WEDNESDAY NIGHT LIVE | Mohamed Hussein Zimbwe Jr. na mapito yake tangu kuzaliwa hadi Simba SC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • ZIMBWE JR. EXCLUSIVE 24/07/2024 | Kutoka nchini Misri, Beki wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Jr. amezungumza exclusive na Patrick Nyembera kuhusu maisha yake ya soka, na mapito aliyopitia katika timu mbalimbali....
    Zimbwe pia ameeleza changamoto ya kuwania namba aliyokutananayo ndani ya Simba hadi kufanikiwa kuwa beki tegemeo namba 3 kwenye kikosi cha Simba na Taifa Stars.
    Mahojiano haya yamefanyika mwezi Julai, 2024 wakati klabu ya Simba ikiwa mjini Ismailia, nchini Misri kwa ajili ya #preseason
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 41

  • @AishaSaid-yg1ou
    @AishaSaid-yg1ou Місяць тому +2

    ❤huyu ndiye Simba..akicheza unaona anavyopambana kwa mapenzi..M.Mungu amzidishie..Kipaji chake.

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta Місяць тому +4

    Jamaaa hana mbwembwe mpe mpira akupe kilicho Bora ❤️🦁
    UBAYA UBWELA 🔥🦁🇹🇿

  • @charleznicholas416
    @charleznicholas416 Місяць тому +4

    My favourite player

  • @antfungal
    @antfungal Місяць тому +3

    Kumbe Hiki chuma alikileta popu 🙌,
    Sema zimbwe umeongea mengi sana nidham,kujituma n.k lkn kikubwa umesahau bongo mpila kipaji

  • @aproniamasatu5810
    @aproniamasatu5810 Місяць тому +2

    mimi yanga wa kutupwa ila kwakweli mwanangu zimbwe salute kubwa mnooo

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Місяць тому +4

    Zimbwe mguu chuma unapambana sana hunabaya Tim yetu umefanya vibaya misimu mitatu lakini wewe ulikuwa unapambana mwanzo mwisho pongez kwako natunajua uchungu watim yetu Simba nguvu moja

  • @ConfusedBirdBath-yp6qo
    @ConfusedBirdBath-yp6qo Місяць тому +1

    Mungu akupe maisha marefu kijana wetu ww ndio mwamba katika timu yetu ya simba

  • @controlroom9210
    @controlroom9210 Місяць тому +2

    Moja ya wachezaji wangu bora sana kwa wazawa. Mpira huwa unamtii kwa kila namna. Unaujua bro

  • @AdactusKatima
    @AdactusKatima Місяць тому +2

    Mwambaaaa sanaaaa Chumaaaa cha relii❤❤❤

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga Місяць тому +1

    Ubaya ubwela🦁🦁🦁🦁

  • @RHOIDAKALUKWA-bw4jo
    @RHOIDAKALUKWA-bw4jo Місяць тому +2

    Mungu akutangulie ubaya ubwela

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 Місяць тому +4

    Kweli kabisa mfano MANULA baada yakuwa duka tume mchukia sana wana simba

  • @SaidChaurembo
    @SaidChaurembo Місяць тому +1

    Upo vizuri Sana bingwa

  • @chrissyohaness9076
    @chrissyohaness9076 Місяць тому +2

    ❤❤❤

  • @DonatelaSanga
    @DonatelaSanga Місяць тому +2

    Da!!!!! Kweli mwamba nakukubali san chuma cha leri

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed Місяць тому +1

    Mazungumuz yako yako vzr sana, siyo hao wakina chama midomo imekuwa milefu kweny mitandao wakat sis ndoo tunakuza account zao kupat followers

  • @nilmadaudi9358
    @nilmadaudi9358 Місяць тому +1

    Mchezaji wangu wa miaka yote shabalala 👏

  • @OmarmakameHaji
    @OmarmakameHaji Місяць тому +1

    Safi sana captain

  • @MwinyialiMtali
    @MwinyialiMtali Місяць тому +3

    Huna baya mwamba

  • @user-ph4ni1nn3v
    @user-ph4ni1nn3v Місяць тому +1

    Shabalala yaan ukikosa kwenye kikosi chetu cha simba dah nakuwa cna imamini kabisa kushinda ila ukiwepo mmh unakiwasha

  • @user-ph4ni1nn3v
    @user-ph4ni1nn3v Місяць тому

    Safii sana tunakukubalia saba mohamed

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope Місяць тому +1

    mim sikudai nakupenda

  • @KhamisBoss
    @KhamisBoss Місяць тому +3

    Piga kaz bro tuko nyuma yako

  • @jamesraphael9581
    @jamesraphael9581 Місяць тому +1

    Mungu asidi kukupa ngufu na afya njema ❤❤❤

  • @sungurarabit956
    @sungurarabit956 Місяць тому

    Nakukubali sana brother

  • @WendeMposola
    @WendeMposola Місяць тому

    Mungu akwepushe na mabaya yote 🎉❤❤❤

  • @ammyulediuledi5977
    @ammyulediuledi5977 Місяць тому

    Ubaya ubwela🦁🦁

  • @HairuIssa-f9y
    @HairuIssa-f9y Місяць тому

    Nakukubr zimbwe

  • @nasibsanga
    @nasibsanga Місяць тому

    🔥

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому

    Huna baya bwana zimbwe junio bigapu sana

  • @mwasunga
    @mwasunga Місяць тому

    Yan katika maisha yangu watu ambao nritaman wasiishiwe vipaj shabalala na nyoni awa watu eshima kwao

  • @OmaryAyubu-ly2qe
    @OmaryAyubu-ly2qe Місяць тому

    Huyu nimchezaji wa miaka yote simba na taifa kwaujumla

  • @aishakamota6012
    @aishakamota6012 Місяць тому

    Ubaya ubwela miaka hii imerudi ubingwa kwetu hadi mpoteane 😅

  • @jitihadaharuna9448
    @jitihadaharuna9448 Місяць тому +1

    Kwa hiyo wewe uneasili ya kigoma

  • @DibroErasto
    @DibroErasto Місяць тому

    Unabaya ndguyang

  • @QweenFrendrik
    @QweenFrendrik Місяць тому

    ❤❤❤

  • @user-kn7bo6iz4n
    @user-kn7bo6iz4n Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @SaudaSalum-zo5yt
    @SaudaSalum-zo5yt Місяць тому

    ❤❤❤

  • @NkondokayaJoe
    @NkondokayaJoe Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @user-uf6wv7nm3o
    @user-uf6wv7nm3o Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤