WIMBO MPYA WA DIAMOND KWA YANGA UPO JIKONI/WALICHOKIANDAA YANGA KUKIFANYA KWA DIAMOND NI BALAA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

КОМЕНТАРІ • 182

  • @rudachrischris5300
    @rudachrischris5300 Рік тому +32

    I Love YANGA Africa from Rwanda 🇷🇼 Kigali

    • @aposthq
      @aposthq Рік тому +2

      Muvandimwe uroho koko 😂🙌🙌🙌

    • @josephsjohnmk636
      @josephsjohnmk636 Рік тому

      Wow! Congratulations Sana @rudachrischris5300 you're welcome in Tz, hususani kwenye club kubwa African!

  • @Ally_plan_wa_ujiji
    @Ally_plan_wa_ujiji Рік тому +28

    Gonga like kwa niaba ya RAIS

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 Рік тому +16

    My team my life Yangaaa Afrikaaaaaa

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 Рік тому +15

    🇹🇿oh diamond platinum welcome bro shangwe ni nyingi sana kwako 🏂

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Рік тому +16

    Branding at its finest aisee,hongereni sana,🤟🤟💛💚

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 Рік тому +8

    Viva Yanga Viva Diamond chibu Dangote 💥💛💚🌟🏅💫🔥🏆

  • @gracegofrey4677
    @gracegofrey4677 Рік тому +15

    Congrat eng hersi kazi unaifanya mashaalah Allah awaongoze viongozi wote🔰

  • @shomari_msumi
    @shomari_msumi Рік тому +14

    Atarudi mmoja mmoja aliesaliti chama🔰✅✅🔰

  • @rehemaabdullah7606
    @rehemaabdullah7606 Рік тому +16

    Asante Rais wetu Tunakuombea Dua uishi miaka mingi Husda za watu zikupite pemben🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @morningstarartproduction8436
    @morningstarartproduction8436 Рік тому +14

    Mwananchiiiiiiii 💚💛💪

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 Рік тому +23

    Nawaambiaga watu Huyu rais atakuja kuleta mabadiliko makubwa sana sanaaa natupo nyumayake mtaani kuitetea yanga na raisi kindaki ndaki watajua awajui

  • @asifznz
    @asifznz Рік тому +33

    Jamma huyo msani LAZIMA ANA AJENDA ILIYOJIFICHA ,sisi tunataka kuanzisha YANGA RADIO NA YANGA TV sasa sasa FIKIRIENI VIZURI sio nyimbo tuu

  • @katushabedotto2883
    @katushabedotto2883 Рік тому +4

    Mngu anatupigania wananchiiiii 💛💚💚💚💛💚💪

  • @josephsjohnmk636
    @josephsjohnmk636 Рік тому +5

    Wow! Nawapenda Sana Sana Eng Heris, priva, Ally huwa na enjoy Sana kuwaona, kuwasikiliza na Imani yangu kubwa ni kuwa yanga tuko mikono salama,na wananchi tunasonga mbele!!

  • @tinabapemacho8650
    @tinabapemacho8650 Рік тому +12

    Nilikuwa nisha Mu miss rais wetu sichokagi kukusikiliz hongera kwa majukumu yako tuna mkaribisha kwa hamu kwenye timu kubwa ya wananchi

  • @tilikahemela3333
    @tilikahemela3333 Рік тому +9

    Watakuja wote hii nchi ukizaliwa tu tayari we ni mwananchi na hii ndio inathibitisha

  • @stanpeter1076
    @stanpeter1076 Рік тому +13

    Tunaviongoz wenye akili kubwa sana, big up.

  • @ajodankaliath8947
    @ajodankaliath8947 Рік тому +10

    Love you yanga💚💚

  • @francecemamba3748
    @francecemamba3748 Рік тому +6

    apewe cad fasta

  • @stanboestanboe5558
    @stanboestanboe5558 Рік тому +13

    Young Africans on the way🖤💚💛💛💪💯🔥🥇

  • @dskillz3203
    @dskillz3203 Рік тому +13

    Sema MONDI anajua kupiga kiki😂😂tayar ametoa NYIMBO leo 😄

  • @mansonnyamwela1801
    @mansonnyamwela1801 Рік тому +11

    Wow that's fantastic and I did enjoy it,, welcome big Man

  • @mgayamwananchi
    @mgayamwananchi Рік тому +6

    Mimi ndo wakwanza kucomment

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 Рік тому +6

    Yangaaaa Afrikaaaaaa

  • @JanethKaale
    @JanethKaale Рік тому +1

    Konde boy baba lao konde njoo 🦁 mwanaume tunakupenda

  • @blessedgreatempire1233
    @blessedgreatempire1233 Рік тому +6

    Engineer keep going tuko na wewe 🔥

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +12

    Crue ya habari ya Yanga ina vijana wanaojielewa, wameipaisha sana Yanga ....congrats to them

  • @magrethjonas8660
    @magrethjonas8660 Рік тому +3

    Daima mbele nyuma mwiko 💛💛💛💚💚💚

  • @jeniphermwasumbi7449
    @jeniphermwasumbi7449 Рік тому +4

    Engineer alivo shangaa sasa😂 naipenda yanga Mimi jaman💛💚💛💚

  • @venancekwembe1838
    @venancekwembe1838 Рік тому +3

    Sisi ndio yaaaanga

  • @miskyabdi3869
    @miskyabdi3869 Рік тому +7

    Njinia hersi tunakukubali sana rais wetu piga kazi wananchi tunafurah na wewe

  • @chieframadhani4976
    @chieframadhani4976 Рік тому +2

    Karibu kwenyetimu kubwa mondi wainchiiiiii

  • @nacetsiringa1334
    @nacetsiringa1334 Рік тому +6

    Hawa wasenge wanainjoy dah 😥😥😥

  • @ashurajamali
    @ashurajamali Рік тому +1

    Yanga acha itwe yanga milele watatutoa rohoo kiukwel olive yanga yangu 💟♥️💝💘💚

  • @bahatibutiko1322
    @bahatibutiko1322 Рік тому

    Big up my brother yanga tamu yanga damu damu

  • @zahrajumaa8965
    @zahrajumaa8965 Рік тому +37

    Kama unaikubali yanga gonga like hapo

  • @jr_mkumbojr
    @jr_mkumbojr Рік тому +4

    We're here

  • @shedrackgenesi4750
    @shedrackgenesi4750 Рік тому

    Yangaa oyeee naipenda sana yanga

  • @lukindofloriani4452
    @lukindofloriani4452 Рік тому +7

    Mm nashauri kuwe na hafla ya kuwakaribisha wasanii wakubwa wote sio mondi peke yake,hii itaongeza thamn kwa wasanii wetu wakubwa wanaoipenda yanga,hapa namaanisha,KIBA,MARIOO,HORMO,bila kumsahau mwamba kabsa MADEE

  • @diegochelsea9014
    @diegochelsea9014 Рік тому +1

    Hongereni Sana uongozi wote wa yanga mnafanya kazi kiukweli

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange4500 Рік тому +3

    Safi sana aiseeee

  • @zaidihussein4311
    @zaidihussein4311 Рік тому +3

    Karibu sana mondi ww ni mwana nchi

  • @heriethgodfreyhegoxa5551
    @heriethgodfreyhegoxa5551 6 місяців тому

    Priva ni comediani sana may Jah bless him💛💛💚💚💯💯💯🔥🔥🔥🔥🙏🏼

  • @omarihamadumetishasanalava4725

    Nice

  • @athumanmlenda6823
    @athumanmlenda6823 Рік тому +8

    Mimi ni yanga

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 Рік тому +6

    Hahahaaaaaaaa Ally Kamwe bhana iPhone 14 Pro Max

  • @shangazizaynyenzi3121
    @shangazizaynyenzi3121 Рік тому +20

    Welldone Engineer! we wish all the Best Baba!

    • @waziriwaziri8271
      @waziriwaziri8271 Рік тому

      Huyo mtu wakuhamahama Huyo amehama paka kwa babayake alikuwa anaitwa nasibu abdul sasa anaitwa nasibu nyange kwahiyo bado ataendeleya kuhama kwa mtu wa mpila hawezi kuhama

  • @diegochelsea9014
    @diegochelsea9014 Рік тому +3

    Tunaisubiri kwa hamu Sanaa hiyo ngomaa

  • @Ba63828
    @Ba63828 Рік тому +2

    Kabisa kabisa sana Diamond big game

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому +2

    Where is the CEO???? This guy seems to do everything! Executive President?

  • @abuujureyjkhaniykhaniy9645
    @abuujureyjkhaniykhaniy9645 Рік тому +6

    RAISII UNAUPIGWA MWINGIII MITANOO TENAAAA UMETUHESHIMISHA WANANCHII

  • @fatumaissa1165
    @fatumaissa1165 Рік тому +2

    Hers akili mingi

  • @ntakakasendebayi9992
    @ntakakasendebayi9992 Рік тому

    Safi sana sana Young African 💚💚💛💛 nitimu ya watu wote

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ Рік тому +1

    Kama Simba imeamia yanga inamaana inamaana timu pizani ni Azam na wenzake

  • @evansevan6968
    @evansevan6968 Рік тому

    Asant raise wetu

  • @sulleysonmishlay3846
    @sulleysonmishlay3846 Рік тому +1

    Mshambatu ,

  • @danieltsaxara9199
    @danieltsaxara9199 Рік тому +4

    Mondi ngoma aliyo itoa awali ni Kali ya Simba , so don't matter ageuke ila Simba ni big team

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g Рік тому +2

    Daima mbele nyuma mwiko

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 Рік тому +1

    so fun yaani mmefanya kazi ngumu imekuwa rahisi kuliko kawaida

  • @dorothyshee777
    @dorothyshee777 Рік тому +5

    Well done engineer
    Kindly nifikisheni 500 subscribers

  • @boasenkongoki2398
    @boasenkongoki2398 Рік тому +2

    Ewaaaa

  • @ndinadyodaniel4491
    @ndinadyodaniel4491 Рік тому +1

    Ama kweli Rais wetu wa yanga sikujua nilichojua nilifhan uongo sasa we ninani usieyependa platnum kwenye entateimeny

  • @juliusmgonhwa8729
    @juliusmgonhwa8729 Рік тому +1

    Wewe ni mwananchi uko nyumbani kiongozi katibu tushee furaha daima mbele nyuma mwiko.

  • @asifznz
    @asifznz Рік тому +4

    JINA YA AKA YA SASA NI MWANAINCHI

  • @annamalibiche585
    @annamalibiche585 Рік тому +1

    Naipenda yanga

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому +1

    Thus are really kids!

  • @TheRobertCK
    @TheRobertCK Рік тому

    Priva ongeza respect zaidi ukiwa na Rais, mfano hapo mwisho hujamaliza vizur kwa kuzingatia uwepo wake

  • @tuntufyemwaitebele
    @tuntufyemwaitebele Рік тому

    Engineer Yuko smart sana kwenye mazungumzo

  • @diegochelsea9014
    @diegochelsea9014 Рік тому

    Big up Sana diamond x eng hens

  • @eliasjemsi8392
    @eliasjemsi8392 Рік тому +1

    Yanga tuko poa hatuna maneno

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 Рік тому +1

    Yangaaaaa

  • @meshackmwalongo9798
    @meshackmwalongo9798 Рік тому +1

    Achawehu hajatangaza kuhamia yanga Kwanza kasema yeyenampira vituviwilitofauti ilayeyekasema nishabikimkubwa wamanala hajaitaja yanga kwahiyo unavowahabarisha watu ongeakilealichokisema Daymondi nasivinginevyo.

  • @eliasmwita390
    @eliasmwita390 Рік тому +4

    💚💚💛💛

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 Рік тому +1

    Next year atahamia Namungo

  • @fortclassic6361
    @fortclassic6361 Рік тому +1

    Wote ni wale wale tu nasi aje harmonize simba

  • @jonathanchadewa8092
    @jonathanchadewa8092 Рік тому +4

    💚💚💛💛🏅🏆🎖

  • @godfreymakau3932
    @godfreymakau3932 Рік тому

    Kazi iendelee

  • @francecemamba3748
    @francecemamba3748 Рік тому +5

    nimekuwa wakwanza

  • @godgrace-2984
    @godgrace-2984 Рік тому

    i love u yanga

  • @babujinga5819
    @babujinga5819 Рік тому +3

    Alipotea sasa ameonekana karudi nyumbani

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 Рік тому +1

    Abadilishe na jina letu la Simba.

  • @christinakikoti6042
    @christinakikoti6042 Рік тому

    Yanga noma mayele anawakela

  • @jermiahmapunda7485
    @jermiahmapunda7485 Рік тому

    Karibu tuwepamoja uvumilivu zaid

  • @obedi84
    @obedi84 Рік тому +3

    💚💚💚

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 Рік тому +1

    👏🏼👏🏽👏🏼👏🏼👏🏼

  • @manigatz5271
    @manigatz5271 Рік тому +2

    Diamond ana misifa saana yani daah ila karibu jangwani bwana mkubwaa

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 Рік тому +1

    I💚Yanga ninakupenda sana sana sana Yanga yangu please mkifika Mbeya nakata card yangu tena ile ya sh 29 elfu💚💛🖤 sisi ni Yanga Wananchi wenyewe kabisa

  • @maestrokiss7245
    @maestrokiss7245 Рік тому +2

    Rais Rais Rais Rais

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 Рік тому +1

    Yanga motoooooo

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 Рік тому

    Hongera wachezaji WA Yanga wenye nidhamu na utii wa hali ya juu, mnastahili kila sifa kwa kuiletea sifa Yanga na Taifa Zima la Tanzania. Mmekuwa wapiganaji wazuri hamkuwahi kuisalititi timu. Mafaniko yenuyamejengwa na Professor NABI na benchi lake zima chini ya Mdhamini wetu mahili GSM. Hakika mnastahili kujengewa mnara wa kumbukumbu. Waepukeni waharibifu watakaoanza kuwarubuni kwamba Yanga hakuna maslai.

  • @dudoshila835
    @dudoshila835 Рік тому

    Welcome

  • @heriethgodfreyhegoxa5551
    @heriethgodfreyhegoxa5551 6 місяців тому

    Huyu kimario nani priva wakati unahoji esp president na watu wengine huwa unamaliza na kuwaacha mataa u should learn kumaliza na washukuru mwishoni mnaporecord APPRICIATE MTU KUKUBALI KUSIMAMA KUHOJIWA NA WEWE.
    SO FAR U(all) ARE DOING A GOOD JOB, watuwengi wamekuwa wakijiongeza tyuu nakuondoka

  • @TinaTina-ip9yr
    @TinaTina-ip9yr Рік тому +2

    Ali unapenda kumuonea mwenzio 😂 hahahaha

  • @yohanadwac7497
    @yohanadwac7497 Рік тому +1

    Tumpokee.
    But tusimpe maneno mengi sana tukajikuta tumewavunja moyo wasanii tulikuwa nao muda mrefu@HarmonizeMarioAlikiba.

  • @mwelimazozo9691
    @mwelimazozo9691 Рік тому

    Yanga kubwa sanaa

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Рік тому +2

    Yanga Ina mtu, kongole Mr Hersi

  • @omaryhamidu3908
    @omaryhamidu3908 Рік тому

    Uyo diamond nimbanga 2 yaani kiujumla nikama mavi yamwisho bado sana yaani nimandazi 2

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 Рік тому +1

    Priva jamani mgomvi eti na mimi alinambia nafanya vzr

  • @jonasayubu1809
    @jonasayubu1809 Рік тому +2

    Kwani kolo Wanasemaje?

  • @fredyraphael5696
    @fredyraphael5696 Рік тому

    Angekuwa mo dewj sawa sio huyo kwanza ndo tunajua alikuwa shabiki wasimba