Yanga SC 1-0 Kaizer Chiefs | Highlights | Friendly Match - 22/07/2023
Вставка
- Опубліковано 21 лип 2023
- Highlights: hapa chuma cha Kennedy Musonda assist saafi kutoka kwa Maxi Mpia akiwaadhibu Kaizer Chiefs kwenye mechi ya kirafiki ilivyochezwa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Julai 22, 2023.
- Спорт
Kama unairudia hii sherehee ya WANANCHIII💚💚💛like hapa ili tujuane wanayangaa 💚💚💚💛💛
Mambo vp mwananchi wap m np dom
Vp
@@tumaini-fx1cd poa
@@jumasitta8578 poa wananchi wezanguu💚💚💛💛
Mambo
This Yanga SC team real is amazing and well organized
Look at how thy gave our guys a warming welcome and the Atmosphere from fans n management was extraordinary
Well done guys
historically when South Africa fight for independent, there is soulder from South Africa stay in Tanzania and get train after that they come back south African to fight. Mandela and Nyerere like brothers in that time. Welcome Tanzania
We are brothers ... Welcome TZ
Naipenda sana yangaa
Timu iko vizuri kabisa. Tuna imani kabisa ya kufika mbali
Soon No 1 on trending 👌🖤💛💚
Amakhosi are too defensive but they are not clearing the lines n they need to work on that area of their game. They are quick to fall back but they not intercepting the through ball in terms of making defence splitting pass in order to catch opponent off guard. They need to work on their right wing coz they are very deadly on the left wing. I must confess that chiefs have great individuals n once they gel together chiefs will be the force to reckon a hard nut to Crack in did. As for their solitary goal it was just the lack of communication n I must give the credit to that musonda guys he made very easy to beat Itu but other than that we matched them pound for pound. Rise khosi Rise❤ 10:30
Very fact. Tz
18 on trending 🙌🙌
Ni noma xana makolo wa na umia sana😂😂😂😂😂😂
Gemu la mvuto Sana young day
Itumeleng Khune is the greatest shot stopping goalkeeper in SA
Jaman hatarii sanaa jonasi mkudee kama omeiona yanga ni ya moto like
Ukiwa mshabiki wa mwanchi unafaidi vingi mnooo!!!
Yanga ni one in trending
❤yanga m,ni mwananchi damu
Namba one on trending
Young Africans
Mech iko trendng ndan yawik mbil sasa
great game from both teams. thank you YOUNG AFRICANS ✌
Yaan nataman isiishe
Naipenda san yanga.
Good play from Yanga SC , This should be a lesson to KC...It looks like they didnt have a strategy or maybe they took the game as Friendly, their defence was easily exposed, if they continue like this they wont see the next seasons TOP8.
❤ young africans
Sajili zote walizo fanya yanga ni hatarr🔥🔥
Kila mda narudiarudia kuangalia 😅
Hii itaenda trending 💚💛
Gonga like Kama unaenjoy
Wa kwanz naomba nipewe mauwa yangu😂😂😂
Siyo Mauwa ni MAUA🤣🤣🤣🤣 Ila nimekutumia like. INAPENDEZA.🙏🙏
@@DUL69 ww umetumwa sio bure😅
@@alicenice1711KATUMWA HUYO VP UTANIPA ILE KITU NAMESA MWENSAKE??? 😂😂😂😂😂
@@salimmalaka256 Funga domo lako hilo jinga ww
@@alicenice1711 USISEME HIVOOO 😂 😆 😂 😆
Msonda achukue hataile stal yakupiga smu yamayel iko poa Sana naitaenda mapema kwauma
Na mutambue hii n kaizer chief sio mtibwa au tanzania prison wamecheza na team kubwa africa
Uyo goal kipper wao duuh kajitahid
Yanga tamu jaman weka like ambaye umeenjoy soka la leo
Mbovu
@@edgarernest3337WAMECHEZA KWA NGUVU KUTAFUTA SIFA.
Wanayanga mamb niaje mnaona mamb yetu
Team yangu ya zamani kipindi bado naishi south africa @KAIZA CHIEFS
Msonda inatakiwa atafte staili itakayimtambisha maana ypo vzr sana lkn indentity ndo shida
Love it live it 💚💛💚💛✅ hiii imeenda.
Allaah Akbar
😂 salamaaaaa
Hivi mmemuona kayoko alivyostuka ile fataki ya mwanzo😂😂
Tuache kuwasema wachezaji vibaya Musonda Ni mchezaji mzuri sana kwani hata mayele alikua akikosa chance nyingi akaambulia Goli mmoja so y Musonda tuacheni maneno neno ya kuwakatisha Tamaa wachezaji.kukosea kupo Kwa kila mchezaji.tusiwe km mashabiki wa kidunduka
Tim imecheza vzur lakn mauya na ngushi leo mmezaliwa upya
Max ni atari
Nomaaaaa sanaaaaa
Huu ndio mpira achana na zile butua butua za jana😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤naipnd yng jmn
Max asipokua MVP ligi kuuu... Nipigeni kidogo kidogo mpaka nife
Usipigweuhamie makolotu!!!!
UTOPOLOOOOO NYOTE WASHIRIKINA NYIE.
@@salimmalaka256 WASHIRIKINA ILA HATUKUWAHI KUCHOMA UWANJA MOTO KAMA WW NA MIJEZI YAKO KA MGAMGA KOLOKOLO
@@delimachesa5007 NYIE MLIOPIGWA FAINI ZA KUWAPULIZIA TIMU GENI SUMU NA KUWAIBIA PESA ZAO NA SIMBA NANI BORA??? NA MWAKA HUU CLUB CHAMPION MNATOLEWA MAPEMA JOGOO LA KWANZA ALFAJIRI KAMA KAWAIDA YENU 😂 😆 NA HAKUNA KWENDA KWA MA LOOSERS MWAKA HUU😂 😆MTAISOMA NAMBA 😂
@@salimmalaka256 SASA IYO CLUB BINGWA MAKUNDI YANGA NDO YIMU YA KWANZA KUINGIA MAKUNDI KULIKO ZOTE TANZANIA TUSHAZOEA..HATUOGOPI KWA SABABU KIBONDE WETU ANAISHIA ROBO SISI TUNATAKA TUWAONYESHE NI KINA NAN KUMBUKA AMAEFUMGWA HAPO NI KAIZER BRO
Mauya gift kazaliwa upyaa💚💛💚💛
Nmekuja kuangalia mara ya nne hii
😂
Duu kesho wa kwanza kuitukana serikali juu ya bei za ma bundle 😂😂😂
@@shinipapaya846 😂😂😂nna akili timamu bro
Noma yanga
Mzizeee hato fanikiwa kwasabu ya uchoyo wa pass
Sawa Mungu
Kaizer Chiefs players were drinking during the pre season break 😭😭
Zamack
Safi sana sio mbaya
young mwaka huu tupeni Tena Raha young ni moto on fire hii ni team kubwa na yenye wachezaji mahiri sana wamataifa na kimataifa
Yuuhuu
Kipa wa kaiza apewe maua yake,ni hatari
Yanga nomaaaaaa
Naipenda yanga yangu
Nomaaa😮😅
Kiukweli HII mechi haichoshi.kuiangalia km Ile ya Yanga Na Azam Na Ile Na Mazembe ya Dar Yanga waliupiga mwingi sana tuseme Tu ukweli
hii ndo maana halisi ya kuwa na kikosi kipana sasa makolo wataanza kuelew kuwa hakuna mchezaji yeyote mkubwa kuliko club sio kama wao wananyenyekea wachezaji sisi ukitaka kusep ondoka watakuja wengine
Uweke akiba ya maneno
Uweke akiba ya Maneno Mbwa 🐶🐶 wewe 😂😂😂😂😂😂.....Goal lenyewe Unalopigia Kelele leo Hilo Liangalie Vzr 😎😎😎
@@Chuma09 akiba ipi na sisi ndo mabingwa
@@Chuma09 Goal limefanyaje ??????I
@@salim02tv24 Macho yako hayaoni kama Mimi 😂😂😂😂😂🙈🙈🙈,,,Mimi Nimebebwa Tujipange Tuuuuuu Caezar Chiefs Siyo wenzetu Hao Wapo Mbali Sana .......Leo Ni Sherehe Yetu TUngeharibiwa Siku Bure 😁🤣
Yanga❤❤❤❤❤❤
Azam media acheni ubinafsi...yan game yote hii mmeweka highlight ya dakika kumi?😢
Looking at the highlights, Yanga FC deserved to win, they were all over Chiefs. However, the goal would not stand if there was VAR. It was a clear offside!
YANGA oyeeeeeeeee💚💛💚💛💚💛💚
Me piaah narudia kira sku
❤
@AzamTV we need more y’all should start making these highlight videos longer. 10 minutes is not enough.
Chiefs played very well,left wing excellent, fix the right wing side to attack from both sides
Please try to be honest, I hope you're not trying to comfort yourself from nothing😂😢
This comment has the character of which craft
@@highvoltages4169😂😂😂😂
Yani azam kweli highlights ni dakika 10 tu daah😢😢
Hii mechi ilkuwa tamu sana
Gift Fred😘
Phone 📱
Tumecheza vizuri lakini ili tufanye vizuri zaidi bado tunahitaji mshambuliaji wa level ya juu kabisa
Kawaida sana
utofauti wa mayele na msonda ni kwamba msonda ni mtu wakukosa magoli mengi lakin mayele hakukos mara mbili
Sema kweli
Sio kweli tofauti ni kwamba mayele ananyota ya kupendwa tu ila kukosa magoli mayele pia alikuwa Anakosa sana ila watu walishamuweka moyoni
@@delimachesa5007 Apan bna mayele alikuwa akosi sana kam musonda nandomana ata akikosa one time watu awamuongelei sana kutokana anapatia sana tofauti namusonda yeye huwa anakosa sana magoli yawazi ndomana watu huwa wanammaind sana
africa
Yanga oyeeeeeerrrr
❤naipenda sana yng
Kudalodi
Yanga hatari
Khune did great job even those we lost
Where is Arafat Haji? is not seen any where now days; remember he was elected by team members, you can't relegate him as you want.
he was there @mwananchi day
❤❤
🎉🎉🎉🎉
Yanga
Yanga raha sn
Mzinze mwaka wako kaka usikosee🎉
Yanga yakawaida sana
Ila ya wapanda milima nzurii zaidii 🤣🤣
@@mwanangusanaTULIYA WEWE MVUVI WA NUNGWI 😂😂😂
NGOJA WAFUMULIWE OVYO MWAKA HUU NDII WATAKUBALI UTOPOLO WANATEGEMEA UCHAWI NA TIGO PESA.
yanga noma
Tafadhali ndugu azam tv fanyeni extension ya highlights dakika kumi ni chache sana. Walau zingekuwa dakika 25 viongozi
Krisipin ngushi kama amejipata sas akiendelea hv
Yanga raha sana aisee 💛💚💚💛💚
Yanga balaaa
Yanga sio poa wanetu. Muda unahitajika bada apo timu ipo tabu ipo pale pale hiiii imeenda
Ila uyu skudu na max duuuh shikamoni
MARASABAA
Sema Highlight ni Fupi sana Wazeeee
Watuwekee hata mechi yote mb si zetu
Kwel haitoshi
Kama umeona kioa kashangilia had kwenye kibendera😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kama umemuona refa mapigo yamoyo yalivyoenda 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mauya😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Mauya kaanza kuwa modrick bana mpira unaitaje motivation hahaha na mkude ndo motivation yenyewe
Kagoli kabahati
Ila ni kagolii au ni kibegi??
@@mwanangusana😂😂😂😂😂
Refa kashtuka kwenye mafataki😅😅😅
Azam mn zingua dakk 10 ndo nn mamaee zenu
Match highlights dk 10?
team bado ipo sana