Ifahamu Historia ya Idara ya Usalama wa Taifa ya Tanzania: Kutoka Special Branch Hadi TISS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Wakati Marekani wana CIA na NSA huku Urusi nao FSB na uingereza wana MI5 na MI6 kwa Tanzania, kuna Idara ya Usalama wa Taifa ama kwa kimombo inafahamika kama Tanzania Intelligence and Security Services, TISS, ambayo ipo kwa mujibu wa Sheria ya mwaka 1996 na marekebisho yake ya mwaka 2023.
    Fuatilia makala hii mwanzo mwisho uweze kufahamu historia ya Idara hii.
    Rejea
    Peter D. M. Bwimbo (2016), Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania, Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere
    Thomas J. Maguire and Hannah Franklin (2020), International History Review, Creating a Commonwealth security culture? State-building and the international politics of security assistance in Tanzania.
    George Roberts (2021), Cambridge University Press, London, Revolutionary State-Making in Dar Es Salaam: African Liberation and the Global Cold War, 1961-1974.
    Paul Bjerk (2015), University of Rochester Press, Building a Peaceful Nation.
    Issa G. Shivji, Saida Yahya-Othman, and Ng’wanza Kamata. Mkuki na Nyota, Dar es Salaam, 2020, Development as rebellion: A biography of Julius Nyerere.
    Issa G. Shivji (1990), Institute of Southern African Studies, State Coercion and Freedom in Tanzania.
    James Robert Brennan (2021),The International History Review, The Secret Lives of Dennis Phombeah: Decolonization, the Cold War, and African Political Intelligence, 1953-1974
    Mark J. Mwandosya & Juma V. Mwapachu (2022), Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania, 38 Reflections on Mwalimu Nyerere
    Yoweri Kaguta Museveni (2016), Moran Publishers,Kenya, Sowing the Mustard Seed
    Stephen Isaac Mtemihonda (2023), Mkuki na Nyota Publishers, Vita vya Kagera
    Watafiti/Wahariri
    Joel Ntile
    Tony Alfred K
    Sauti
    Tony Alfred
    Mhariri Video/Sauti
    Shafii Hamisi
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

КОМЕНТАРІ • 113

  • @thechanzo
    @thechanzo  27 днів тому +7

    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

  • @jamesverdian2445
    @jamesverdian2445 Місяць тому +45

    Idara yetu ya usalama wa taifa ni kati ya idara bora sana shida imeshikiliwa na wanasiasa wanaitumia vibaya
    Inaumiza sana

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 Місяць тому +1

      Umesema ukweli kabisa

    • @zonko0488
      @zonko0488 29 днів тому +2

      Kama imeshikiliwa na wanasiasa basi sio idara bora. Ingekuwa bora ingesimamia malengo mapana ya Taifa na sio matakwa binafsi ya wanasiasa. Haina tofauti na idara nyingine zozote kwenye serikali zetu ambazo zinapelekwa hovyo na wanasiasa wasio waadilifu.

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 Місяць тому +14

    Naomba hii historià iruduwe kusoma ni nzuri sana

  • @aziadifukira
    @aziadifukira 10 днів тому

    Hongera msomaji wa makala hii umesoma vizur.Mungu awabariki staffs wote wa TISS

  • @mosestemi9875
    @mosestemi9875 3 дні тому

    Hongera sana kweli Kuna kila sababu ya nchi yetu kupanda milima na mabonde

  • @athumanimuhammadam3601
    @athumanimuhammadam3601 Місяць тому +7

    Naipenda saaaana kazi hii,,,inapatikanaje???

  • @Yefta-i2i
    @Yefta-i2i 6 днів тому

    Hako kamziki kanakopigwa kwa nyuma, tafadhali husikatoe. Safi sana hako

  • @peterkefand7835
    @peterkefand7835 Місяць тому +9

    Hongeren sana. yaani historia yetu ni kubwa sana na ipo kizalendo🎉

  • @alipipijimmy7605
    @alipipijimmy7605 Місяць тому +2

    Hongera chana chawa ni watu wema Sana na hii idara inatusaidia Sana iwapo kiongozi mwenye mamlaka anawatumia vizuri , pia nashukuru sana maana amani tulionayo ni usalama Wana sababisha nchi yetu iwe na amani pia nampongeza sana mwandishi amechambua vizuri mungu ambariki Sana yupo vizuri sana tuandalia na vitabu.

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 Місяць тому +4

    Msomaji wa makala hii umesoma vizuri sana, kiswahili kimenyooka, hakuna shida za L na R, safi sana, japo angepatikana msimulizi mzuri zaidi ingekuwa tamu zaidi.

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 Місяць тому +1

      Msomaji Mzuri zaidi ni yupi?Huyu kaeleweka vyema tu...

    • @Manyohu.tv1
      @Manyohu.tv1 Місяць тому

      @@wechemakambo2182 unasifia na kuponda, binadamu bhana😁

    • @nasibuAbel
      @nasibuAbel 19 днів тому

      mkuu hata hii Mimi nime ipenda sana tu

  • @ibrahimmaulid2704
    @ibrahimmaulid2704 Місяць тому +3

    Kwa kweli ni historià nzuri sana kwa taifa hili ni safi mie nimeipenda big up chanzo

  • @matthewmichaelsylvester5612
    @matthewmichaelsylvester5612 Місяць тому +17

    kazi nzuri sana hii me napenda sana hii kazi

    • @bakorea
      @bakorea Місяць тому

      Kabisa. na kama ulivyoona, wachambuzi wa Chanzo wamezama na kutuletea madini hasa. toka enzi ya Mwalimu mtu kuwa katika idara hii ulijua anakubalika kwa uzalendo, weledi. Zaidi wamezuia maadui wa nje na ndani. Hata Yugoslavia yenyewe ilisambaratika kwa idara yao kutotabiri mipango ya maadui wa nje. Angalia Somalia, hadi leo vita na mgawanyiko, Somali land ilijitenga na hakuna wa kuzuia. Watu kama Kitine hadi leo anakemea kabisa tabia za rushwa na unafiki.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +8

    FBI ,CIA ,KGB na zote zinazofanana na hizo, Ni Kazi nzuri lakini kama una hofu ya Mungu Zina maswali mengi saana mbele ya Mungu, some of careers u learn not to question orders in order to put food on the table, hasa ukiwa mtu wa operation, ukipewa maelekezo tu mfyatue fulani haina kuhoji hata kama Ni mwenzenu, mnaweza mumchome Dawa ya usingizi na kumzamisha kwenye swimming pool alafu mnatangaza jamaa kafa Maji, asilimia kubwa mwisho wao huwa mbaya saaana vifo vyao vinatisha

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 Місяць тому +4

      Kazi ngumu sana hii ni kazi ambayo unamjua mkurugenzi tu ila watendaji huwajui kma wachawi tu vile yan kuna watu wanaipenda sana hii ila dahh!!! Inaonekana ni kazi hatar sana hasa ukifikiria mwisho wetu kma binadamu

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 14 днів тому +1

    duuuuu mungu aninusuru sifahamu

  • @RaphaelMichael-g3x
    @RaphaelMichael-g3x Місяць тому +1

    Big up to TISS

  • @saimonmkangala7637
    @saimonmkangala7637 Місяць тому +1

    Kazi nzuri pongezi kwenu, Mungu awatunze.

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband Місяць тому +1

    Hongera kwake Mr Mombo....Mtu Mpole Sana na Mnyenyekevu

  • @elibarikikivuyo5946
    @elibarikikivuyo5946 Місяць тому +2

    🎉 Hongera sana show up

  • @jumankumilwa4139
    @jumankumilwa4139 Місяць тому +2

    HONGERA SANA BRO MOMBO

  • @user-hx7tr5iw8p
    @user-hx7tr5iw8p Місяць тому +2

    Hii ni ya kizalendo Zaidi .nimeipenda ila kuna hichi kizazi kipya kichunguzwe sana kimeweka tamaa mbele kuliko uzalendo adui pia anaweza kuwashawishi wakaleta mihemko. Naipenda nchi yangu na nitaifia nchi yangu ya mababu zetu na bibi zetu mungu ibariki tanzania 🇹🇿mungu ibariki Africa 🌍

    • @bakorea
      @bakorea Місяць тому

      hapo sasa. zamani watu wote wa Usalama walikuwa wanaitwa , Vijana wa Mwalimu, ikimaanisha waliopikwa na kupikika, hakuna rushwa, ubadhirifu, unafiki, nk..sasa wakati wa Magufuli yupo afisa wa Usalama wa Wilaya, nadhani Mkoani Arusha alihusishwa narushwa..aibu..ila wachache hao

  • @officialkyenx4773
    @officialkyenx4773 Місяць тому +2

    mbwa hyo ange kufa tu na mlengaji haku lenga
    vzuri angelenga kichwa tu akafa .mbaguzi sana

  • @jerichoseth4188
    @jerichoseth4188 Місяць тому +1

    Idara ya usalama wa Taifa ni idara Bora Sana pongezi kwao

  • @user-kg5yu4kg9p
    @user-kg5yu4kg9p Місяць тому +3

    Hongera sana idara ya usalama wa taifa Kwa kulinda amani ya nchi

  • @nasibuAbel
    @nasibuAbel 19 днів тому +2

    Upo sa sahihi kabisa naamini hivyo na mimi mwenye ndoto za kuwa kwenye hicho kitengo

  • @seifmohammed9167
    @seifmohammed9167 Місяць тому +5

    Kwa kweli chanzo mpo vizuri kwa stori yote ulioeleza ni kweli kabisa

  • @hansmutta2549
    @hansmutta2549 Місяць тому +2

    Sikujua kama tuko vizuri kwenye intelijensia big up sana

  • @Dr_Heart.
    @Dr_Heart. Місяць тому +4

    Hii ingewekwa voice na yule shafii ingenoga sana, anajua kusimulia

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 Місяць тому +2

      Au Sky Walker wa SNS

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 28 днів тому

      @@Dr_Heart. hatupaswi kumdharau aliyefanya tukajua badala yake tumtie moyo azidi kuwa bora...Sasa Shafii hakuyajua haya.

    • @Dr_Heart.
      @Dr_Heart. 28 днів тому

      @@wechemakambo2182 Hakuna aliyedharauliwa hapo, kila kazi na mtaalamu wake, haina haja ya kuwa na unafiki kwenye suala linaloeleweka, pongeza panapostaili pongezi....nyie ndo machawa nyie mnataka kusifia kila kitu bastard😎

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Місяць тому +4

    Hii ilikuwa Idara kabambe sana. Siku hizi nashuku majukumu yake ni kuwakomoa Watanzania kuitumikia CCM. Haijui hata jinsi rasilmali za Tanzania zinavyoibiwa! Hivi wanaweza kuwaambia Watanzania Magufuli alikufaje?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@Nedjadist wewe ukitaka afe vipi kwa mfano?
      Siku yako ikifika hata ashuke yesu utakufa tu. Acha kuuliza uozo kama huo jiongeze?

  • @ibrajuma8399
    @ibrajuma8399 Місяць тому +13

    Hii ni ndoto yangu ila kuipata ndio shida

  • @Stanlykanwakabos
    @Stanlykanwakabos 10 днів тому

    asante

  • @alexdaniel7985
    @alexdaniel7985 Місяць тому +1

    Kazi iendeleeeeeeeee

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 Місяць тому +4

    I wonder where you guys get infomations

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m Місяць тому +3

    Huyo mama waisulamu ndio kwenye hii nchi miaka yote. Yakwake.......

    • @nelsonnikodem1100
      @nelsonnikodem1100 Місяць тому

      Lakini serekali yetu Haina dini

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Wewe ndio mpumbavu kweli pimbi wewe.
      Unavyosema muislam una maana gani? Unaijua history ya nchi hii vzr?
      Pwani ya waislam ndio chimbuko wa kila kitu nchi hii.
      Nani alifahamu mikoa ya huko porini?
      Hata uhuru umedaiwa mikoa ya pwani na sio mikoa ya mbugani.
      Acha ujinga waislam ndio vinara wa kila kitu bongo mzima

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 Місяць тому

      Wewe ulitaka vp Kwan wanahubir au wanafanyakazi tu? Kazi yao ni utendaji hakuna hata siku moja uliosikia wanahubir ..watu wote wapo huru makanisa yapo na misikiti ipo hakuna siku huyu mama amezuia watu kwenda kanisani wala msikitini sio vzur hata kidogo kuhusisha Serikali na mambo ya kidini ...akili zako Zina ujauzito wa mawazo

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv Місяць тому +2

    JPM aliwatumia vizuri usalama wa Taifa hasa kwenye maswala ya usama wa uchumi wa Nchi.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@JK-uq1tv mbona viroba vya maiti kila siku coco Beach ktk utawala wake, hao TISS walikuwa wapi??

  • @peterchristopher5216
    @peterchristopher5216 Місяць тому +1

    Habyarimana alionywa na Mkuu wa usalama wa taifa Tanzania Luteni jenerali Imran Kombe, Mobutu na Rais Moi hawakuja Tz, walikubali onyo la Kombe, lasivyo habyarimana asingetunguliwa kwenye ndege mwaka 1994 na hatimaye mauaji ya kimbari Rwanda yasingetokea.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому +1

      @@peterchristopher5216 Acha kutupeleka peleka wewe, Kombe atawaambiaje hao marais wasije kwani kulikuwa na tatizo gani Dar?
      Huyo Habyarimana na mwenzake wa Burundi wametunguliwa wakiwa wanarudi kwao baada ya kuhitimisha mkutano na sio ndani ya Tanzania, walitunguliwa ktk ardhi ya Rwanda huko.

    • @peterchristopher5216
      @peterchristopher5216 Місяць тому +1

      @@MilloWamilonga-ft8ir hujaelewa mantiki yangu, najua kuwa hawajatunguliwa Dar, ila Kombe alivujisha Siri ya assassination kwa mmoja wapo, Hadi wengine hawakuja, waliambiana, Habyarimana alishauriwa asiondoke hiyo tarehe, badala yake akalazimisha, yakamkuta.

    • @silvanuskuloshe7995
      @silvanuskuloshe7995 19 днів тому

      Usijibu mjinga nawe utakuwa mjinga​@@peterchristopher5216

  • @N.T.KDigitalCreation
    @N.T.KDigitalCreation 4 дні тому

    Hawa ni watu wanaojua nini kinachoendelea Tz.

  • @richardmwandanji65
    @richardmwandanji65 Місяць тому +1

    Kazi yao ni mhimu mno Ila kuna halufu mbaya na minong' ono mhimu kujilekebisha maana idara hi kisheria ni nyeti Mungu awapefikra za uweredi katika majukumu yenu.

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri Місяць тому +4

    Hii ndiyo Idara iliyo na watu wasiojulikana? Mbona watu wasiojulikana hawajaweza kujulikana hadi leo? Hii Idara haiwezi kuwajua?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому

    Historia ni kitu kizuri sana,tunaomba irudiwe,na kurudiwa tena na tena. Kumbe chanzo cha TIS kuwa chini ya Rais ikulu ni hii iliyopelekea Idara hii kuwa chombo chini ya Rais na chama kimoja na ulinzi wa viongozi wa serikali na chama pekee na sio chombo cha usalama wa nchi na maadui kutoka ndani na nje pekee na Polisi kubakia mambo ya ndani ya ulinzi wa wananchi na mali zao!

  • @abdulqadriabdallah9332
    @abdulqadriabdallah9332 11 днів тому

    Kumbe mzena ni hospital ya viongoz coz mzena alikuwa kiongozi WA usalama WA taifa

  • @goodluckandrew3392
    @goodluckandrew3392 Місяць тому +1

    Twalipo , KAMBI YA TWALIPO IKO KALIBU NA UHASIBU

  • @khamisjohn7639
    @khamisjohn7639 Місяць тому

    Uchambuzi mzuri saana na Idara yetu ina historia ya kizalendo saana. Kazi kwao viongozi wa sasa nao kuweka historia nzuri kwa kutenda haki kwa watanzania wote na kulinda rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa

  • @mosesmagubira3700
    @mosesmagubira3700 Місяць тому +3

    Niliwahi kutuma maombi lakini sikufanikiwa . Kisa kikubwa cha kutuma maombi ni uzalendo .

    • @boscofidelis6223
      @boscofidelis6223 Місяць тому

      Tafadhali nijulishe namna ya kuomba maombi tafadhali

  • @peterchristopher5216
    @peterchristopher5216 Місяць тому

    Edwardo Mondlane wa Msumbiji alikufa mwaka 1969 na siyo 1965

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 10 днів тому

    Huyu Laurence Gama mwanae ndio Leonidas Gama aliyekuwa mkuu wa mkoa kilimanjaro kwa sasa ni marehem??

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 Місяць тому

    Mmmh

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t Місяць тому +1

    Mwamba hapa alikuwa laurance Gama na Imran kombe. Kuuawa kwa kombe ni hasara kubwa

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@user-pj7ng8il4t kuuwawa ka Kombe haikuwa hasara kwa taifa, bali ilikuwa kwa faida ya taifa
      Ndio maana unakuta yeye aliuliwa na polisi live kwa pengine malengo flan.

  • @overplantv21
    @overplantv21 Місяць тому

    morning tiss 3:40 3:44 3:47

  • @chaulachaulaya5259
    @chaulachaulaya5259 Місяць тому

    Itoshe kusema 'madingi' walikua ni watu wenye akili, wabishi, wenye maono pia wazalendo, tuna kazi kubwa ya kuyaishi yaliyoanzishwa

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my Місяць тому

    Amani na Usalama tunajivunia...

  • @gregoryntibani6640
    @gregoryntibani6640 Місяць тому

    Msomaji ameeharibu kiswahili. "HICHO" na siyo "Hiko"

  • @naimame763
    @naimame763 Місяць тому

    Dahh mung nijalie na mim hii kazi natamni siku moj na mm niwe TISS

  • @ruahakennelsandvetservices6567
    @ruahakennelsandvetservices6567 Місяць тому

    😮😢😢

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 24 дні тому

    Hapa ndio utajuwa vp muungano huu tulonao m zanzibar hakuekwa hata mmoja kwenye itara hii

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 Місяць тому

    Kikao cha maraisi 2015 au 2005

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf 24 дні тому

    Hii idara hakuna m zanzibar anaewe kuongoza sindio

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    ✌️👊👍.

  • @hamzangakola8822
    @hamzangakola8822 Місяць тому

    Kuna mmoja anaitwa lilungulu umemsahau kwenye hiyo orodha

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 Місяць тому

    Hapo kwenye gazeti la 1965 la nationalist linasema watatu zaidi wakamatwa ni juu ya ile uasi wa jeshi inaonekana picha ya huyo afisa Wayne Mbwambo na J.T.Zangira sasa huyu Zangira baadaye 1977 alikamatwa tenaa na kufungwa kwa kusidiana na Wazungu wa Southern Rhodesia(Zimbabwe),hii imekaaje?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@wechemakambo2182 uasi wa jeshi ni 1964, Nyerere alifichwa Kigamboni na matokeo yake Julius hakumsaidia lolote hadi kifo chake.
      Julius alikuwa ni kiongozi mwenye roho ya kwa nini halafu roho mbaya nature

  • @shabanikimeru8409
    @shabanikimeru8409 27 днів тому

    Kwaiyo Tiss ni jwtz au polis???

  • @user-dy8ss4ly8z
    @user-dy8ss4ly8z 22 дні тому

    Kujiunga unafanyaje napenda pia

  • @selemanichimogo4789
    @selemanichimogo4789 Місяць тому

    Mbona marehemu ng'itu hayupo

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud Місяць тому +4

    Mbona uteuzi umeegemea udini zaidi..tumeshuhudia matumizi mabaya ya madaraka ya ukiukaji wa katiba na viongozi kuingiza nchi kwenye mikataba isiyonufaisha nchi idara ikiwa kimya maana yake nini. hizi ni nchi mbili zilizouungana.idara inawajibika vipi kuhakikisha viongozi hawatumii nafasi zao kuhamisha rasilimali za upande moja. Isiieshie kushauri tu. Pia ichukue hatua

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Huna akili kama ni udini basi huyo Julius. Kuanzia TISS wa kwanza hadi wanane na hakuna mtu alieliongelea hilo coz hatuna udini, umefahamu wewe pimbi?

    • @helladeogratias7630
      @helladeogratias7630 Місяць тому

      Udini unakuja baada ya kukosekana hoja zenye mashiko.

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 Місяць тому

      Kuna sheikh kateuliwa kwani? Acheni mawazo finyu sidhani kma ni uzalendo kuhusisha Serikali na mambo ya dini.
      Siku zote mbona hamjasema kwann? Au sababu ni huyu mama tu je umeona sehemu yoyote kiongozi wa Serikali anahubir dini ?
      Mbona LUKUVI alipoenda kanisani na kuongea udini hukusema lolote?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@suleimansalym7537 wakristo huwa hawajiamini, na wengine hujiamini kutokana na dikteta Nyerere kuwa rais wa kwanza lkn hawajui bidii zote zilifanzmywa na waislam wa pwani na ndio wenye pwani yao rasmi, kuanzia Mtwara, Lindi, Pwani. Dar na Tanga.
      Hata uhuru haujapatikana huko porini bara ndani.
      Kila kitu kwa wastaarabu pwani (DUR AL SALAAM)
      ambayo ndio Dar es salaam ya sasa.

    • @mussakantumba9914
      @mussakantumba9914 Місяць тому +2

      Ndugu ukisema Udini kwa kuwa aliyechaguliwa ni Muislamu, Basi Waislamu nao wataanza kusema, mbona Wakuu wote wa jeshi la wananchi ni wakristo toka uhuru isipokuwa mmoja tu Abdallaah Twalipo? Kiongozi anatakiwa aingoze vizuri bila kujali dini

  • @user-sw5kz8ep3e
    @user-sw5kz8ep3e Місяць тому

    mbn kam umechanganya apo kweny diwan athuman msuya mbele yake hakuja uyo uliemuek badala yake alikuj moj kw moj Ali iddi

  • @herrygeofreykilasi8658
    @herrygeofreykilasi8658 Місяць тому

    😅p

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 Місяць тому +1

    Nifanyeje ili niwe members TISS

  • @preciousmoshi3392
    @preciousmoshi3392 День тому

    Muongo wewe

  • @athumanmapunda
    @athumanmapunda Місяць тому

    Okay

  • @alexdaniel7985
    @alexdaniel7985 Місяць тому +1

    Kazi iendeleeeeeeeee

  • @user-dy8ss4ly8z
    @user-dy8ss4ly8z 22 дні тому

    Kujiunga unafanyaje napenda pia