Sheikh Mwaipopo.We like you very much for telling the truth Because you don't fear anymore except Allah.We Love you very much .(Ismail Yussuf Abdi Bileh).From Somaliland Hargeisa. I f you can remember me.
Je, huoni hapo mzee wa upako unaposema kila wakristo wana ibada ni jambo la kushamgaza , Mungu gani anayefundisha kila wakristo wawe na ibada yao!! Kwa mfano nchi ina raisi na katiba moja halafu kila kundi liende na muongozo wake, hee itawwzekana !!
Eeeh!! Muone uyu jamaa anakuja kwenye uislam sasa wakati kwenye imani yke hana ata elimu yakutosha, sasa mm nikuulize ww umeelewa mada iliongelewa apo? Na kwan abubakari ni mungu ? mada iliyongelwa apo ni uungu wa yesu je yesu ni mungu swali nauliza lete aya yenye mantiki na yenye mashiko sio mnarukaruka kma vyura leteni hoja
@@MeddyMasuddy iyo haihitaji ata aya nyingi. Kabla ya aya nyingi naomba unipe sifa 10 tu za Mungu ambazo ni unique mwanadamu hanazo Kisha tumuangalie huyo Yesu je anazo sifa hizo, mfano: Mungu(Allah) - hakuzaa wala hakuzaliwa
Sifa za Mungu ambazo mwanadaam hana: 1.Mungu hana familia yaani mke,watoto wala wazazi waliomzaa 2.Mungu ni Mmoja na wala hana wasaidizi 3.Mungu hali wala hanywi,wala halali wala kusinzia 4.Mungu ndiye anayeendesha ulimwengu 5.Mungu ndiye mwenye kubakia milele, viumbe wote watakufa lakini yeye atabakia 6.Mungu ndiye mwenye kutoa risk kwa viumbe wake bila ya upendeleo wowote na anamuongeza anayemtaka bila ya hesabu 7.Yeye peke yake ndie anayepaswa kuabudiwa pasi na kumshirikisha na kitu chochote 8.Mungu pekee ndiye aliyeumba ulimwengu wote 9.Mungu ndiye mwenye kusamehe madhambi ya waja wake na sio kiumbe chengine chchte 10.Mungu ndiye mwenye kujua mambo yatakayomtokezea mwanadam ,nafasi yake hapa duniani ,kaburini ,na kesho bada ya kufufuliwa. hizi ni baadhi ya sifa kumi tu ambazo Mungu anazo mwanadam hana:ila zipo nyingi sana
@@joezeno8ndugu yangu,acha ushabiki usikubali kuwa kuni ya moto bada ya kufuliwa njoo katika dini sahihi ,usipotee ndugu yangu maisha ya dunia ni mafupi tu lakini akhera ndio yenye kubakia!
Mzee wa Upako halibomoi kanisa wewe, Muhammad mwenyewe alishindwa kulibomoa mpaka akafa, mzee wa upako ataliweza wapi? Wewe ni kama fisi tu mzee wa mizoga, unasubiri hoja za wengine upate cha kuongea. Mzee wa mkutano mkubwa, mkutano mkubwa lini kwanza?😂😂😂😂
Huyo mungu alipokuwa akisulubiwa na viumbe wake!! Halafu alipokuwa ati kajigeuza kuwa binaadam akawa mtoto akawa ananyonyeshwa na mwanaadam mwanamke. tena katokea ktika uke alipokuwa anazaliwa na kikubwa hawa wanaosema yesu ni mungu wanamtukana yesu mwenyewe. iweje baba ujigeuze ati kama mtoto halaf ujisaide watoto waoshe na kuwakojolea wanakugharamikia mapempass na kukunawisha kinyes na kukutahiri wanakuona sehem zako za siri!!!?? Haiwezekani ina maana yesu hana aibu kias hicho au mungu kama.mnavyomtukana kajibadili kuwa mwanadam yesu akachambishwa kinyes na maryam??? Wanaosema yesu mungu wanamtukana mungu na yesu pia na hawana dini kabisa
Sasa ndugu yangu ww ndo unaetetea uungu wa yesu lkn katika maandiko yesu hajasema kua mm yesu ni mungu, kama iyo aya ipo ingia mtandaoni uitoe watu wapo tunakusikiliza, au kama unaongea2 kwamatamanio yanafsi yko, au ushabiki wa kidini bs unakosea kwani sikuzote ukwl unabaki kua ukwl ww hata ukanushe vp ww hata upige vita kiasi gn bs ukwl utabaki kua palepale
Acha ushabiki kuna moto na pepo ukimzuilia mungu na wakati ujumbe umekufikia Allah ni mkali wa kuadhibu. Yes u alikula mikate ,katahiriwa kanya km unavyokunya ww kama Huna habari ww ule mikate ile halafu usinye, Mungu hana sifa hizo ,mungu hasifiwi kwa kuwa na mtoto hana haja ya kujiwekea mtoto yy kaumba viumbe wanamtumikia.
Mzee wa upako.kasoma Biblia kuliko wewe. ikiwa kakosea toa andiko kutoka katika biblia kunyoosha maelezo yake. ukristo hautakiwi kushabikiwa bila ushahid wa biblia na wewe unayebeza yesu sio mungu leta ushajid kama ni mungu

Andiko gani lusekelo katoa linalo sema yesu si mungu? Kama unataka andiko linalo sema yesu kasema yeye ni mungu soma ufunuo wa yohana 21:6 halafu utuambie huo ni nani?
Huyu Mwamba ana akili sana na hikma nyingi sana,big up sana Mzee wa upako
Sheikh Mwaipopo.We like you very much for telling the truth
Because you don't fear anymore except Allah.We Love you very much .(Ismail Yussuf Abdi Bileh).From Somaliland Hargeisa. I f you can remember me.
Naupenda sana Uislam. Uislam ndio dini ya haki.
Kama mama Mariam angekufa na mimba Mungu angekufa
Dr.Mwaipopo,hivi Dr.Sule yupo sawa.Mbona anavuruga UISILAMU??
😂😂😂
Yesu yuko imara na kanisa halijaanzishwa na wapiga dili yupo mwenyewe sio huyo paka wa upako
Kanisa limeanzishwa na paulo mmeitwa mara ya kwanza wakristo Antioch toa aya yesu kaingia kanisani kama wewe mkweli?
Hivi na sisi tukianza kuchambua misikiti mbona nchi hii kitanuka
Chambua kama unauwezo. Uislam umenyooka kuliko ruler
Na wew unamtetea KWA maslahi ya nani kama sio unafiki.Mzee wa upako ni mtumishi wa nani?
Huyu na mchungani wake wote hakuna wanachoelewa kuhusu biblia
Nakukubali ila mzee wa upako ndio aliye Jenga kanisa?
mzee wa upako kasema yeye mwanzo alikuwa anaogopa kusema kuwa Yesu si Mungu lakini alikuwa anajuwa
Pili tunamfuata Mzee wa upako ao ?
Je, huoni hapo mzee wa upako unaposema kila wakristo wana ibada ni jambo la kushamgaza , Mungu gani anayefundisha kila wakristo wawe na ibada yao!! Kwa mfano nchi ina raisi na katiba moja halafu kila kundi liende na muongozo wake, hee itawwzekana !!
Kuna tofauti kati ya SHIA na SUNNI na wote ni waislamu, Shia wanaamini Abu Bakar ni Kafiri. Apo vipi?
Eeeh!! Muone uyu jamaa anakuja kwenye uislam sasa wakati kwenye imani yke hana ata elimu yakutosha, sasa mm nikuulize ww umeelewa mada iliongelewa apo? Na kwan abubakari ni mungu ? mada iliyongelwa apo ni uungu wa yesu je yesu ni mungu swali nauliza lete aya yenye mantiki na yenye mashiko sio mnarukaruka kma vyura leteni hoja
@@MeddyMasuddy iyo haihitaji ata aya nyingi. Kabla ya aya nyingi naomba unipe sifa 10 tu za Mungu ambazo ni unique mwanadamu hanazo Kisha tumuangalie huyo Yesu je anazo sifa hizo, mfano: Mungu(Allah) - hakuzaa wala hakuzaliwa
Sifa za Mungu ambazo mwanadaam hana:
1.Mungu hana familia yaani mke,watoto wala wazazi waliomzaa
2.Mungu ni Mmoja na wala hana wasaidizi
3.Mungu hali wala hanywi,wala halali wala kusinzia
4.Mungu ndiye anayeendesha ulimwengu
5.Mungu ndiye mwenye kubakia milele, viumbe wote watakufa lakini yeye atabakia
6.Mungu ndiye mwenye kutoa risk kwa viumbe wake bila ya upendeleo wowote na anamuongeza anayemtaka bila ya hesabu
7.Yeye peke yake ndie anayepaswa kuabudiwa pasi na kumshirikisha na kitu chochote
8.Mungu pekee ndiye aliyeumba ulimwengu wote
9.Mungu ndiye mwenye kusamehe madhambi ya waja wake na sio kiumbe chengine chchte
10.Mungu ndiye mwenye kujua mambo yatakayomtokezea mwanadam ,nafasi yake hapa duniani ,kaburini ,na kesho bada ya kufufuliwa.
hizi ni baadhi ya sifa kumi tu ambazo Mungu anazo mwanadam hana:ila zipo nyingi sana
@@joezeno8ndugu yangu,acha ushabiki usikubali kuwa kuni ya moto bada ya kufuliwa njoo katika dini sahihi ,usipotee ndugu yangu maisha ya dunia ni mafupi tu lakini akhera ndio yenye kubakia!
Wape wape hao vidonge vyao wamezoea kuiondoa hakhi kuweka batili.
Mzee wa Upako halibomoi kanisa wewe, Muhammad mwenyewe alishindwa kulibomoa mpaka akafa, mzee wa upako ataliweza wapi? Wewe ni kama fisi tu mzee wa mizoga, unasubiri hoja za wengine upate cha kuongea. Mzee wa mkutano mkubwa, mkutano mkubwa lini kwanza?😂😂😂😂
Huyo mungu alipokuwa akisulubiwa na viumbe wake!! Halafu alipokuwa ati kajigeuza kuwa binaadam akawa mtoto akawa ananyonyeshwa na mwanaadam mwanamke. tena katokea ktika uke alipokuwa anazaliwa na kikubwa hawa wanaosema yesu ni mungu wanamtukana yesu mwenyewe. iweje baba ujigeuze ati kama mtoto halaf ujisaide watoto waoshe na kuwakojolea wanakugharamikia mapempass na kukunawisha kinyes na kukutahiri wanakuona sehem zako za siri!!!?? Haiwezekani ina maana yesu hana aibu kias hicho au mungu kama.mnavyomtukana kajibadili kuwa mwanadam yesu akachambishwa kinyes na maryam??? Wanaosema yesu mungu wanamtukana mungu na yesu pia na hawana dini kabisa
Anayemchukiya mwengine huyo si mkristo wakweli, mtoto wa Mungu ni Mungu,kama mtoto wa binadamu ni binadamu
Sasa ndugu yangu ww ndo unaetetea uungu wa yesu lkn katika maandiko yesu hajasema kua mm yesu ni mungu, kama iyo aya ipo ingia mtandaoni uitoe watu wapo tunakusikiliza, au kama unaongea2 kwamatamanio yanafsi yko, au ushabiki wa kidini bs unakosea kwani sikuzote ukwl unabaki kua ukwl ww hata ukanushe vp ww hata upige vita kiasi gn bs ukwl utabaki kua palepale
Acha ushabiki kuna moto na pepo ukimzuilia mungu na wakati ujumbe umekufikia Allah ni mkali wa kuadhibu. Yes u alikula mikate ,katahiriwa kanya km unavyokunya ww kama Huna habari ww ule mikate ile halafu usinye, Mungu hana sifa hizo ,mungu hasifiwi kwa kuwa na mtoto hana haja ya kujiwekea mtoto yy kaumba viumbe wanamtumikia.
Utaiona haki ukifumba macho kama sasa Yesu anachosema katika biblia clearly wewe huioni.
Anabomoaje kanisa? Ni kiongozi wa wapi? Kanisa ni imara hivi kiasi haliwezi kubomolewa.Kama Yesu si Mungu,ni nani SASA kadiri ya Mzee wa upako?
Mzee wa upako sio biblia acha uzuzu ww
Mzee wa upako.kasoma Biblia kuliko wewe. ikiwa kakosea toa andiko kutoka katika biblia kunyoosha maelezo yake. ukristo hautakiwi kushabikiwa bila ushahid wa biblia na wewe unayebeza yesu sio mungu leta ushajid kama ni mungu
Huyo mungu alipokuwa akisulubiwa na viumbe wake!! Halafu alipokuwa ati kajigeuza kuwa binaadam akawa mtoto akawa ananyonyeshwa na mwanaadam mwanamke. tena katokea ktika uke alipokuwa anazaliwa na kikubwa hawa wanaosema yesu ni mungu wanamtukana yesu mwenyewe. iweje baba ujigeuze ati kama mtoto halaf ujisaide watoto waoshe na kuwakojolea wanakugharamikia mapempass na kukunawisha kinyes na kukutahiri wanakuona sehem zako za siri!!!?? Haiwezekani ina maana yesu hana aibu kias hicho au mungu kama.mnavyomtukana kajibadili kuwa mwanadam yesu akachambishwa kinyes na maryam??? Wanaosema yesu mungu wanamtukana mungu na yesu pia na hawana dini kabisa
Andiko gani lusekelo katoa linalo sema yesu si mungu? Kama unataka andiko linalo sema yesu kasema yeye ni mungu soma ufunuo wa yohana 21:6 halafu utuambie huo ni nani?
Wewe unayedai Yesu ni Mungu, je, wewe unalo andiko ambalo Yesu yeye mwenyewe anasema "MIMI (YESU ) NI MUNGU". Kwa mfano 20:14 Quran
@@seifserenge3340 soma ufunuo wa yohana 21:6
21/6 Yesu hajasema kwamba ni mungu Haimaanishi YEYE ni Mungu. Ni uongo . KASOME 8:40 YOHANA YEYE NI MTU .
Sasa na ww toa andiko yesu anasema mm yesu ni mungu na niabuduni mm
@@MeddyMasuddy soma ufunuo wa yohana 21:6
Acheni kufikiri kibinadamu
😂😂😂