MAKONDA AKABWA KOO NA KIKEKE AWATAJE MAWAZIRI WANAO MUHUJUMU RAIS /LIST!.. KIGUGUMIZI UKUMBI MZIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 113

  • @IddiAdamu-y3e
    @IddiAdamu-y3e 20 днів тому +1

    Makonda mwamba sana big up

  • @PeterMbelah
    @PeterMbelah 22 дні тому +2

    Mimi natamani sana siku aje kuwa rais wetu wa Tanzania makonda huyu anafaa sana

  • @SifaEmma
    @SifaEmma Місяць тому +5

    Harmonize Mzee Popo anaroga aliemsaidia kutoka umaskini... Diamond ni Baraka Africa 🙏🇹🇿🇳🇬🇺🇲🇿🇦

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 Місяць тому +9

    Keke❤👍🏾

  • @hancemagembe6260
    @hancemagembe6260 Місяць тому +2

    Makonda mwamba kweli kweli

  • @KitilaMndeme
    @KitilaMndeme Місяць тому +5

    Salimu kikeke nakupenda brother pambana

  • @MakunguJoseph-e3z
    @MakunguJoseph-e3z Місяць тому

    Mungu akulinde hakika unaweza kuwa mtetezi wa taifa letu

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Місяць тому +1

    😂😂😂makonda genius sana.kiongozi toka kwa Mungu

  • @wilonjabikey8274
    @wilonjabikey8274 Місяць тому +2

    Makonda forever broo

  • @BarnabasYamseo
    @BarnabasYamseo Місяць тому +10

    Ili kikeke lina akili😂😂😂

    • @FredrickDanford
      @FredrickDanford Місяць тому +1

      Jamaaa lina hakili kinoma

    • @dearnamypastime2435
      @dearnamypastime2435 Місяць тому

      Ila kakutana na mjibu maswali mwenye akili kwa maswali hayo

    • @romanilyimo
      @romanilyimo Місяць тому

      Ana akili gani ww? Hau nawe ni walewale tu​@@dearnamypastime2435

  • @MarkoMabulaNsimbila
    @MarkoMabulaNsimbila Місяць тому

    jibu maswari kaka umeiitasha mkutano nahuku uwezo wa kujibu maswari huna

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому +4

    Makonda kweli kesha kuwa na ukakamavu kisiasa hadi kutoogopa kuongea na vyombo vya habari bila kuogopa

  • @dearnamypastime2435
    @dearnamypastime2435 Місяць тому +1

    Makonda kiukweli sio wa kupuuzwa nawaambieni ukweli

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 Місяць тому +4

    Bashe ni wa kwanza kumuhujumu rais kupitia kisingizio cha wakulima wa nyonge na huku agenda kama ruzuku kwenye kilimo ni upigaji na hakuna tija kwa wakulima kama kampeni ya uraisi itapigwa kwa usahihi

  • @sadikiothiniel7859
    @sadikiothiniel7859 Місяць тому +1

    Makonda ww ni msomi sana, unajua

  • @MosesMzakwe
    @MosesMzakwe Місяць тому +4

    Ndiyo maana Generali Ulimwengu na Saliva Rwehemamu aliwahi kusema kuwa waandishi wa habari wa Tanzania ni sawa na wamachinga wanaozunguka barabarani. Leo nimeamini

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood Місяць тому +2

    Makonda hana uwezo wa kujibu maswali direct namuon anaruka ruka tu maswali anayarudisha kwa waulizaji😮

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 Місяць тому

    Mbona Mzee wa watu ulimpiga kofi

  • @edsonpetro3754
    @edsonpetro3754 Місяць тому +1

    Makonda unaakili nyingi

  • @EliudMtamanyirwa-v3p
    @EliudMtamanyirwa-v3p Місяць тому

    Shikamoo makonda

  • @ofsamullo1961
    @ofsamullo1961 Місяць тому +4

    kikeke mtu na nus😂😂😂

  • @KulthumOmar-b7v
    @KulthumOmar-b7v Місяць тому

    Makonda ujanja ujanja kikeke nimihandishi wahabar mkubwa jibu maswali mana anapiga kwenye mshono kikeke anajua kuuliza maswali anabana miswali ngaa ngaa ngaaaaaaa😂😂😂

  • @MichaelSungura-m1u
    @MichaelSungura-m1u Місяць тому +1

    Wewe makonda huna rorote mhuni tu

  • @archbordygodfrey2614
    @archbordygodfrey2614 Місяць тому +5

    Makonda kiboko sanaaaa🎉

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Місяць тому

    Makonda ni kiboko🎉🎉

  • @husseinc
    @husseinc Місяць тому +3

    Pigakazi, Mh. Poulmakonda amenyooka

  • @Msomi_Halali
    @Msomi_Halali Місяць тому

    Kiongozi bishoo

  • @paulmgittu7426
    @paulmgittu7426 Місяць тому +1

    Makondaaa u're the best leadership

  • @MwitaKihugi
    @MwitaKihugi Місяць тому +4

    Hahaaaa makonda umenikumbusha mbali na hako ka wimbo ketu bhise abo tulibhamjin tuleme udosa

  • @hamisiziota1590
    @hamisiziota1590 Місяць тому

    Safi makonda

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Місяць тому +3

    MWAMBA upon vizuri...waandishi vilaza unawapa za uso

  • @Maya-bm9bu
    @Maya-bm9bu Місяць тому

    Jibu hoja bana Baba keagan

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo Місяць тому

    Makonda kwa kupanchi mtamuweza,kikeke na zembwela maninja

  • @kilelamniko9678
    @kilelamniko9678 Місяць тому

    Makonda ana akili nyingi sana

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 Місяць тому

    Hatukusikia vyeti anavyotumia nivyake?

  • @Ernestainea
    @Ernestainea Місяць тому

    Kuna watu sio poa makonda ni mtu hatari sana kuna wakati nataka kumshika nikihakikisha nimemnasa kabsa nijikuta sipo nae uyu jamaa ni hatar sana

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Місяць тому

    😂❤

  • @RaymondKanyama-y5b
    @RaymondKanyama-y5b Місяць тому +1

    Kikeke mamaeeeee😂

  • @swahilimovies-l5q
    @swahilimovies-l5q Місяць тому

    MBONA KAMA CHEKA TUU!

  • @chockleralex739
    @chockleralex739 Місяць тому

    Mbona kuna watu wanapiga makofi tu iwe jibu lisiwe jibu wao ni makofi tu au ndio protocol?!

  • @mussachengula5470
    @mussachengula5470 Місяць тому

    makonda uko poa sanna

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb Місяць тому

    Hukuna uhakika

  • @emmasonanjawe9042
    @emmasonanjawe9042 Місяць тому

    Sisi wa qba tumeshaelewa

  • @ThomasGai-kz5cu
    @ThomasGai-kz5cu Місяць тому +5

    Unaposema haiti tena kwa lipi wakati amejibu vyema RC? Acheni unafiki Big up Makonda.

  • @MaghobaGeorge-lq4yg
    @MaghobaGeorge-lq4yg Місяць тому

    Viongozi wa Africa kwenye kujibu maswali bado Sana huwezi ulizwa machungwa ukajibu makande

  • @tumainimzumbwe
    @tumainimzumbwe Місяць тому +2

    🎉🎉🎉🎉pokea maua yako mkuu wa mkoa wa Arusha

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 Місяць тому +2

    Anakimbia maswali,ingekuwa wakati wa mpori mpori magufuli angetaja tu

  • @NeemaSamweli-t4c
    @NeemaSamweli-t4c Місяць тому +1

    MAKONDA ASITAKE KUJIFANYA YEYE MTAKATIFU, KWAMBA KATIKA MIAKA YA UONGOZI WAKE WOTE TANGU WAMEAMZA KUMTEUA HAJAWAHI KUHUSIKA KWENYE UOVU WOWOTE? AACHE UONGO ASITAKE KUTUONA WOTE WAJINGA.
    CLOUDS CCTV ZILIMWONYESHA YEYE NA ILIKUWAJE?

  • @joelthomas-mx6gm
    @joelthomas-mx6gm Місяць тому

    UNAULIZWA KINGINE UNAJIBU KINGINE WE JAMAAA banah

    • @DerSimba
      @DerSimba Місяць тому +1

      Huyo anakujibu ki usomi utabaki unajiuliza ty

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 Місяць тому +1

    Waandish habari elewen mnamhoj. genius harisia wamaono sahihi sio wamchongo👉👉👉😎🇹🇿

  • @mtutulaclassic6207
    @mtutulaclassic6207 Місяць тому +2

    Anakimbia maswali mbona

  • @amiriadam9730
    @amiriadam9730 Місяць тому

    Hujibu maswali mkuu,unatoa maelezo ya mzunguko.

  • @atikombogolo2356
    @atikombogolo2356 Місяць тому

    Nasemaje ARUSHA 2025 Patawaka🔥🔥🔥🔥😅😅😅😅

  • @JamesRohomoja
    @JamesRohomoja Місяць тому +1

    Kikeke mwandishi n 1

    • @MosesMzakwe
      @MosesMzakwe Місяць тому +1

      Kikeke ni Mmoja waandishi wabovu sana kwenye tasinia ya habari. Ameihujumu sana Nchi huyu kwa Masrahi ya BBC

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 Місяць тому

      ​@@MosesMzakwenakumbuka ndiyo wakati wa Magufuli

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 Місяць тому +2

    HUYO ZEMBWELA CHAWA

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 Місяць тому

      Haijalishi lakini maswali yake yamenyooka tu mbona

  • @AbubaMuhamedAbuba
    @AbubaMuhamedAbuba Місяць тому +2

    Big up kamanda.nakupongeza sana mh makonda
    "Saluti kwako."

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 Місяць тому

    Kikeke walegezee hawana majibu wataktafta shauri yko

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 Місяць тому +1

      Hana majibu vipi wakati anajibu kila swali

  • @jimmundakege
    @jimmundakege Місяць тому

    Mbona waandishi hamtaki kumwelewa Makonda ?

  • @MwajumaKalunde
    @MwajumaKalunde Місяць тому

    Acha uchawa umepewa nafasi itumikie kwa kuzingatia mipaka yako ya kazi kama unataka uwaziri kama H amis Mwijuma maalufu kama mwana FA zingatia maswali unayoulizwa usikwepe maswali jibu maana unajikuta wewe ni takukuru

  • @bonifaceakyoo1180
    @bonifaceakyoo1180 Місяць тому +5

    Huyu jamaa, anarukaruka na kuzunguka tu............hajibu maswali

    • @ototek8037
      @ototek8037 Місяць тому

      Sasa hapo hujaelewa nn? Wanaomtukana raisi haikupaswa kuambiwa sisi bali raisi maana ni watu wake aliyewateuwa, hii ni kulinda siri za serikali kama wanavyoapa. Sema huelewi na wanaoelewa walipiga makofi

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Місяць тому

    😂😂😂😂

  • @mathiasduduru628
    @mathiasduduru628 Місяць тому

    Makonda Mungu akutunze

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 Місяць тому

    Mwamba ni Arrogant,au it politics😂😂

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 Місяць тому

    😂😂😂😂😂

  • @YusuphRajabu-hz3pv
    @YusuphRajabu-hz3pv Місяць тому +8

    Hakuna kiongozi anae weza kujibu maswali yakikeke hata siku moja yani kila anae ulizwa anazunguka sasa kama huyu hajibu anazunguka

    • @eng.lazarongoro
      @eng.lazarongoro Місяць тому +2

      Huwez kujibu kwa sababu ni maswali chonganishi

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 Місяць тому +1

      Wewendio hujajua sikilizakwamakini

    • @mgonasipapune1383
      @mgonasipapune1383 Місяць тому +1

      Makonda ni mtu makini Sana hebu chukua muda kumsikiliza na umwelewe

    • @Maya-bm9bu
      @Maya-bm9bu Місяць тому

      Hakika 🙏🏿🙏🏿hawamuwez

    • @CristofBota
      @CristofBota Місяць тому

      ​@@eng.lazarongorohakujawahi kuwa na maswali chonganishi ukweli mchungu

  • @jumadogani-zi8zk
    @jumadogani-zi8zk Місяць тому

    Mbona hata hajibu maswali 😳

  • @ImaniBalankwaya
    @ImaniBalankwaya Місяць тому

    makofi ya Nini sasa

    • @atikombogolo2356
      @atikombogolo2356 Місяць тому

      Kahiyo tukuoe poshi yetu halafu usipige makofi!? Kesho hatukuiti😅😅😅😅😅😅

    • @ImaniBalankwaya
      @ImaniBalankwaya Місяць тому

      @atikombogolo2356 umuoe Nan acha ufir "auni shenzi zako hujalelewa kimaadili ndo alichozungmza makonda fikra hovyo nyoko

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 Місяць тому +2

    SIKU NYINGINE HAITI TENA MKUTANO NA WANAHABARI

  • @FloraNyamakababi
    @FloraNyamakababi Місяць тому

    Akonda unangoja nn gombe urais unafaa sanaaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @MdendemiF.Fidelis
    @MdendemiF.Fidelis Місяць тому

    Ujinga mtupu, kupotezeana muda. Kikeke wanakushusha sana kukuweka kwenye vijikao kama hivi.

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko Місяць тому +1

    Makonda akili mingi mno uwezi mtega kiboya boya kama unavo taka ww smart sana

  • @JohnKatwanga-l1g
    @JohnKatwanga-l1g Місяць тому +1

    Mikofi yanini hiyo

  • @George-dw7fu
    @George-dw7fu Місяць тому +1

    Sasa akiwataja huyo kikeke atawafanyaje

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 Місяць тому

      😂😂😂😂

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath Місяць тому

      😂😂Ndiyo waandishi wetu wa habari..Yeye anataka kugombanisha ili apate lakuandika kwenye hatari zake

  • @Users2523
    @Users2523 Місяць тому +1

    Hii ni ripoti au ni kikao cha umbea??. Waandishi badala ya kuuliza mambo ya maendeleo ya mkoa wake , cha ajabu mnakalia kuuliza maswali ya kumtuhumu makonda. You are not creative at all.

  • @gugainukaentertainment85
    @gugainukaentertainment85 Місяць тому

    HAKUNA LOLOTE ANACHEKACHEKA TU HAJIBU HATA MASWALI KWAIYO ANAKWEPA NINI WAKATI YEYE NDIO KAWAAMBIA ANAWEZA KUJIBU!?? ETI YEYE NI MKUBWA KULIKO ANAUKUBWA GANI BHANA HII NI KUTISHANA TU NDIO HIZI KIKI ANATAFUTA KUBWA KWA KIKI KUPITIA MEDIA