Mipango Hufanikishwa na Matatizo - Misana Manyama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Watu wengi wakisikia neno Matatizo wanawahi kuona upande mmoja wa namna neno hili limekuwa likitumika katika jamii mbalimbali. Na ni wazi kuwa mara nyingi tumeyahusisha matatizo na hasara na madhara.
    Ungana nami siku ya leo kujifunza juu ya somo hili muhimu kwako na kwa wanaokuzunguka ili uweze kujua faida za kutengeneza matatizo yatakayosaidia kufanikisha mipango yako.
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    #malengo #mipango #fursa #opportunity #ujasiriamali #mafunzo

КОМЕНТАРІ • 32