Kwa kweli you are my role model natamani niwe kama wewe.kwangu ndo namba katika maxhekhe wengine wanafwata mashallah.Mungu azidi kukupa ilmu na akujaalie pepo ya juu inshallah.nakupenda pendo lisilo na mfano .
Mashallah Allah atuzidishie lman za kweli na mim namuomba Allah anijalie nilinde eda yang ya kufiliwa na mume wangu anipe subra ktk kipind hich na anijalie riziki yenye heri na miye Aminy naomba dua zenu waumini wezangu
Alhamdulillah shukran jazeer shekh ALLAH akupe uhai na afya njema uzidi kutupa daawa na kutukosha nyoyo zetu tulipo kwama tujikwamue Ila haijamaliza vizuri ipo kama vile cd iliokua na screech
Allah akujaalie kilalakheir sheikh nakuzidishie elmu uzidi kututoa ktk upotovu na kutuingiza ktk muangaza na Allah atakulipa ujira wenye kheir nawe kwakazi uifanyayo na Allah akupe umri wenye manufaa naakupe khatma njema yaarab
ALLAH AKULIPE KWA ILIM UNAYOTUPA ILA IKUMBUKWE KUNAWANAUME WANAPOPATA MWANAMKE MWINGINE HUTOA AIBU ZA MKEWE KWA MKE MPYA WALAH NA KUEGEMEA UPANDE MMOJA NA KUSAHAU KURANI INASEMA NN WANAUME NI HATARI BAC TU INATAKA UVUMILIVU.
MashaAllah Allah akujaze kheir sh.Othman kw kujitolea ktk njia yake kuuelimisha umma..Twashkuru kw hili n twamuomba Allah tuwe wasikivu w nyoyo tubadilike na Allah atuongoze InshaAllah tuweze kuishi vyema ktk ndoa zetu..Allahumma aameen..

MashaAllah. Mola atujaalie miongoni mwa wanawake wema. Ameen
Amin
Kwa kweli you are my role model natamani niwe kama wewe.kwangu ndo namba katika maxhekhe wengine wanafwata mashallah.Mungu azidi kukupa ilmu na akujaalie pepo ya juu inshallah.nakupenda pendo lisilo na mfano .
Mashaa Allah tabarakallah jazzakallahu kher shekh
Mashallah Allah atuzidishie lman za kweli na mim namuomba Allah anijalie nilinde eda yang ya kufiliwa na mume wangu anipe subra ktk kipind hich na anijalie riziki yenye heri na miye Aminy naomba dua zenu waumini wezangu
Pole mpnz Allah akupe subra.
@@jaliakamote5485 امين يارب العالمين
@@jaliakamote5485 Aminy ya Arabi Alaminy
Zaheer Nakhwa allah atakupa zaidi ya huyo inshallah pole ndo hatma yetu
@@faizasaid8262
Asanteee sana
Aminy ya Arabi Alaminy
Mashaallah sheikh Maalim, Allah akujaalie barkah tere uzidi kutuelimisha
Shukrani shekhe maalimu na mungu akujalie umri mrefu na sisi mola atujalie kheri waaisilamu wote duniani
jazzakallah khreili sheik wetu allah akupe umli mulefu uzidi kutupa elim inshaallah
Shekh nakukubali Sana shekh, mungu akujalie umri mrefu,
MaashaaAllah sheikh mawaidha mazuri mungu akupe afya na umri mrefu tuzid kuelimika
Mashaallah shkh.. jazakallahu khayran Mungu akupe ujuzi zaidi na umri mrefu.
Allah akuongoze ameen kwenye Pepo yake
Allahu akbar Shaikh wewe unasema maneno mazuri sana
Jazaka Allah Kher Ahubuk lillah ya sheikh OTHAAN from Saudi Arabia
Ma shaa Allah Allah akupe umri mref wenye taqua othmani malim nasisi atupe kheiry katika ndoa zetu
Mashaa lah allah akupe kila kheri umenifundisha nimefundishika allah akubariki
Maalm mwenyez mungu akupe umri mrefu
Mashaa Allah tabarakallah feek ya Othman
Shukran shekh ALLAH akuifadhi
Mashaallah. Allah akulipe ujira mkubwa shekh othman maalim, na ss tunamuomba allah atujaalie tuwe wake wema kwa waume zetu,,
Amiin
Amiin
MARIAM SHABANI,ASANTE MUNGU AKUFANYIE WEPESI ,INSHHAALH,
asma Asma maashallah
Masha alla baaraka llahu
Maa Shaa Allah viungo vyetuu hivii ALLAH AKUPE UMR TWAWYL SHEYKH WANGU
Shukran sana sheikh,Allah akulipe na mafunzo yko mazur
Masha Allah Amin
Jazaakallahu khairan
Mashaallah ..Allah akulipe khery sheikh Othman Maalim ...mawaidh mazr ....
Masha Allah Allah akupe mwisho wa wema na ss wanwake tubadilikeni insha Allah
MA sha Allah tabaraka Allah. Darsa nzuri Allah akupe ujira
Mashaallah
Jazak ALLAHU kheir ya sheikh Allah akupe afya
Masha Allah you are the best sheikh Allah akupe afia wafunze 👌👌👌😊
Masha Allah ya Rabbi
Subhanallah MAshaa allah tabarakallah shukran shekh kwa mawaidha mazuri
Asante kwa ukumbusho mzur
Shukran wajazaka llahu heri
Asalam alekum warahamatul llahu wabarakatu naomba namba namba yako shehe wetu tafadhal heri inshaallah
fatuma Ramadhan mashaallah Allahu barikin nam
Jazzak allah kheir
Alhamdulillah shukran jazeer shekh ALLAH akupe uhai na afya njema uzidi kutupa daawa na kutukosha nyoyo zetu tulipo kwama tujikwamue
Ila haijamaliza vizuri ipo kama vile cd iliokua na screech
Mashallah shehe wetu
Allah akujaalie kilalakheir sheikh nakuzidishie elmu uzidi kututoa ktk upotovu na kutuingiza ktk muangaza na Allah atakulipa ujira wenye kheir nawe kwakazi uifanyayo na Allah akupe umri wenye manufaa naakupe khatma njema yaarab
Mwenyezimungu akupeleke umri maalim
ALLAH akupe kheri hapa duniani na kesho akhera....nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wangu
Subuhanallah mashaallah mawaidha mazuri sana Allah akulipe kher sheikh Othuman popo ulipo
Hujmbo
Nimekumiss
Shekh MA SHA ALLAH maneno yake yanabadilisha moyo, ALLAH akupe umri shekh wetu
Shukran Sheikh, Mola akulipe yalo na KHERI,
Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Shukran. Nakupenda kwa ajili ya allah
mashllh sheikh wapo wengi wanawake wa tabia mbaya kama hizo
ALLAH AKULIPE KWA ILIM UNAYOTUPA ILA IKUMBUKWE KUNAWANAUME WANAPOPATA MWANAMKE MWINGINE HUTOA AIBU ZA MKEWE KWA MKE MPYA WALAH NA KUEGEMEA UPANDE MMOJA NA KUSAHAU KURANI INASEMA NN WANAUME NI HATARI BAC TU INATAKA UVUMILIVU.
Shukran Allah akujalie umri na afya ameen
mashaallah allah tunakuomba utupe subra kwenye doa zetu ameen inshallaah
MashaAllah shukran shekhe
Mash Allah. Ya Allah tupe kutimiza
Jk
MashaAllah Allah akujaze kheir sh.Othman kw kujitolea ktk njia yake kuuelimisha umma..Twashkuru kw hili n twamuomba Allah tuwe wasikivu w nyoyo tubadilike na Allah atuongoze InshaAllah tuweze kuishi vyema ktk ndoa zetu..Allahumma aameen..
Mashaalla mwenyezi mungu nijalie namimi amiin
Mashallah shekh othumami maalimu
Mashaa Allah mawaidha mzr .Allah akubariq shekh Othmaan maalim
Ampe umri mrefu mashaallah
Allahu Akbar napenda sana shkh Othman Maalim jazaak ALLAH khair
Inasikitisha sana jamani
Mashaallah Allah akuzidishie na akupe afvya njema inshaallah
Allah akuzidishie ilmu sheikh
Mashallah shukuran
Allah tuongoze katika njia ilio nyoka shukran yaa Sheikh Allah akulipe kheriii.
Shukran Sheikh, jaza' yako Allah ndiye ajuwaye
SubhanaAllah Allah Atubadilishe tuwe wakewema
SubhanaAllah
shukuraniii.
Mashaaallah shukurn jazzila
mashallah mawaidha mazuri sana maalimu
Nampenda sana shekhe othmani Allah akujalie kheriii
Allahumma amiin shukran shekh wng nimejifunza mengi sana
Sheykh mie hapa bado sifa tatu za mwisho kwangu haijamaliza imeganda inarejea neno moja tuu "zaman mayahud"
Asante asante😁😁😁😁
Masha Allah 🤩🤩😍; Al_ Habibi Othman Bin Maalim😍😍😍
Mashallah
Allah akupe afy na akupe ubir wakutukubusha inshaallah
Maaashallah mungu akulinde
Mashaallah
mashaallah..shukuran
Amiiin
Hakika wewe ni mwalimu, ninakuelewa Sana Mungu akujalie Kila la heri
Allahuma jaalin
masha.allha
mwenyezi.mungu.akujalie.kila.lakheri.shekhe.letu
wallah upo sahihi usthad
Mashaallah!
SubhuhanAllah
Mansha Allah
Maashallh
mola tusaidie wanawake na utuepushe na haya yasemayo maana hakika nikweli hayo yasemwayo
Amen
Allha atuepusha tuwe wanawake wema hishallha
Safi sana
Wanaume wasiku hizi kma hawa jasumbuliwa hawakai sawa maana wanajisahau zarau tupu ila ukisumbulia kidgo hukaa sawa😁😁😁😁😁
Sio kweli, wanawake ndio wasumbufu. Maumbile ya wanaume wanahitaji kuongozwa na mwanamke, ukimuona mwanamme ni wasiwasi au mzuri ni matokeo ya mkewe.
Mi nisikiliza hii Leo nimependa uisilamu Kwa kweli nimejinza leo
Karibu mpenzi wangu uislam ni dini ya haki
ما شاالله أ حبك ف الله يا شيخ عثمان مالم
Justina Marwa TV mungu akuonyeshe haqy uweze kuifata
Ally Kingu aaamin amuongoe na sis waislamu kwa ujumla
Karibu mpenzi
Swadakta shekhe
Amiin yarabil alamiin kisa kizur sana
Swifa Njema kwa Nana Khadija.
Faiza
Muhammed
يو سفAliy
Njooni tusikilize mawaidha wandugu
zayyati yusufu nipo my asnte
zayyati yusufu unaendeleaje umepona
@@faizasaid8262 Alahamdullah sijambo khofu kwako Shukran Faiza nipo ok
@@faizasaid8262 Tuko pamoja sana usijali
zayyati yusufu mungu akuzidishie
Msiwagandishe. Hawa mashekh watukufu towen video zenyekuonrkana
Hawa kinadada Tabiya hizo wanazo
yarabi.anisamehe.manzambi.yangu.mimi
Dada zetu badilikeni yasemwayo juu yenu yote ni kweli , badilikeni wengi mnadai sana talaka
Wanawake wema nawao walishakufaga ktk hilehile vita ya pili ya dunia sasa hivi msiba tu kwa wanawake na wanaume
Marabuka mkewangu mkewangu mkewangu☻👎
zayyati yusufu 😁👌
Masshalah mungu akulipe duniani na ahela

⁰⁰⁰0⁰