UCHAWI UPO WA AINA 2 UCHAWI MKUBWA WANAO WANAWAKE// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 24

  • @fatuma3969
    @fatuma3969 Рік тому +3

    Masha Allah ww
    Shekh uko vzr sana darasa zako zina vutiia ukisikiliza huwa nasikia furaha ndani ya nafasi yangu mungu akulipe mema shekhe

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 Рік тому +4

    Maaashallah Darsa nzur sana
    Allah atuongoze katika haki

  • @mariamsefu825
    @mariamsefu825 Рік тому +2

    Sahihi shekhe sisi wanawake tumezodi m/mungu atuongoze,

  • @yuki-yunah
    @yuki-yunah Рік тому +4

    MashaAllah tabarakallah 👌

  • @SaadaKiyungi-uz6jn
    @SaadaKiyungi-uz6jn Рік тому +3

    Mungu akupe maisha marefu

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py Рік тому +1

    Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.

  • @sadiahassan5316
    @sadiahassan5316 Рік тому

    Mola akuhifathi sheikh wetu mwenye hekma na busara.

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Рік тому +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Jazzaka Allahu Khairan

  • @zolazola2226
    @zolazola2226 Рік тому

    Wanawake wengi wa kiislamu wamo kwa haya mambo.mungu awape hidaya

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Рік тому +1

    Nakutarajia umri mrefu, umri yenye baraka. Afya, ibada njema, dhuriya njema na husnul khaatima

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 Рік тому +1

    Allah akulipe malipo mema Sheikh Othman

  • @abdaladelo371
    @abdaladelo371 Рік тому

    Mashaallh barakallah fiyka shekhe wangu nimefirahi San. Kwa darsa hii ungeendelea jmn ❤😅

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому +1

    Huo ni ukwel sheikh Allah atunusuru wanawake wanapenda kufanya tunguri ili apendwe yeye true

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому

    Subhanalllah hakunakitu kibaya kamaushirikina

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Wapo wengi kweli shehe wangu wanafanyiwa hivo na waganga

  • @SumaiyaAbdallah-d7n
    @SumaiyaAbdallah-d7n Рік тому

    Mashallah Allah

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Ama leo umelipatia haswaaa ndoa hazidumu kwa hayo mambo

  • @ahmedbashash3672
    @ahmedbashash3672 Рік тому +1

    Mijanamke yetu mingi ya sikuhizi hapa bongo ni uchawi hela tuu

  • @YahyaJuma-d9z
    @YahyaJuma-d9z 3 місяці тому

    Tuwacheni ushirikina

  • @JannatTahmid
    @JannatTahmid Місяць тому

    Hujakosea shekhe

  • @abdillahimohammed3544
    @abdillahimohammed3544 Рік тому

    Sahii maisha yamekuwa magumu hakuna pesa za kupelekea mchawi

  • @wazirimwanazuoni5567
    @wazirimwanazuoni5567 Рік тому

    Wengi tumeathirika kwa kuwa na wanawake washirikina.

  • @HusseinMaulid-b5c
    @HusseinMaulid-b5c 4 місяці тому

    Jama hanaguvu zajabu hanabeba mfuko wasimeto kwameno

  • @MesalimRashid
    @MesalimRashid Рік тому

    Swadakta hii yote inasababishwa n kutojiamini .n waganga wengi wazinifu n ndio waenezao ukimwi n makaswende .wanawake wajinga sana lkny c mimi.tuweni makini ilimuona mkeo ana mambo y vidawa visivyo eleweka mpe talaka.jinga hilo walmushrikina fii naar jaharnama khalidina feha Abadan..