Hadithi ya makandokando kwenye mjadala wa DP World| GG Podcast

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024
  • Ukali wa mjadala haumo kwenye NINI kipo ndani ya mkataba baina ya Tanzania kushirikiana na Dubai kwenye uendeshaji na uendelezaji wa bandari, bali upo kwenye NANI wamo mkataba wenyewe. Mwandishi na mwanahistoria Mohamed Said anazungumzia ilikoanzia na inakoelekea hadithi ya makandokando haya.

КОМЕНТАРІ • 245

  • @LeylaMufandish
    @LeylaMufandish 9 днів тому

    Allah akupe umri mrefu sheikh Mohammed Said ili tuendelee kunufaika na ujuzi wako labda tutazinduka usingizini maana information is power

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 25 днів тому +1

    Hii ni njama YA Nyerere na inajulikana musiseme kua musiletewe udini baadhi yenu munao comment,, sisi zanzibar tumechoka na muungano hatuutaki kabisa ipo siku ishaallah
    Nyerere alitudhihirishia kua haipendi zanzibar haipendi uislam

  • @salumsuleimankhalfan3414
    @salumsuleimankhalfan3414 Рік тому +4

    Sheikh Mohd mm nashauri ufanye kipindi na mama Maria Nyerere atueleze yeye anafahamu nini juu ya mchango wa Waislam kwa mwalim Nyerere.

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 Рік тому +6

    Bora tuvunje muungano maana watanganyika hawana imani na nia njema na wazanzibari.

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 Рік тому +1

    Mzee jifunze vizuri historia ,acha kukurupuka

    • @nashirkamugisha9425
      @nashirkamugisha9425 Рік тому +1

      Hakuna gwiji wa hostoria ya kweli tanzania kama mohamed said.

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 Рік тому +2

    Acheni kabisa hizo mambo kwani ninyi ndio mnaanzisha mambo ya udini. Zungumzieni mambo ya MKATABA TU. SAWA NDUNGU ZANGU WAISLAM?

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 Рік тому +2

    Waisilam wanapenda kuwazungumzia wakristu.wana udini sana

    • @AYUBUCHAKELA
      @AYUBUCHAKELA 3 місяці тому

      Wawafatilie kwakipi kwani wananini kamasilolote sichechote

    • @Nedjadist
      @Nedjadist Місяць тому +1

      Labda wee si Mkristo uanaehudhiria Kanisa. Waislamu wawazungumzia Wakristo nje ya Msikiti, ama Wakristo huwazungumzia Waislamu ndani ya Kanisa na nje yake. Kama hujui njoo tukuoneshe.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 26 днів тому

      Wakristo hata ktk vikao vyao wanajadili waislamu na mali zao watapora vipi kupitia mahakama TRA au ugaidi

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 22 дні тому

      Ukweli unauma

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 Рік тому +3

    Mzee, tuliitaji hekima yako yuu ya swala la bandari na sio udini wako. Watanganyika tunapigania haki ya vizazi vyetu vijavyo.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Kizazi gn ulichonacho kenge wewe. Wewe ungekuwepo enzi ya Nouh ushakufa tayari nyiye mliomtabisha .

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +4

    Wanao chafua nchi hii ni Chadema tu na ndio wanao toa kauli chfu hasa za udini na ukabila

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 Рік тому +2

    Hayo yanini mkataba mubovu hatuutaki chaudini pelekeni huko

  • @kassimhaji1141
    @kassimhaji1141 Рік тому +3

    Nimefurahi kuzungumza ukweli

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 20 днів тому

    Ningepata mtu anifahamishe huu mkataba wa kanisa na serikali ya tz pls

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 Рік тому +7

    Kikweli watanzani hawajazungumzia dini. Watu wanazungumzia masharti mabovu ya mkataba. Ninyi mnapata wapi hahari ya dini?. Waislam tusipoacha mambo ya kuzuazua basi sisi ndio tutaanzisha mambo ya udini ndani ya tanzania. MASHEHE ZETU ACHENI MAMBO HAYO!!!!!.

    • @faza4023
      @faza4023 Рік тому

      Sahihi kabisa..kama ni waarabu kuwekeza wapo mbugani tokea mwaka 92, kujengwa bwawa la Nyerere lipo chini ya Misri..mara hii jibu kwa hoja mkataba una mapungufu au hauna sio unasema Tu udini

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 Рік тому

      Hakika kaka mimi nakuelewa sana unasema kweli jamani ebu tuache kuingiza mambo ya udini kwenye ilijambo tatizo ketu sio dini wala uislam

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 5 місяців тому

      Kwa hiyo huu ukweli anaouzungumza ww uliwahi kumsikia Nyerere anasema? Kwani si kulikuwa na jumuiya ya Kiislaam kiongozi wake Sheikh Swaleh Bin Ameir Nyerere kwa kuona maendeleo mazuri kwa Uislaam akaivunja? Na Mali za wa Islaam kutaifishwa? Sasa ww hoja yako nn kutuhumu Waislaam? Fuatilia historia vizuri.

  • @abdallahabdu8194
    @abdallahabdu8194 Рік тому +1

    Sawa, lakini hili ni biashara inanyonya wa TZ.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 Рік тому +3

    Rasully llah (S.A.W) yakuloo (Alkafirunaa millatully waheda)

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Рік тому

    Fact and true 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emanuelkimaro195
    @emanuelkimaro195 Рік тому +8

    Mazungumzo haya yamiasha hisia za wengi waliosikia na watakao sikia ninawaomba tuwe makini kunapojadili tuvumiliane hizi chokochoko za udini ni hatari kwa usalama wa taifa siyo jambo la kufanyia ushabiki.
    Na viongozi wetu waache kutumia udini kama silaha.
    Wakemee mjadala wa kidini.
    Tunafanya uchanguzi tangu uhuru kiongozi huchanguliwa na waislamu na wakristo hakuna udini.
    Wote bila kujali dini tukutane kwenye masilahi ya taifa Kwa vizazi vijavyo.
    Dini isitufanye tuwe wajinga.

    • @mwigaadam1179
      @mwigaadam1179 Рік тому +3

      Udini unakuja wanapo jadili masuala haya waislamu tu Kaka?? Mbona askofu mwakipesile anaongea mazito juu ya udin hasa uislam na hakuna and dauti acha udini we nakujiona wakiristo mupo swa mapuwa ww

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 Рік тому +2

      Wakiristo Siku zote wanajizima data
      Wao Wakijadili Maslahi ya Kitaifa kidini dini wanaona sio Udini ila kwa wengine ndio unazuka Udini
      Nashindwa Kuelewa

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 Рік тому

      Msituone wajinga kukaa kimya tunajua mengi , tukiamua tunaweza waislam, wakristo ndio chimbuko la yote haya

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 Рік тому +1

      Waislamu tatizo lenu ni uongo. Katibu mkuu wa baraza la mitihani la taifa ni muislamu. Nini kimebadilika? Halafu wewe mzee mbona tunawalaumu wazungu kwa ubeberu? Huyu mzee anafikiri DP Wotld ni ya waislamu, anafikiri inakuja kujenga misikiti au itakuwa inagawa pesa na ajira kwa waislamu. Hiyo ni kampuni ya watu wenye hisa toka mataifa na dini mbali mbali. Lengo lao ni kupata faida ya pesa na siyo kueneza dini. Ni mzee asiye na busara hata kidogoo. Yaani kuikataa DP World ni kukataa waislamu? Na watu wanachopinga, ni vipengee vya mkataba. Anavyoongea, utafikiri ni mwarabu. Pambafu kweli na mwongo mkubwa.

    • @HassanHassan-sn5cj
      @HassanHassan-sn5cj Рік тому

      Nyerere alipokua anapiga kelele za udini alimasnisha waislam Wakae kimya hata wakifanywa chochote tatizo hamumjui kwasababu kauweka ugalatia juu akaukanyaga uislam uliomueka juu someni vitabu vyake alivyotunga mwenyewe au kile cha (jimbo kuu la daresalam) mwenyewe amesema nilazima kanisa aliweke juu wakati akimjibu pedre John sivalon wakati alipo muuliza utalifanyia nini kanisa?!
      Nakweli katudhalilisha sana waislam wenyewe tunajua! Nahata viongozi wakubwa wamekua wakitamka wazi hadharani wakionesha chuki zao juu ya uislam akiwemo Lukuvi tena akiwa kanisani !! Kama hamjui chuo kikuu cha Dar ni cha waislam muhimbili ya waislam mpaka ikulu ya Dar ilikua chuo cha Kil Islam sema wengi hawajui ila ipo siku haki itakaa juu kama sio sisi basi wajao wataiweka hakii juu !!!

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 Рік тому +1

    ohoo nahisi magaidi wanafurahia warabu kuchua ubia

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde Рік тому

    Ni mwalimu mzuri wa historia.
    But hapa ni ishu seriously haitubadilishi mindset. Hapa ni msimamo wangu binfsi sipependi MUUNGANO. Naburuzwa jamani hee!!

  • @danielkanso
    @danielkanso Рік тому +1

    Kwa hiyo haya yote mkataba wa namna hii umeletwa na udini maana mimi siamini kuwa katka udini naona kuwa viongozi wetu wawe wapole waache mihemuko maana wananchi wanauliza vifungu vya mkataba ambao unaonyesha kuwa mkataba unatatizo kumbe kuna mambo ya siri

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 Рік тому +2

    Mbona mzee hazungumzi kuhusu huo mkataba faida na hasara

  • @kelvinjelas3923
    @kelvinjelas3923 Рік тому +1

    Uislam kama ulivyo ukristo unaharibiwa na wanafiki ndani dini zenyewe.

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j Рік тому +1

    Wacristo na Waisilamu Wana tufanya Sisi Tusio Amini Dini zao Kwamba Hatuna haki na Nchi hii

  • @mfaumemetta-vr1cl
    @mfaumemetta-vr1cl Рік тому +1

    Bwana Ibin Saidi kuna mambo unachanganya vibaya hivyo akiwa mwislaam atuibie tu akitujengea miskiti inatosha? Hapana hivyo unasema mkataba hauna dosari?

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 Рік тому +2

    Sioni Logic ya haya maongezi, ninachoona ni wazanzibari wawili wanajadili mambo ya Tanganyika tuu.. kama wadubai wazuri wapeni bandari yenu huko Zanzibar.. na huu muungano Bora ufe.. badala ya kujadili maisha nyie mnajadili dini

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 Рік тому

      Uyo mzee sio mzanzibari bali nimtu wa mainland (Tanganyika) upande wa Tanga kwahio ondoa chuki zako dhidi ya Zanzibar

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 22 дні тому

      Sikiliza kwa makini na kama unawazo la kupinga,basi andika

  • @derimkongwa5965
    @derimkongwa5965 Рік тому +1

    Shdq yenu mmekalia kuzungumzia udini. Kikawaida huwezi kuwa muasisi bila kuwa na sapoti mzee kwani mlitaka awe mwenyew ndio mumsifu

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Рік тому +6

    Achani kufikiri kua waislam watafaidi ikiwa bandali yetu watgawiwa waarabu bure kinacho daiwa ni mkataba mbovu ambao unagawa mali ya nchi bure kwa waarabu wa dubai

    • @philomenastephen3364
      @philomenastephen3364 Рік тому +1

      MGOGORO WA BANDARI TATIZO LAKE NI VIFUNGU VIBOVU VILIVYOMO NA SIYO TOFAUTI ZA KII AMANI. UELEWE VEMA JAMANI.
      KUNA WAISLAM WALIO UELEWA MKATABA NAO WANAUPINGA.

    • @amanilucy
      @amanilucy Рік тому +1

      Dijibout mbona Hawa dp world nishida

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 Рік тому

      Hivo vifungu unavyosenea vina maslahi kwetu ....sasa mnasemaje ????? Kisasi ni sasa

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 Рік тому +1

    Hiyo baraza la mitihani kama kweli inadoofisha uislamu imekuwake inaandaa mitihani ya dini ya kiislamu ? Acha kuwa mwongo ndugu

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j Рік тому +1

    Hutumpingi Mwarabu wala Hatuwakatai Waarabu Na Dini sio ya Mwarabu Bali DINI ni ya Mwenyezi MUNGU Wote Tunaipenda sana Tunacho hoji ni Mkataba wenyewe ndio maana wenye Akili wote Wana hoji Pr Lipumba/ shiviji pia wana hoji Tusichonganishwe

  • @adilalzay9160
    @adilalzay9160 Рік тому +3

    Changamoto inabaki kuwa muda ushapita na watu washachukua mkondo mwengine kabisa wa historia ya nchi hii. Hata mambo kama haya ni kama paukwa tu na Shekh anaonekana kama mtu anayezusha tu khabari hizo. Wapo waliotaka tufike hapa, na huenda hata huyo Nyerere akifufuka leo atapinga kila kitu [ tujadili na mashinikizo ya Makoloni yalikuwepo tangu ]. Kilichobaki sio kuzungumza juu ya makosa ya wakristo wala kudhulumiwa kwa waislamu ila kuliunganisha taifa pamoja .Mimi nawaza hivi habari hizi wakristo wanapozisikia watachukua mkondo gani angali nao mamboa wameyakuta tu? MTU ASIYEJUA HISTORIA YAKE AKIVUTWA HUKU ANAKWENDA , AKIVUTWA KULE ANAKWENDA

    • @soudmoshmnyika5813
      @soudmoshmnyika5813 Рік тому

      Labda nikuambie kitu kadinari pengo anayafaham haya na wengi katika wakristo walio na nyadhifa kukwa wanayajua haya , sheikh kajaribu kuwarejesha watanzania katika ummoja kwani wamesikika viongozi kadha wa kisiasa kama mboe akisema suala la udini na ukabila akifingamanisha na DP WORLD, nawakati yeye alitakiwa kuzungumza mkataba tuu , sio mafungamano ya udini na ukabila nawakati watu wanajua historia kubwa jinsi waislam walivyo pambania uhuru

  • @johncharles5450
    @johncharles5450 Рік тому

    Ndugu zangu waislamu someni msije mkalishwa matango pori. Ishu sio kwa sababu muwekezaji mwarabu, ishu jinsi mkataba ulivyo. Kama mkataba ungekua haunashida wala hakuna mtu angepinga.

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi Рік тому +2

    Labda tuache kabisa mkataba wa kuendeleza bandari tusiwape wala waarabu au wazungu

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi Рік тому +2

    Kuhusu elimu kumbuka nyerere alitaifisha shule zote za wakristu na Mali zao zungumzia na hilo

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 25 днів тому

    wakiristo walikuwa hawana haja ya kugombana na wazungu wakoloni,maana wazungu walikuwa wakiwapa watu wa makanisa good chase!na kanisa likisaidiana na wazungu ktk kutawala!!!

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 Рік тому +1

    Acheni porojo za udini chambueni mkataba

  • @SimeonCharles-j5x
    @SimeonCharles-j5x Рік тому +1

    Some mkataba mzee

  • @listonjiwe3467
    @listonjiwe3467 Рік тому

    Hakuna udini ninachoona hapa marumbano wenzetu wanaojua sheria wanasema mkataba ni mbovu kwani bala hakuna waislamu watanzania wote bala na visiwani tuwe makini kwenye suala hili la bandali ili wanasiasa wasitugawe kwa propaganda wanazoleta kuingiza udini kwenye ishu inayohusu maisha yetu na vizazi vyetu kama watanzania nilichoona mbinu nyingi ovu zinatumika na wanasiasa wasiopenda muungano wetu kwa kujalibu kuingiza suala la bandali na udini tuwe waangalifu na tuache kutumiwa

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 Рік тому +1

    TUMEFIKIA HAPA KWA SABABU YA MFUMO KRISTO HUWO NDIO UKWELI.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 місяців тому

    ✌️👊👍。

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 Рік тому

    Shekhe hapa tunashauriana habari ya mkataba sio dini jamani hiyo history mbona unaisumulia mara nyingi kwasasa tunaongelea mkataba wa DP world 🌎 sio dini msitake watu kuanzisha vitu vingine please tuko na mkataba!!!!

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 Рік тому

    JAMANI JE HAO WENGINE WAMEKULA MATUNDA YA CAKE YA TANZANIA???

  • @hemedabubakar-cb1nq
    @hemedabubakar-cb1nq Рік тому +1

    Mashallah

  • @christopherkomba7782
    @christopherkomba7782 Рік тому

    Unaelewa nini ww kaa kimya subiri kufa tuache vijana wetu wakuwe nyinyi ndiyo mliwabeba mabwana watu kibao na mnambeba bwana mmoja mnakuuzwa mtu mmoja anawauza

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 Рік тому +2

    Emotions apart, " vyombo husika" using sober professional cadres wazungumze na huyu Ustaadh kwa nia njema ya kujenga Mama Tz..na kisha kuishauri Govt..waache vitisho..These are issues C za KUPUUZA!!😮😮

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 Рік тому

    Na vitabu unavyovisema ni vile vinavyofundisha uendeshaji wa dola na utoaji haki kwa misingi ya kiislamu

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 Рік тому

    Inaliza , inahudhunisha. jambo hili wala sio dogo. Niombe tushikamane maana asiye pitiwa na ubaguzi hawezi jua hili

  • @faza4023
    @faza4023 Рік тому

    kama ni waarabu kuwekeza wapo mbugani tokea mwaka 92, wapo Serengeti mlisikia watu wakikemea kwa nguvu hivi? kujengwa bwawa la Nyerere lipo chini ya Misri..mara hii jibu kwa hoja mkataba una mapungufu au hauna sio unasema Tu udini

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 Рік тому +1

    Haya mkianza hivyo vita zitaanzia kwenye nyumba zetu😢

    • @ElizabethKimbi
      @ElizabethKimbi Рік тому

      Sahau Tanzania hakuna dini familia tumeungana mpaka kufikia baba muisilamu watoto wakristo mama hana dini hujawahi kuona familia kama hizi hapa tanganyika labda zanzibar hakuna lakini hapa tuko wengi

  • @lambomayenga6151
    @lambomayenga6151 Рік тому +1

    Hivi wahariri wrote wa magazeti yaliyomshambulia Mwinyi walikuwa waisiliamu? Jamani tuwe wakweli . Hivi serikali sasa na bunge ni vya wakiristo tu.Wewe mzee ndiyo unaanzisha matatizo ya ubaguzi. Kwa nini ufikirie kujengewa misikiti na DP World.

    • @kabhikachambala3392
      @kabhikachambala3392 21 день тому

      Kwa nini usifikirie kwamba suala la kupata misikiti kupitia DW ni suala udini??

  • @faza4023
    @faza4023 Рік тому

    Umeshindwa kuchambua mkataba hujauelewa au una udini? Unataka tuukubali tu bila kujali, huo ni udini WENU.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому

    Ma ustadhi mdichanganye mambo hakuna anaelataa DP world kinachokataliwa ni mkataba shehel hapo kuna wahuni wanapiga upatu sio lingine ndugu zangu kwa upande wangu ninavuoelewa !!!!!

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 Рік тому +1

    Endeleeni kupanda chuki ya udini,ila mtashindwa!.Wakristo na Waislam ni ndugu, ila viongozi wa kidini,hasa wa Kiislam ndio wanaotaka kuleta mpasuko.

    • @hamisimkoma7380
      @hamisimkoma7380 Рік тому

      Sisi ni ndugu ila si kwa kila jambo tambua hilo kungali mapema

  • @RaymondZindah-ow7wr
    @RaymondZindah-ow7wr Рік тому

    Acheni kuongea udini mshaulini mama yenu aache ujinga na tamaa ya kuuza nchi yetu

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 Рік тому

    Jamanieee.....Mzee huyu anazungumza ukweli mtupu. Ubaguzi wa kidini hauna maana. Sisi sote ni Waafrika na hizi dini tumeletewa na wageni sasa dini kwanini tuzitumie kutubagua? Tujadiliane kama waafrika je ambao si waaislam wala wakristo mtawaweka wapi?

  • @allyamri5028
    @allyamri5028 Рік тому

    Ninavyojua mimi wanaotajwa ni waarabu kwa kua mkataba huu unahusisha mwatanania na waarabu, napenda ieleweke kua uisilam ni uislam na waarabu ni waarabu. Tusizue mambo. Huo ni uchonganishi. ACHENI KABISA!!!!.

    • @jambo3751
      @jambo3751 Рік тому

      Akili yako haiwezi kugundua hilo na ndio maana huoni kwa undani wa mambo. Jiulize kwanini makanisa yamecharuka kuhusu suala la bandari! Kwa upande wa CHADEMA wao walizungumza kisiasa zaidi hawakuleta udini bali walijaribu kuziteka akili za watanganyika ndio maana wakaleta habari za Uzanzibari na Utanganyika na pia kwavile hawakubaliki Kule Zanzibar wakaona kusema SAMIA hana uchungu na maliasili za Tanganyika watavutia watanganyika wengi sana kihisia. Makanisa Tanzania kila akiwa madarakani muislamu basi wanaleta tafrani.

  • @mataoadolf3121
    @mataoadolf3121 Рік тому

    Nadhani kwa maoni yangu
    Huyu Mzee anazeeka vibaya
    Mkataba wa hao waarabu na uislam unahusiana nini??
    Naona huo ndiyo udini na ubaguzi anaouchichea
    Watu anaongelea uchumi, siasa na mazingira yaliotumika kuhusu mambo ya Muungano na nchi ya zanzibar. Yarekebishwe kwanini waarabu hawakupewa kwa tender
    Hovyo wanatakiwa tuondolewe hata km angepewa yeye nje ya taratibu akiwa ni mtanzania wanapaswa kunyanganywa
    Taratibu zifuatwe

  • @SeanEnt
    @SeanEnt Рік тому +1

    We Mzee ni pumbavu kabisa na huyo mwenzio hapo, wapumbavu wote wa2

  • @SamuDshira-xm9yn
    @SamuDshira-xm9yn Рік тому +3

    Mimi ni MKRISTO,ila waislamu nawakubali Kwa asilimia mia Moja kabisa,na ndio kanuni ya KiMungu.wote sisi ni binadamu na ni ndugu kabisa

  • @agustinomagessa510
    @agustinomagessa510 Рік тому

    Hatujazungumzia dini ya mtu ishu nikataba mbovu au diyo

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi Рік тому +1

    Masharti ya mkataba ndio magumu ndugu yangu

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 Рік тому

    Hapo unapewa historia ili mjue kwanin DP hatakiwi. Someni hivyo vitabu mlivyoambiwa

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj Рік тому +1

    Ndo maana naichukia bakwata kutoka moyon maana najua ni ya nyerere aln.!!!

  • @hafidhkhamis731
    @hafidhkhamis731 Рік тому

    Kama kweli mashart ya mkataba ni magumu ,ivi mmeyaona nyinyi tu serkali yote na watalamu wake hawakuona? Ebu mjtathmini tena ttzo nn km sio chuki ,udini na uzanzibar pmja na warabu

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 Рік тому +1

    Hao kama walikataliwa mwanzo wakapeleka somalia embu fikirieni leo somalia kuna nn zaidi ya machafuko kisa wazamiaji haramu
    Naomba niwambushe walioleta waarabu bara ni nani kama siyo hao mamwiyi wenu na ndiyo ikawa mwanzo wa utumwa maana ndiyo walikuwa wa kwanza kufanya biashara ya watumwa

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp Рік тому

    Yalikua yana mda! Lakin haya yasasa hayaelewek yataisha lini? Mwarabu aliwatoboa wazee wetu. Hatuwatak wanasifambaya kwenye inchiye

    • @mkude
      @mkude Рік тому

      Kwahiyo wewe unawapenda wazungu wanaowafundisha ushoga unazioenda hizo ndo tabia nzuri Kwa upande wako,itakuwa wazungu wameshakuharibu marinda hayo😂😂😂

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 Рік тому

    Wanao pinga wotewakristo ndicho tunacho kiona kwamba niudini

    • @LucianSanga-q8j
      @LucianSanga-q8j Рік тому

      Kwani Haruna lipumba naye ni Mcristo naye Anapinga Mkataba

  • @MozaOmar
    @MozaOmar Рік тому +2

    Hapa kinachosumbia ni Udini tu hakuna jengine

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Рік тому

    Tatizo letu waislamu ni kuwa hatuna uislamu. Kama tungekuwa na uislamu yasingetufika haya.

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 Рік тому

    Inatisha jmn warabu wanawauwa watu weusi uko dafuru wanauwawa nawarabu naistoshe nidini 1

  • @rehemashabhay8946
    @rehemashabhay8946 Рік тому

    Waarabu wametajwa kwa sababu wametuingiza mkataba ambao unatuibia,,kutaja waarabu,waafrika hata wazungu sio kosa wala udini..jamani tuache choko choko za udini zisije tupeleka kubaya..Tuipende nchi yetu..unaojadiliwa ni mkataba mbovu,..na waliotuingiza mkenge ni waarabu sio waislam..

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu Рік тому

      Kabisa kabisa na pia sio Waarabu wote ni Waislamu na vile vile sio Wazungu wote ni Wakristo. Hawa watu waache choko choko za Udini hazitatusaidia chochote zaidi ya kujenga chuki tu baina yetu

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Рік тому +1

    UONGO WA MKATABA WA BANDARI!!
    Ndugu zangu tutambue wanasiasa na wadau wao wanatuhadaa, hakuna mkataba wa bandari.
    Hizo ni porojo za wapotashsji wasioitakia mema nchi hii. fatilia hutuba za waziri mkuu ni rahisi kugundua hilo. na ndiyo maana hakuna yoyote anayeweza kuutoa huo mkataba hadharani na akaonesha mapungufu yake.
    Wanachokifanya ni kuwahadaa watanzania kwa kutumia mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiinchi kati ya Tanzania na Dubai wakidanganya eti ndiyo mkataba wa bandari jambo ambalo ni uongo wa wazi kabisa.
    Hao wapiga porojo wana ajenda yao ya siri kuwavuruga watanzania ili kuimarsha chama chao na hata kuzuia mapema usije ukafanyika mkataba wa usimamizi mpya wa kampuni inayotajwa ambayo inaonekana wazi kwa umahiri kiutendaji na uwezo wake kiuchumi na kiteknolojia itawrza kudhibiti wezi wanaoiba hapo ambao asilimia kubwa ukichunguza utagundua ni watu wanaotoka ktk kanda inayowaunga mkono wapiga porojo hao.
    Wezi hao ni watu wao wanaonufaika na hiyo hali iliyokuwepo sasa bandarini hapo na ndiyo maana hauwezi ukasikia wakiutaja ufisadi unaofanyika bandarini hapo zaidi wao kung'ang'ana na upotoshaji huku wasiojua kuna mchezo gani unaofanyika na wapiga porojo hao wao wanabaki kuwa wasindikizaji kwa kufata mkumbo wakihisi wanasapoti uzalendo kumbe na wao wanasaidia harakati za kuzuia serikali isiingie mkataba wa usimamizi mpya wa bandari ili kuwabakisha wezi warndelee kutupiga bandarini hapo.

    • @masamaki-jw6og
      @masamaki-jw6og Рік тому

      Bunge linajadili maridhiano au mkataba.huo ndio mkataba sio maridhiano.soma vizuri majukumu ya bunge.shida moja tu ya uislamu wa Africa mnajikuta Kila kitu akifanya mwaraabu ni sahihi kwenu ukimkosoa unasema ni udini.toa hoja za vipengele vya mkataba mama.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому

      @@masamaki-jw6og serikali imeshasema kupitia kwa waziri mkuu mkataba wa bandari bado haujafanyika na kilichopelekwa bungeni sio mkataba wa bandari ni makubaliano ya ushirikiano wa kiinchi kati ya Tanzania na Dubai ili kufungua milango ya kibishara kama tulivyofanya kwa nchi nyengine,.
      Mkataba wa kuwapa usimamizi wa bandari utafata baadae kama tutaridhiana sisi na Dubai. Je sasa mnavyolazimisha tuwaamini nyinyi wapiga domo kama nani?!
      Naona mmeshachoka kuwaibia watanzania hasa ktk hayo meneo mliopachikana, sasa mnataka kuiharibu amani kwa kuhamasisha uasi dhidi ya serikali kinuke tuchinjane wenyewe kwa wenyewe ili mabwana zenu wanaowatuma waje kusomba rasilimali zenu na nyinyi muwe vibaraka wao huko maporini na nchi yetu ya Tanzania iwe kama Congo?!
      Msijidanganye mkilianzisha hamtafika popote mnabweka kama mambwa koko, nyinyi asilimia kubwa ni waoga, juzi mlitangaza maandamano nchi nzima mbona mlijifungia vyumbani kama wali, baraka ya wingi tu kwenye mikutano yenu ya kupumbazana na kijazana upumbavu.
      Mikusanyiko yenu haitishii chichote, hamjafikia hata theluthi ya ukali wa nyuki, nyinyi ni kama nzi tu kimba lililonyewa kando ya choo, kwa jinsi mnavyoogopa kufa mkisogelewa tu wote mnatimka kila mmoja na njia yake.
      Tambua Tanzania hakuna pakujifichia, kila kwenye pori la nchi hii kuna askari shupavu na makini walioapa kwa kuyasabilia maisha yao ili kuilinda nchi hii, sasa jaribuni muone kama hamjazimika kama moto wa kibatali.
      Enzi zile za baba yetu kipenzi Mwendazake hayati Magufuli aliwahi kuwatahadharisha mkilianzisha balaa lenu badi hatotoka mtu.
      Kila mzalendo anayeitakia mema nchi hii tayari ameshawashitukia na hakuna mzalendo atakayeweza kuwaunga mkono, nyinyi ni wanafki mmeng'ang'ana kuwatetea wezi badala ya maslahi ya taifa.
      Tanzania ni moja na watanzania wote ni wamoja, umoja wetu na amani yetu ndiyo ngao yetu. Tanzania itadumu daima.

    • @thieryniyonkuru5023
      @thieryniyonkuru5023 Рік тому

      Waziri Mkuu, hakuonesha Facts, data, wala reaches za kupanguwa hoja ya mezani, alitishatisha tuu, hakuna mdubai kuingia bandari kwa limkataba la ovyo hivyo☹️☹️☹️☹️😏

    • @deusndyamkama10
      @deusndyamkama10 Рік тому

      Umeandika kwa kirefu lakini sijaambulia kitu.

    • @ElizabethKimbi
      @ElizabethKimbi Рік тому +1

      Ni kweli kuhusu wezi Tanzania bara wamezidi nao ndio waliopeleka wezi zanzibar hilo tuukubali

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume6380 Рік тому +4

    Mkataba wa Bandari sio wa Dini Ni wa Kisheria na tueleze mspungufu yake Kisheria na sio kidini

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 Рік тому

      hakuna mkataba wa bandari, hizo ni porojo za wapotashsji wasioitakia mema nchi hii. fatilia hutuba za waziri mkuu. na ndiyo maana hakuna yoyote anayeweza kuutoa huo mkataba hadharani na akaonesha mapungufu yake, wanachokifanya ni kuwahadaa watanzania kwa kutumia mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiinchi kati ya Tanzania na Dubai. Hao wapiga porojo wana ajenda ya siri kuwavuruga watanzania ili kuimarsha chama chao na hata kuzuia usimamizi mpya wa kampuni inayotajwa ambayo inaonekana wazi itazuia wezi wanaoiba hapo ambao asilimia kubwa ukichunguza utagundua ni watu wanaotoka ktk kanda inayowaunga mkono wapiga porojo hao, hao ni watu wao wanaonufaika na hiyo hali iliyokuwepo hapo na ndiyo maana hauwezi ukasikia wakiutaja ufisadi unaofanyika bandarini hapo zaidi wao kung'ang'ana na upotoshaji huku wasiojua kuna mchezo gani unaofanyika wanabaki kuwa wasindikizaji kwa kufata mkumbo wakihisi wanasapoti uzalendo kumbe na wao wanasaidia harakati za kuwabakisha wezi bandarini.

    • @Mweya-87
      @Mweya-87 Рік тому

      Umejieleza sana, lakini naweza kusema umetumia vibaya muda wako.

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd Рік тому +2

    Hawa watu wamejaaa udini sijawahi ona, kumbe lengo sio kujadili mkataba bali udini, nyie mtaacha lini udini

  • @br.samwelmparange4986
    @br.samwelmparange4986 Рік тому +5

    Babu upo Sawa. Nawasihi wote tuyasahihishe yanayokera ktk mkataba huo ili Kwa pamoja tusonge mbele Kwa umoja wetu tuliorithi toka Kwa Waasisi wetu WA Taiga letu. insha'Allah tutaelewana.

  • @Zahirimzee
    @Zahirimzee Рік тому +5

    M/mungu akujaalie Kila la kheri Leo na kesho inshallah(baba yangu)Habib mwamba

  • @globalpeacesummitstv8825
    @globalpeacesummitstv8825 Рік тому +2

    Mkuu umeongea vizuri lakini hata aliyekuwepo Bandarini Nazri Karamagi ni Muislam. Hapa sio udini tusiendekeze hayo. Hapa ni vipengere vya Mkataba ndo vijadiliwe, lakini pia Kumtaja Rais kusiwepo kwa sababu ahusiki na Makando kando haya. Yeye alimpa Jukumu msaidizi wake (Waziri) naye ana wasaidizi wake Wanasheria ambao nadhani ndo walizembea kupitia Mkataba ule.
    Naona mambo yanazungumzika na yanajadilika . Tuwe watulivu na tuzungumze wala hatuhutaji kuhesabu Waislam ni wangapi na Wakristo ni wangapi, hebu tutazame Utanzania kwanza.

  • @eugenaxwesso9321
    @eugenaxwesso9321 Рік тому +2

    Na vitabu unavyovisema ni vile vinavyofundisha uendeshaji wa dola na utoaji haki kwa misingi ya kiislamu

  • @MishoAdeMahanyu
    @MishoAdeMahanyu Рік тому +2

    Hivi kujadili huu Mkataba na kuupinga inahusiana vipi na Uislamu au Ukristo? Ninyi ndio mnaoleta Udini sasa. Yaani hata kama Mkataba una utata mnataka watu waukubali tu kisa eti umeletwa na Waarabu? Kwani mnadhani DP World wanafanya kazi Waislamu peke yake? Acheni Udini jadilini maslahi mapana ya Nchi. Mimi ni Mwislamu na naukubali sana uwekezaji lakini huu Mkataba ni muhimu sana ujadiliwe

    • @esamwakilasa
      @esamwakilasa Рік тому

      Wanaingizia Kisingizio watu wanazunguzia mkataba wengine wanaingiza udini

    • @faza4023
      @faza4023 Рік тому

      😅 wanachekesha

  • @ericsamba464
    @ericsamba464 Рік тому +4

    Daah huyu Mzee Mohamed Said pamoja na kuwa mwanahistoria mzuri sana, lakini huwa hawezi kuangalia jambo lolote bila kuvaa miwani ya dini. Kwa mfano, hili la bandari mbona halina udini wowote jamani?

    • @josephrutta6834
      @josephrutta6834 Рік тому +1

      Mzee kanishangaza sana hata Mimi. Kumbe nchi hii kuna watu wana UDINI hivi?? Mimi hata kwenye uchaguzi sijawahi fikiria dini ya mtu kabisaaaa! Nahisi sina wivu na dini yangu, inabidi niamke aisee.

    • @hamishassan6784
      @hamishassan6784 Рік тому

      sijui unaelewa au huwelewi au ndio unafanya makusudi. jifiche kwenye hiko kichaka lakini baadae utajutia ubinafsi wako. kwani hujui aliye wasema waislamu na wazanzibar badala ya kujadili mkataba? ikiwa Lema alikiri na kuonesha kuwa Samia ni rais wetu wote kwani hujui alikuwa anamaanisha nini. chokoeni tu nafasi ni yenu

    • @ritchiemuta1092
      @ritchiemuta1092 Рік тому

      Usitegemee jipya kwa huyu ni mdini sana vipi mkataba umepatikanaje???
      Udini ni lugha yenu na hasa huyu bw said

    • @jamesmbata8542
      @jamesmbata8542 Рік тому +1

      @@josephrutta6834 umeona eeh. Tatizo ss wakristo tunachukulia wote ni watz kumbe wenzetu wana agenda yao pembeni wanawachagua viongozi kwa dini zao😄

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 26 днів тому

      Udini upo mbona hampingi mkataba wa MoU wa makanisa na serikali kama ninyi mna tetea maslahi ya nchi mbona hamkulalamikia jueni kuwa nchi hii si yenu kwanza mko wachache sana asilimia zaidi ya sitini ni waislamu tuheshimiane tusidhulumiane wala tusikwazane..!

  • @amanilucy
    @amanilucy Рік тому +2

    Jaman me naamini kunawaisilamu wasomi sana nyie haumuoni mkataba ni mbovu ,mkataba gani hauvunjiki,, mkataba gani hauna consideration ,mkataba gani hauna time,,,, tusilete udini na uzanzibar na ubara ,, dibouti wanalia adi Leo na mkataba wa DP world kwani dijibouti ni nchi ya kikristu

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 Рік тому +2

    Yaani Shekh Mohd wewe madini ya Tanzania nzima yawekwe kushoto na ww ukae kulia basi bado ww unathamani zaidi kuliko hayo madini.

  • @nickjuma6020
    @nickjuma6020 Рік тому +2

    mbona nashindwa kuelewa!!? Mimi nilifikiri hapa cha muhimu zaidi ni mkataba wa DP World! mambo ya dini yanakujaje!!?🤷

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 Рік тому +1

      Yote haya bro
      Yameletwa na wanasisa
      Pale wanaposema
      Wa Zanzibar wanauza Tanzania
      Hivyo yameleta fikra tofauti

  • @mwanache
    @mwanache Рік тому +5

    Mzee kila ulichokisema kinadhihilisha tatizo la udini ambalo waislamu mnataka kulileta ndani ya nchi. Mimi ni mkristo na maisha yangu yote miaka 56 marafiki zangu wengi ni waislamu na hatujakuwa na tatizo la kidini. Wakristo hatuna shida wala muda wa kuiongelea kuran au uislamu MARA nyingi nimeona ndugu zetu waislamu wakiwaongelea wakristo na kuongelea biblia. Wote tunajua kuwa dini ikiingizwa kwenye siasa ni HATARI KUBWA… ndio maana tukasema nchi yetu haina dini. Na serikali haihusiani kabisa na swala la kujenga shule au vyuo vya kidini hilo ni swala la taasisi, waumini, na dini husika. Swala la mkataba linahojiwa na watu wote waislamu na wakristo… wote hawapingi waarabu kuja kusaidia kuboresha utendaji na ufanisi wa Bandari zetu KINACHOHOJIWA ni baadhi ya vipengere vilivyomo ktk mkataba kuwa havina tija kwa Taifa. Mzee unaonyesha kuwa ulitaka Nyerere alete udini kisa alishirikiana na waislamu ktk Uhuru wetu… Nyerere hakuamini ktk kuendesha nchi ktk misingi ya kidini… kuwepo kwa wakristo wengi wenye Elimu ndani ya serikali wakati huo ilikuwa sio Nyerere alilileta bali lilitokana na wakristo wengi walikuwa na Elimu nzuri kutoka ktk shule za wamisionari. Tatizo waislamu wengi wakati huo walijikita sana ktk Elimu ya madrasa/dini. Ningesema mengi ila nadhani unapotosha umma na sio kitu kizuri… UNALETA UDINI KTK SWALA HALIHUSIANI KABISA NA DINI ZETU… madhara ya mkataba hayatajali dini ya mtu, yanaathari kubwa kwa wote waislamu/wakristo.

    • @danielkanso
      @danielkanso Рік тому

      Huyu mzee sijamuelewa maana tunazungumzia kuwa kunavifungu vya mkataba wenyewe haupo sawa yaani kuna tatizo sasa yeye ndiyo kaleta zaidi mambo ya udini badala angesisitiza watu kuwa pamoja

    • @MishoAdeMahanyu
      @MishoAdeMahanyu Рік тому

      Halafu huyu mzee anataka atuthibitishie kwamba Dini ya Ukristo ni ya ubaguzi wa rangi akidai kwamba Uislamu hauna ubaguzi wa rangi. Mbona sasa Waarabu walifanya Biashara ya Watumwa kwa Babu zetu kama hawana ubaguzi wa rangi?
      Wote Wazungu na Waarabu na watu weupe walitubagua na kututawala na hii wala haihusiani chochote na Dini.
      Kwanza hao DP World anaozungumzia watendaji wengi ni Wazungu na watu wa nje wala sio Waarabu kama anavyodhani. Kwani Mkataba wa DP World utakunufaisha nini wewe kama Mwislamu au Mkristo?
      Nimeishi Arabuni wengi hawana elimu bali wanatumia Wazungu na Wahindi kufanya kazi za Kitaalamu. Watu weusi wengi wanabaguliwa sana.

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 Рік тому +3

    Ongeeni ibovu wa mkataba dini ni vikundi vya kumwendea mwenyezi mungu kila mtu aabudu anachoona ni haki kwake

    • @gessanabuu2099
      @gessanabuu2099 Рік тому +1

      Mbona viongoz wenu wa juu wa dini wanaweka mbele udini kuliko maslahi ya taifa na hamuwakemei? Huend mnapiga makofi.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Kwani mkataba si umepelekwa kanisani kujadiliwa nn ..!

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 21 день тому

    Je uhuru uliokusudiwa na Skyse na wazee wengine ulikuwa kwa ajili ya Dini ya Kiisilamu? Je hayo yasingewatokea waisilamu yasingewatokea wakristo?
    Mchungaji Mtikila alimpinga sana Nyerere, Mtei alipishana na Nyerere, Tundulisu alimpinga sana JPM lakini hawa wote ni Wakristo... Kwa nini Raisi akiwa muisilamu akipingwa mnasema anapingwa dini yake?

  • @philipmarmo3522
    @philipmarmo3522 Рік тому +2

    Kwa hakika ndugu Mohamed ameongea kwa hisia kali lakini kwa uungwana. Ebu wahusika kwa Nia njema waujadili mkataba ibara kwa ibara bila kileta yale ya Nje Mkataba- Uislamu, Uzanzibar nk. Watu wazima tena wasomi Watanzania wanastahili kuwa na akiba ya maneo, kuwa wakweli na warejee katika dhamira yao ya ndani kabisa.

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 Рік тому +1

    Waambie hao wapumbavu wanaoibeza dini ya uislam ilihali imefanya kaz kubwa ktk kuleta uhuru wa nchi hii lakin leo anaonekana nyerere tu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 25 днів тому

    Mohamed saidi si mdini kama mayo coment!!ila siku zote ukiongelea kuhusu uislam u,utaitwa mdini!!l
    Maana maana ya udini kwa tsfsiri ni kuutaja UISLAM!!

  • @musa-v3f
    @musa-v3f Рік тому +1

    Mohames Saidi yeye kila siku kuhubiri udini tu Badala ya kujadili mkataba na vipengele vyake vyenye utata mnadjili dini na ukabila mnacheza ngoma ya CCM

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc Рік тому +1

    Asante Sheikh Mohammed kwa kutujuvya na kutuzindua kumbe kuna madudu makubwa ya serikali ya Tanzania dhidi ya raia wake wasiokua “ WAKATOLIKI” inakuaje kuweka “ memorandum of understanding “ na Makanisa ya kuwasaidia mabilioni ya fedha ya walipakodi kwa Wakristo tu wakati wanasema serikali haina dini?

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 15 днів тому

    Na hizo pesa ndio zilileta vita somalia mpaka sasa vita hijaisha Nyerere alisababisha nchi ikatulia

  • @ElizabethKimbi
    @ElizabethKimbi Рік тому +1

    Tunaomba copy za mkataba wa makanisa na serikali tuijadili hapa

    • @Lky589
      @Lky589 Рік тому

      Ili waislamu nawawo waingie mkataba na oac.

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 11 місяців тому

    Mzee Wewe Unaongelea Misaada.Hizo Nifikra Za Watu Waoishi Kwa Misaada.Hizo Ni Fikira Za Kitumwa.Usimwaminie Mwarabu.Huyu Ni Mtesi Wetu Mpaka Leo.

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 Рік тому +1

    Tatizo ni kuficha historia ya ukweli na misha halisi aliopatia uraisi M/Nyerere ikifuatiwa na khiana baada ya Uhuru.

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 Рік тому

    Sheria na nguvu za kuitawala Tanzania ilitengenezwa toka baada ya uhuru na serikali ya mwanzo ya Nyerere,iliyolipa nguvu kanisa,kuingia mkataba kama wa MOA,wa kuliaaidia kanisa kwa pesa za walipa kodi,leo ubalozi wa Vaticani upo Dar,waislamu wanazuuliwa hata kujiunga na jumuiya ya kimataifa ya kiislamu,OIC,mkataba wa bandari mwezi huu wa Zanzibar chini ya ufaransa/wazungu/wagalatia/wakristo hujasikia pingamizi,kwa kuwa kama ulivyosema mkataba wa Dar chini ya Dubai/waarabu/waislamu,ndio imekuwa shida???,kuwa na imani hii sio haki.

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ Місяць тому

    Upumbavu wa huyu mzee unatokana na kuangalia mambo kwa miwani ya udini.
    Anasujudu sana waarabu

  • @ahmedbaamironlinetv4753
    @ahmedbaamironlinetv4753 25 днів тому

    Mumekua na kiburi Sana wakiristo Sasa hivi Tena munatuonesha hadhara nnasi

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 Рік тому

    We are caught in the same trape as the primitive man was trapped. We are all attached to something. Why don't we get out of those trapes .....religious trapes!!!

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 Рік тому

    Mkoloni tuliyemuondoa hapa Tanzania alikuwa mkristo na Nyerere sialikuwa mkristo mbona tumfukuza wingereza ambaye ni mkristo ....waarabu ni waslamu ni kweli lakini sisi tunatetea bandari zetu kwakuwa mkataba ni mbovu si dini hapa...tunapotetea chetu hatuna cha uislamu au ukristo tuna utanganyika....sasa mmejisahau mnaleta udini ...Ok mnacheza na moto

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t Рік тому

    Hakunakatibaya Tanzania inayodailazima kiongozi awemkiristo aumwislamu hawa wazee yawezekana waombewe kiongozi waTanzania anaweza aukuwamwisilamu aumkiristo audini yoyote zikiwemo dini zajadi tulizozikuta hapaduniani inahitajika busara mujadarahuu sivilaka.vyakutuondoa kwenyemujadara wakinacho ongelewa naserikali nawananchiwake swalanikuishauri seikali.