Walichogundua Polisi DSM kwa yule "Bilionea" mnunuzi wa nyumba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 391

  • @lovelyheaven2027
    @lovelyheaven2027 7 років тому +25

    Askari huyu nae akili hana unasemaje hafanani na hiyo pesa kuna watu wana hela na ni watu wa kawaida sana

  • @inno5044
    @inno5044 7 років тому +58

    Kamanda we Fanya kazi yako lakini mambo ya kumdhihaki mtu sijui malapa sijui mavazi,hayakuhusu,,hiyo sio lugha ya kutumia kabisa

  • @jojigeorige85
    @jojigeorige85 7 років тому +59

    Mbona kamanda anakosa staha kwenye maneno? pia anasema upelelezi haujakamilika lakini tayari kauli zake zinaonesha ameshamhukumu huyo mtuhumiwa kwamba ni tapeli, masikini hafananii hata kumiliki 1m, ana connection na Lugumi. Kamanda hii sio sawa kwa mujibu wa taratibu za kisheria huyu mtuhumiwa ni mahakamani pekee ndio itabainika kosa alilofanya ni kosa na ama anastahili kupewa majina hayo aliyomuita. Hata kama machoni mwa watu anaonekana amekosea lakini polisi haipaswi kuungana na public kusema huyu jamaa ni masikini, hana uwezo wa kutoa hizo pesa, ana connection na lugumi. etc. Itakua haina haja ya kukamilisha upelelez na kunpeleka mahakamani wakati kamanda kisha toa hukumu. Sioni sababu tena kwa kauli ya kamanda

    • @ledasjosseph5558
      @ledasjosseph5558 7 років тому +1

      joji georige kweli staha amepoteza

    • @lilianbunjulu1281
      @lilianbunjulu1281 7 років тому +1

      joji georige safi umeongea point

    • @jumbeybrowney7310
      @jumbeybrowney7310 7 років тому +1

      joji georige NA hapa ndipo hasa watanzania tunapokosa PROFESSIONALISM....ninadhani ni muda muafaka Wa kubadilika hasa KWA VIJANA NA VIZAZI VIJAVYO VYA TAIFA HILI....LUGHA LUGHA LUGHA LUGHA ni muhimu labda TUBISHE NA KUBISHANA TU.....

    • @lovelyheaven2027
      @lovelyheaven2027 7 років тому

      Yaani nashangaa hata mimi askari gani anaongea hivi

    • @kherryserera9451
      @kherryserera9451 7 років тому

      nikurekebishe hapa,Unaposhikiliwa kwa tuhuma ww n Mtuhumiwa,ukipelekwa mahakamani na ukatiwa hatiani basi hapo unakuwa n Mshitakiwa...Tuache vyombo vya dola vifanye kazi yake

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 7 років тому +52

    ivi kwani mtu akiwa na pesa lazima awe na muonekano mzuri wabongo kwa zarau kazi kweli ndo mana mnachezewa

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 7 років тому

      Jane Suma Angetoa pesa angekua nazo yule mzee hana

    • @dvjkelly8449
      @dvjkelly8449 7 років тому

      ndio, huwezi kuwa na pesa afu ukonde vile kaa huyo mbaba

    • @isihakampako3609
      @isihakampako3609 7 років тому

      Hv kila tajir lazma awe mnene vileee

    • @isihakampako3609
      @isihakampako3609 7 років тому +2

      Hv kila tajir lazma awe mnene vileee

    • @musamoe2604
      @musamoe2604 7 років тому +2

      kamanda hana nidhamu

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 7 років тому +12

    Hizo dharau don't judge the book by it's own cover

  • @icrasaid8534
    @icrasaid8534 7 років тому +9

    Kamanda acha dharau ww ni kiongozi bana tafuta Maneno mengine ya kutumia

  • @ledasjosseph5558
    @ledasjosseph5558 7 років тому +7

    Sasa kwan mwonekano wako wa kamanda ni sh ngap

  • @sheilalolila2233
    @sheilalolila2233 7 років тому +32

    hivi kuna mahusiano gani kati pesa na mavazi ? nauliza swali

    • @uledihamisi1344
      @uledihamisi1344 7 років тому

      see me 0745316372

    • @vianeykyaman3778
      @vianeykyaman3778 7 років тому

      Sheila lolila, ni ushamba tu na kutoelimika. Mavaz na pesa yana husiana nn tumekarrixhw vby eti mtu mwenye kitambo ndo mwenye chapaa? ujinga mtupu

    • @goodluckymakere9023
      @goodluckymakere9023 7 років тому

      sheila lolila hakuna

    • @kraniumtz3027
      @kraniumtz3027 7 років тому

      Yaani hata mimi nashangaa,lack of education

    • @mickskillstechnology7511
      @mickskillstechnology7511 7 років тому

      sheila lolila afu mambosasa alivyo mduanzi anasema eti ni anajiita Dr amejuaje kuwa siyo Dr?

  • @adamkatet274
    @adamkatet274 7 років тому +8

    Nenda Zanzibar kamanda ukaone matajiri hata viatu hawavai

  • @shabanimarijani662
    @shabanimarijani662 5 років тому +1

    Huyu jamaa ni msomi na aligundua yule Dada elimu yake ilikuwa ya kiwango cha chini, something amazing.....

  • @ramadhanikalumbete7134
    @ramadhanikalumbete7134 7 років тому +1

    micmooooo nicje.nikakutana nawasiojulikana Akuuuuuu

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 років тому +11

    Yule jamaa atakuwa comedian mzuri sana Lol

    • @peterbayo4677
      @peterbayo4677 7 років тому

      Dennis Charles haha! Haha! Haha! Anatakiwa ajumuishwe asap

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 7 років тому +1

    Hhhhh jamani huyu dokta bilionea anachekesha kaharibu mnada wa watu kumbe hana senti nyekundu kila nikimtizama simmalizi😂😂😂

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    Zarkovich murdoch. Acha tuu...mungu anisamehe...

  • @triciaburavan9180
    @triciaburavan9180 7 років тому +13

    Nguo zako za kaz ndo zimekustir2 lasivo ningekuogesha mitusi usinge amini macho yako! Quma utepe ww eti malapa! Ya bibiyako😨😨

    • @miriambaraka1615
      @miriambaraka1615 7 років тому +1

      hahahahahhahhahahahaha

    • @triciaburavan9180
      @triciaburavan9180 7 років тому

      Agnes Elias kabisaa wanaringia madaraka2 njoomaana ajibu ajiskiavo

    • @nswilahebronhans9550
      @nswilahebronhans9550 7 років тому

      Tricia Buravan tutakula sahani moja na wewe matusi unayotukana utakaa sehemu mbaya

    • @triciaburavan9180
      @triciaburavan9180 7 років тому

      Nswila Hebron Hans Anza muda huu

    • @utaani1
      @utaani1 6 років тому +2

      Nswila Hebron Hans hamna maisha nyie polisi kazi yenu ombaomba. Mshahara wenyewe hata million 2 Kwa mwezi haufiki kisha munajiona muna maisha na dharau nyingi

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 7 років тому +20

    Huwa napata changamoto na lugha za kada ya polisi. Napata taabu sana! Naona kama mkanganyiko

    • @goodluckymakere9023
      @goodluckymakere9023 7 років тому

      Peter Bayo 😂😂

    • @saidaali9379
      @saidaali9379 7 років тому +1

      Peter Bayo kaandikiwa kusoma kiswahili matatizo je english mr police

    • @levinatouwa1086
      @levinatouwa1086 7 років тому +1

      Peter Bayo ni hatar sielewagiii😁😁

    • @peterbayo4677
      @peterbayo4677 7 років тому

      Levina Mollel unagundua mambo mengi katika baadhi ya matukio makubwa kama haya. Hata babu wa loliondo alikuwepo kwa sbb za mtafaruku uliokuwepo kwenye system wakati ule. Sishangai sana. Nshazoea haya mambo ya mfumo wenu wa utawala.

    • @swahiliforex
      @swahiliforex 7 років тому

      Nenda ukasome ww mbona unaonekana kana mkubwa afu hakiri zako 🦆🦆

  • @amarachimoney6880
    @amarachimoney6880 7 років тому +4

    Mmmh kamanda kwenye mavazi umeniuzi mbona kuna matapel wanavaa vzr tuh

    • @jacksonmathayo6510
      @jacksonmathayo6510 5 років тому

      Yaani Kani keraa balaaa cjui kwanini wapo kazini ila bhasi tu

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 7 років тому +3

    siungi mkono utapeli ila kamanda usizungumzie mambo ya sheria kituo cha polisi unakosea na inabidi uombe radhi Sheria zinazungumziwa mahakamani na je kama akitoa hizo pesa utakubali kuhukumiwa kwa kupotosha umaa......Acha hizo

    • @Ruxkse
      @Ruxkse 7 років тому +1

      Comment nzuri sana hii... Wacha tufuatilie tujue.

    • @joycekangero7897
      @joycekangero7897 7 років тому

      Hela anazo ila alipatwa na majanga huko ulusi ya kutekwa, police msikurupuke mtaumbuka namtamwomba za kiwi

  • @winifridamgalla3786
    @winifridamgalla3786 7 років тому

    Namuelewa sana Docta Luis alafu kamanda kuwa na heshima marapa ndo nn

  • @mateikihoi1586
    @mateikihoi1586 7 років тому +1

    Jamaa ni jasiri,anajiamini sana .yuko vizuri .pia naona anajielewa .police acheni kuishi kwa mazoea

  • @doramsuya5135
    @doramsuya5135 7 років тому

    kamanda msimzarau m2.kwamuonekano wake.....siyo vizuri kabisa hata mbele za mungu

  • @kapilykahera7883
    @kapilykahera7883 7 років тому +5

    aise anakosea kamanda kumuangalia mtukwa mwonekanao maana matapeli wanavaaa vizuri kuliko unavyiozania

    • @beatricenicholausiwasa7601
      @beatricenicholausiwasa7601 7 років тому +1

      usimjaji mtu kwa muonekano kuna watu wanavaa kawaida sana lakini account zao zinasomeka sio sababu uwe na pesa uvae suti na mokasino

  • @petershigemelo4973
    @petershigemelo4973 7 років тому +4

    Ushamwita mtu mtuhumiwa tapeli sasa upelelez Wa nn!? Nyie polisi elimikeni bn

  • @ibrahimhumbotv
    @ibrahimhumbotv 7 років тому +3

    Huyo jamaa ni jasili sana inatakiwa mumpe #CHEO chochote serikalini achague mwenyewe.

  • @neemaamosi7761
    @neemaamosi7761 7 років тому

    Mungu amsaidie baba wawatu

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 7 років тому +3

    hapo kamanda unakosea kumuhusisha MTU na kitu ambacho s kweli huyo MTU hakumtaja lugum AF mnaposema tapeli katepili KVP hapo mm naona amefanya udanganyifu

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 7 років тому

    Ndohivihivi mlisema dereva wa lisu haumwi anaonekana ananga,je kua na hela lazima uvae vizuri?,wao yono walimuona anahela.

  • @emmanuelsiboth9180
    @emmanuelsiboth9180 7 років тому +1

    Nadhani kazi ya polisi ni uchunguzi tu, swala la tafsiri ya sheria waachie mahakama. Swala la alivyojistahi kimavazi as professional hawezi kuwa judge appearance.

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 7 років тому

    Achana na Dr. Shika leo kalipia bima wandishi haina hajaja ya kuchangia

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 7 років тому

    LOVE YOU DR SHIKA

  • @fatmaamran833
    @fatmaamran833 7 років тому +6

    Kamanda maku huyu yuaongea ovyo tu ..haupaswi kuongelea mtu kwa muonekano

    • @doramsuya5135
      @doramsuya5135 7 років тому +1

      Fatma Amran Tour hata mimi kaniuzi kweli....siyo vizuri kumzarau m2.

    • @fatmaamran833
      @fatmaamran833 7 років тому

      Dora Msuya ..ameniudhi sana wallaih

    • @utaani1
      @utaani1 7 років тому

      Fatma Amran Tour hebu nipe namba yako nikusalimie

    • @fatmaamran833
      @fatmaamran833 7 років тому

      utaani1# nipe yako nikusalimie

    • @fatmaamran833
      @fatmaamran833 7 років тому

      utaani1 ...ok sawa

  • @gastocelestine5525
    @gastocelestine5525 7 років тому +1

    Kama hafanani na milioni mbona walimpa nyumba zote...wangempa anayefanana nae..sio kauli nzuri.

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 7 років тому

    Aaahaaa uwiiii kumbe hafanani na muonekano mbona mlimkubalia kuwa anaweza???

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 7 років тому +6

    Kamanda unavoongea yasingekuwa mavazi yako ningehisi ww ni baresa... Wacha dharau!

  • @petermtey5508
    @petermtey5508 7 років тому

    sio wajibu Wa polisi kuhukumu. Hukumu hutolewa na mahakama.

  • @jacklineoscar5049
    @jacklineoscar5049 7 років тому

    jamani anatia huluma chamsingi akapimwe akili yawezekana hayuko sawa

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 7 років тому

    Kwenye hili umejieleza,,yamauwaji na utekaji mnaingia mtini

  • @elizabethmwandu287
    @elizabethmwandu287 7 років тому

    Mmmh jamani we askari mbona unamdharirisha

  • @jessicawalcot1129
    @jessicawalcot1129 7 років тому

    Duuh!!! Mbona kama miujiza vile,, yule askar aliekuwa kasimama nyuma ya huyo mkuu wake mbona katoweka ghafla???

  • @jaymyovela8784
    @jaymyovela8784 7 років тому

    Dr Luis umetshaa

  • @mabestmabest7906
    @mabestmabest7906 7 років тому

    Wtz maneno yetu huwag n Yale Yale tuu mungu ibark tz

  • @barnabasstanslaus6895
    @barnabasstanslaus6895 7 років тому +5

    Wewe ni hakimu. Kwani mavazi. Yanahusiana na kupato cha MTU.??? Kamanda anaongea kwa dhihaka hata kama anakosa usimuhukumu wewe mahakama ipo itafanya yake

    • @vianeykyaman3778
      @vianeykyaman3778 7 років тому

      huyu kamanda tutakutana ukisitafu wakat tutaongea, maana mtan kwng wapo wng asaiv ni walinzi lkn mwanzo walikuwa na jeur zaid yk. SIKU HAZIGANDI

  • @muddyville
    @muddyville 7 років тому +1

    Hahaha huyo jamaa nilimsikiliza kwa makini sana, sikumsikia akitaja neno "milioni" lazima awashinde tu....

  • @mosesmayala5321
    @mosesmayala5321 7 років тому +1

    polis kwann unamzihaki MTU? kwani mwonekano wamtu ndo utajiri?acheni ujinga.

  • @emmanuelyandu1608
    @emmanuelyandu1608 7 років тому

    Aibu ya Mambosasa, watu kama huyu kamanda tunao sana mitaani... Kujifanya wajuaji, wababe na Kusema sana..... Nawachukia watu wa aina hii

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 7 років тому +1

    kamanda Acha Maneno Ya Dharau Kienyeji Enyeji Nini Sasa
    sasa Afanani kivipi Dharau Izo

  • @rehemaginono8756
    @rehemaginono8756 7 років тому

    Ila kweli hii sio diplomatic kabisaaaa. huwezi kutoa maneno ya kashifaa kwa mtuhumiwa. sheria ifate mkondo lakini sio kwa kashifaa.

  • @yoel-faustino-mwenda4672
    @yoel-faustino-mwenda4672 7 років тому +4

    Boss mzur saana huyu😁😁😁😁😁

  • @imejachunga9958
    @imejachunga9958 7 років тому

    Duuuu pesa na mavazi 2different things .....

  • @freemanmwakingili4971
    @freemanmwakingili4971 7 років тому

    Taarifa kama inasomwa kwa mihemko hivi..

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 7 років тому +1

    Mnaosema kamanda ana zarau me naona mnakosea...hvi mmemuona huyo tajiri mtata alivozingua ..akasemesha watu na kukimbiza wateja ..mpuuzi

    • @jacquilinetenth3447
      @jacquilinetenth3447 7 років тому

      w4k1- 70wn sura ya huyu kamanda imetofautiana nini na ya tapeli

    • @rayerasto6356
      @rayerasto6356 7 років тому

      w4k1- 70wn wasojulikana mbon awajashikwa

  • @judithkhatibu5062
    @judithkhatibu5062 7 років тому

    dili na kazi acha kuangalia muonekano kwani c kila atokaye vizuri ndo yuko vizuri

  • @yusuphsam8895
    @yusuphsam8895 7 років тому +1

    Leo ndo mnajua sendo mbovu akat wazee mnada walishoboka had wakachapa nae maround

  • @directorjson
    @directorjson 7 років тому

    Wow! Amazing issue.

  • @silviaedwin2713
    @silviaedwin2713 7 років тому

    mkuu kuna watu sana pexsa za kishirikina so huwez jua kma zipo keel au laa!!

  • @producermikmer
    @producermikmer 7 років тому

    kwa izo kauli mbona kama ni nje ya sheria
    au labda nimisikia vibaya

  • @lahamanywele3721
    @lahamanywele3721 7 років тому

    Sasa mbona kageuka kama yeye ndo hakimu tayari anafanya conclusion

  • @damasexaud8460
    @damasexaud8460 7 років тому

    ASA watasemaje sendo za kishamba,mala hafanani na million yey je anafanana na million??? hata elfu5 shda.ah.
    @Dr.Luis shika,Jembeeeeeeee
    ###utakuwaje na bilion1 cash??

  • @eddiebilly3475
    @eddiebilly3475 7 років тому

    eti afanani na milion 900..kwan biligate anafanana na hela zake

  • @BonifaceMusic
    @BonifaceMusic 7 років тому +2

    mbona huyo police mwenyewe anafanana na mfugaji wa nguluwe hapashwi kuongea hata hivyo

  • @vickypoul9117
    @vickypoul9117 7 років тому +1

    Lakini anaweza kujibu mahakama vizuri Tu,na anaweza kujibu alikotegemea pesa hajapata

  • @kudrakassu4159
    @kudrakassu4159 7 років тому +1

    Ukute mwenye mnada ndie kamuweka ili watu wapandishe dau

  • @justinemsela5456
    @justinemsela5456 7 років тому +1

    Cha msingi muambieni aagize hela ht km ni urusi atumiwe alipie nyumba zake basi

  • @nomakasimakasi1459
    @nomakasimakasi1459 7 років тому

    Wakowengi wamesoma nahawana ajira, inatia hasirasana kwazarau zakamanda.

  • @edwardmwaipopo2839
    @edwardmwaipopo2839 7 років тому

    sasa mbona bodgud mzuri sana
    anafaa kuolewa uyo

  • @jacksonmodaha1590
    @jacksonmodaha1590 7 років тому +2

    jamani poleni maana machizi wako mwengi

  • @winifridamgalla3786
    @winifridamgalla3786 7 років тому +1

    Kamanda kuwa na nidham kwanza mazavi ayausiani na pesa

  • @ngayamunuo7662
    @ngayamunuo7662 7 років тому

    kauli za dharau na ku judge mtu wakati upelelezi unaendelea ... kampeni zianze #huyu kamanda hafai kushika nafasi aliyonayo. Apangiwe kazi nyingine!

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 7 років тому

    Wakati ameshinda mnada wa nyumba ya kwanza kwanini hawakuamwambia alipe hiyo 25%. Ni udhaifu waYono au lao moja.

  • @fgjjgbnko4383
    @fgjjgbnko4383 7 років тому

    Basi mlifanya makusudi mlimuona kama hana uwezo ata wa milioni 1kwani mkamuamini

  • @veronicasarvatory9516
    @veronicasarvatory9516 7 років тому

    Jamani naomba mumsamehe huyo lugumi namuomba msamaha. Msimuuzie Nyumba zote tatu. Uzeni Hata moja tu. Hela zingine atawalipa taratibu

  • @rudalamanyama5599
    @rudalamanyama5599 7 років тому

    kama alikuwa hanaa hadhii ya kununua kwa nn waliendleaa naye ktk nyumba zote tatu???? alafuu kusema kuwaa mwonekanoo wakee anaonesha hana hella si hakii, mavazii hayaoneshii hella ya mtuu jmnnn

  • @joycekangero7897
    @joycekangero7897 7 років тому

    Tulieni huyo siyo tapeli nimmiliki wa makampuni makubwa Ulusi mmdanilod kwa akaunt zake mtaamini, usimdharau usiyemjua usijeumbuka Siku.

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 7 років тому

    joji georige umesema vema. Yaani ikiwa askari mwenye cheo kikubwa hivyo hajui taratibu za kisheria basi tena tusitegemee haki kutendeka ukiwa mikononi mwa polisi. Huu ni udhaifu wa hali ya juu sana.

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 7 років тому

    aki tz bado mkonyuma sana,

  • @lilianbunjulu1281
    @lilianbunjulu1281 7 років тому +2

    Kamanda amezoea siasa

  • @yusuphwilium2331
    @yusuphwilium2331 7 років тому

    Hata hanakaul za kiuongoz kbx,camànda hakuna aijue kexho

  • @NYUMBANI2024
    @NYUMBANI2024 7 років тому

    mimisijaelewa

  • @issaramadhan7981
    @issaramadhan7981 7 років тому

    mpeni mda huyo mzee ana hela msikosoe jamani

  • @janethphilipo4277
    @janethphilipo4277 7 років тому

    Usingeeee vibaya JOANI mavazi ndio yanamuonyesha Mtu anahela wacha zarahu wew

  • @maryshirima3049
    @maryshirima3049 7 років тому

    Mambosasa mdomo uliponzwa kichwa..babu Dr Luis atanunua hizi nyumba.Sijui utakuja kuongea nini tena kwenye media.Tafakari kabla ya kutenda.

  • @sesiliaphidelis195
    @sesiliaphidelis195 7 років тому

    anaonekana kama muhun Kwer lkn upelelezi anaousemea Kamanda ni kama Kwer alitumwa kuharibu mnada Au alikuwa na lengo lakununua sikilizen vzr Sio kulaumu tu

  • @kombab1112
    @kombab1112 7 років тому

    Mmemcheck akili yuko sawa!?

  • @mabalaibra3835
    @mabalaibra3835 7 років тому

    mwaka huu tutaona mengi walah.

  • @eliasthomas9256
    @eliasthomas9256 7 років тому

    mpumbavu wew. apo ulipo umeajiriwa kwa ajil ya kukebei watu au kufanya kaz yako, jaribu kuwa nastara ya maneno cio kila unalo skia kuropoka unaropoka tyu

  • @pascalstaharabu4124
    @pascalstaharabu4124 7 років тому +2

    Kwann asipimwe mkojo??? Mmesahau au makusudi??

    • @nunuuali5316
      @nunuuali5316 7 років тому

      Pascal Staharabu hahahahahahahahhaahahaah yaani umenichekesha hadi mbavu zinauma

    • @pascalstaharabu4124
      @pascalstaharabu4124 7 років тому

      nura hamis pole San au nimekosea maana mm Nam kwa kuchapia

    • @christinajohn6868
      @christinajohn6868 7 років тому

      Pascal Staharabu yan umejua kunichekesha leo khaaa

    • @pascalstaharabu4124
      @pascalstaharabu4124 7 років тому

      christina john duuu nmefrah San kukuongezea cku za kuishi mpendwa ucpojar send your no. Nmefrahia uwepo wako.

  • @SALEHEKUNGULE
    @SALEHEKUNGULE 7 років тому

    Commander is too emotional

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому

    Ila na huyu kamanda wa polisi anaongea kwa madharau sana.

  • @mr.liverpool3274
    @mr.liverpool3274 7 років тому +1

    cjawah ona mtu mweny ujasir km uyo jmaa daah atr xna anawez akapg mdada nchi😁😁😁😁

    • @HamadAli-ph3qy
      @HamadAli-ph3qy 7 років тому

      acha matuc ww kua na akili nguluwe ww.

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 років тому +15

    Katumwa huyo na mwenye nyumba

    • @zarkleon2511
      @zarkleon2511 7 років тому

      Shakila Masoud
      Vpi bado unaamin katumwa na Mwenye Nyumba au.?

    • @credo7837
      @credo7837 5 років тому

      Shakila Masoud 😂😂😂😂

    • @joharhamisi9140
      @joharhamisi9140 5 років тому

      Shakila Masoud yaaan ww dada ulichojjb ww ndo nimejibu mm

    • @joharhamisi9140
      @joharhamisi9140 5 років тому

      Shakila Masoud kwel katumwa aende akaaribu mnada

  • @theresiankoyi9418
    @theresiankoyi9418 7 років тому

    mpelekeni hospital ni mgonjwa huyo sidhani kama mzima anaweza akathubutu kufanya hivyo

  • @mytriptraveltz
    @mytriptraveltz 7 років тому

    Is he sure of these rules?

  • @musamchafu3136
    @musamchafu3136 7 років тому

    Mahesh miwa Raisi WA Tanzania jpm watu Kama hawa wana itia makosa Tanzania na jeshi letu kwaujumla

  • @MrBizo-bx6oq
    @MrBizo-bx6oq 7 років тому +1

    Kanda usitumie LOGIC wakati bado hamjakamilisha upelelezi wa nani amemtuma.

  • @severinifulgensi2686
    @severinifulgensi2686 5 років тому

    Kwann mnamwita mhun wakat hamjathibitisha

  • @sakinandoile9439
    @sakinandoile9439 7 років тому

    Afande jaribu kuwa nauweled kwenye kaz yako... kumdhihaki mtu kwa maneno hayo wkt humjui ni kosa kisheria

  • @namelessunknown1377
    @namelessunknown1377 7 років тому +22

    Huyo mkaka nyuma ya kamanda mzuriiii

  • @MohamedMohamed-yx4gh
    @MohamedMohamed-yx4gh 7 років тому

    Kamanda usimjaji mtu kwa mavazi. Huwezi kusema ni tapeli. Kwani uchunguzi tayari

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 7 років тому

    Akipatikana na hatia mini kinatokea?

  • @emmanuelkiondo8560
    @emmanuelkiondo8560 7 років тому +1

    Millad fanya mpango umtafute huyu police maana kumdhihaki mtu kwa maneno ambaye humjui ni kosa kisheria 😂😂😂 kaumbuka huyu