Mbona cheo Cha kawaida, na watu kinao wamesha kuwa nacho. Anasemaje hatalipa kisasi? Anawezaje kumfuata mtu kama Mimi, au nhwajima, au hata mwana ccm mwenzake.. Sioni line of command yake Ina madhara vp Kwa watu.
Ukweli kaka yng makonda kama uliteleza basi ni ktk kukamilisha ubinaadam wko lakn siku zote nimekua naamini uwezo wko wa kiutendaji na nakuombea mungu akuongoze ktk majukumu yko.... Taifa hujengwa kwa upendo
Yupo kijana mwingine mwite mpige kazi ndani ya chama na nje ya chama anaitwa Hamfury polepole naamin itakuwa raha kwa wanachama na kwa Watanzania mtakapo panda majukwaa kumwaga sera na Watanzania watasimama kwenye msitari ulionyooka 95% hongera sana Rais Samia kwa uteuzi wa paul Makonda .CCM oyeeeeeeee
Kibali cha mikutano hakitolewi na polisi, bali kilisharolewa na katiba, polisi hupewa taarifa tu kwaajili ya kutoa ulinzi. Tujitambue na kuilinda katiba.
NADHANI KUMPA MBOWE MAFUTA NI HABARI LKN WANGE ACHA MAJI WASHA WASHA NA MABOMU WAKATI WA MATOKEO YA UCHAGUZi Kuhesabu kura kuondoa mawakala kuengua wagombea waupinzani.wanainchi waachiwe kuchagua .kupita bila kupingwa isiwe kwa ccm tu
Siasa bwana ni mchezo mbaya sana kwa sababu mkiona mambo yanavyo endelea Inchini alafu na msimamo aliokuwa nao Magufuli na Makonda alikuwa karibu na msimamo w Magufuli ulikuwa siyo wa kugawa mali za Inchi hii. Leo Makonda anafurahia kwa kushangilia . R.I P Magufuli. Tutaendelea kukuenzi
Anazingua yeye ndiye aliyewakosea watu wengi Sasa anazuga kuwa yeye ndiye aliyekosewa na hata lipiza kisasi,binadamu ni muongo hadi kwa Mungu atataka kudanganya
MMEIONA NA HII? ➡️➡️➡️ ua-cam.com/video/On4Dkp3qbjY/v-deo.htmlsi=iaE_QvIZ9BiuHkrD
Mbona cheo Cha kawaida, na watu kinao wamesha kuwa nacho. Anasemaje hatalipa kisasi? Anawezaje kumfuata mtu kama Mimi, au nhwajima, au hata mwana ccm mwenzake.. Sioni line of command yake Ina madhara vp Kwa watu.
❤❤❤❤katika maisha ukimtanguliza Mungu Ni ushindi wa ajabu ubarikiwe🎉🎉
makonda Mungu akubariki sana hayo ni matokeo wema uliyemtendea Ndg yangu Pascal cassian alipopata ajali. wema unaishi.
Kwa kweli mbowe aruke,GLORY TO GOD,MAKONDA UBARIKIWE
Big up makonda, Mungu aendelee kukupa ma funuo mengi ili kuwasadia wa Tanzania.
Mungu Akubariki Sana Makomda Mimi Mama Yako Niko Huku Maputo.
Muheshimiwa Makonda. Mungu ni mwema kwako, nakuombea mema. Waliopanga kwa ubaya, Mungu ameyafanya kwa wema.
Ukweli kaka yng makonda kama uliteleza basi ni ktk kukamilisha ubinaadam wko lakn siku zote nimekua naamini uwezo wko wa kiutendaji na nakuombea mungu akuongoze ktk majukumu yko....
Taifa hujengwa kwa upendo
Sahihi
Nice speech hongera nakuamini baba
Nimekuelewa, japo hautaeleweka. Mungu aikuze Imani yqko
Huu ni unyenyekevu wa hali ya juu na Mungu akusaidie
Duuuuuu makonda unaongea point nzito ulichaguliwa kihalali tunakuombea ama kweli Rais Samia anaonyeshwa na munguuuu barikiwa mama Samia
Washetani dhahiri ,na WA mungu dhahiri kauli zako ndiyo hukumu yako, tubu mbele za mungu na watanzania
Hongera zako nimefirahia hutuba yako kwa natumaini hayo Mungu akuongee imani zaidi Mungu akufunike kwa damu ya yesu kristo
Damu ipi hiyo sio yesu wa Nazareth
Ubarikiwe mkuu
Tuko pamoja sana brother
Uko vizuri sana makonda Mungu akuinue saaaana
Mungu aendelee kukutumia na ulinzi wake uwe juu yako nenda kwafanye ulichoitiwa na mwenyezi Mungu
Makonda hakika ana kipaji cha Karama ya uchungaji au mwinjilisti amini nawaambieni Mungu akubariki.
Safi sanaaaaaaaaaaaaa piga kazi Kiongozi upo vizuri
Cheo cha kawaida sana hicho Makonda. Uwe mnyenyekevu.
Rais wetu mtarajiwa. Mungu aendelee kukumbuka kijana wetu mcha Mungu.
Atakuongoza wew tu
Big up PAUL CHRISTIAN MAKONDA
Ww nimtu wamungu baba achana nao hao mungu ndo anajua thamani yako
Mungu simama mwenyewe! Wewe pekee unaijua kesho yetu.
Amina
Makonda nilimpenda kwa ukakamavu wake na juhudi za kusaidia wanyonge. Hongera Makonda
Nashangaa Sana viongoz wa ccm hawana Point nilijuwa makonda ataongelea rasilimalizetu pamoja na mikataba mibovu hakuna lolote
siasa bhana duuh ✍️
Allah akufungulie mazuri zaidi ya hayo🙏❤️❤️❤️
Mungu haziakiwi Mungu sio ndugu yenu mtajuta
Yupo kijana mwingine mwite mpige kazi ndani ya chama na nje ya chama anaitwa Hamfury polepole naamin itakuwa raha kwa wanachama na kwa Watanzania mtakapo panda majukwaa kumwaga sera na Watanzania watasimama kwenye msitari ulionyooka 95% hongera sana Rais Samia kwa uteuzi wa paul Makonda .CCM oyeeeeeeee
Hongera Makonda piga kazi baba.
Amina mpendwa
Kijamna uko vizuri,tunakuamin,tunakukubali.
MUNGU akulinde usipatwe na mabaya yote mema yawe juu YAKO daima 🙏🙏🙏
Ktkt vitu alivo fanya mama Samia nikutuletea makonda jembe lamajembe shoka lamashoka uyu ni mtume Toka mbingun
Ukienda kwa mtindo huo sasa tutafika mbali hongera
Well Noted.
Kumbe atapigwa kilakona umechelewa sana. Umedandia treni Kwa mbele chama kimeoza rushwa kilakona..
Mwenezi wa aina yoyote ile, Huyu jamaa si mtu mzuri kabisa, kumtaja Mbowe, ni kutaka mapambano
Hongera sana makonda mungu akubariki
Huyu mwamba uwa namuamini sana, kwanza hotuba zake anazitoa kichwani. Hongera mama Samiah rais wetu, umechukua jembe
Mama hapa nampongeza sana kwa maana makonda atatusaidia muno katika chama huku same kilimanjaro
Big up makonda nakukubali piga kazi. Maneno yako ni yakishujaa. 💪
Nakupenda sana mungu akupe nguvu ya uongozi thabiti
Baba Fanya kazi tunakukubali
Mchungaji bana hahahahahh. Mchamungu anasema unachagua mwenyewe kama unyenyekevu au rafu na uhuni 😮 au tukae mezani 😅😅😅😅😅😅
Fanya kazi mana ilibaki kidogo turudi nyuma miaka sita iliyopita kutovaa nguo zetu uje kusini kolosho baba
Nimemwekewa sana makonda pale kwa falao
Mungu akutangulie kaka ukayatende yanayompendeza Mungu na watanzania
Ulikosea ndugu
Daima tusilithi chuki zilizo achwa na babu zetu.maisha HAYAITAJI VISASI.
AMANI
Unendo
Undugu
Iwe adhina yetu.
Nyie ni HB TV ni waongo mbona gwajima hapo hayupo, acheni izo.. kwanini mnakua waongo tutashindwa kuwaamini na siku nyingine..
Kama ccm haibebwi na polisi basi mwacheni mbarikiwa Mwakipesile
Kutoka kuwa bashite na mvamizi wa vyombo vya habari na kuwa mwenezi wa chama! CCM you have shown your true identity. Tunamsubiria na Sabaya
tokaaaaaa
Bakiza maneno usiongee yote mungu sio wa kwako tu
Kwani kasema lipi baya
Oyoooooooooooo makonda kumbe unajua kuongea maneno ya hekima
Amina baba
Mama ikupendeza Sabaya muone Sabaya ni Jembe la CCM
Agiza Pepsi nitalipa
Mungu akutangulie
Mama Samia umepatia huyo jamaa ni Moto
Tunakuthamini, Tunakuamini . Chapa kazi mafuta wapewe na uruke anga la juu kuliko uliyempatia mafuta
Hv huyo Mungu anae tajwatajwa na makonda ni Mungu wa aina gan?? Kwa upande wangu mimi siamin kama ni Mungu wa mbingu na ardh hapana mpaka kesho
Hakuna siku Mungu ameiacha Tanzania na watu wake!
Kibali cha mikutano hakitolewi na polisi, bali kilisharolewa na katiba, polisi hupewa taarifa tu kwaajili ya kutoa ulinzi. Tujitambue na kuilinda katiba.
Kwanini huyu jamaa asije pewa uraisi yupo vizuri sana
Yaani Viongozi wetu Mungu awape maarifa kwakweli,Vinginevyo nchi imeangamia,
Tulikumiss sana Kijana piga Kazi
Ama kweli ccm Haina dira huyu muhuni wamemresha kwenye madaraka tobaaa
Kweli kabisa hii ni sauti ya madhabahuni pa mungu
Makonda ni yule yule taperi muuaji wa watu kwenye viroba fukweni mwa baharI
@@LameckMbele-k3funateseka ukiona hivyo na wewe ni muuaji
Kweli. Jina mungu liogopwe
Angalia yako
Mtenda mema ajikwezi
NADHANI KUMPA MBOWE MAFUTA NI HABARI LKN WANGE ACHA MAJI WASHA WASHA NA MABOMU WAKATI WA MATOKEO YA UCHAGUZi
Kuhesabu kura kuondoa mawakala kuengua wagombea waupinzani.wanainchi waachiwe kuchagua .kupita bila kupingwa isiwe kwa ccm tu
MaMA YETU MAMA SAMIA ABARIKIWE
Mungu akusaidie hii ni dunia
Hamna hoja mna ubabe ,mnatuongoza kibabe
Makonda Yuko vizuri
We makonda. Mwogope mungu
Safi makonda Mungu azidi kukupigania ktk kazi yako
Naanza kuipenda CCM, Ila naomba pole pole awe katibu mkuu
😂😂😂 Mh apo sijaelewa wapeni vibali kumbe walinyimwa apo kama sijasikia vizuri walibaniwa vibari😂😂😂
Naanza kukuelewa makonda
Hhahàhahahahahahhaa cjawahi kukuelewa ww kabsa
Hayaaa
UHUNI MTUPU WATANZANIA TUNASAFARI NDEFU SANA YA MABADILIKO
Kamsimamisha SAA ngapi mbona wandishi waongo sana
Siasa bwana ni mchezo mbaya sana kwa sababu mkiona mambo yanavyo endelea Inchini alafu na msimamo aliokuwa nao Magufuli na Makonda alikuwa karibu na msimamo w Magufuli ulikuwa siyo wa kugawa mali za Inchi hii. Leo Makonda anafurahia kwa kushangilia . R.I P Magufuli. Tutaendelea kukuenzi
Inasikitisha. Ila wanatumia nampa pole makonda
Jamani uongozi Ni busara na hekima na busara ndivyo mungu alivyosema ukimuona mtu Hana busara Wala hekima huyo hata kua katibu kata hafai
Safi kabisa
Ameruhusu mikutano alafu wanamchamba tena😅😅
Kama unamtetea Firauni basi huna akili maana Firauni laana alikuwa muovu
Hongera Sana 🙏
Kweli katibu wangu wa chama cha mapinduzi
Tuko pamoja mtuu wa mungu😂😂😂😂
Kama kweli hambebwi na polisi na sheria, ebu kubalini mabadiliko ya katiba ili kupata katiba mya.
Anazingua yeye ndiye aliyewakosea watu wengi Sasa anazuga kuwa yeye ndiye aliyekosewa na hata lipiza kisasi,binadamu ni muongo hadi kwa Mungu atataka kudanganya
Wandishi angalieni mbona mnaweka Mambo ya gwajima
Mama mkubuke sabaya Yuko vizur
Binafsi nakuona mbaali sana nauhakika utakua juuu juu zydi
Barikiwa sana
Wana siasa bwana tabu sana
MUNGU akutangulie tuu mweshimiwa ila usibadlkee tuu ukawa kam waleeee ukatukanyag vichwaa, naoon kam una uncle John magu vilee😢😢
Hogera ccm kulejesha jembe mambo mazuri
Piga Kaz bro
Nivema angetumia udhaofu aliupata wakato uliopita kujirekebosha ingefaa xna