MCHUNGAJI MZEE WA UPAKO WAISLAMU WAMKALIBISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • #sheikhmwaipopotv #sheikhmwaipopo #muhubirimwaipopo

КОМЕНТАРІ • 123

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 Місяць тому +1

    safi sana mze wa upako karibu kwenye dini yahaki ya uwislam

  • @NassorKhamis-l6r
    @NassorKhamis-l6r Місяць тому

    Shukran Sheh Mwaipopo Allah akueke uzidi kutupa maarifa ya elimu

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl Місяць тому

    mashaallhu kweri

  • @amilyabdu1563
    @amilyabdu1563 Місяць тому

    Allah Huma Amina

  • @SwahibuAthuman-yv2mn
    @SwahibuAthuman-yv2mn Місяць тому +1

    Mwenyezi mungu akujalie kwa kutuelimisha katika aki

  • @cizaiddy7839
    @cizaiddy7839 Місяць тому

    Mzee Mwaipopo kaza mwenye atakutukana tutakulanae sahani moja usichoke mzee pambana Allah akulinde

  • @user-sn4iq6cu1f
    @user-sn4iq6cu1f Місяць тому +1

    Masha Allah shekh wetu mwaipopo mzuzu umetulia

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Місяць тому

    Mwaipopo mungu akuweke miaka mingi unasimamia haki mungu akulipe ❤nakupenda kwaajili ya allah

  • @asnalimtv7690
    @asnalimtv7690 Місяць тому +1

    Mwaipopo wew ni simbo wao

  • @hassanrashid3281
    @hassanrashid3281 Місяць тому

    Allah akubaliki sana mwaipopo

  • @SamsiaKassaKangeta
    @SamsiaKassaKangeta Місяць тому

    Masha Allah sheikh leo speaker iko sawa!

  • @athumanijuma6553
    @athumanijuma6553 Місяць тому +2

    Sheikh Mwaipopo kaza buti mpaka kieleweke, mi nakukubali sana
    big up
    kuna watu hudhani sinagogi sio msikiti kwa kuwa eti vimetofautishwa ktk surat al hajj
    misikiti leo hii imetofautishwa na masinagogi kwa kuwa tu waingiao masinagogini ni wayahudi wkt waislamu wa sasa huingia ktk misikiti
    ni tofauti kwa kuwa zama masinagogi yanaelekea jerusalem wkt leo misikiti inaelekea maka alikotoka mtume muhammad saw
    kifupi mayahudi wanafata uislamu uliopotoshwa wenyewe wakidhani bado wako sahihi , Yesu alipokwenda ili awaweke sawa humo ktk masinagogi yao ndipo walipomtimua akaamua kwenda galilaya walipompokea na kupewa uzima wa milele..sinagogi ni msikiti
    mayahudi wanatawadha kisha huingia bila viatu humo kwenda kumsujudia mungu...Yesu hajawahi kufundisha ukristo bali huo ukristo wenu umetokana na vile uislamu kuchanganywa na uroma kosa ambalo Paulo alilifanya

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 Місяць тому

    Mfumo wa Dini ni mfumo wa pepo la uongo , kalibu Dini zote
    Mungu amebaki na injili kwa mataifa yote ,na mapenzi ya Mungu mataifa yote watu wakabila zote na lugha zote anataka wawe wanafunzi wake,. mitume wa Yesu walitoka kwenda kuhubili injili ya ukombozi kwa mataifa yote, Hawakukaa kwenye kimvuli cha mathehebu na Dini ,tena ishara na miujiza ya kuponya wagonjwa ilifwatana nao , ukichunguza tasisii za kidini waumina wao ndiyo waliojaa kwenye maosipitari ya selikali za watu binasfi wanateseka Hawana wa kuwaponya wanasubiliwa kufa na wakuu wadini wawazike na kuwaombolezea ,na kuwatolea ushuhuda kuwa mumini wetu alikuwa mwaminifu wa kutoa zaka na sadaka wakijua kabisa kuwa ajaenda mbiguni kaenda kuzimu ,
    Jamani mwenye haki mmoja akifa anaenda peponi
    Wenye thambi elfu moja waliodanganywa na roho ya uongo wanenda kuzimu ,Mungu inamsikitisha sanaaaa

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 Місяць тому +1

    Takbiiiiirrrrrr allah akbar

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl Місяць тому +1

    Mzee waupako anasemakweli

  • @user-bp5pq9to9e
    @user-bp5pq9to9e Місяць тому

    YESU KRISTO akuokoe na uwe miongoni mwa wanaokwenda mbinguni baada ya kufa!Mwamini BWANA YESU KRISTO akuokoe na uwe na uzima tele ktk siku za maisha Yako!ni Mimi Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA kutoka SINGIDA tena Kijiji Cha Merya

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому

    MashaAllah. Endelea na kazi ya kutulingania Allah (s.w) atakulipa ujira wako inshaAllah

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Місяць тому

    Mzee wa Upako haleluyaaaa😂😂😂

  • @kamalmukaddam1521
    @kamalmukaddam1521 Місяць тому +2

    Islam dini pekee ya haki mbele ya Allah

  • @qudrakhaji6723
    @qudrakhaji6723 Місяць тому +2

    Uislam ni dini sahihi

  • @ibraimodinodino828
    @ibraimodinodino828 Місяць тому

    Subhanna allah allah akbar

  • @yusuphomary7410
    @yusuphomary7410 Місяць тому

    Kweli kabisa Mzee wa upako ameongea kweli kabisa. Yes ni mwanaadamu inawezekana Kuna sehemu anakosea ila ameongea sahihi. Mzee wa upako ni mwanaadamu na sheikh Mwaipopp nae ni mwanaadamu kukosea lazima ila hapa wako sawa kabisa.

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 Місяць тому

    Sheikh Mwaipopo yuko wapi Sharif majini ,mbona amekuacha mkono mlikua mnawakamata sana wanafiki na vibaraka wa mashetani

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Місяць тому

    Kweli hiyo mzee wa upago wewe upo sawa wewe!!!takbir!!!! Alllah akbar

  • @thegreencitytechnicians1452
    @thegreencitytechnicians1452 Місяць тому

    Watu wengi awapendi kujifunza na kumuelewa mungu bali wanakimbilia kukosoana tu. Kibaya zaidi hawatendi mema walio amriwa bali wanatenda dhambi tu , hawajikosoi wao na roho zao kama wanampendeza mungu kwa matendo yao .

  • @barakampunga8121
    @barakampunga8121 Місяць тому

    Kama yey ni mzee wa upako na Asikofu kweli Afanye mdaalo na ndacha tuone kama hoja zake zinamashiko

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Місяць тому

    Sheih mwaipopo usijali kila anaye kutukana muombeye duwa atoke uko kwenye uyo ukafiri allah atakulipa mwanetu

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 Місяць тому

    Halafu Mzee wa upako na Mwaipopo ni ndugu sasa sijui hapa wana stage show nini?

  • @IsmailJuma-ck3rr
    @IsmailJuma-ck3rr Місяць тому

    She ACHA watukane Io ndo Sunna wa mtume swalalahu ghalaih wasalam ata kupigwa

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq Місяць тому

    Lusekelo ni kichwa yupo tayali k kuacha ya wazungu akajaali uafrikawake kwanza hataki malumbano

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Місяць тому

    Halafu Yesu aingie kanisa gani wakati yeye ndiye Mwanzilishi wa Kanisa ?😂😂😂 Waislam kama mnamwamini Mzee wa Upako kwanini msiende kusali kanisani kwake sasa

  • @CosmasKanyopa
    @CosmasKanyopa Місяць тому

    Malizia Sinagogi ni msikiti wa Kiyahudi, mbona hufafanui? Unaishia njiani ili ipotoshe

  • @JumaKomba-ws4xb
    @JumaKomba-ws4xb Місяць тому

    Sawa mzee wa upako kipindi wewe unasoma mwaka 1984 ao mitume na manabi bado watoto sana

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 Місяць тому

    Umepiga bla blah kumbe unataka utangaze biashara yako ya uganga😅😅😅😅😅

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Sio bla bla lazima wakristo mpewe doz

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl Місяць тому

    Dini hii ya wazungu inataka ipoteze watu wanaompiga mzee waupako
    Wanampinga kiongozi mzuri msomi

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 Місяць тому

    😂😂 ukiona mtu anatukana ujuwe sindano imemuingia huyo

  • @jamalyathuman9895
    @jamalyathuman9895 Місяць тому

    Sheikh Mwaipopo,swali langu,apo askofu kasema Zaman kulikuwa na sinagogi ambayo ndio msikiti wa wayahudi na wanafunzi walikua wakisoma tourati enzi zake waislam wanasoma Qur'an swali langu wakati yesu yupo Qur'an ilikuwa ishaashushwa?

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Місяць тому

    Dini ya majini hiyo

    • @omaar5693
      @omaar5693 Місяць тому

      ukiona jini ni muislamu ujue ameongoka,,,, shetani abaki na balaa lake

  • @khambhai360
    @khambhai360 Місяць тому

    Wakiristo acheni makasiriko na shehe wetu.Someni vizuri bibilia yenu.

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 Місяць тому

    Wanao kutukana wablock tuu

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 Місяць тому

    Tofautisha mapokeo ya kanisa na biblia inasemaje?huna elimu shehe sakramenti iko sehemu gani kwenye biblia?

  • @joramsengi9123
    @joramsengi9123 Місяць тому

    Hakuna shirika kati ya Nuru na Giza.
    Yesu aliingia Sinagogi lakini hammalizii aliingia kufanyaje ? Unaweza taja mambo matatu aliyoyafanya ? .
    Na Kama Usilam ulikuwepo wakati wa Yesu waislam walikuwa wanatumia kitabu gani kujifunza ?

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd Місяць тому

    Wakristo wame sha zoa kumiminwa chini ya mzabibu

  • @IddySimba-fp2cc
    @IddySimba-fp2cc Місяць тому

    Wambie ukweli siku zote huwa mnchungu

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 Місяць тому +1

    mzee wq upako ni mlevi tu...mwambie akusomee nini maana ya kanisa kama yeye ni msomi kweli.....ni Agent huyu wa waislam hana lolote

    • @salumsimai642
      @salumsimai642 Місяць тому

      Yani Leo ndio amekua agent mbona zamani ulimpongeza na kumsifu

  • @GervasSospeter-vt3zi
    @GervasSospeter-vt3zi Місяць тому

    We pambana na na har yako hiv wewe Huwa unahubir injiri au. Habar njema au nn Huwa unataka au wateja wa mafuta

  • @zaydamos874
    @zaydamos874 Місяць тому

    Hata mm nimetokea huko huko baada ya kujua ukiristo sio din ya haki din ya hak mbele ya mwenyezmungu n uisilam

  • @papsmicrocreditcompanylimi1443
    @papsmicrocreditcompanylimi1443 Місяць тому

    Shekhe. Mwaipopo usijali wanao kutukana na kukushifu nikawaida wanadamu walivyo ata mitume nao walitukanwa

  • @njiasalamatv4794
    @njiasalamatv4794 Місяць тому

    KWA HIYO DIPLOMA YAKE AMBAYO HAINA BIBLICAL LANGUAGES ....
    ANAFANYAJE UCHIMBAJI WA BIBLIA KWENYE LUGHA YA ASILI? , WEWE MTU ANAWEZA KUCHAMBUA QURAN BILA LUGHA YA KIARABU?

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому

    Mwaipopo, YESU KRISTO aliingia kwenye Masinagogi siyo kisali Bali kufundisha na kuihubiri habari njema ya ufalme Soma Biblia MATHAYO 4:23 na MATHAYO 9: 35 Pia Kwa Mujibu Wa Qur'an Sinagogi na msikiti ni vitu viwili tofauti Soma Qur'an Surat Al-Hajj 22: 40; Surat An-Nur 24: 36

    • @athumanijuma6553
      @athumanijuma6553 Місяць тому

      acha ujinga.....leo nenda na wewe msikitini ukamhubiri Yesu tuone kama utaweza thubutu
      misikiti leo hii imetofautishwa na masinagogi kwa kuwa tu waingiao masinagogini ni wayahudi wkt waislamu wa sasa huingia ktk misikiti
      ni tofauti kwa kuwa zama masinagogi yanaelekea jerusalem wkt leo misikiti inaelekea maka alikotoka mtume muhammad saw
      kifupi mayahu wanafata uislamu uliopotoshwa wenyewe wakidhani bado wako sahihi , Yesu alipokwenda ili awaweke sawa humo ktk masinagogi yao ndipo walipomtimua akaamua kwenda galilaya walipompokea..sinagogi ni msikiti
      mayahudi wanatawadha kisha huingia bila viatu humo kwenda kumsujudia mungu...Yesu hajawahi kufundisha ukristo bali huo ukristo wenu umetokana na vile uislamu kuchanganywa na uroma kosa ambalo Paulo alilifanya

  • @charlesunganiunjuu920
    @charlesunganiunjuu920 Місяць тому

    Huyu nilisema ni nabii Tito uliechangamaka mmejionea sasa

  • @GODFREYSABAYO-yz4qx
    @GODFREYSABAYO-yz4qx Місяць тому

    Sawa alisali kwenye sinagogi lakini ilikuwa nimsabato kwani ilikuwa isilamu unapo dai yesu nimwisalamu kwahiyo wewe mwipopo unasali dini alio Sali yesu

  • @ChristianSosella-zo1lt
    @ChristianSosella-zo1lt Місяць тому

    She wasomee arbadili tuone

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Місяць тому

    Sheh endeleya kufanya kaziyako zidi kuwabana mbavu mpaka watatowaeukweli

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 Місяць тому

    Yesu kristo wafuazi wake wakiristo die njia na usima wa milele

  • @user-go1rl6bb1z
    @user-go1rl6bb1z Місяць тому

    Na uache kuchomeka uongo kwa mujibu wa bibilia sinagongi ni nyumba walikua wakiabundia mayahudi zamani.sasa yesu alipokuja akawambiaje ufunuo 2:9, alafu kanisa lake hili hapa 16:18 mathayo. imani ya yesu 12:1 waebrania wakristo wanamfata nani? 1wakorintho 3:21.wamejegwa juu ya mitume na manabii waefeso 2:20.wacha kupotosha

  • @EmmanuelJulius-vw2dl
    @EmmanuelJulius-vw2dl Місяць тому

    Dini ya kichawi unamtangazia nan hapa wewee!! Dini ya majin 😂😂😂😂

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 Місяць тому

      Tatizo...ni waliokulea....hawakukufunza adabu....

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 Місяць тому

      Wacha mipasho ya kishoga iyo

  • @kaybthepro4094
    @kaybthepro4094 Місяць тому +1

    Sasa Tuambie wewe na huo mchungaji wako lusokele, hapa kenya kuna sinagogi ya wayahudi mbona waislamu hawaingiii kama sinagoni ni msikitii mbona hata israel kuna masinagogi mbona waislamu hawaigii. Kama hiyo sinagogi yako ni msikiti, pole sana mwaipopo kama si bangi au kilevi kinasababisha haya basi ubongo wako una matatizo

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому

      Acha kujifuruga.Nenda kafungue bibilia mwisho wa kurasa utaona nini maana halisi ya "sinagogi"

    • @kaybthepro4094
      @kaybthepro4094 Місяць тому

      Kama sinagogi ni msikiti, je wewe unaweza ukaingia sinagogi kufanya ibada? Mbona sinagogi zipo na waislamu hawaingii humo kufanya ibada?

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Місяць тому

      Hilo la Kenya ni sinagogi la uongo. Nyie wa kenya mtawezekana.Mna Yesu kila kona. Kwani ni wa kikweli?

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa Місяць тому

    Utakosaje kumpongeza ikiwa mtaongozana jehanam mvuta cgala huwa anamjua mvuta cgala mwenzie kwaio wewe ukimpongeza lusekelo hujakosea maana ni chama wako

  • @christianmahagalla2677
    @christianmahagalla2677 Місяць тому

    Si wewe ulie mtukana shehe wa mkoa wa mwanza?

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Місяць тому

    Usijali matusi yao wabane mbavu hawo mapotevu

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Yesu ni kristo sio mkristo sisi ndio wakristo usiwe mjinga mwaipopo unamsifia Mzee WA upako mfuate basi ukamwamini Yesu ni mwana WA Mungu huachane na majini mapepo wachafu WA kiislamu ndio wanaokataa Yesu sio mwana WA Mungu

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 Місяць тому

      Nani aje afuate mashoga?

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      @@badruseif1318 Bora mashoga kuliko mashetani majini mashoga tunaishi nao tunawaona na wanabadilika wanakuwa wema lakini majini au mapepo wachafu mashetani wanatisha Kila mtu anawaogopa Hila nyie waislamu na mtume wenu ni kiboko mekubali majini mapepo wachafu nguruwe walikataa kukaa nao wakaona Bora wafe kuliko kukaa na mashetani ndiomaana mnaroho mbaya ya huuaji magaidi nyie chinjachija nyie hapoulipo unakeleketwa kuua

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Місяць тому

      Huyo mzee wa upako anasema yesu c mwana wa mungu
      Mungu hazaa we vp?

    • @maymunamakungu6265
      @maymunamakungu6265 Місяць тому

      Mungu hazaiii

  • @EmmanuelJulius-vw2dl
    @EmmanuelJulius-vw2dl Місяць тому

    Dini ya majinn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @kaoretosha6668
      @kaoretosha6668 Місяць тому

      Tatizo.....ni waliokulea hawakukufundisha adabu......

    • @omaar5693
      @omaar5693 Місяць тому

      waache majini na uislam wao...
      mbona mnapo waalika mapepo makanisani hatusemi...
      pepo toka..
      akitoka mchungaji atakula wapi?
      njoo utembee mskitini pepo asogei amani mpaka mbinguni

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Mwaipopo ujielewi huyo Mzee WA upako anasema Yesu aliacha ukristo wewe unasema Yesu akuanzisha ukristo wewe na Mzee WA upako mnafabana amuelewi chochote wewe mwaipopo basi kama sinagogi ni msikiti basi Allah ni muongo kulingana na hiya Aya 22:40 quruan kataja makanisa masinagogi na misikitini je hiyo ni nyumba Moja ya ibada ?

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Місяць тому

    Sinagongi ni yumba y kusalia wayahudi, usicho kijua wewe mwehu ni kuwa wakati wa kutafsiri injili sehemu hiyo walkuwepo waislaam na walivyo ulizwa Nyumba ya kumsali Mungu wenyewe alijibu ni msikiti na hao waatafsiri wakaandika hivyo yaani neno "Msikiti"

  • @EmmanuelJulius-vw2dl
    @EmmanuelJulius-vw2dl Місяць тому

    Kwendaaaa😂😂, mtu mwenyew ukiingia msikitin shetan anawapuliza kwenye makalio yenu, mtatuambia nn wew, kwa haki ipi😂

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f Місяць тому

      Chuki2 hamna hoja ndo mana matusi hayaishi midomoni mwenu at afu mmeokoka loooo ajabu ya bunuasi

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Mmmmmmmh alafu kanisani

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Achani chuki msome bibiliya kwanza mjuwe ukweli vipi nyinyi wakristo

  • @KabatoniBoraa
    @KabatoniBoraa Місяць тому

    Wakristu mmemskiya uyoo? Toweni lawama kwa mwaipopo.na matusi mengi

  • @felixgitonga6783
    @felixgitonga6783 Місяць тому

    Mwaipopo Mana dini ,na njia, hio ni kitu moja Hama 2wewe ni kafiri mukubwa,setani walisilimu wakawa waislamu sura tujini majini

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Sio kafiri wewe ndo kafiri someni bibiliya muache kutukana

  • @user-go1rl6bb1z
    @user-go1rl6bb1z Місяць тому

    Na wewe pia ukae na mazinge aache kuonge utumbo n wewe pia ujiangalie ongea yako.

  • @kalamamuller-qe1yd
    @kalamamuller-qe1yd Місяць тому

    Nilishasemaga wakristo wengi akili zao hua ni mavi

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому +1

      Ok, hiyo ndiyo busara ya mtu aliye na Jinn na kusujudu kuelekea kwenye Kaaba yenye Jiwe jeusi

    • @kalamamuller-qe1yd
      @kalamamuller-qe1yd Місяць тому

      @@paulmushi2428 wewe kuelekea ndo point bila ya mwelekeo nothing na hata maisha kama huna mwelekeo you are looser

  • @kaybthepro4094
    @kaybthepro4094 Місяць тому +1

    Mwaipopo wewe hakili yako ni ndogo kabisa,unapiga ukristo vita halafu unataka wa kristo wakuhulumie. Kama wewe hutaki kupigwa vita achana na kuhubiri ukatangaze madawa yako tu. sasa huo mtume wako hakupigwa vita, Tena Elimu yako ni ya wakina mazinge, unachekesha sana

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому

      Acha ushabiki wa kiimani ndugu nenda kasome utaelewa baadhi ya mambo. Alhamdulillah ☝️🕌🙏🙏🙏

    • @user-sn4iq6cu1f
      @user-sn4iq6cu1f Місяць тому

      Unajitekenya mwenyewe afu unataka watu wacheke?

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Wewe hakili yakwako ni kubwa acha chuki wewe

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Umemtukana huyo allah wenu kawataja wakristo wakiwa kwenye Dini Gani ? Kama wewe ni mjuzi kuliko huyo unayemuamini ni mungu kamuulize huyo

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому

    Mwaipopo acha kutulalamikia sisi WAKRISTO eti tunakashifu Uislamu bali majini wenyewe ndiyo wanasema Walisilimu wakawa Waislamu!! kasome Qur'an na khadith, Shetani na majini walisilimu wakawa Waislamu hiyo ndiyo dini yao! soma Qur'an yako Surat Jinn 72: 2-14 hapo majini wanasema siyo sisi WAKRISTO!! Na kuna khadith inayosema "Ni bahati mbaya Adam na kizazi chake walishindwa kumsilimisha Shetani ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha akawa Mwislamu!! Ukiona tunakashifu tupeleke mahakamani tukatoe ushahidi!!

    • @jacksonmwafongo1917
      @jacksonmwafongo1917 Місяць тому

      Kwani jini lisisilimu haliogopi moto? nikiumbe kama wewe ndio maana yanasilimu hata mashetani nao wanasilimu kama wewe ni shetani Kwa sababu humfuati mungu unafuata miungu mitatu wakati mungu ni mmoja Kwa wewe ni shetani inatakiwa usilimu kama viumbe wengine majini shetani maana ya shetani ni mutu yoyote asie abudu mungu mmoja acheni kutikana jalibuni kuelimisha watu Ili waelewe musikulupuke

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@jacksonmwafongo1917 Shetani alisilimu akawa Mwislamu tena hapo hapo mnampiga mawe kule Makka mkienda Hijja 😂😂😂😂

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому

    Mwaipopo hata sisi WAKRISTO tunaamini Kwa Mujibu Wa Qur'an yenyewe Uislamu siyo dini ya Mwenyezi MUNGU ALIYE ZIUMBA MBINGU NA ARDHI na kama Unabisha basi Tupe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI Dini yangu ni Uislamu!! Surat Al- Imran 3:19 hapo hasemi Mwenyezi Mungu Bali Kuna mtu anasema!!

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 Місяць тому

      Tupe andiko ukristo dini wacha kurukaruka

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@badruseif1318 Dini maana yake nini? Wewe ndiyo unipe Aya ndani ya Qur'an inayosema MIMI MWENYEZI MUNGU DINI yangu ni Uislamu

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 Місяць тому

      @@paulmushi2428 wacha kurukaruka tupe andiko ukristo dini

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Mtu gani anasema apo?

  • @EmmanuelJulius-vw2dl
    @EmmanuelJulius-vw2dl Місяць тому

    😂we mpumbav unaongea nini!!?
    Nan asiyejua uislam ni dini ya mashetan na mapepo, dini iliyoongozwa na mtume aliyembaka mtoto mdogo, mtume aliyeoa mke wa mtoto wake zayyid, mtume aliyeteka nyara wake za watu vitan, mtume aliyeuamaelf ya watu waliompinga, mtume aliyerogwa na kuongozwa na majini

    • @qwerqasd8597
      @qwerqasd8597 Місяць тому

      Subhanallah Allah akuongoze 😢

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому

    Kwa hiyo Mwaipopo, unataka kuwakataa ndugu zako katika imani majini kuwa Siyo Waislamu? Kumbuka majini walisilimu na kuwa Waislamu zama za Muhammad itakuwa wewe uliyesilimu zama za leo? Mwaipopo unataka kuwatenga ndugu zako!!😅😅

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 Місяць тому

      Ni baadhi ya Majini ndo waliosilimu. Hivyo wengine bado ni makafiri.

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@sadikiissa7756 Ndiyo maana nasema majini na Shetani Walisilimu wakawa Waislamu maana yake dini Yao ni Waislamu Sasa mtu akisema majini na masheyani dini Yao ni Waislamu kosa liko wapi analolalamikia Mwaipopo?

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Anawatenga aje yani wakristo mkipewa ukweli mnanza zubazuba tuliyeni mpewe dozi Mwaipopo

  • @CosmasKanyopa
    @CosmasKanyopa Місяць тому

    Malizia Sinagogi ni msikiti wa Kiyahudi, mbona hufafanui? Unaishia njiani ili ipotoshe

  • @clarencehilary5588
    @clarencehilary5588 Місяць тому

    Dini ya majini hiyo

    • @cizaiddy7839
      @cizaiddy7839 Місяць тому

      Nani kakwambia ni dini yamajini wakristo mwaka huu mnapewa doz na Mzee Mwaipopo

    • @IsmailJuma-ck3rr
      @IsmailJuma-ck3rr Місяць тому

      Mmeishiwa broo ulimweng na walimwengu vyote vinamwabudu mungu Ambae ni muumba.wew ndo ujui uliza iyo majini kua walisimu ilikuaje