UKISIKILIZA HII HAUTA KATA TAMAA KAMWE | ASKOFU GWAJIMA AELEZA VISA VYA KUSISIMUA KUHUSU MAISHA YAKE
Вставка
- Опубліковано 1 жов 2024
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Yaani Mungu anamtoa mtu mbali Sana alafu wewe Unamwona Leo yupo juu unanuna.
Una laana wewe😂😂😂
Kwanini
Safiiiii
Amiina mtumishi wa Mungu, amina sana umeijaza nguvu akili yangu.
Mungu wetu mwaminifu akubariki Sana Mchungaji Bishop
Hayo ndo yalikua maisha yng ili nipate hela ya tuition
NachobarikiwA Baba ushuda ni wakwako sio wa kukopi sehemu kama daudi anashuhudia ushuhuda wa kwake wa dubu na simba sio wa kukopi nabarikiwa sana na mafunzo yako
Nabarikiwaaa. Hiyo ya dagaa inanikumbusha matembele unaosha unaweka na chumvi TU safi mboga tamu halafu ugali unasonga na buwa la mhindi na ugali unaiva hapo nipo ZANGU Mbigiri Dumila mkoa wa Morogoro😢 siwezi kata tamaa katika maisha haya😢
Yani Bua kama unga au mwiko?
Ni Kuni anamaanisha
❤❤
Amen amen amen Baba, kwakweli ni mambo yanayosisimua moyo na kujenga sana.Mungu azidi kukutumia ili kuliimalisha kanisa lake.binafsi sijawahi kuchoshwa na mafundisho yako,zaidi kila nikisikiliza napata nguvu mpya.aaamen
Barikiwa baba
Kweli kabisa Mungu habariki wavivu
Amen amen ubarikiwe Askofu,
Nabalikiwa Sana nikikumbuka ugali na chumvi tupu tulikuwa Kwa neema ya mungu
Baba umenkumbasha mbali nakuelewa Sana eyesu zidi kutuinua
Nlfanya kazi ya mkaa jaman ashukuriwe yesu wa mbinguni
Amen nimejifunza kitu na nimepata nguvu mpya
Amen mtumishi wa Mungu umenikumbusha machungu ya kuchoma mkaa kiukweli iyo kazi ni ngumu sana😢
Barikiwa Sana Mtumishi nimebarikiwa Sana huo ni ukweli Kabisa
Dah hii ni fundisho kwetu
Amen naamini iPo Siku Nami natobowa
Amen Baba najuwa Mungu ananiandaa kwa ajili ya mambo makubwa ya huko mbele
Mohamed manengero duh umenikumbusha mbali ashafariki
Mali asili walipigwa na ubakooo...hawakuona
Amina
Amen mtumishi wa MUNGU
Amina
Aminaaa bab
Ameni mtumisi wamungu
Amen Man Of God
Amen Baba
Hii kazi ni ngumu sn. Mmh😊😊
Amina🎉🎉
Very, good 👍
Amina mtumishi wa Mungu,umeni Jenga 🙏.
Amina mtumishi
Hakika sitokata tama
Amen Pastor
Aminaa
Ameen
Amen Amen
Nabarìkiwa Sanaa kwani Speech yako!, pia umenikumbusha mbali sana.
Ameeeeen Ameeeeen ❤
Amen🙏🙏
Tatizo unafanya siasa is ingekuwa siasa Gwajuma wewe ulikuwa mtu mwingine kwenye ufalme . Ndio maaana mahubiri yako ya leo ni todauti na yale ya zamani saivi unatumia uzoefu tu roho mtakatifu amejitenga mbali na wewe Huna ufunuo ila ukiacha huu uchafu utakuwa mhubiri wa moto kama zamani
❤❤❤❤❤❤
Nimecheka senti tano Enzi zetu nimebarikiwa
Na Mch Emmanuel Lusana
Ubarikiwe baba...Mungu aendelee kukuinua.
Bendera la Israeli? Afadhali msalaba wa Yesu
Nimecheka sana maana hiyo kazi nimeifanya
narikiwa sana na mahubiri yako baba
Toa hio bendera hapo nyuma,free Palestine
😂😂😂
ZIONIST flag…..
Bendera ya sunagogi la shetani