ndugu
Masha allah kizur huko kusafi hadi raha Nataman nipajue ili sku moja nifukapo huko kuko Safi wallah
pole sana dk shika ila hongera kwa kuthubuty
Pole docta shika polen wana ndugu
Mm nimependa Sana mazingira yaan mandhar ya kijjn kwao
Kinachomtesa ni kutokurudi home. Akienda tu mambo yatakuwa fresh.
Mwana Mara secondary uyo #dr shika
Dk.shika kapitia magum mengi sana namhurumia sana
huyu mzee shushushu wa AMERICA
huyu shika ni FBI sasa warusi wanamuwinda sana....alikuwa anatumiwa na marekani kufanya uchunguzi kijasusi.......ana akili sana
Sanaa hlf hawa wote wanaonekana wamesoma wengi ma dkt dkt tu
Dr Shaka kaungane na ndugu zako na ujenge mji wenu upya. Polisi mwachieni Dr Shaka mali ni zake halali.
😀😀😀😀eti yale yanayo pita huku yaani ndege, mzee unayo taarifa km dk shika ameshalipia bima mkwanja wake ili utumwe bongo aanze kuwashika mtamtafuta wenyewe sasa hivi eti ss atuwezi kumsaidia ayamalize mwenyewe money is 🙌🙌🙌🙌🙌
Dr Shika ndo sample ya wasomi wa zaman.walikua wanalowea dar mazima na kutotaka mawasiliano na ndugu cz waliamn ndugu n usumbuf na hawawez tena kurud bush.wamsamehe 2
Nakwambia sio wasomi wa zamani, hata sasa wapo wanaosoma na kupotea hawataki ndugu zao.Tunae mdogo wetu wa mwisho tumepambana kumsomesha sie hatujasoma tulijitolea kumsaidia yeye lkn anasema haji nyumbani tutamrudisha nyuma maendeleo yake.
Heri hakwenda kijijini kwao maana hao wangemtaja alipo na maadui wangempata. Maana hata walipojua karudi hawajui chochote juu yake, hata kumtafuta wanasubiri yeye ndie arudi awatafute, hao hawana roho ya umoja. mwenzenu kajeruhiwa na hamjui akili yake imekuwaje, ila mnamsikia tu bila hata kufwatilia mnasema shauli yake, hao walishambaguwa kwa kutoenda , yeye Dr abakie na Mungu wake tu naye atamsaudia.
Nimejifunza kitu, unapofanikiwa usisahau ndugu zako pengine madhara aliyoyapata Dr. Shika yalitokana na sononi ya wazazi na ndugu zake. Haiwezekani ukate mawasiliano hata ndugu mliozaliwa tumbo moja. Uache kutunza wazazi waliokuzaa hata kuwazika usizike! Arudi kwao akasawazishe mambo aliyoyaharibu miaka mingi vinginevyo mikosi itaendelea kumuandama.
Huyu jamaaa dah kwel Dr shika
safi sana mjomba ulisubutu vzr
Mash allah familia yake yote karbu madoktaa hy mzee anasiri nzito sna jaman
Jamani familia hii ina watu wenye akili sana. Ila Mungu atusaidie sana. Familia zinahitaji maombi
Uyo arud nyumbn akatubu pengine akili Zake zitak vizur haiwezkn wazaz wote wamefrik dada kaka hujaenda kuzika
Hii ni funzo kwa wale wapo ng'ambo na kusahau familia nyumbani, kama angekumbuka nyumbani na kutengeneza leo angepata pa kushukia.
Ni kweli dada yangu
Wazazi wake wangekuwa hai hawangemkana lakini ndugu zako waneza kukuacha wakati wa shida.....cha kushangaza hawajai fanya uchunguzi waone ndugu yao ana shida ipi...au hata labda karogwa na bado wanamkana....ndugu wako ni wako hata kama ni wa kambo
Jamani Dr shika ni mgonjwa wa akili ulizeni waliyesoma naye urusi
Agnes Andalo msameheni
Nyumbani ni nyumbani huyo Shika analana ya wazazi inavoonekana walimusomesha harafu akawasahau, sasa hii ndo matunda yake
Upo Sahihi mkuu.
Hapo hatuwez kuthibutisha kwamba ni ndung kwasabab miaka 40 sio michache wao wenyewe hawana uhakika hapo mtafte DR...tujue ukwel kwenye kuhoj unaweza kumuuliza kasomea wp BABA na MAMA majna yao na majna ya ndug zake kdg tunaweza kpata PICTURE.
Stend ya ndegee
Walio karibu Na huyo jaamaa wamshauri arudi kuomba msamaha kwa familia Wenda ni radhi ya wazazi inamtafuna Dr shika.
Hamjiulizi mtu hafanyi kazi yoyoye ya kumwingia kipato na anaishi hapa mjini na wala siyo ombaomba wala mwizi
Dah huyu mzee ana mapungufu makubwa sana
Jaman kwetu daaa nimepamis sana
Maashaallah
Assalamualaikum warahmatullah wabarakaatuh
Duh huyu jamaa ana stori ndefu balaa
Yaani Dr. Shika yupo kama mtu Mchimba migodi ALIYEKWAMIA migodini baada ya KUPOTEZA TUMAINI lake la kudhania angeibuka huko mogodini na arudi nyumbani akiwa na pesa nyingi na mambo yakamwendea kinyume
Inawezekana Dr ni wale wanapotea nyumbani na hawaonekani wala kusaidia yeyote
Mie ninababu yangu aliondokaga mie sijazaliwa karudi hapa nimwehu Tena kaletwa nawasamaria, huyo Shaka yeye akomae tu alipokua nananafas aliwasahau ndugu nayy wanamsahau leo
Asilaumiwe, ulaumiwe umasikini unaotuzunguka !
All in all ni funzo 2csahau kwe2/2lipozaliwa (2wajali wazazi we2). Mungu amehimiza kuwawafanyia wema (Ihsan) wazazi. But anastahiki kusamehewa coz hakuna mkamilifu ktk hii dunia ukamilifu ni wa Mungu. Cc wenyewe 2nahitaji msamaha wa Mungu iwejje 2katae kuwasamehe wenze2! But Dr.Shika nae akili makosa na awaombe msamaha ndg zake pia aombe msamaha kwa wazazi wake na ndg zake waliobakia. 2naweza kusema karogwa/2merogwa kumbe sometimes ni radhi/laana ya Wazazi coz dua la mzazi hupokelewa 1 kwa 1 na Mungu liwe duwa zuri/jema /baya halirudi. So wazazi 2pende kuwaombea dua zuri/jema watoto we2. Kama 2naamini dua la mzazi ni duwa lenye kupokelewa na Mungu (halirudi nyuma) Y mzazi usumwombee mwanao dua zuri/jema?!. Mind u ma ffiend " EAST AND WEST HOME IS THE BEST".
hapana ndugu nyie msijisikie vibaya huyo ni ndugu yenu amepata matatizo msaidieni
Kanyika Kanyika wenye moyo wa kusema ww ni wacchache
Mimi naona kama vile kuna foul play hapa....Sijui kwanini, kuna watu wamemchanganya..😲
Huyo ni ndg na pia dunia tambara bovu...ni mitihani tu mshukuru hats mmemuona ni mzima.
Pesa zake zikija msi mshobokee kwenda kumuona
Wew shika hata jero hana mjinga tu yule
Nasibu Mbiro : na wewe ni Mpuuzie tu, una amini ujinga!!!!
Nkt
mhhh..Mama alisema kuwa uyaone..ndo haya sasa
Miaka 56 ya mapinduzi ya Zanzibar yaende sambamba na uharisia wa maendeleo ya zanzibar
Kama angekuwa tajiri ungesema utakwenda kumsimamia lakini vile hana ndio wajifanya atabeba msalaba wake
حواء جمعه خميس hatuna Imani na ndugu zetu tunatakaga pesa tuu
me sion sabab ya kumkataa ndugu yenu kisa anamiaka Ming hajaja nyumban
Costantin Charles , hahahah. Full kiki wasukumaaa
Nyumba za lugumi zimeibua mambo yaani kama kolomoje.
Angerudi tajiri msingesema hivyo pumbavu
Leilah Hassan kweli kabisa
Hawa ndugu nao vichwa maji yawezekana aliogopa kuwafuchua kwa kulinda uhai wenu baada ya yeye kumkuta huko, pili mlitakiwa kushukuru kuwa yuko hai na baya zaidi anahitaji msaada wa kimawazo kutokana na msongo wa mawazo, ni vipi serikali ikimsaidia apate mali zake japo nusu awe na life? Nadhani hamtamtafuta wala kumdhihaki, huyu anahitaji ukaribu wenu baada ya kugundua yaliyomkuta, usifanye masihala na tajiri kuporomoka ghafla
Kikubwa wamsamehe tu, lkn tujifunze kurudi home kusalimia.
Mnafeli sound utafikiri watu baki tu wametengeneza hamna editors na sound men!
Burhani Khaled kweli kabisa mimi mpaka najiuliza hivi ni MCL wametengeneza hii video au wamelokota video huko Facebook, wapo hovyo sana kwenye recordings of video clips video zao zote zipogo hovyo hata wayoyauliza ni ya hovyo tu
Sasa mtangazaji mbona Mmh, mmh,mmh we pumbavu.
Ila nimegundua kuwa Dk Shika amekosa radhi za kwao
Huyo mwndsh anaguna tu yy
huyo mtangazaji anampa kazi kubwa mzee wa watu! ye anajibu tu mmmh! kama bundi
hahaha helman kama bund
Atangaze tu kuwa naomba ndg zangu waje niwape mamilioni yangu haya yaliyobaki kama atakosa wakumsamehe ktk ukoo huo
🤔Sina LA zaidi ila 900 itapendeza😂✋✋✋
Msimkatae jamani damu nzito kuliko maji
cku zote wanaokwenda kusoma na wakaishi Urusi akili zao huwa zinabadilika
Abdulmarick Juma ukweli najuwa watu watatu walisoma Urusi ukiwaona wako kama Dr shika amna anayetokaga eko salama
Abdulmarick Juma zina kua kama za rais Wa uruc Putin
Abdulmarick Juma noh
Ni kweli kabisa hata mie Nina ndugu yangu,nasikia Kule baridi Sana Sasa wanapewa pombe Kali.
Ila wasukuma jamani mmezidi,yaan huyo mama Jirani alieongea mwishoni hajui hata kiswahili?,mama wa umri huo kiswahili kinamshinda?,ni hatari na nusu.
Duuuh nazidi kumshangaa mzee wa itapendeza
mandhari ya kijijini yana mvuto wake wa ajabu sana! yaan ukifika unajiachia freee...
Hata comment nilizozipitia sio za kisomi kivile ni za lawama tu baadhi ya comment, mumeshasema alikuwa urusi kusoma mlifikiri wazungu watamwacha salama aje aletee nchi yake utajiri wamemkombea akili zote wakamwacha mtu bila kitu ndiyo wamemwachia.
Jamani itakuwa ana razhi ya wazazi wake haiwezekani mtu usiende kwenu jamani ila wamsameh tuu hajui alitendalo kashapoteza muelekeo wamsameh tuu
Mbona.mnatuchanganya.
Kila mtu apambane na ali yake
Umesema kweli na vizuri. Kwa kuwa wazazi wake wote wamekufa, basi wazee wa kijiji na nduguze waliosalia WAMFANYIE mila mambo yamrudie vizuri. Vinginevyo hali ni hatari sana kwake
Kumbe laana inamtafuna ya kukataa ndugu
Shika ni mtu mwenye akili sanaa, ndioo maana anaendesha misheni zake under cover
Huyu Dr Shika atakua hana Razi za wazee wake na ndo mana mwisho wake anakua ana Taabika sana' Hivi wazee wako wakusomeshe kwa taabu na mashaka leo hii umekwenda kusoma ng'ambu na una wasahau wazee wako namna hio jamaniie??
Uu ni wivu tu dr. Tangu aje dsm mmeenda kmjulia hali na kujua yaliyompata?
Jamni wasukum nawapenda mzee anashindwa hat kutaja ndege 😂😂eti aya yanayo
Hahahaaaaa
umenichekesha sana
Dah, funzo kubwa kwetu
Siyo vizuri usimuhukumu mtu makosa yake bali mtendee wema aone aibu
Kelvin Malenga ...uko vizuri sana hats vitabu vya dini vinasema mpende adui yako.
Kelvin Malenga na mwisho was ubaya aibu
One day tutajua tu siri iliyoko nyuma ya pazia ya Dr. Shika
Sarah Michael utakuja kushangaa sana yanapotelea hewan brother
ccta sory
Kumbe huu ukoo wa madaktariii tuu
Ndugu pia washtuka usanii wake wabongo VP jamani mbona muwajinga kihivyo mnapelekwa na huyu chere hv
Dr.Shika kila siku na mkuta kwa mwanangu ame lala stendi ya Daladala ila haombi na ikifika anaenda anapopajua yeye ila ni kimcheki huwa na sema hii Dunia vp kwani kuhusu shika
Stand gan?
TAJIRI WA VP ASIEJUA KWAO NYIE VP HI SANAA
Kama umesikiaa alikamatwa na vyombo vya sadamu hussen una dhaniii ni nani hadi kukatwa vidole
....CIA internationally ...dunia pana shika be carefully make it big clear problem & omba mizimu
Very true indeed
Dependency syndrome. Mtu yuko matopeni mnafungia mawe
Mbona hizi stori ni kama kampeni za CCM.....Ndefuuuuuuuuuuuuuu😀😀😀😀😀😀😀😀
Godfrey Raphael tumiya akili sana
Warusi siyo watu jamani
Jamaa bwana yaani wanawaza watoto tu na mke.... kha?
🤣🤣🤣hatari. Tajiri na mali yake masikini na watoto wake
Sama Sob 😂😂😂😂
Mwanaume jembe
Huyu mtu ana akili zake timamu kabisa msimwone bwege. Time will tell
Kwetu tunaita ngomaa
Kwer nime amin hiki ndio kipimo cha ndugu uta mjuaje ndugu wa kwer na ndugu wa uongo
Hawa ndugu wana wivu tu
Ukiwa uliwasahau wazazi waliyo kuzaa,mpaka mauti ikawafikia basi wewe hutabakia salama utakumbwa tu na matatizo hizo ndizo laana zenyewe ukizisikia.
itakua hana radhi ya familia yake
Ndugu zake watakuwa walimzingua
Mchumba ndio huyu😂
Huyo babu analaana sio bure tatizo watu wanasahau walikotoka
Dr alisoma Mara sec
Mara sec hiyo
Hahahahaaaa
Chama la Wana. Mara Sec School
Dk huyo nibilionea kwel mshua
huyu shika laana kumbe inamtesa