Al Merrikh SC 0-2 Yanga SC | Highlights | CAF CL 16/09/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2023
  • Magoli mawili yote yakifungwa kipindi cha pili, kutoka kwa Kennedy Musonda dakika ya 60 na Clement Mzize dakika ya 79 yameipa Yanga ushindi muhimu ugenini, wakiicha Al Merrikh 2-0 kwenye Uwanja wa Pele, Kigali Rwanda.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 172

  • @baraka8347
    @baraka8347 10 місяців тому +115

    Nipeni na mimi likeeeeee jaman

    • @petermayala2790
      @petermayala2790 10 місяців тому +1

      Asa like ndo utashiba au ufanyie nin

    • @NixonAnderson1997
      @NixonAnderson1997 10 місяців тому +1

      Hizi apa!

    • @barakatesha6942
      @barakatesha6942 10 місяців тому +1

      ​@@petermayala2790😊😊😊😊😊😊😊😊⁰

    • @achymedia
      @achymedia 10 місяців тому

      Kijana wa marungu 🙌🙌😂

    • @DenisNeja-xv3kf
      @DenisNeja-xv3kf 10 місяців тому

      Mwanaume umekaa kabsa serious unaomba like. Useless sperm

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 10 місяців тому +9

    Mechi za yanga ukiziangalia zinavutia hata km nimarudio ni km live tuu 🎉🎉

    • @lainacemmmwasote1862
      @lainacemmmwasote1862 10 місяців тому

      Sanaaaa🔥🔥🔥hizo movement za pacome aisee.🔥🔥,Ki,Musonda,Aucho,Max,yaan wooote jmn uwiiii🔥🔥🔥🔥Yangaaaa

  • @aminahkhuzwayo-iv1wl
    @aminahkhuzwayo-iv1wl 10 місяців тому +8

    Kama unamkubali PACOME.. usisahau kulike jaman leo wa sita!!from 🇿🇦💚💚💚💚💚🔥🔥🔥🔥💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 10 місяців тому +14

    Yesu ndiye njia ya KWELI na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @Neema-fh1wp
      @Neema-fh1wp 10 місяців тому

      😂😂😂😂,nmependa Mungu akubariki sana

    • @janedamian7585
      @janedamian7585 10 місяців тому

      Amen

  • @AyubuAyubu-iq2oo
    @AyubuAyubu-iq2oo 10 місяців тому +6

    Wa kwanz mm naomben like million 2

  • @NasriAbdillah-pj1jx
    @NasriAbdillah-pj1jx 10 місяців тому +4

    Maboya Sana Azam media. Mnacheleweshaje highlights za game ya Yanga

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +8

    Tunaomba wachezaji wote waliosajiliwa wacheze ili viwango vyao vieleweke 😊😊

  • @KalangaLoiyolengai
    @KalangaLoiyolengai 10 місяців тому +7

    Yanga bingwa

  • @AHMADA515
    @AHMADA515 4 місяці тому +3

    Nani kaona ..eti kocha wa yanga nj bakari malima!!! Azam wameandika

  • @EltonMmari
    @EltonMmari 10 місяців тому +5

    Kwa mara ya kwanza leo ndio nimeona uzalendo 👊🏼👊🏼 big up simba and yanga fans

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 10 місяців тому +5

    Me ni yangaa🎉🎉

  • @TithoYusuph-jm1ke
    @TithoYusuph-jm1ke 10 місяців тому +3

    Sisi ndo yanga 💚💚💚

  • @salihalash4111
    @salihalash4111 10 місяців тому +4

    This is yanga first ever win vs Almerrikh
    Almerrikh will always be giant of east african club football

    • @paty11648
      @paty11648 10 місяців тому

      Copium

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 10 місяців тому

      You are trying to lie yourself!!

    • @Kibudu
      @Kibudu 10 місяців тому

      Cry more😂😂

    • @hopechai5912
      @hopechai5912 10 місяців тому

      Giant my foot 😏😏😏

    • @husseinmejja8041
      @husseinmejja8041 10 місяців тому

      Check the rank who is bigger😂

  • @user-st3xj3dr8q
    @user-st3xj3dr8q 10 місяців тому +2

    daaah! kwa yanga hii hatuna nenoo!

  • @user-wz2ew4qw2w
    @user-wz2ew4qw2w 10 місяців тому +1

    Nawapongeza sana wananchi daimambele nyumamwiko tutafika mbali❤

  • @doneeplus9290
    @doneeplus9290 10 місяців тому +4

    Mzize apewe nafasi zaid ameanza kulomaa ajitahid zaidi kwenye kuzijua njia za pasi na jinsi ya kupokea pasi za mwisho na kuzigeuza kuwa magili sio kila position yeye ni offside au akutane na kipa adhibitiwe

  • @mkata_umeme_kante
    @mkata_umeme_kante 10 місяців тому +10

    Mbona highlights za Yanga mmechelewesha nyie wasenge?? , kisa timu lenu la azam lilikandwa hatua za awali na lile chezaji lenu kubwa kama pawa mabula😡

    • @WitnesKephas
      @WitnesKephas 10 місяців тому +1

      😂😂😂😂

    • @ngorshermelody2021
      @ngorshermelody2021 10 місяців тому +1

      Wasenge wanatamn hata waspost kabisa mech yayamga imeisha kabla yasimb lakn simb imepostowa samoja yamga wanasubl had walale

    • @wardah-mb6kb
      @wardah-mb6kb 10 місяців тому +1

      Ndo walivyo wapuuz hawa lakn timu nyingn ikicheza mapema tu wanarusha

  • @mnyakitz2007
    @mnyakitz2007 10 місяців тому +3

    Duuh nimeisubiri hii afu nimeidaka juu kwa juuu 😂😂😂

  • @zaniamohammed2258
    @zaniamohammed2258 10 місяців тому +4

    Tatizo watanzania niwavivu kushangilia tubasubir mpaka goli liingie ndo tushangilie ona wenzetu hawapoi !!

  • @stephanocornely130
    @stephanocornely130 10 місяців тому +3

    Ila huyu Aziz Mafunguo n noma sana jmn. Anasumbua sana kumkaba

  • @chacha-255
    @chacha-255 10 місяців тому +5

    Yani hii Yanga sio ya kukariri kikosi wala kukariri wa kumkaba, Kikosi chochote kinakanda na mchezaji yeyote anakanda

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 10 місяців тому +3

    Poor Pitch, high risk of injuries. No more Plastic in football.

  • @bahatirashid6964
    @bahatirashid6964 10 місяців тому +2

    Leo highlight imekaa sawa laki iongenzwe hadi dk15 itakuwa iko poa sana hata za Nbc league.

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +1

    Striker wa yanga mchezo wa pili wajitahidi kuoiga mipira mbali na keeper sababu keeper ni mrefu😊😊😊.

  • @Gaudencia-wc8jc
    @Gaudencia-wc8jc 10 місяців тому +3

    Yanga tam💚💚💚💚💚💛

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 10 місяців тому +3

    Yangaaaaa yanguuuu

  • @kafumutv.6082
    @kafumutv.6082 10 місяців тому +2

    Azam ndio mnatuma saiv Yan ad MB zangu ad zmeishaaa mnzingua sana

  • @fra9873
    @fra9873 10 місяців тому +2

    These fields are dangerous for players

  • @richardmichael7523
    @richardmichael7523 10 місяців тому +3

    Matangazo hayakuwa na ubora tuliouzoea haswa kwenye wide camera.

  • @sifauseni6900
    @sifauseni6900 10 місяців тому +1

    Wanainchi mpoooooo 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @monicasimbamwene2776
    @monicasimbamwene2776 10 місяців тому +6

    Yaani uwanja ni vumbi la mkaa tupu

    • @saidrajab3808
      @saidrajab3808 10 місяців тому

      Ndo uwanja wa nyasi bandia unavyokuwa

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 10 місяців тому +2

    Sijui kolo tulimwaachaje kwenye ngao😅😅, nawaonea huruma sana power dynamo nao watakuja kukutana na mvua sizizoeleweka, mkono utawahusu😂😂😂😂

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 10 місяців тому +4

    Mwenye kuelewa ameelewa na wasenge hawaelewi

  • @user-il3bu7ib8m
    @user-il3bu7ib8m 10 місяців тому +2

    Tumcfie kwa shukuran niyonzima

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 10 місяців тому +3

    Ahsante sana Yanga! Endeleeni kututamusha!

  • @user-mq1zq7kb7n
    @user-mq1zq7kb7n 10 місяців тому +3

    Waoooo

  • @hamisimkima-un3jk
    @hamisimkima-un3jk 10 місяців тому +1

    Wananchiiiiiiiii🎉❤🔥🔥🔥

  • @pmall8867
    @pmall8867 10 місяців тому +2

    Video quality ✋

  • @baraka911
    @baraka911 10 місяців тому +3

    Yanga Bingwa

  • @user-sd4hl7yh9n
    @user-sd4hl7yh9n 10 місяців тому +2

    Namimi.watatu

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 10 місяців тому +4

    Wakati sisi tunacheza SOKA, Kule MAKOLO wanacheza YOPE...🤣🤣🤣

    • @Abuuayaan
      @Abuuayaan 10 місяців тому +3

      😂😂😂

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 10 місяців тому +1

      🤣🤣🤣🤣🙌🙌

  • @donatusmsike4671
    @donatusmsike4671 10 місяців тому +4

    Kama gari linaenda kuzimia fainali

    • @sadatamal3655
      @sadatamal3655 10 місяців тому +1

      Umeonaeee yaani hapa gari linazima final kabisa

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +1

    Tunaomba yanga wafanyie mazoezi mengi ya kufunga magoal nje ya 18 ndani ya box,through ball na v-pass also penalty 😅😅😅

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 10 місяців тому +7

    Azam wanataman hata highlight zayanga wasirushe just imagine mech yayanga imetamguliwa kuisha ndonikaisha yasimba lakn yasimba imepostiwa samoja hiohio lakn yanga imekuja kupostiwa satano watu wameshall 😂😂😂 Duh

    • @wardah-mb6kb
      @wardah-mb6kb 10 місяців тому +3

      Azam wapuuzi sana wanawachukiia yanga ila timu nyingin ikicheza mapema tu wamerusha

    • @ngorshermelody2021
      @ngorshermelody2021 10 місяців тому +3

      @@wardah-mb6kb Shenziii zao kabisa

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 10 місяців тому +1

      Nakubali siroho mbaya zimewajaa kunamawasiliano hapo kati watendaji wa Azam Football club na warusha matangazo ujinga tu ndiomana nchi yetu haipigi hatua kimaendeleo kiuchumi wa kimpila sababu yaubinafsi tu

    • @slimmuhabesh2400
      @slimmuhabesh2400 10 місяців тому

      Azam wanazingua sana hii sio mara ya kwanza ...mara zote hua wanafanya hivi hivi

    • @ngorshermelody2021
      @ngorshermelody2021 10 місяців тому

      @@slimmuhabesh2400 😂hawajasem mpk wasem watake wastake lazm wapost

  • @SifaeliMelita
    @SifaeliMelita 10 місяців тому +1

    Kwahiyo kocha wa yanga anaitwa Bakari malima

  • @RoseMunisi-fy1sq
    @RoseMunisi-fy1sq 10 місяців тому +3

    Kiwanja kibovu sanaa...utdhan vumbi la mkaa limejaa

    • @sao4028
      @sao4028 10 місяців тому +1

      Kapeti hiyo

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 10 місяців тому

      ​@@sao4028kapeti iliyo choka

  • @Said-se2pf
    @Said-se2pf 16 днів тому

    Jaman tuwe tuajikumbusha japo hata kwa wiki malamoja tuuu😅😅😅😅

  • @stephanocornely130
    @stephanocornely130 10 місяців тому +3

    Dah huu mpira wa yanga n nyonya damu aisee.. Ngoja tuone mie nipo paleeeeeeee

    • @EltonMmari
      @EltonMmari 10 місяців тому

      Una maanisha nn kaka👀

    • @EltonMmari
      @EltonMmari 10 місяців тому

      Bado haujakuridhisha ama

    • @stephanocornely130
      @stephanocornely130 10 місяців тому

      @@EltonMmari kwa mpira wao n vigumu timu pinzani kumiliki mpira. Naona timu nyingi zitapata tabu sana kwa hawa utopolo

    • @stephanocornely130
      @stephanocornely130 10 місяців тому

      @@EltonMmari noo nawasifia, jamaa wanakukimbiza mpaka utaachia tu

  • @boscojmseso7072
    @boscojmseso7072 10 місяців тому +1

    Hiv bakressa umeshidwa kwel kumuomba injinia ukae nae japo kidogo japo lisaa limoja akushaul maana ya timu jins inavyoendeswa kwel umeshidwa siamin Kama umeshidwa

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 10 місяців тому +2

    Yanga Bingwaaaa

  • @chakuboyofficial9720
    @chakuboyofficial9720 10 місяців тому +4

    Mzize ana zinguwa

    • @mohamedmagongo9348
      @mohamedmagongo9348 10 місяців тому +3

      Kwa kweli Mzize anakera sana, kila mechi anakosa magoli ya wazi kabisa!

    • @chakuboyofficial9720
      @chakuboyofficial9720 10 місяців тому +4

      @@mohamedmagongo9348 kumbe una ona niambie sasa zile mechi Ngumu ambazo akuna nafasi nyingi mbona tuta liya ana kosa nafasi nyingi sanaa

    • @petermayala2790
      @petermayala2790 10 місяців тому +1

      Kweli Kuna nafasi aliwekewa na maxi nzengeli mpaka Sasa naifikilia ila mzize alipoteza

    • @chakuboyofficial9720
      @chakuboyofficial9720 10 місяців тому

      @@petermayala2790 wala sio iyo tuu tuta ona nyingi sanaa acha tufurahi lakini ipo siku tuta laumu

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 10 місяців тому +2

      Hili walifanyie kazi sasa maana huu sasa usiwe wimbo Selemani anapewa nafasi hazitumii afunge aache utoto bhana akipatikana foward mzuri atachezea benchi we muache tu

  • @AbuuAbdilRahmaan
    @AbuuAbdilRahmaan 10 місяців тому +2

    WANAOTAKIWA KUTANGAZA MECHI ZA YANGA NI KABOMBE NA MZINGA TU.

    • @lainacemmmwasote1862
      @lainacemmmwasote1862 10 місяців тому

      Baraka Mpenja,Ghalib Mizinga,Aluatan Ramadhan Ngoda,cjui na wengine huko...pira linakua fireeeee🔥🔥🔥lkn hata hawa watafikia huko.

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 10 місяців тому +1

    Mimi Ni Yangaaaa

  • @fra9873
    @fra9873 10 місяців тому +3

    🇹🇿💪🏼

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +1

    Yanga walikosa ushirikiano na umakini😂 wangefunga hata goal nne😅 Kigali

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 10 місяців тому +1

    Eti waandishi uchwara walikuwa wanaitisha Yanga kuwa El Merrekh wamelidai watapigana Vita vitakatifu. Hawa waandishi watu wa ajabu sana.

  • @EliasHassan9
    @EliasHassan9 10 місяців тому +2

    Kwa nn mmechelewsha hv

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +1

    Tunaomba kocha amuweka max nafasi ya mzize na mzize acheze namba 7

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz 10 місяців тому +2

    Hii ndo timu ya kushabikia

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 10 місяців тому +2

    Yao nikiberenge

  • @JamesJacob-pm4rm
    @JamesJacob-pm4rm 10 місяців тому +1

  • @user-ny7sk8pv3x
    @user-ny7sk8pv3x 10 місяців тому +1

    👏👏👏👏👏

  • @user-ru7np8ji9p
    @user-ru7np8ji9p 10 місяців тому +2

    Mbona mme chelewa sana azam

  • @user-ob1wq4oc9c
    @user-ob1wq4oc9c 10 місяців тому

    Apo sawaaa

  • @jumaribakare5069
    @jumaribakare5069 10 місяців тому

    Images zenu siku hizi haziko clear

  • @user-yk6tj7yj5v
    @user-yk6tj7yj5v 10 місяців тому +1

    Skudu Yuko wapi

  • @AgilipinaMashaka
    @AgilipinaMashaka 10 місяців тому

    Wako safi

  • @user-bj3ep5kc1u
    @user-bj3ep5kc1u 10 місяців тому +1

    Mpaka waseme bado awajasema

  • @sankaadeo
    @sankaadeo 10 місяців тому +1

    Yangaa Rahaa tupu

  • @ernestsinje-ng8hm
    @ernestsinje-ng8hm 10 місяців тому +1

    YANGA Utamu tu

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 10 місяців тому +2

    Ndio mutume sai waone vile 🙄🙄

  • @user-ob1wq4oc9c
    @user-ob1wq4oc9c 10 місяців тому

    😮

  • @tilltheland5956
    @tilltheland5956 10 місяців тому +1

    sisi wa thinba tunakomenti wapi😅😅😅

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt 10 місяців тому +2

    Tunaomba Mzize asianze kipindi cha kwanza

  • @robertoluomba1268
    @robertoluomba1268 10 місяців тому +1

    Nmahhhhh

  • @user-ru4fe4cj2k
    @user-ru4fe4cj2k 10 місяців тому +2

    Diara wewe ni nyan ama maan unanikoxha xana

  • @jamessilwamba2862
    @jamessilwamba2862 10 місяців тому +2

    Coach wa Yanga ameandikwa Bakari Malima hapo juu baada ya kutajwa kikosi mmekosea

  • @MpalestinaYahaya-kf7iq
    @MpalestinaYahaya-kf7iq 10 місяців тому +1

    Files

  • @minhokid
    @minhokid 10 місяців тому +1

    Ndio ndio

  • @hashimumwinyi2239
    @hashimumwinyi2239 10 місяців тому

    Hawa pale complex watakula tanoo

  • @jimmymasaki286
    @jimmymasaki286 10 місяців тому

    Yanga 🎉🎉🎉 ipewe mau yake😅😅

  • @user-ub4mc1zh5u
    @user-ub4mc1zh5u 10 місяців тому +1

    Boc Jana kaongea kauli mbili tu za uhakika tusubiri vitendo

  • @Julitha-vs9ee
    @Julitha-vs9ee 10 місяців тому +2

    Hili goli la Musonda, nimeona umuhimu wa vile walivyokuwa wanafanya mazoezi kwa mikono ila kufunga kwa kichwa kweli Yale ni mazoezi na sio mchezo kama watu walivyokuwa wanaona.......

  • @samuelmiryango3524
    @samuelmiryango3524 10 місяців тому +4

    Uwanja wa pumba jamani

  • @RBSMABATI
    @RBSMABATI 10 місяців тому +3

    Yanga anapangiwaga na timu za Vita vita Kama wale Zalan😅😅😅😅😅 hadi leo hawajafika kwao😊😅😅😅😅😅

    • @saidrajab3808
      @saidrajab3808 10 місяців тому

      Kwan unaumia😀

    • @mwajumaibadi8485
      @mwajumaibadi8485 10 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @kabyboy1445
      @kabyboy1445 10 місяців тому

      Kwahiyo unataka kusema waliendelea kucheza na timu zinazotoka vitani mpaka final ya shirikisho

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 10 місяців тому

      Yaan hujitambui vizuri we

  • @fargakoigip6029
    @fargakoigip6029 10 місяців тому

    Azam TV hua hamkosi baya kwa YANGA yaani Kocha wa YANGA ni Bakari Malima? jina la Kocha wa El Merrekh mnalipatia kuliandika jina lake tena nirefu kweli hila la Miguel Gamondi linawshinda mpaka mumwite Bakari Malima?

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      Hayo ni mambo ya kimakosa tu.wanaubaya gani Kwa yanga? Sisi wanayanga tunajua Azam wapo haki kabisa

    • @fargakoigip6029
      @fargakoigip6029 10 місяців тому

      @@mkude ukiwa mwanaYANGA haujitangazi km hivi, Azam wanatumia fedha wanazozipata kwa mkataba wa kibatili wa miaka 10 na TFF kuibomoa YANGA leo wanae Djuma Shaaban, Bangala na Feisal na wote hawakuondoka vizuri YANGA,....

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      @@fargakoigip6029 ninachoangalia mimi Azam anamchango mkubwa sanaaa kwenye soka.tuache fitina na maneno maneno kama wanawake

  • @simonmjema7352
    @simonmjema7352 10 місяців тому

    Mtangazaji ni mtu wa pwani😅

    • @pmall8867
      @pmall8867 10 місяців тому

      Watu Wa pwan wapoje

  • @ValerianaMgani
    @ValerianaMgani 10 місяців тому +1

    Kula chuma hicho

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 місяців тому +1

    Zamareki wabovu sana

    • @piliMuhammed-so3pg
      @piliMuhammed-so3pg 10 місяців тому +2

      Tulishakubaliana kua ligi ya mabingwa hakuna timu mbovu au mambo yamebadilika saiv

    • @happynessowani6098
      @happynessowani6098 10 місяців тому +3

      Amesahau huyo 😂😂😂😂 mkumbushe walisema ligi ya mabingwa haina wabovu

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 10 місяців тому

      ​@@piliMuhammed-so3pg😂😂😂😂😂😂

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      😂😂😂😂😂 wamesahau tulivyofika fainali wakasema time zote tulizo pangiwa nazo nyepesi hata wale wa algeri.matokea yake wa algeri wamempiga Al Ahli na kuchukua kombe Kwa Yanga hii kila timu tutakayokutana nayo mtasema wabovu😂😂😂😂

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 10 місяців тому

    Yanga mpaka sasa ajacheza mech yoyote ya maana anacheza na timu ambazo ni kama yeye mwenyewe yanga

    • @husseinmejja8041
      @husseinmejja8041 10 місяців тому +2

      Yanga iko bora hata ukibisha

    • @laurencematitah7046
      @laurencematitah7046 10 місяців тому +4

      Wewe Fala Sana, hata mpira hujui, kwanza wewe sio shabiki ni mshangiliaji unaongea kisa droo ya kubahatisha, kwa hili Simba la kikuzi cjui utafika wapi, kama sio kujinyonga cjuiii!

    • @Fransiskongara-kc3cv
      @Fransiskongara-kc3cv 10 місяців тому +3

      Hata Simba bwana, timu ya kushinda wanatoa sare

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 10 місяців тому +6

      Kiufupi Kila Timu inaonekana nyanya kutokana na UBORA wa YANGA...mtasema wote manyanya mpk FAINALI.!

    • @christapapollo5737
      @christapapollo5737 10 місяців тому +3

      Kama ile simba ya ngao ya Jamii,mkashinda kwa penalty,yanga walikuwa wepesi mkashindwa kuwafunga dk 90.

  • @mbugetv
    @mbugetv 10 місяців тому

    Wamenunuw mechi tu hao yanga

    • @janedamian7585
      @janedamian7585 10 місяців тому

      Oh umejuaje na ulikuwa bize na mechi yako

    • @magrethyeremia2279
      @magrethyeremia2279 10 місяців тому

      Utasem saan na badooooo

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 10 місяців тому

      Nawe pia umenunua ndiyo maana ukapata sare aibu tupu

    • @radhiamussa1629
      @radhiamussa1629 10 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @GODLOVEDANIEL-gq1jv
    @GODLOVEDANIEL-gq1jv 10 місяців тому

  • @ephremmtuya3094
    @ephremmtuya3094 10 місяців тому +3

    Lomalisa alifanya uchoyo wenzako walikuwa wanasubiri uwape pasi

  • @user-hs2fb3co7w
    @user-hs2fb3co7w 10 місяців тому +4

    Pakomee Zuzuwa atalisana

  • @hashimumwinyi2239
    @hashimumwinyi2239 10 місяців тому

    Hawa pale complex watakula tanoo

  • @GODLOVEDANIEL-gq1jv
    @GODLOVEDANIEL-gq1jv 10 місяців тому