UNAMPENDAJE MUMEO BILA KUMPENDA MZAA CHEMA?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 30

  • @rahmagobz9230
    @rahmagobz9230 3 місяці тому

    Mama your communication skills on top m a

  • @idrisaabdillahibpxkijykbs4162
    @idrisaabdillahibpxkijykbs4162 11 місяців тому +1

    Mashallah, hichi kipindi sio kizuri kwa mada zake tu lkn pia watangazaji wapo vizuri sana, namna wanavyo zungumza zamu kwa zamu, namna wanavyo wasilisha hoja zao, Mwenyezi mungu awaongezee

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 11 місяців тому +1

    Wa alaykum ssalaam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah mini moja mwahawo sipitwi nipo inchi jiran Rwanda lakin Alhamdulillah kwa kujua swaili na wafatiriya kila kipind pongezi Allah atujaliye kuya fanyia kazi❤

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 11 місяців тому +1

    Mm sina mkwe lkn nawaona ma wakwe wa siku hzi walivyo wengi wao watapitapi na wapenda kuingilia mambo ya wtto wao. Kweli huezi kumpenda mumeo bila ya kumpenda mzaa chema lkn na wakwe nao wajitahidi kwassbu huezi kuulazimisha moyo wa mtu unaemfanyia maudhi kukupenda. Inabidi jirekebishe uusaidie moyo wa mke wa mwanao kukupenda❤

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 11 місяців тому +2

    Nyumba haikai Nyumba Kipindi kimenitouch Wakwe Allah awaongoze yarabby Unakuta anasema mpaka unasikia kama Mim Simpend fulan Imagine Muhim Subra Kwel Somo mtoto umenena😭😭😭😭Nimecheka ulipoigiza et unkuja naye shetan😂😂😂😂Napenda wanavyoongea watu wakenya😍😂😂😂😂😂

    • @amour8802
      @amour8802 11 місяців тому +1

      Lakini hawa ni wazanzibar

    • @amour8802
      @amour8802 11 місяців тому

      @ bintsalimalbimany ni wa znz

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 11 місяців тому

    W’me wajitahidi hata km Allah hajawapa uwezo wa kununua banda japo chumba akodi. Maisha ya siku hzi mahasidi wengi sana na mahasidi wakubwa wa ndoa ni mawifi/wakwe. Allah awape wepesi wenye kupambana na viumbe hvyo, amiin.

  • @asha1122
    @asha1122 11 місяців тому

    Mashallah kwa somo 😘Allah ajaalie mazuri tuyafuate na mabaya tuyaache

  • @firdaus7428
    @firdaus7428 11 місяців тому

    ‏ما شاء الله وجزاكم الله خير

  • @maryammohamed5312
    @maryammohamed5312 11 місяців тому +1

    Wallah wema hauozi na ubaya hausahauliki tatizo la mda tu

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 11 місяців тому

    MI NAPONGEZA SANA HICHI KIPINDI MASHLLAH.. ila natoa ushauri tu kuw jitahidini sn kubana maneno icwe mnaeka wazi kimatamshi km ivo

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 місяців тому

    Mimi sijaolewa lakini napata faida nampenda huyu dada

  • @runam906
    @runam906 11 місяців тому +1

    Assalamualaikum alaykum kipindi kizuri sana lakini muda mchache,tujitahidi kuongeza muda inshallah ili tuendelee kustafidi na mafundisho haya

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 11 місяців тому

      Moyo wenye shukran huongezewa zaid kutoka chini ya dkk 20 kwenda 30 ni jambo la kushkuru 🙏 sio kila siku kukosoa mara moja moja shkuru ili Allah akuongezee 😊 Ahsante kwa kuangalia kipindi endelea kujifunza 🥰

  • @mamamamam4723
    @mamamamam4723 11 місяців тому

    Mashaallah kipind ni kizur hongera kwa somo mtoto👏👏

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 11 місяців тому +1

    Wanawake jitahidini mkiwa kwenye media msidhihirishi mapambo ni haram hinna mk up namengineo tujitahidini saana Kwasababu wafwatiliyaji ni wengi 🙏

  • @user-vp5zi2xe3m
    @user-vp5zi2xe3m 6 місяців тому

    Somo nimependa Hilo vazi la kanga

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 11 місяців тому

    Tupeni vituuu👌👌👌👌kungwi jike na kungwi dumeeee

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 місяців тому

    Alie kuwa mwari nivizuri kuskiliza inafaa

  • @biubwazahir782
    @biubwazahir782 11 місяців тому

    Mashaallah 🌹

  • @kulthum8335
    @kulthum8335 11 місяців тому

    Mashallah

  • @user-qi3su8zh6m
    @user-qi3su8zh6m 11 місяців тому

    ﷲﷲ

  • @maryammkubwa465
    @maryammkubwa465 11 місяців тому

    Ni kweli huwezi kumpenda mume bila ya mamamkwe nae kumpenda

  • @user-qi3su8zh6m
    @user-qi3su8zh6m 11 місяців тому

  • @alimau7939
    @alimau7939 3 місяці тому

    Ni haramu mwanamke kuonesha mapambo kwa mtu anaeweza kumuoa, sheikh rashid ww huzioni hizo hina

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 11 місяців тому

    Chukueni mauwa yenu, leo kusukimegusa mfupa. Lamsingi mtu akitaka kuoa ajitosheleze habari yakwenda kukaa kwa wakwe ni mtihani. Kapange hata chumba ki 1 tu.

  • @asha1122
    @asha1122 11 місяців тому

    Somo la leo cjui nieleze nn kwakwel maana kama mlikuepo yalipotendeka kwa upande wangu ,Allah atawalipa kwa yote

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 11 місяців тому

      Pole Allah atakupa nguvu hatuna story za uongo wala hatuzitungi ni uhalisia wa maisha yetu. Endelea kujifunza kipenzi 😊