Jinsi ya Kuanzisha Biashara inayodumu kwa muda mrefu - Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лют 2024
  • Hakuna mfanyabiashara ambae anaanzisha biashara akiwa na mawazo ya kushindwa katika biashara yake, ingawa wote tumeshuhudia biashara zikianzishwa na kufa kabla hata hazijawa na mizizi.
    Ungana nami katika episode ya leo tujifunze namna ya kuanzisha biashara imara ambayo itadumu kwa muda mrefu na kuleta faida kwako na kwa familia yako.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #fursa #ujasiriamali #mafunzo #tanzania #biashara #daressalaam

КОМЕНТАРІ • 19

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 3 місяці тому

    Ameen

  • @SadickMadidiga-id9fh
    @SadickMadidiga-id9fh 5 місяців тому +1

    Waooh Asante pia kwa somo laki kaka MUNGU Akibariki sanaa

  • @angelgaspar608
    @angelgaspar608 4 місяці тому +1

    Lesson

  • @user-nl8js6xs6s
    @user-nl8js6xs6s 3 місяці тому +1

    hii ni njema sana somo kubwa sana lenye faida

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 місяці тому +1

    Nakuelewa sana kwa elimu unayonipa

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 5 місяців тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @domitirapima8072
    @domitirapima8072 3 місяці тому +1

    Hongera sana kaka kwa somo zuri, Mungu akubariki.

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 3 місяці тому +1

    +MUNGU+ AKUBARIKI, kukutunza na kuzidi kwako zaidi YOHANA 14:14🙏

  • @JanvierVenas-ro9us
    @JanvierVenas-ro9us 3 місяці тому

    Shukrani sana nimehelimika kwenye hili somo asante uzidi barikiwa

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  3 місяці тому

      Asante sana kaka, nafurahi kusikia somo hili limefanyika msaada. Nisaidie kushare kwa watu wengine pia

  • @sleifikhajjir262
    @sleifikhajjir262 4 місяці тому +1

    Asante sana kwa elimu nzuri sana.ila nayafanyia kazi maneno yako.but nimeelewa sana

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  4 місяці тому

      Asante sana, usiacha kuendelea kujifunza nasi. Subscribe ili upate updates haraka iwezekanavyo

  • @Mepuko77
    @Mepuko77 3 місяці тому +1

    Asante sanaa

  • @cryptoisourlife
    @cryptoisourlife 4 місяці тому +1

    Ahsante sana kaka kwa somo . nakufananisha na marehemu luge mutahaba bila shaka atakuwa ndugu yako.... Ahsante na mungu akubarik

    • @misanamanyama24
      @misanamanyama24  3 місяці тому

      Asante sana kaka, Watu wengi wananifananisha na Ruge. Naona ni maajabu ya Mungu tuu.

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉