SAKATA LAKUZUIWA KUINGIA MAREKANI MAKONDA AFICHUA SABABU NZITO ZA SIRI DUH!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 14 годин тому +12

    Nakumbuka vizuri sana wakati ule Mheshimiwa Makonda alisimama kidete kupinga ushoga ndio sababu USA alizuia visa asipate lakini ni pongezi kubwa kwake Makonda

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 10 годин тому +1

    Mungu akubaliki makonda ,Haki za binadamu anazo Mungu peke yake wanadamu wanaiga Haki lakini wanadamu ni wauvu tu,Haki anayo Mungu peke yake
    Majibu ya makonda yananijengea Imani, wanadamu hata ungewafanyia mazuri bado watalalamika tu

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 2 години тому

    Makonda Mungu aendelee kukusimamia,maana sio kazi rahisi.

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 5 годин тому +1

    Hongera makonda heshima kwako

  • @lilianilimbe4508
    @lilianilimbe4508 11 годин тому +1

    ❤❤❤❤ok vzr kaka.

  • @kinywakithebigboss5057
    @kinywakithebigboss5057 Годину тому

    Very very nice RC makonda

  • @MuhammadMuha-w8c
    @MuhammadMuha-w8c 5 годин тому +2

    Mim Nasema muwe na kumbukumbu za Kutosha nin kimemfanya Makonda kuzuiwa hasa chanzo alikua anaongoza genge la maharamia wakt wa mavufuli

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 13 годин тому +1

    Point kweli kabisa wanafikiri Marekani mbinguni

  • @ShannyBrowntz
    @ShannyBrowntz 15 годин тому +6

    Yaanii Makonda kumalizaa Mjadalaa wenye Ufahamuu wa kirohoo tushafahamuu kinyumee chakee wanaokwenda America wotee niiii????? Kunajinga wanaona America kama kwenda kuonana na Mungu,,

  • @HoseaLeonard
    @HoseaLeonard 3 години тому +1

    Kwani yeye ndio wa kwanza kupinga ushoga ?

  • @ombeniulime2768
    @ombeniulime2768 6 годин тому +1

    Makonda nitakuja ofisini kwako tupate chai au kahawa
    Nakuelewa sana

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 12 годин тому +2

    Eti kazuiliwa kwenda marekani hee kwani marekani ni mbinguni? Tuzuieni tusije
    Tupo kwetu
    Makonda piga kazi baba

  • @tunudimandogreek9683
    @tunudimandogreek9683 14 годин тому +6

    Bravo Makondo umesimama km mwanaume ,na utazidi kuwa kidume ❤

    • @jdanny497
      @jdanny497 11 годин тому

      Mjinga na wanaopiga makofi ni wajinga

    • @jdanny497
      @jdanny497 11 годин тому

      Mbona Trump hataki na ni rais wap

    • @mungholomakalanga8958
      @mungholomakalanga8958 11 годин тому

      Mungu mwema akutunze mwanangu ❤

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 години тому

    Mbona hao Wamerakani hawasemi Trump anakiuka haki za Binadamu na Trump anasema anajua jinsia mbili tu mwanamke na mwanaume Big up Makonda usjoga mwisho kwao huko huko wazungu tuu

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 12 годин тому +1

    MAKONDA ❤

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 години тому

    Wanakuchafua kaka yangu

  • @PakatJames
    @PakatJames 5 годин тому +1

    Anaetoa maoni ya kupingana na majibu ya Makonda hapa basi ni shoga huyo au msagaji.

  • @agebomtv574
    @agebomtv574 13 годин тому +1

    makonda mungu aendelee kukutunza

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 14 годин тому +2

    😅😅😅😅😅safi sana makondaaaaaaaaa hoeeeeee

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 2 години тому

    Makonda anapiga Kazi wivu TU mungu yupo nawe atakulinda usijàli

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 13 годин тому +1

    ❤❤❤

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 11 годин тому

    Mungu mwema akutunze mwanangu

  • @mtafya1977
    @mtafya1977 11 годин тому +1

    Wa hili nakupongeza Sana la ushoga

  • @MshamMsham-u3w
    @MshamMsham-u3w 14 годин тому +2

    Safi makonda

  • @AlexLugalala-p6c
    @AlexLugalala-p6c 13 годин тому +1

    Safi

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 13 годин тому +1

    We Mjunensi upo vzr kwa swali umeuliza vzr

  • @laiserkuyan6075
    @laiserkuyan6075 10 годин тому +1

    Makonda mungu yu pamoja Nawe daima mungu Akuogoze kila uwendapo

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 12 годин тому +1

    Km ushoga ni haki za kibinaadam mbna hawashiki ujauzito na kuzaa ni haki za kibinaadam?

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 13 годин тому +1

    Huyu jamaa makonda genuars

  • @IddySeleman-w3w
    @IddySeleman-w3w 13 годин тому

    Ahsante makonda simama kwa miguu yako

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 2 години тому

    Waandishi mnapiga makofi ya kumshangilia Makonda, haya bhana yangu macho na masikio

  • @joelmusili1733
    @joelmusili1733 Годину тому

    Makonda MUNGU akubariki

  • @JafariHamisi-gu4ef
    @JafariHamisi-gu4ef 13 годин тому +1

    Wanampinga makonda ndo hao waleta ushoga nchini

  • @MpokiMwakaje
    @MpokiMwakaje 10 годин тому +1

    Makonda ngoja nikushike mkono kazi yako ni njema Hata raisi wetu mpendwa samia kukumbuka kazi yake njema , wanadamu niwatu wakulalamika na kukosoa niwakuwavumilia tu,

  • @IddySeleman-w3w
    @IddySeleman-w3w 13 годин тому +1

    Mtetezi wa wanyonge tanzania ni makonda peke yake.

  • @andrewmichaelmwakipole5054
    @andrewmichaelmwakipole5054 4 години тому

    MUNGU akutunze Kwa makusidi Yake tatizo watanzania atuchunguzi tunaenda Kwa miemko

  • @EmmanuelLupoja
    @EmmanuelLupoja Годину тому

    Na Tramp tuone kama atapingwa na haki za binadamu

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 14 годин тому +3

    Makonda nina kukubali sana dah umejibu maswali vixuri kuliko nilipo sikia swali la kuvamia clause nikasema itakuwaje ulipo ipangua hoja vizuri ngoja niongeze kikombe cha kahawa piga kazi tunakuamini sana arusha

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 5 годин тому

    Hata mimi akija marekani lazima ashikwe mshenzi sana anabamia kituo cha redio usiku mzima na silaha muhuni sana makonda nakuita shenzi tena shenzi sana unahusika kushambuliwa kwa lissu wewe mi msenge

  • @JuvenaliNgonya
    @JuvenaliNgonya 13 годин тому +1

    Wewe makonda mfate makufuli

  • @magesagambajr3546
    @magesagambajr3546 13 годин тому +1

    Akili kubwa na smart bravo

  • @immasaro4789
    @immasaro4789 2 години тому

    Swali jepesi aliemzuia ni utawala wa Trump

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 7 годин тому +2

    Marekani hawawezi kutufundisha sisi haki za binadaamu. Marekani hawathamini haki za watu weusi. Tumeona watoto Palestine wanauwawa na mabomu ya wa America. Haki gani wanatetea Marekani? Kama kuna nchi inayovunja haki za kibinadamu duniani, ni Marekani.

  • @bukuwine931
    @bukuwine931 3 хвилини тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Makonda viva

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 10 годин тому

    Ushoga ni haki za binaadamu blather wachen ujinga huo waandish wa habari

    • @emmanuellyatuu4103
      @emmanuellyatuu4103 2 години тому

      Kwa WaMarekani, mauaji ya watoto tumboni mwa mama zao ni haki ya binadamu na ni "reproductive health"

    • @mustaphahassan589
      @mustaphahassan589 22 хвилини тому

      Pumbav

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 11 годин тому +1

    ❤❤❤