Sirro Amdaka Polisi Feki Uwanja wa Fisi Dar

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm imemkamata polisi feki Paulo Baruti mkazi wa Tandale kwa Mtogole

КОМЕНТАРІ • 93

  • @frankmollel8807
    @frankmollel8807 6 років тому +3

    Hogera kamanda sirro kwa kazi nzuri ya kuimarisha jeshi la polisi, sasahivi ukitoa taarifa ya ualifu yaani ndani ya dk 10 difender limeshafika

  • @yazidihilary3233
    @yazidihilary3233 3 роки тому +5

    Kumbe siro ulipokuwa kanda maalumu uliwaanika watuhumiwa lakini baada yakuwa IGP unamzingu Lazaro Mambosasa na Mzee Moroto eti wanawaanika watuhumiwa duh😲😲

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому

      Umeona eeh

  • @wizshine1904
    @wizshine1904 5 років тому +8

    Amejieleza vizuri.... nimependa amesema ukwel... dnt do again bro... mungu akusimamie kwa ili.... be strong.... upewe adhabu kwa jins ulivyo jieleza na ukwel uliopo

  • @samwellwiza466
    @samwellwiza466 3 роки тому +1

    Hii dunia ina mambo sana ....wajinga na wajanja wengi bado hawajazaliwa na wakizaliwa sipati picha dunia itakaa mkao gani?..coz hawa tuliona sasa wanasumbua vibaya sana.......Mungu nipe umri mtimilifu ili nione ya yatakayotimia..Amina

  • @idreamfoto
    @idreamfoto 7 років тому +12

    Sirro Is Very Smart

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 роки тому

    SAFI SANA AFANDE SIRRO. TANZANIA SASA HIVI IMEJAA WATU WA AINA HII WENGI SANA AMBAO WANAJUA TUKO BUSY NA KAMPENI KISHA UCHAGUZI. WAAMBIE ASKARI WAKO WAWE MAKINI SANA MDA HUU KUMEJAA WATU WASIOELEWEKA NCHINI.

  • @petrochacha2414
    @petrochacha2414 6 років тому +1

    watanzania tuchape kazi tuache mambo maovu serikali yetu ipo makini kusaidia kujenga uchumi wetu walau tujikwamue kutokana na umasikini na sio kuandamana na kuleta vurugu. na kama unataka vurugu chokoza nyuki uone serikali iko macho tuchape kazi. hapa kazi tuuu

  • @duuudaud3816
    @duuudaud3816 7 років тому +3

    Mgekuwa na juhud hvyo ya kutafta watu wetu walio tekwa ninge waona wamaana! lakn sa hz mnajilisha upepo aseee! polen sana,

  • @mhoogooalhpsi9656
    @mhoogooalhpsi9656 7 років тому +5

    hii mbaya sana aisee unamtaftia matatizo nduguyako unataka kumwagia ugali wake familiya yake ilale njaa

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 5 років тому +4

    Mtafutieni kazi ya halali afanye.
    Ni nguvu kazi ya Taifa hiyo.

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 Рік тому

    Ayupo sawa uyo. Mzee.

  • @edmundibarnaba7075
    @edmundibarnaba7075 5 років тому +2

    jamaa anachechemea atakua kapewa kipigo cha mbwa koko😂😂😂😂

  • @mickychacha1429
    @mickychacha1429 3 роки тому +1

    Hongera sana afande

  • @isdorycosmas5595
    @isdorycosmas5595 7 років тому +7

    anatafuta kiki kama harmorapa anajifanya askar😀😀😀

  • @frankrwezimula829
    @frankrwezimula829 3 роки тому +1

    Kazi nzur kamanda

  • @hancytv4315
    @hancytv4315 7 років тому +1

    ahahahaha mbona huyo tumemuona na wale majambazi waliouliwa hata mmoja hatujaona mapicha yao,inakuaje?

  • @shaniashani7026
    @shaniashani7026 2 роки тому

    Atoe iyo kofia mbona sie atujavaa za baba zetu hama za kijeshi za mababy zetu🤣🤣

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 років тому

    Hivi ni kwa nn nikosa ukivaa nguo za police au kofia!? Mbona wanainchi wengi pia ata hao hao police Wanavaa T-shirts au kofia za CWT!? Lakini walimu sekta ya Elimu haifatilii, Hapo huwa nashindwa kuelewa ni kwa nn,,

  • @wileyemanuel2810
    @wileyemanuel2810 4 роки тому +1

    Nati zakichwa zitakua zimelegea we unavaaje sare ya jeshi kama ya shule

  • @tanzaniancultureelikanasam8713
    @tanzaniancultureelikanasam8713 2 роки тому

    Afande huyo ale kazi tu

  • @stellabae8552
    @stellabae8552 7 років тому +1

    hahahaa jamn asa akaona avae ili iweje!kavaa mwenyew alafu povu lnamtoka

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 років тому

    Watu wanavaa kofia za CWT, NMB,AIRTEL,TIGO,VODACOM,,,,NB na sio wahusika, lakini wafanyakazi wa sekta hzo hatulaumu. ILA UKIVAA ya Police why inakua tabu!!!??

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 років тому +7

    Watu kama hawa ndy wanatoa sifa mbaya kwa jeshi la police washughulikieni tu kikamilifu ili wasirudie

  • @happyfiverickaldo4662
    @happyfiverickaldo4662 5 років тому +2

    Hahahaaa apewe kitengo 🔥🔥🔥

  • @lusekelowilly3229
    @lusekelowilly3229 7 років тому

    hongera kwa kaz kamanda siro

  • @millionbill7587
    @millionbill7587 6 років тому

    I thought it was only kenya where we have fake 👮‍♀️ cops, Yani kuna mashetani hata tz!!!! Bala!!!

  • @hamdaniyasinimunguibarikit6734
    @hamdaniyasinimunguibarikit6734 3 роки тому

    Sarekapewa nanani nasiohao tu uchunguziwakutosha ufanyikekwaaskari wengine kuwenasheria raiakuomba kitambulishochaaskari au kwendakwabalozi wanyumbakumi siokujakubebana kamaviroba

  • @epimackoscar25
    @epimackoscar25 3 роки тому

    Eti sijawai kuona police ana madevu namna hii 🤣🤣🤣🤣

  • @abdallahshaaban1539
    @abdallahshaaban1539 7 років тому +6

    hv mm naulizwa swali kati ya mtu haliye tekwa na yule aliyekamatwa amevaa jezi za maaskari lipi linatakiwa kufuatiliwa kiundani zaidi? wenye akili watajulikana tu

  • @abdulrahimliverpool3383
    @abdulrahimliverpool3383 5 років тому +3

    Media is so cheap in TZ

  • @dasafadanford5806
    @dasafadanford5806 6 років тому +1

    Daka tena maana jana nmeibiwa na askar

  • @rizikibakari5232
    @rizikibakari5232 7 років тому +2

    hahaha tena hana haya yuwaongea tu

  • @castohchricy8306
    @castohchricy8306 7 років тому

    Mzee ana hekima sijawai ona adi kumsikiliza inaleta ushawishi

  • @duuudaud3816
    @duuudaud3816 7 років тому +3

    ipo kiama yenu inakuja mungu hazihakiw apandacho mtu ndicho atakacho vunaaa! watenda mabaya mnawafaham lkn mmefunga macho ipo ck kila mtu atasimama kuto heseba...au mnazan hao watu wanao kufa ovyo mungu hataitaka dam yao? Mtaitoa wap? mwogopen mungu nyie....

  • @mosesanosa9956
    @mosesanosa9956 5 років тому

    Ivi watu wana matatizo kwer huyo kaka ake hanakosa msameheni ilahuyu arievaa bila ruhusa sukumeni ndani wana sumbuasa nakuchafua jeshi retu

  • @gabrieljoseph4409
    @gabrieljoseph4409 7 років тому

    achana na tanzania.watu wanajua ela inatoka wapi aisee....hahahahaha; hali mbaya watu wanajiongeza

  • @frankrwezimula829
    @frankrwezimula829 3 роки тому +1

    Kamanda sirro ongera

  • @reginamrema1417
    @reginamrema1417 7 років тому +6

    wote ambao wanajifanya kujua kuongea kwa matusi iwe muziki au maoni au mazungumzo wote washughulikiwe ni wakosefu wa nidhamu

  • @husseinboru2936
    @husseinboru2936 2 роки тому

    Nimkweli na mwenye heshima nyingi

  • @lidyahaule5343
    @lidyahaule5343 3 роки тому

    Ume bugi ndevu tu

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 років тому

    safi sana siro

  • @johnjuma3345
    @johnjuma3345 4 роки тому

    Aisee

  • @alphoncegeorge7382
    @alphoncegeorge7382 7 років тому +4

    mwaija ramadhani not a good coment

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 років тому +1

    Bahati mbaya imemkuta polisi wenyewe vibaka

  • @leezarbennito4143
    @leezarbennito4143 7 років тому +1

    m2 mzma kaumbuka dah mackn

  • @azizibaruani8433
    @azizibaruani8433 7 років тому

    G sana siro

  • @denniskalisti2570
    @denniskalisti2570 6 років тому

    Duh

  • @elivtv5444
    @elivtv5444 6 років тому

    Naziona chupa za konyagi apo chini sijui walikuwa wanakunywa nan

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 7 років тому +1

    hio. mitogo. yenu. wenyewe zirro

  • @bahatiboma2824
    @bahatiboma2824 7 років тому +4

    Yaani yupo humble kama kafanya jambo zuri

  • @mimifulani948
    @mimifulani948 7 років тому +9

    mwaija ramadhan umesema kwel kabisa MAMY kwani uongo jamanii?

  • @veronicshaiyo2786
    @veronicshaiyo2786 7 років тому +3

    hahaha kwel dunia ina mambw

  • @ibrahimdavid6219
    @ibrahimdavid6219 4 роки тому

    Mbn mkuu ulisema uwezi muweka mtuhumiwa mbele za watu#? Kwamba ukirudi kwenu Musoma akakushitaki wakati utakuwa huna nauli kwa hili lako mkuu limekaaje#?

  • @regnelsonmunisi7127
    @regnelsonmunisi7127 7 років тому

    duu noma

  • @briggsanji9176
    @briggsanji9176 7 років тому +3

    Kama kazi hakuna wafanyaje

    • @man4mjuni999
      @man4mjuni999 7 років тому +2

      Birgita Sanga We ni fala kweli so unategemea aibe uniform za mwenzake akapigie uparuhanja tumia akili mdada nyie ndo mnaishia kuuza nyeti kwasababu ya uvivu wa kufikiri na kujituma mvua zinanyesha mashamba yamejaaa vijijini unakalia kilia lia njaa kila siku ni usenge na wewe kaibe uniform uvae kama hujaozea Keko au ukonga

    • @briggsanji9176
      @briggsanji9176 7 років тому +1

      Man4 Mjuni usiniingilie uhuru wangu wakuongea fala mwenyewe

    • @man.lule.585
      @man.lule.585 6 років тому

      Kazi akuna wapi nyie kuna mashamba katafute kibarua Kama mtaji wa kulimia akuna.

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому

    Yani watu wanautani

  • @sultansaleh6333
    @sultansaleh6333 3 роки тому

    Swali sare wanazipatawapi nakwanin

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 5 років тому

    😂😂😂😂😂😂😂. Du! Bongo nuksi

  • @EcoEssence_wellness
    @EcoEssence_wellness 7 років тому +3

    👋

  • @eveliusrobert4567
    @eveliusrobert4567 5 років тому

    wanafunzi waliofungea

  • @shebydesigner6662
    @shebydesigner6662 5 років тому

    Mapezi

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 років тому

    Hahahahaa atari

  • @mussaamir87
    @mussaamir87 4 роки тому

    Uno

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 4 роки тому

    😬😬😬

  • @johnmagu165
    @johnmagu165 4 роки тому

    Afungwe

  • @mohamednzalamingu4027
    @mohamednzalamingu4027 6 років тому

    trafiki feki

  • @zakayozakayo984
    @zakayozakayo984 7 років тому

    lnjil family

  • @charlescharles5303
    @charlescharles5303 3 роки тому

    By

  • @pascalkabogo3379
    @pascalkabogo3379 5 років тому

    pivhazax

  • @azizaahmed2219
    @azizaahmed2219 7 років тому

    hahahaa