MSIBANI KWA DR. SHIKA, KAKA YAKE AELEZA MWANZO MWISHO KUTOKA DAR HADI KIFO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 39

  • @khadijakhadija-ve7tv
    @khadijakhadija-ve7tv 4 роки тому +8

    Mngeacha tu kuwahoji maan alivokuwa hai hamfanyi hiv

  • @revocatuskalwan3397
    @revocatuskalwan3397 4 роки тому +2

    Utashangaa kafa watazifatilia mali ..media zote hawana utu walishindwa kumsaidia akat mnapublish hbr zake mnapata hela ..tanzanians unafiki mwingi

  • @Process607
    @Process607 4 роки тому +4

    Pumzika kwa amani

  • @paschalkapande1486
    @paschalkapande1486 4 роки тому +1

    R.I.P Mzee wetu

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому

    Aisee Pumzika kwa Amani Dk shika

  • @deboraruhinda1818
    @deboraruhinda1818 4 роки тому

    R .I.P Dr Shika

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 4 роки тому

    Rip

  • @ashampore6070
    @ashampore6070 4 роки тому

    Dr Shika RIP.

  • @zuleajuma7697
    @zuleajuma7697 4 роки тому

    😭😭😭😭😭😭

  • @Papa2thaE
    @Papa2thaE 4 роки тому

    Korona

  • @beatricerichard5142
    @beatricerichard5142 4 роки тому

    Punzika kwaamani😭

  • @moha9043
    @moha9043 4 роки тому

    🤲🤲🤲🤲🤲🤲🙏

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 4 роки тому +1

    Kumbe ndugu mpoo?? Jamaa kapata shida apa mjini nyie mmekaushatu daa!!!!🤔

    • @khalidyndi
      @khalidyndi 4 роки тому

      Mzee alkuwa akilala nje haapati chakula ase kuna siri juu ya kifo chake hawasemi

    • @zulekhaally3524
      @zulekhaally3524 4 роки тому

      Walijua anapesa ndoman wakamtenga wapoona hawapi

    • @khalidyndi
      @khalidyndi 4 роки тому +1

      @@zulekhaally3524 ila ase🏃

    • @emmysfitnessandforex9403
      @emmysfitnessandforex9403 4 роки тому +3

      Aliondoka nyumbani akaenda nchi za nje akarudi nyumbani ndugu hawajui wamekuja kujua baada ya 900 itapendeza wakamuona kwenye TV tu nyumbani aligoma kurudi mwenyewe na alikua na maisha mazuri tu..so msiwalaumu bila kujua

    • @emmysfitnessandforex9403
      @emmysfitnessandforex9403 4 роки тому +2

      Walimtafuta sana akawa hataki kurudi kazidiwa ndo karudi

  • @jumamakuri9176
    @jumamakuri9176 4 роки тому

    Nani kafa ?? Maana marehemu hakutajwa ila aligua kapelekwa Hosp, karudishwa, kapewa dawa, tukampeleka. Tukamzika!! Nani????

  • @bbakzuvciIii
    @bbakzuvciIii 4 роки тому

    HILI HALINA AKILI JINGA
    JAMAAANNIIIII MMHH ETI TABIA YAKE HAIKUWA NINI!?? MTU ALIYEKUWA KIMYA TU ..
    FOOLS KWELI

  • @judithkataraia7305
    @judithkataraia7305 4 роки тому

    kama unatatizo la kukosa hedhi , umeathirika na dawa za uzazi wa mpango, harufu mbaya sehemu za siri, mvurugiko wa hedhi, fangus sugu , UTI sugu, pid sugu na kukosa hamu ya tendo karibu inbox tuzungumze na tiba. 0652223888