RAS MKOA wa ARUSHA AJIBU ALIPO RC MAKONDA - AFYA YAKE kwa MARA ya KWANZA KUPITIA GLOBAL TV....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • RAS MKOA wa ARUSHA AJIBU ALIPO RC MAKONDA - AFYA YAKE kwa MARA ya KWANZA KUPITIA GLOBAL TV....
    Ni wiki mbili zimepita tangu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, RC Paul Makonda hajaonekana hadharani katika shughuli zake kama Mkuu wa Mkoa.
    Makonda anajulikana ni Mkuu wa Mkoa machachari asiyeishiwa mipango mikubwa ya kuwatumikia wananchi kwa nafasi aliyopewa na Rais Samia Suluhu ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha; siyo mtu wa kukaaa kimya muda wote huo.
    Mara ya mwisho alionekana hadharani tarehe 13 na 14 ya Julai mwaka huu kwenye shindano lake la kuendesha pikipiki katika Viwanja vya Laki Laki- Kisongo jijini Arusha.
    GLOBAL TV imezungumza na Katibu Tawala Mkoa wa Mkoa wa Arusha RAS Missile Mussa ambaye yeye ni msimamizi wa shughuli zote za mkoa kuhusu alipo RC Makonda na hali yake ya kiafya kwa sasa...FUATILIA ZAIDI GLOBAL TV...
    CREDIT: @Korumba_Lebabazi
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 423

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +27

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Місяць тому +20

    Mwanangu kama unaumwa Mungu akupe afya njema kwakweli. Tunakupenda sana❤❤🎉🎉🎉❤❤❤

  • @yassinerasmus7400
    @yassinerasmus7400 Місяць тому +30

    Mungu ww ndo mwenye majibu sahihi ya Makonda ee Mungu wetu mpe Afya njema

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 Місяць тому +6

    Makonda tunakupenda Sana mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu Kristo asimame nawewe katika Hali zote

  • @SarahLetion
    @SarahLetion Місяць тому +43

    Moyo unauma sana kusikia hivyo Mungu mlinde shujaa wetu popote alipo kumbuka kazi nzuri aliofanya kwa ajili ya watanzania , Baba hatujui yuko wapi ila wewe unajua tunamfunika kwa damu ya Yesu Kristo na kila atakapo pita Mungu mbariki maadui zake wakae mbali kwa jina la Yesu Kristo, amen.

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb Місяць тому

      Mungu amesikia maombi yako

    • @ELIAMbise-sy5ue
      @ELIAMbise-sy5ue Місяць тому +1

      Kabla yakupaparikia aliyo yafanya katika uenezi wake , angalia back ground yake. Muuwaji uyo.

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 Місяць тому

      Shujaa wawa wapumbavu wasiyo jielewa, wavivu, wajinga na masikini wa fikra

    • @ElygloryKilango-qu1kj
      @ElygloryKilango-qu1kj Місяць тому

      Wew ndio hujielewi​@@erickmsigala138

    • @pambanassoro
      @pambanassoro Місяць тому

      Mtu anaependa kula jasho LA watu Huwa afurahishwi na Mtu atakae jitokeza kutengeneza haki za walio na haki maana aliekuwa anatumia jasho La watu atakosa haki mungu wape maarifa watu wako ameen

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 Місяць тому +28

    Kaka yetu Makonda Mungu amlinde sana. Mungu amlinde sana tunachukia sana kua na ukimya. Hatupendi ujue na taarifa yenu Paul Makonda yupo mioyoni mwetu.

  • @MapenziMalanda
    @MapenziMalanda Місяць тому +20

    Msh Makonda yupo mikononi mwa Kristo na hakuna Hila Wala nguvu yeyote ya Giza inayo weza kumgusa.✝️💪

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Місяць тому +16

    Mungu wangu akampe Afya njema Kijana wetu Makonda.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Місяць тому +45

    Mungu mlinde huyu shuja wetu mpe afya njema Na maisha marefeu inshaallah 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @ibrahimdaudi5823
    @ibrahimdaudi5823 Місяць тому +18

    mwenyezi mungu amlinde popote alipo

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky Місяць тому +17

    Mungu umlinde Mh. Makonda awe mzima wa afya . Ninaachilia nguvu ya roho mtakatifu imponye .

  • @beatricejoseph2347
    @beatricejoseph2347 Місяць тому +24

    Mkono wa Mungu ukawe juu ya baba Keagan, mabaya yasikupate .

  • @elinurukitomali6008
    @elinurukitomali6008 Місяць тому +6

    Eeee Mungu wangu mbona sielewi jamani Mr. Makonda popote ulipo Mungu akulinde

  • @user-dc1qh3nm5s
    @user-dc1qh3nm5s Місяць тому +4

    Jamani makonda mungu akulinde tunakupenda sana mungu wangu msadie

  • @odilomwakamela4889
    @odilomwakamela4889 Місяць тому +4

    Dah Mungu amfanyie wepesi makonda ni aina ya kiongoz ambaye taifa linamhitaji sana sanaa

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi Місяць тому +8

    Duu Kama wamemuua Tena makonda kwa kweli Nchi hii sio ya Aman Tena tutakua tuu na mungu aishivyo Bora tu makonda awe salama maana hata mbingu na ardhi kutulia kimya Ila Kama wamemwondoa Tena mtetezi wa wanyonge Kama Rais wetu Duu Bora Kenya maisha ni laivi hawana unafki kwa kweli

  • @djumaally5536
    @djumaally5536 Місяць тому +4

    Ewe mungu amlinde mkuu makonda (we need you)

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi Місяць тому +26

    Jamani, tuambieni ukweli,
    Makonda yupo wapi?
    Msije mkatuambia amekufa, hatutawaelewa.
    Tunataka kumuona Makonda akiwa mzima.
    Asante.

    • @reubenkissinga5802
      @reubenkissinga5802 Місяць тому +2

      Umepagawa?Kwani ni Nani anastahili kufa?Acha uzwazwaa

    • @CHIIZATV-hl4zu
      @CHIIZATV-hl4zu Місяць тому

      Huyu jamaa ni fala bac kufa wewe yeye abaki😂😂😂

    • @iddykivu050
      @iddykivu050 Місяць тому

      ​@@reubenkissinga5802Mbona Unaingilia Mawazo ya Mtu nini Shida Au Ulishawai kulawitiwa

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 Місяць тому

      ​@@reubenkissinga5802bwege

    • @marymgimwa
      @marymgimwa Місяць тому

      Yaani mhhh muumba MAKONDA APONE KWA LOLOTE

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok Місяць тому +11

    Mungu amlinde

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n Місяць тому +6

    Mungu siku zote ni wa haki ikiwa siku yake ya kufa haijafika hatokufa ng'o mpaka atimize kusud la Mungu aliloitiwa na Mungu

  • @wilybinamungu9731
    @wilybinamungu9731 Місяць тому +5

    IPO siku uvumilivu utakwisha, hatuwezi kukaa tunaona tu Viongozi watetezi WA wanyonge wanafanyiwa MATUKIO makubwa arafu tunakaa kimya siku zote, tutakuja kuamka tu!. Niombe mwenyezi Mungu amjahaliye Afya njema

  • @user-fl3qf6vy1q
    @user-fl3qf6vy1q Місяць тому +6

    Mungu simama na kiongozi huyu imani yetu ni kubwa sana kwko❤

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx Місяць тому +4

    Hizi habari zinatisha sana lakini tusichoke kumuombea Kiongozi wetu Bora kbs.

  • @DamianNdoka-e7f
    @DamianNdoka-e7f Місяць тому +2

    Pole RC wetu mungu akuambirije 'mwanakaya tupo pamoja kwa sala uppate nafuu wabeja from TAWESO MToWAmBUAR

  • @zainabunizota3540
    @zainabunizota3540 Місяць тому +3

    Mungu amlinde na ampe afya njema makonda wetu sisi ndio anayetufaa basi watuachie,

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 Місяць тому +7

    My brother Makonda tunahitaji tumuone katika media mtafanya tuunganishe matukio ni mtu pekee mtetezi wa Rais wetu katika umbo la kibinadamu mwenye pua mdomo na masikio ambae moyo wake mweupe kuitumikia nchi hii🇹🇿

  • @henrykigugwe5112
    @henrykigugwe5112 Місяць тому +3

    He is a Hero ! Will still Be A Hero!

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 Місяць тому +7

    Tz ukionekana shujaa tu unapotezwa, kiukweli Makonda nimpiganaji sana na nimsema kweli ila kila kilichokizuri kinatuachia maumivu...jamani Mungu mlinde huyu baba hakika nishujaa.

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan Місяць тому +1

    ❤PCMakonda Mwenye'Enzi'Mungu'Mlezi AmLinde na AmTangulie❤

  • @ErnestSolomon-m7o
    @ErnestSolomon-m7o Місяць тому +3

    Mungu naomba umsaidie rafiki yangu makonda wanaopigana name mungu pigana nao usiogope mungu atakushindia

  • @culturaltourism8594
    @culturaltourism8594 Місяць тому +2

    Mungu baba katika Jina La Yesu tulindie Makonda..tusikie anaendelea vizuri..Amen

  • @honorascusmatembe2987
    @honorascusmatembe2987 Місяць тому +3

    Makonda wherever you're be protected and preserved in the name of Jesus Christ and Come back safe and strong 💪🙏

  • @albinombungu4294
    @albinombungu4294 Місяць тому +2

    Mungu umlinde mkuu wa mkoa arusha

  • @ZainabMilanzi
    @ZainabMilanzi Місяць тому

    Jamani jamani jamani inauma Sana Allah ndiye anajua atakavyomsaidia shujaa wetu Amina

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Місяць тому +3

    Ee Mungu Nakuomba Umponye Makonda, Sitaki kulia Tena, Mungu Usiyeshindwa Nakuomba Usikie maombi yangu na wote wamaompenda Makonda🙏

  • @brendasamson2086
    @brendasamson2086 Місяць тому +2

    Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko nguvu ya maadui Mungu atamlinda paul makonda na atakuwa salama sana

    • @mwankenjatv9330
      @mwankenjatv9330 Місяць тому

      Mnaongea stori wakt mtu wanamkuta😅😅😂😂

    • @PiusKimaro
      @PiusKimaro Місяць тому

      Nbona maana hauna pakipatia chakula.ombaomba

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g Місяць тому +8

    Mwenyezi Mungu amlinde Mh Makonda. Ampe afya njema huko aliko

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 Місяць тому +3

    Jamani 😢😢😢😢😢 Nimelia mie Mungu wangu akamfqnyie wepesi ashindi hali yoyote mbaya inayomkabili jamani 😢😢😢

  • @churicharles7978
    @churicharles7978 Місяць тому +2

    Mungu amulinde popote alipo bdo tunamwitaji Sana tunakuombea daima ulipo

  • @dicksonjonas1799
    @dicksonjonas1799 Місяць тому +5

    Mungu ni mwema atalindwa na dam ya Yesu🙏

    • @user-xd2tg8eq1h
      @user-xd2tg8eq1h Місяць тому +2

      Siyo damu ya yesu ila kwa uwezo wa alwah sema hivi ndugu acha kujitoa akili hizo akili zako siyo sawa 😢😢😢

  • @marcoakyoo760
    @marcoakyoo760 Місяць тому +3

    Hiki kikundi cha wahuni hakilitakii mema taifa letu
    Inauma sana pale tunapopata mtu wa kazi wanapita nae😢😢😢

  • @janethjuliasi7500
    @janethjuliasi7500 Місяць тому +1

    Hakika Mungu Wa mbinguni Akulinde Makonda Wetu popote ulipo Mungu akupatie ulinz kila kona

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 Місяць тому +2

    Mungu amuepushe na yote mabaya Mungu amjaalie afya njema Mungu wewe ndio dawa ya wote wenye uhitaji mlinde Makonda wetu

  • @cejnimedia
    @cejnimedia Місяць тому +3

    Kama yasemwayo ni kweli, basii ni marufuku kuwa mtu mzuriii na mwenye kujali kwenye nchii ya Tanzania.

  • @JosureNassary
    @JosureNassary Місяць тому

    Mungu akulinde baba yetu tunakupenda sana mungu akutangulie popote ulipo mabaya yakae mbali na wew kipenz Cha R Chuga inshallah wa Ina Lillah 😢

  • @ruthdavie1175
    @ruthdavie1175 Місяць тому +1

    Mungu amlinde Mh. Makonda

  • @NeemaNjera-ho6ln
    @NeemaNjera-ho6ln Місяць тому

    Ngoja.makonda.asionekane
    Mtatueleza.vizuri..au
    Mtaka.tuandamane

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 Місяць тому +1

    Damu ya YESU inenayo mema ikanene mema na malaika wa ulinzi waendelee kukuatamia makondo mungu awe nguzo ya moto ,pona kwa jina la Yesu ,afya ikishaimarika arudi kwa neema ya mungu ni mshindi amen

  • @jacklinedonat5240
    @jacklinedonat5240 Місяць тому +12

    Tunamwombea aliko awe salama zaidi na zaidi.

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 Місяць тому +16

    Kimya kweli vipi huko yupo au hai au wameshamtia sumu maana mwamba Ana maadui wengi sana

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Місяць тому +2

    Watanzania tumwomve Sana Mwenyezi Mungu Nchi yetu isiangukie mikononi mwa wamwaga damu ya Viongozi waadilifu wa Taifa letu: Isije ikatokea Kama ilivyotokea kwa hayatii Magufuri: Ninyi Wana Arusha ebu nwulizeni mke wake au nendeni nyumbani kwake mpate ukweli

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 Місяць тому +1

    God forbid.Angels of protection encamp around you Makonda.❤

  • @BarnabasMphuru
    @BarnabasMphuru Місяць тому +1

    Mungu akulinde broo makonda

  • @CatherineMbatta
    @CatherineMbatta Місяць тому +1

    Mungu amlinde na kumuepusha na mabaya yote ,amen

  • @makelemohuya2723
    @makelemohuya2723 Місяць тому +18

    Mungu Mungu kwanini unaruhusu hilikundi la majambazi kumaliza viongozi wa bora na wazalendo wa inchi hii bila kuwazalilisha wametutenda sana,Mungu please jibu machozi na manung'uniko ya watanzania 😢😢😢😢

    • @JacobJoel-cb3ni
      @JacobJoel-cb3ni Місяць тому +6

      Umeomba kwa uchungu sana ndugu yangu Mungu akutendee sawa na maombi yako

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 Місяць тому

      Mungu ni simba wa vita,, hajibu kama mchawi,, atajibu pindi umeshika siaha, hata kama huna ak 47, ukiwa kisu, panga, rungu, vinatosha MUNGU kukujibia,, kumbuka! Goliati mwenye siraha za kutisha na ngao imara,,, ali uwawa kwa jiwe dogo sana. Hivo hakuna ukbozi wa watu utakuja bila kupambana hadi kufa, ili kizazi chema kije kuishi kwa furaha,, kumbuka hata YESU, alikufa kishujaa ili wale wanyonge, wakombolewe,, hata magufuli wetu, alikufa kishujaa, ili wanyonge wafurahie matunda.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Місяць тому

      😢😢🤲🤲

  • @maulidijselemani9392
    @maulidijselemani9392 Місяць тому +1

    Tafadhali mwenyezi mungu tunakuomba utulindie Mh Paul Makonda wetu kwani walisha tuondolea sokoine, Augustino lyatonga Mrema, maalim seif, Edward Lowassa na kipenzi chetu Hayati John Joseph pombe Magufuli. Tuna kuomba mwenyezi mungu tulindie kiongozi wetu Makonda 🙏🙏

  • @rhodakulwa1774
    @rhodakulwa1774 Місяць тому

    Mwenyezi Mungu akulinde mtumishi hila za mbovu zishindwe kwajina Yesu

  • @frankthadeo1679
    @frankthadeo1679 Місяць тому +3

    Comred mungu akupiganie kama upo katika magonjwa

  • @amedeustesha5947
    @amedeustesha5947 Місяць тому +2

    Mbona taarifa za kuhuzunisha Kwa shujaa wetu

  • @martinchambala9399
    @martinchambala9399 Місяць тому +4

    Daaah mbn hizi taarifa zinaleta mishtuko ya hovyo sana

  • @MariaMollel-m9m
    @MariaMollel-m9m Місяць тому

    Mungu yupo na mkuu wetu

  • @philomenaPhilipo
    @philomenaPhilipo Місяць тому

    Mungu akulinde na maadui zako

  • @user-bi9zi1ex7t
    @user-bi9zi1ex7t Місяць тому +2

    Mungu akaguse pale palipo na Maumivu, Mungu akategue Mitego yote kama Ni ya kupanga Mungu akageuze kibao Kwao waliopanga
    Eeh! Mungu achilia Afya Na Uzima Juu ya Makonda Tangu sasa🙏🏼

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Місяць тому +1

    Yarab Mungu wetu tunakuomba yarab mlinde shujaa wetu Makonda muhifadh kwenye hifadhi yko mlinde na maadui yarab kama anaumwa mpe shifaa muinuwe Salama ndugu yetu yarab tutakabalie dua zetu

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 Місяць тому +5

    Mmm majibu ya RAS mbona wanaongeza mashaka!!!

    • @DavidJoshua-hd8sf
      @DavidJoshua-hd8sf Місяць тому +2

      Hata mimi yananitia mashaka kwa kweli Tanzania nchi yangu unatupeleka wapi

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 Місяць тому

    Mungu wewe ndiye unae majibu sahihi ya makonda alipo ee mungu wetu mpe Afya njema mlinde na maaduwi wote

  • @KashinjeShija-rk9fv
    @KashinjeShija-rk9fv Місяць тому +3

    Kwa taarifa kama hizi Tanzania hakuna amani
    Mungu mlinde makonda popote alipo huyu mwamba wa🇹🇿

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Місяць тому +4

    Hii nchi ina shida sana aisee

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Місяць тому +1

    Mahasidi Mungu awashinde hawana kher maana wakipata mtu anae ongoza vizuri hawaridhiki watatafuta Kila njia ya kumdhuru lakin yarab tunakuomba hifadhi yako muhifadh na kulinda Makonda na Shari za walimwengu yarab

  • @user-qp6zn2xf8w
    @user-qp6zn2xf8w Місяць тому

    Mungu tunajua wewe ni mwaminifu ktk maisha yet sisi hakuna tunacho weza mungu wangu ,, wala hakuna tunacho jua juu ya kaka yetu makonda,, mungu tunakuachia wewe tu kwan sisi sote ni binadam,, mungu pigana na kila anae pigana nae , tunakuamini mungu wetu

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому +10

    dah ebn ndomana mama kashusha mapanga chini anaogopa manyangau dah ee mwenyezi mungu muumba mbingu Na Aridh mlinde huyu kiumbe wako Nakila hila Nawatu wanaotaka kuzulumu uhai wake kwajili ya vitu vyakidunia Amina

    • @user-ng9bn3jj3x
      @user-ng9bn3jj3x Місяць тому +3

      Alipotolewa dar, na kupelekwa Arusha ,,mm nikajua tu kinachoenda kumtokea makonda ndicho kilichomkuta magufuri,,hata kama ataibuka Bado akiwa hai ! Lakin kwa selikali yetu na Husda za viongozi wetu wa kiselikali ni ngumu sana makonda ku survive

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому +3

      dah watu wajali pesa kuliko nchi hata magufuli asingekua Namsimamo pengne mpaka leo angekuwepo

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe Місяць тому +4

    Mungu msaidie babakeagan wetu uko alipo

  • @SuzanGabriel-tp2cx
    @SuzanGabriel-tp2cx Місяць тому +1

    Mungu Baba Mwenyezi Nakuomba Umrinde Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Arusha mpe afya njema, nguvu ,muepushe na kila hila za shetani pamoja na maadui zake wote.

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 Місяць тому +3

    WAMEANZA KAMA KWA MAGUFULI 😢😢

  • @ConfusedFrog-lc9db
    @ConfusedFrog-lc9db Місяць тому

    Duh Tanzania ina shida sana Mtu mwema watamfanyia hila tu😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @user-pg5yk9oz1u
    @user-pg5yk9oz1u Місяць тому

    Makonda mungu akulinde akuepushe na mabaya yote akufiche ktk mbawa zake amina

  • @saidpatrick-j2b
    @saidpatrick-j2b Місяць тому

    May god protect him

  • @VeronicaMungure
    @VeronicaMungure Місяць тому

    Mungu akuponye Bado tunakuhitaji sana

  • @AmourHaji-gh6pp
    @AmourHaji-gh6pp Місяць тому

    Mungu akulinde Makondaaaaaaa😢

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Місяць тому +10

    Huyu katibu tawala hana faraja kabisa kwa watu wake . Majibu yake sio ya kiongozi mwenye dhamana ya kutoa taarifa pindi watu wake wanapo ihitaji kujua jambo

  • @EdwinAmbakisye-li4zq
    @EdwinAmbakisye-li4zq Місяць тому +2

    Jamani makonda mbona hatumuoni. Boss wetu

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER Місяць тому +2

    Mmeanza tena kama yale ya rais wetu JPM yaani mmezoea kila kiongoz anayeinuka against viongozi waovu huwa hacheleweshwa hii miharamia ikishaona tu kiongozi anayeitaabisha haimchelewesh!
    Ila Mungu yupo na Mungu amsaidie kaka yetu kipenzi mh.Paul Makonda maana ana nyayo za baba yetu jpm!

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 Місяць тому +3

    Ikitokea ame......... Kama JPM..
    GEN,Z Tz..., enough is enough be ready for.......
    But.....tuombe . Mungu tu awe mzima

  • @edfinelmas5245
    @edfinelmas5245 Місяць тому

    Maombi yangu kwako Mh. Paul Makonda🙏

  • @user-vv5ck7zs9u
    @user-vv5ck7zs9u Місяць тому

    e mwenyezi mungu mlinde na mnusuru na baya lolote Rc makonda

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER Місяць тому +2

    Kwa JPM mlianzaga hivihivi et "Magufuli yuko wapi mbona haonekan?" baada ya siku chache tu nikasikia et amefariki jaman😢

  • @Lighttemba
    @Lighttemba Місяць тому

    Roho inaniuma sana jaman shujaa wa wengi, mungu mlinde na kila Hila mbaya

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 Місяць тому

    Kwann jaman mbona ukiwa mpenda hak wszete wanyonge, unaambatana na wanyoge zaid unapigwa vita kwa nn jaman, tukumbuke haya ni maisja mafupi ya hapa duninian tupendane kwaajili ya maisha ya milele mbingun, tulizaliwa uchi na mwisho wa maisha yetu tutaviacha vyote hakuna tajir wala masikin mbingun,Mungu mbarik mdogo wangu makonda

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq Місяць тому +6

    Ndo shida ya wabongo hawataki mtu mkweli kama makonda

  • @faisalnasser5895
    @faisalnasser5895 Місяць тому

    .ungu Akulinde kakayetu makonda tunakupenda sana sana

  • @jangalavolcano
    @jangalavolcano Місяць тому

    Wazalendo wanne wanchi hii wanao utambua uafirika wetu,na shida zetu mungu awalinde1) mama Samia. 2) idolis mipango, 3) kasmu majaliwa,4

  • @user-np5rp2fi5t
    @user-np5rp2fi5t Місяць тому

    Umh mungu amlinde huko aliko tunajua wewe ndo mwenye majibu sahihi

  • @user-yq9fb1kf5t
    @user-yq9fb1kf5t Місяць тому

    Mungu akulinde na kukutunza Makonda kipenz cha watu

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 Місяць тому +2

    Mungu tunaomba usikie maombi ya kila mtanzania anaemuombea Makonda baba waumbue wote wanaomuombea na kufanya lolote baya juu yake wewe hushindwi kitu Mungu wetu

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 Місяць тому +5

    Waturudishie makonda kabisa ndiyo Arusha tutawaelewa

  • @user-qu1mq2ik2e
    @user-qu1mq2ik2e Місяць тому +1

    God take care of your servant makonda cover him with the blood of Jesus Christ

  • @Mkrist
    @Mkrist Місяць тому +2

    Kama walivyomuua Magufuli, na huyu nae wamfanyia kitu. Yaani Waafrica aliyeturoga hakunawa mikono.
    Ueni sana ila nanyi pia mtakufa.

  • @kesterkanyala7718
    @kesterkanyala7718 Місяць тому +5

    KWELI, MWANDISHI....BADO TUNA TAHARUKI.....MAANA NI MUDA HATUJAMUONA..??
    -TUWE,TUNAPEWA TAARIFA,HATA MAOMBI TUMFANYIE...

  • @janecolleter
    @janecolleter Місяць тому +1

    Daaah! Mungu wa mbingun amtunze Makonda popote pale alipo amuepushe na kila baya

  • @mofungoya9729
    @mofungoya9729 Місяць тому

    Mungu akujalie afya njema